LISSU APIGWA MASWALI MAZITO NA WANAHABARI SINGIDA, APANGUWA YOTE, "KUNA PESA CHAFU RAIS ANATOA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 36

  • @ChristianLimo-k8t
    @ChristianLimo-k8t 6 วันที่ผ่านมา +2

    Upo vzr .mkuu tunakutegemea sana kamanda

  • @KaisiPatrick-l1c
    @KaisiPatrick-l1c 9 วันที่ผ่านมา +1

    Pole Sana Mh Lisu, Mimi nakuona Upo peke yako kwenye siasa za aina yako. Ni ngum Sana kufikia malengo.

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 5 วันที่ผ่านมา

    Eemungu tusaidiye utujariye watuwenyeroho wamungu watuongoze nchihii itateketea kamababiloni wamiaka ile, mungu yupohai Milele kazini tusaidiye kumulinda mh lissu

  • @DausonShensherwa
    @DausonShensherwa 8 วันที่ผ่านมา +1

    Mh lissu mungu akutunze Kwan we ni hazina wa Taiga la tz

  • @EmmanueNzilano
    @EmmanueNzilano 2 วันที่ผ่านมา

    Tundu lisu ni Nyerere WA pili ktk taifa letu Tz.

  • @mordekaingamagila5766
    @mordekaingamagila5766 11 วันที่ผ่านมา +4

    The Real Politician in this era

  • @ikabako2454
    @ikabako2454 10 วันที่ผ่านมา +2

    Chuma Lissu 💪🤝

  • @davidmwandiga3465
    @davidmwandiga3465 10 วันที่ผ่านมา +1

    Kiongozi wangu na kiongozi wetu tunajua jinsi unavyotupigania katila haki, kama Mungu yuko haki aipotei na muda wakuchua inchi CHADEMA imefika mioyoni mwa watu

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 5 วันที่ผ่านมา +1

    Lissu leo mimekuelewa na kukupongeza sana. Umeongea mambo ya msingi yenye kuelimisha na kufungua macho.
    Hongera pia kwa kukubali mapungufu kujikoa.

  • @joshuarose6756
    @joshuarose6756 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    THE president

  • @NyatseLogistics
    @NyatseLogistics 2 วันที่ผ่านมา

    Mpigapicha huna skills za kutosha; onesha wanaoongea

  • @paulojohn9608
    @paulojohn9608 11 วันที่ผ่านมา +3

    hichi kichwa ni mashine bigap lissu

  • @magrethsengati2564
    @magrethsengati2564 9 วันที่ผ่านมา

    Hakuna kukata tamaa hadi kieleweke yaani hapa wametu boost balaaa umoja unaitajika

  • @OlosekiLokoy-sy6qg
    @OlosekiLokoy-sy6qg 10 วันที่ผ่านมา +2

    Asante mkombozi wa taifa hili sisi wananchi ndo wajinga make chuma wa mabadiliko yupo na sii mwingine ni shujaaa lisu

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 10 วันที่ผ่านมา +1

    VIVA KOMREDI LISSU!

  • @ElibarikiKizindo
    @ElibarikiKizindo 10 วันที่ผ่านมา +2

    Mteulee wataanzaniaa bado tu
    Tunahitaji ukombozi WA fikraa

  • @kimarobeatus
    @kimarobeatus 9 วันที่ผ่านมา

    ITV huwa wanaleataga mike yao kama boshen tuu apo

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 11 วันที่ผ่านมา +1

    Mliambiwa sheria ni zilezile hazijabadilika, acheni kusumbua wanainchi kwa wateule ambao sio wenu

  • @josephatkajange-zx2tl
    @josephatkajange-zx2tl 10 วันที่ผ่านมา +2

    Mboe ameshachuwa chake mapema kama Msigwa alivyofanya. Ni Bora Msigwa aliyetangaza wazi kuliko huyu ambaye anajifanya mwenzenu kumbe ni nyoka!

  • @abdulmajidbakar6647
    @abdulmajidbakar6647 10 วันที่ผ่านมา

    Watanganyika mnanizamu ya woga ,mpaka hao viongozi wa vyama

  • @ChugaYechu
    @ChugaYechu 10 วันที่ผ่านมา +1

    Tuachane na uchaguzi hewa tujipange upya

  • @furahamwikombo-p7g
    @furahamwikombo-p7g 10 วันที่ผ่านมา

    Lissu anaona mbali sana.. Mbowe wema Huruma na Unyenyekevu vinamponza..

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 10 วันที่ผ่านมา

    Maswali Gani katiba itawabana wanajua hata Nyerere alikabiliwa na kambona na Fundikira hii nchi yetu sote c Mali y CCM

  • @saidmajeba9791
    @saidmajeba9791 10 วันที่ผ่านมา +3

    Chadema hamko serious kuchukua nchi
    Mnapuyanga tu mijini
    Watz wengi wako kijijini,nyie mko mijini tu
    Adu baadae mnalalamika mmeibiwa kura
    Watz wengi ni wajinga vichwani,kampeni zenu mje vijijini muwape watu elimu ya urai
    Vinginevyo mnapuyanga tu🚮

    • @ErickKimario-t6u
      @ErickKimario-t6u 10 วันที่ผ่านมา

      weeeee! kaa kimyaaaa, mwaka huu mbona wamezungukaa saana

  • @ExaudLupenza-qu1xu
    @ExaudLupenza-qu1xu 11 วันที่ผ่านมา +1

    Mboe Yuko wapi?

  • @StephenMpallange
    @StephenMpallange 11 วันที่ผ่านมา +4

    Kwa hili walilolifanya CCM katika Uchaguzi huu,Watanzania tunahitaji Katiba Mpya kwa lazima.Yaani iwe kwa la Heri au kwa la Shari,,au iwe kwa Amani au kwa Machafuko kama walivyofanya Jirani zetu waKenya hadi wakapata Katiba yao Mpya.Achaneni na huu Uchaguzi CCM wameshaumaliza tulianzisheni kudai katiba mpya.
    "Solidarity Matters"

    • @RhodaKibona-w9j
      @RhodaKibona-w9j 11 วันที่ผ่านมา +1

      Hatutaki machofuko, tunataka amani, kwa sababu
      Mungu yupo, yeye anasemaje,kwa yanayoenderea katka nchi yetu???

    • @ErickKimario-t6u
      @ErickKimario-t6u 10 วันที่ผ่านมา

      @@RhodaKibona-w9j 😭😭😭😭

    • @emanuelnjiku7354
      @emanuelnjiku7354 10 วันที่ผ่านมา

      Ili uone machafuko mabaya wapite majambazi kwako wachinje familia yako uone ilivyo raha ssa hiyo cha mtoto kwenye machafuko ya umwagaji dam et kisa katiba. Nenda TENGWA TV TUNAYO KAMPENI NA MFALME TENGWA PAMOJA NA WATUMISHI WENGINE KWAAJILI YA MAOMBI KUZUIA UMWAGAJI DAMU KATIKA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI 24_25 KWAMBA ASIWEPO WA KUCHOCHEA MACHAFUKO MAANA MALAIKA WA UMWAGAJI DAM ANAIOTEA TANZANIA na tanzania ni inchi ya Agano kwaajili ya kupeleka wokovu ulimwenguni nenda TENGWA TV utafaham mengi

    • @DorothyFrancis-j5z
      @DorothyFrancis-j5z 10 วันที่ผ่านมา

      ​@@RhodaKibona-w9jmungu yupi yupo?

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 11 วันที่ผ่านมา

    Yaani najisikia kichefuchefu! Hivi hawa majamaa hawaoni aibu kwamba nchi inasomekaje nje ya mipaka yetu?
    Isije kututokea yale ya mwendazake na serikali yake kunyimwa misaada na hiyo mikopo nafuu hadi tukaangukia kukopa katika benki za biashara kama mtu wa kawaida hivyo kulipa riba kubwa na ktk muda mfupi!! Yajayo ndo haya, tujipange kukomboa nchi hii ktk makucha ya hawa wasopenda haki. But Mungu atatenda

    • @MatokeoJoseph.Fonkol
      @MatokeoJoseph.Fonkol 10 วันที่ผ่านมา

      elim ya mjinga

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 10 วันที่ผ่านมา

      @MatokeoJoseph.Fonkol huhasomeka Kiongozi tuweke wazi ni mjinga yupi na elimu ipi?

  • @RashidiMbena
    @RashidiMbena 10 วันที่ผ่านมา

    Hilo swali la nyongeza ni la kijinga.na mwisho wao ndio nambari moja kuandika habari za upinzani ki uwoga wsitufanye sisi wajinga

  • @paulojohn9608
    @paulojohn9608 11 วันที่ผ่านมา +1

    hichi kichwa ni mashine bigap lissu