good good bro pamoja sana kaka but ingepensa zaid ungefundisha wimbo wwote ili uwe kama wa kulainisha vidole kwa haraka maana mtu anapopiga tu code kila sku tu sasa sku akijarib kupga nyimbo yyte inamuwia ngumu af wakat mwingn mtu anawaz amekaa na guitar one mouth au twoo alaf akiwaza hawez kupg wmb wwt so som time huplekea weng kukata tamaa so nadhan ungefndish wimbo wwte mwepes wa kumtia mtu moyo ingependez zaid kaka mimi ningependa ufundishe angalau wimb mmja wa olova mtdukuz ili tu isaidie kumtia mt amasa
Kazi nzuri bro ila naomba uniwekee video ya aina nyingi za ku strumming plz bro nitashukuri sana
Asante kaka now I'm better every one wonder appreciate 🎉
Big up
Yani hii siri ndo nilikuwa natafuta mnda mrefu, ila kwaleo mujiza umeshuka, mungu akubariki sana mwalimu, you’re the best ( 2022)
Nafurahi kusikia ukiwa na shida yeyote nijuze
Kaka tatzo vidio zako sauti inakua chini sana
Daaah somo nahisi limekuja wakati muhimu saaaana ASANTE KAKA BLESSED
Asante ndugu
Unaeleweka sana brother
Asante ndugu
Pamoja saaana
Amani
tunakupenda bro
Asante sana ndugu
asante
Soma safi Sana sema naomba ufundishe majar scale na minor scale
Ninazo kwenye videos ukiangalia,, kama huzioni nambie nikurushie link
kaka naomba tusaidie jisi ya kuutumia mkono wakulia vizur
Sawa ndugu ngoja nilifanyie kazi
tunakushukuru kaka
nimekuelewa sana kak mungu akubariki uwe na moyo
Binafsi nataman sana kupata mawasiliano yako japo niweze kuchangia huduma ya kile unachokifanya
Asante ndugu hii hapa +27658918501
Ndio
Awe
good good bro pamoja sana kaka but ingepensa zaid ungefundisha wimbo wwote ili uwe kama wa kulainisha vidole kwa haraka maana mtu anapopiga tu code kila sku tu sasa sku akijarib kupga nyimbo yyte inamuwia ngumu af wakat mwingn mtu anawaz amekaa na guitar one mouth au twoo alaf akiwaza hawez kupg wmb wwt so som time huplekea weng kukata tamaa so nadhan ungefndish wimbo wwte mwepes wa kumtia mtu moyo ingependez zaid kaka
mimi ningependa ufundishe angalau wimb mmja wa olova mtdukuz ili tu isaidie kumtia mt amasa
Kweli ndugu ila nimefundisha nyimbo kadhaa tayari angalia katika video zangu huwa nafundisha nyimbo
Bro nataka gitaa la solo ntapataje
Naweza kukununulia Huku South Africa uko ukituma pesa na kuliagiza
Bro nashidwa kuchnganya mikon nifnyaje mikon mizito
Endelea kufanya mazoezi mikono itazoea ni kama kwenda jimu tu taratibu usife moyo ndo njia hiyo
Unakumbuka kuna siku nilikwambia kua nitatengeneza gitaa... Tayari nishatengeneza, kama vip naomba namba za za WhatsApp nikutumie ulicheki
Dah kweli we noma ndugu +27658918501
Iyo njia nimetaka kuielewa lakin ina niacha kidog jalib kwenda taratib kidog
Ok poa kaka nichekc ntakufanyia +27658918501
Saa iyo namb cjaiyelewa bro c ya Tanzania ? Et
Hapana niko south africa
Ndiy ya WhatsApp c ndiyo
Bro tunaomba ufundshe jinsi ya kutumia mkon wa kulia ktk upigaji na mazoezi yake
Ok ngoja niliandae somo hilo