Jinsi ya Kupiga Solo Gitaa Mwanzo adi Mwinzo (Somo la Kwanza) part 1
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Kama wewe ndo umeamua kupiga Solo Guitar basi nakuletea mfululiza wa video za kukupeleka hatua kwa hatua kulielewa gitaa la solo adi unafikia hatua ya kupiga bendini au kanisani basi hakikisha una subscribe na kubonyeza kengele ili nikiachia video mpya ujulishwe,, kaa mkao wa kula
Maana Kuna jamaa Moja fundi wa gitaa sana alimfundisha rafiki angu Yona josephat
Aaah Safi sana
Cool brother
Nashukur kwa kunielekeza. Naomba somo jingize
Amani
kk ubarikiwe uwe na moyo wa kugawa iyo zawad uliyopewa na mungu
Ubalikiw xan
Unafanya vizur bro MUNGU akubariki
Asante na wewe pia
Big up
Habari kaka.
Safi
Kaka. Nmarayakwanza leo ktazama. Napenda Sana. Naomba nitumie nambayako. Kwaajr yakkupata zaid
+27658918501
Done ✅
🔥
Safi sana na penda your speed easy for a beginner to follow and understand .
Barikiwa
Asante sanaa!!!
Nauliza sol ni sh.ngap za kitanzania
Brand ipi?
Good Job, Mob Love from 254.
Asante sans ndugu leo naachia pat 2 na3
Oy habar ndugu, samahani we eliphas wa mtisi SINGIDA et
Hapana ndugu labda umenifananisha
Naomba unifunze I love you wa ryvanny
Sawa ngoja niusikilize
Asanta Kwa mimi
❤❤❤❤
❤️❤️❤️❤️
Mimi napenda kupiga guitar nilikuwa naomba unifundishe
Gd
Kaka ni nashukuru Sana bro. Naona nafunguka Sasa kumbe nilikuwa sifuati scale, flate nilikuwa sijui, namna yakuesabu nyuzi, kuhesabu vidole na namna ya kushika petramu pamoja na upigaji.
Epic
Asante ndugu
Napenda mafunzo yako bro
Asante Ubarikiwe
Kaka ndo nimeanza leo kukufuatilia naitwa Daniel ,
Solo brand nzr tuu kama hiyo Yako yaweza kuwa bro gani?
Nifundishe gisi nyimbo ya mungu wetu Wa ajabu
Nitumie link yake
Naomba uanze zero asie elewa. Kabisa iwe raisi kuelewa
Jina la bwana libarikiwe
Bro hongera kwa kazi nzuri naomba ujitahidi kuongeza sauti ya kifaa chako cha kurekodia ili usikike vyema. Mengine ni mema sana binafsi nimekua mnufaika wa videos zako
Asante ntafanya hivyo
@@Eli_Music kk
Oooo
Kaka nashukuru kwa mafunzo yako,ningependa nipate no, yako kwa ajili kujifunza zaidi 17:36 nao
+27658918501
Safi sana
Naomba uanze na key c na pia naomba Kila key unaitungia kawimbo ili iwe rahisi Kuifanyia maxorzo hiyo key .
unapatikana wap kaka
Niko south africa +27658918501
Thanks a lot. Nafuata masomo yako kwa makini nikiwa Nairobi Kenya
Nashukuru ndugu kesho naachia part 2 na 3
Msaada wa Namba bro please
Na ukitumia iyo formula ya cdefgabc inamaanisha kila note inaanza apo ie- kama ni "a " dore yake inaanza apo au?
Ndio
kwa sasa tuta elewa sabb tunaanz hatua ya kwanz na kuendelea
Naomba namba ako mkuu
Samahani kwakuchelewa +2568918501
Brother mi nainjoy unavyo fundisha nilikua naomba ufundishe mzunguko wa Kodi zote mfano Key C yaana kodo zote zilizo kwe key C
Mafunzo mazuri kaka sasa gani ndio 1415
Ndani ya scale au kila kii kuna kodi 7 ,,zote zinamajina ila huwa tunaziita kwa namba zake. Kuna ,kodi ya .1,2,3,4,5,6,7,,1 Tena au 8 kwa hiyo 1415 ni kodi ya kwanza kisha ya 4 kisha unstudied kwenye moja kisha kodi ya tano
Kaka binafsi natamani kuwa mpigaji mzuri naomba usiache kutufaa katika majifunzo haya ili nasi tusonge mbele
Natamani kupata namba yako ili nikiwa na shida binafsi kuhusu mziki niwe na wanna mkubwa kutatua changamoto nitakazokutana nazo
Asante ndugu hii hapa +27658918501 ntaendelea
th-cam.com/video/6ZGAdvBIhDs/w-d-xo.html check video mpya ya mwendelezo
hiyo ni nzur kuelew hatua kwa hatua ni mtililiko mzur
kaka ntaanza kukufuatilia mpaka na mimi nijue gita
Teemed kazi