Kanisa la Gwajima labomolewa usikuusiku Ubungo DSM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ธ.ค. 2017

ความคิดเห็น • 103

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 6 ปีที่แล้ว +16

    Kwenye Biblia imeandika, mtu mwenye roho mbaya na ya kwanini, isiyopenda mtu aendelee, kamwe hatokaa aendelee. Mtu kabisa anashangilia mtu kubomolewa, hivi wabongo tutatoboa kweli, tunatamani nchi yetu isonge mbele, na hivi viroho mbaya mnafikiri tutabarikiwa. Ukiona mwenzio kapata shida unashangilia kabisaaa. Poleni mliovunjiwa, Mungu akifunga mlango mmoja anafungua mwingine. Ngoja nipambane na hali yangu.

    • @africanhappyadventure6951
      @africanhappyadventure6951 6 ปีที่แล้ว

      I love Jesus ...umenena vyema yaani wabongo sisi Nishidaa Etiiii Mi naangaliaga tu watu wakiambiwa Patabomolewa wanavyoshangili Wa Tz sijui tuna shida gani hata sielewii

    • @maestrojayysule5660
      @maestrojayysule5660 6 ปีที่แล้ว

      ww chiz ww acha usiasa hayo ni maendeleo

    • @barick
      @barick 6 ปีที่แล้ว +1

      Juma Suleiman kama ni maendeleo wakabomoe nyumba ya lwakatale

    • @africanhappyadventure6951
      @africanhappyadventure6951 6 ปีที่แล้ว

      Juma Suleiman ..Mtu ukusema ukweli ni Siasa..ndio wakabomoe sasa

    • @Tiffany340
      @Tiffany340 6 ปีที่แล้ว

      hata mbinguni Viwanja vipo akajenge tu uko ili akawe huru na ibada take..ila mtaarifuni mbinguni hakuna vile vyumba 9 vya chini ya madhabahu.. maana ni Dhambi.Amen!!!!🙏

  • @user-qm2fw8pu4h
    @user-qm2fw8pu4h 6 ปีที่แล้ว +3

    Mungu amitie nguvu

  • @isayamanyonyi8826
    @isayamanyonyi8826 6 ปีที่แล้ว

    Mtumishi wa Bwana pastor Gwajima hakika wewe nimwelewa sana

  • @clarencemnenuka8269
    @clarencemnenuka8269 6 ปีที่แล้ว +2

    Nice voice

  • @ashminaabdullah5626
    @ashminaabdullah5626 6 ปีที่แล้ว +9

    Safi umeongea vizur Baba

  • @nanimimi7097
    @nanimimi7097 6 ปีที่แล้ว

    Mnaosema libomolewe mtakuwa wachawi mshindwe kwa jina la yesu

  • @eliuskivuyo6521
    @eliuskivuyo6521 6 ปีที่แล้ว

    kwa akili hiz za vunja jengo lote,ni dhahir kuwa tunatabu sana hv unaanzaje kuandika hvy?au bange?tuwe conscious tunapokuwa tunaandika chochote kile

  • @charlesmushi2305
    @charlesmushi2305 6 ปีที่แล้ว +12

    kweli wanadamu tuna roho mbaya sana utakuta mtu anacomment "bomoa lote" tena na tusi juu....... Hapa ni duniani na aliyeanzisha aliwaza na kutafuta njia ya kupambana na maisha kama wewe unavyoangaika kwenye makampuni ya watu na vibarua....Tuache ushabiki wa kijinga na kupambana na maisha ili sote tujikwamue na kutoka kwenye wimbi hili la umasikini

    • @BennyChristian
      @BennyChristian 6 ปีที่แล้ว

      watu kama hao ndio mizizi ya laana za taifa hili, inatakiwa kukemewa kwa nguvu zote, umefanya vizuri

    • @baxboy5131
      @baxboy5131 6 ปีที่แล้ว

      kwel kbs

    • @Hauleshabby
      @Hauleshabby 6 ปีที่แล้ว

      Charles Mushi kabisa charles watu wana ushabiki usio na maana

  • @annen3923
    @annen3923 6 ปีที่แล้ว

    MUNGU atabaki kua MUNGU. Serikali inapochukua Chao, kula wale wanafurahia wakithani ni mwisho wa kumwabudu MUNGU mahali pale. Hapana. Kama Mchungaji Gwajima alivyo sema kwenye ibada jumapili kua, wasione kua tutaaibika na kukosa mahali pa pa kuketi. Bali wametubariki manake tutaongeza eneo lingine kubwa hata kuliko lililobomolewa. Halleluyah.

  • @jensennashon6147
    @jensennashon6147 6 ปีที่แล้ว +3

    Bwana ata fanya njia

  • @kinotasontravel3883
    @kinotasontravel3883 6 ปีที่แล้ว

    Nawapa pongezi kwa kubomoa na kuacha hifadhi ya barabara huo ni. Usikivu

  • @kesiamenyaulilaizer392
    @kesiamenyaulilaizer392 6 ปีที่แล้ว +1

    Mtajenga pengine pazuri na pa kubwa

  • @johnnymeekmillobiojohnnyob9168
    @johnnymeekmillobiojohnnyob9168 6 ปีที่แล้ว +2

    nyimbo mpy ya diamond

  • @wilbardmussa8232
    @wilbardmussa8232 6 ปีที่แล้ว

    Mahubiri ya Jumapili nitakuwa mstari wa mbele kumsiliza Dr.Ask.Baba .mch. Gwajima.

  • @emmanueldaniel8445
    @emmanueldaniel8445 6 ปีที่แล้ว

    umeongea kwa hekima pastor MUNGU AJUA YOOTE,

  • @barikichichimu3502
    @barikichichimu3502 6 ปีที่แล้ว

    bwana atafanya njia pasipo kuwa na njia.

  • @innocentmhagama5196
    @innocentmhagama5196 6 ปีที่แล้ว +2

    Our God is able

  • @jasminasha9551
    @jasminasha9551 6 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana kwa kuwasikiliza wanyanyasaji

  • @mobofree6537
    @mobofree6537 6 ปีที่แล้ว

    waandishi jifunzeni maswali ya kuhoji nakushoot video tukio vyema mi nazan ungeuliza mamlaka walipewa nanan yakujenga kwa namna hiyo ili tupate kujua mwenye makosa ninan kati ya wao ama serikali pili tujue je kuna malipo yoyote wanayopewa wahusika kingine kwann hamjakionyesha kipande ambacho kinahita kupunguzwa pia ni kwann mme shoot usiku

  • @elizabethzolla5331
    @elizabethzolla5331 6 ปีที่แล้ว

    Yaliyoandikwa yanatimia angalieni tu kila siku tunazaliwa wafupi enzi za adam nani alikua mfupi hakuna mungu ameenda mbali nasi mpaka umtafute sana rohoni saa imefika huu ni utawala wa mnyama alietabiriwa unadiriki kuharibu hekalu? Anway nisiseme sana yametimia yote na bado yanaendelea si haya tu waumini wote wa gwajima poleni aminini mungu yupo

  • @consolatamaarufu6762
    @consolatamaarufu6762 6 ปีที่แล้ว +1

    fedha na dhahabu ni Mali ya bwana

  • @masandaretv898
    @masandaretv898 6 ปีที่แล้ว

    Aisee hii kiboko

  • @deograsiasbanda598
    @deograsiasbanda598 6 ปีที่แล้ว +2

    Sheria acha ifanye kazi wamebomolewa watu named makanisa mengine kimara

  • @neemajavan4125
    @neemajavan4125 6 ปีที่แล้ว

    ndo mkome tatizo Manisa hilo baba mchungaji wenu mpenda siasa

  • @sharifa2274
    @sharifa2274 6 ปีที่แล้ว +1

    Ngwajima hayaaa

  • @januariponera388
    @januariponera388 6 ปีที่แล้ว +1

    Bomoaaaaa loteeee

  • @robertmosha6801
    @robertmosha6801 6 ปีที่แล้ว +1

    ndo kufcha tungul au kubomoa usku kunan

  • @godwinwilliam8111
    @godwinwilliam8111 6 ปีที่แล้ว

    Mimi sijui lakini kweli akuna hila ya paul aka daudi aka zero brain

  • @amanijosiah6186
    @amanijosiah6186 6 ปีที่แล้ว

    wote mnaosema bomoa lote kuanzia leo natamka kwa jina la yesu kristo maisha yenu afya zenu kazi zenu biashara zenu mipango yenu uchumi wenu vyote vibomoke kwa jina na damu ya YESU KRISTO.

    • @jaquevan9464
      @jaquevan9464 6 ปีที่แล้ว

      Amani Josiah Mungu sio wa kisasi cha hivyo ndugu

    • @bahatigwivaha9696
      @bahatigwivaha9696 6 ปีที่แล้ว

      Barikini wala msilaani. Msipe kisasi maana kisasi si juu yenu, Bali ni juu yake Yeye aliyefanya mbingu na nchi.

    • @khalidunited5978
      @khalidunited5978 6 ปีที่แล้ว

      Amani Josiah kwani wewe ni Allah?

  • @khadijahomar9139
    @khadijahomar9139 6 ปีที่แล้ว

    Bomoa tu haina.maana yyte hilo bashete njooni.mulimalize lote hilo

  • @uledimtumwa3045
    @uledimtumwa3045 6 ปีที่แล้ว +4

    Safi Sana.

  • @bintifatma9157
    @bintifatma9157 6 ปีที่แล้ว

    Naizo barabara mtanjenga ama usenge tu mnaboa wantania

  • @pinanahome9430
    @pinanahome9430 6 ปีที่แล้ว +2

    Kabila ya pole yangu Askofu natakakushakuru sana kwa mahubiri yako Nikiwa Dubai Mimi nimkenya walimuwa Yesu wakithani Neno halitaendelea Leo linaendelea kuna wale walisema asulupiwe ndio hao wanasema pomoa lote SHEM ON THEM SHEMUU UFUFUO WAKANISA LA ASKOFU GWAJIMA Pele kuna baraka yaajabu

    • @evaevance5932
      @evaevance5932 6 ปีที่แล้ว

      kwa hichi kiswahili chako naomba nicheke kidogo😂😂😂🏃🏃🏃🏃

    • @alexkabeho5609
      @alexkabeho5609 6 ปีที่แล้ว

      Pinana Home wewe pambana na hari yako hapo kuna nini mbaya kufuata sheria ama Yesu kasema sheria tusizifuate the owner hajasema katendewa vibaya nyinyi munaleta useless feelings acha askofu askiize serekali have a good time Dubai hope hawatakuja kukufanya slave

  • @hamishamis9905
    @hamishamis9905 6 ปีที่แล้ว

    Bado....gwajima?

  • @palesyosilingo6386
    @palesyosilingo6386 6 ปีที่แล้ว

    Bashite

  • @consolatamaarufu6762
    @consolatamaarufu6762 6 ปีที่แล้ว +1

    mackia kulia

  • @amourhaji8249
    @amourhaji8249 6 ปีที่แล้ว

    Kwendraaaaaaa

  • @nassibshabban4714
    @nassibshabban4714 6 ปีที่แล้ว

    bomoa lote gwajima chupi tu

  • @dadycarenjr5732
    @dadycarenjr5732 6 ปีที่แล้ว +1

    Kazi kula sadaka za watu tu

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 6 ปีที่แล้ว +1

    Fresh tu👊

  • @jasminasha9551
    @jasminasha9551 6 ปีที่แล้ว +3

    Yaani unyanyasaji tu❌

    • @emmanuelnjau1311
      @emmanuelnjau1311 6 ปีที่แล้ว +1

      Jasmin Asha unyanyasaji upi si sheria unakuwa mpumbavu

    • @jasminasha9551
      @jasminasha9551 6 ปีที่แล้ว

      Emmanuel Njau Nawe ni mpumbavu zaidi Nyooo iyo sheria ngoja ikufikie wewe ndipo utaamka kabla ya ujenzi kwanza kataza hata kwa kubomoa msingi mtu kesha jenga na keshaishi miaka kibao uje ubomolewe uzeeni wewe unaona eti sheria barabara za juu zinawezekana

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 6 ปีที่แล้ว

      faidha myovela we unahisi kuongea hivo kapenda co

    • @sambae4829
      @sambae4829 6 ปีที่แล้ว +1

      Jasmin Asha ili nchi iendelee lazma bahadhi ya watu waumie na pia hata kwenye kujenga kuna mipaka huruhusiwi kujenga inakuwa kwaajili ya barabara sasa ukijifanya ww unajua sana ukajenga ikifika kipind cha selikari wanataka eneo lao usilalamike hata ss pia tupo barabaran na eneo la barabara tumepanda uzio wa mauwa tu naukitaka kujenga wazazi wanasema hili eneo la sio letu ni la barabara

  • @NiraSaire
    @NiraSaire 6 ปีที่แล้ว +1

    Dooo

  • @papafikiri
    @papafikiri 6 ปีที่แล้ว +2

    Vita ihamie rohoni

  • @manyweletheboss6053
    @manyweletheboss6053 6 ปีที่แล้ว

    #huusiUtanzania

    • @agnesjosephat7863
      @agnesjosephat7863 6 ปีที่แล้ว

      wajinga mnaosema libomolewe lote.kwa nyie hamumuogopi mungu.mnamwabudu nani ktk dunia hii.

  • @hamishamis9905
    @hamishamis9905 6 ปีที่แล้ว

    Aaah..kakosea mvunjaji alikuwa alibomoe lote ubaki mchanga 2 unatoshaa

    • @marymayeye7947
      @marymayeye7947 6 ปีที่แล้ว

      Hamis Hamis , naji Msikiti ukiwa kwa Barabara?

    • @hamishamis9905
      @hamishamis9905 6 ปีที่แล้ว

      ee mbona cjaelewa wamaanisha nn

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 6 ปีที่แล้ว

      +Mary Mayeye, kwenye bomoa bomoa ya msikiti wakristo walipiga vigelegele vya hajabu mpaka nikasema udini utamaliza watu, jikaze najua unaumia

    • @hamishamis9905
      @hamishamis9905 6 ปีที่แล้ว

      Ok hamnaga shida

    • @khalidunited5978
      @khalidunited5978 6 ปีที่แล้ว

      Hamis Hamis n

  • @ostazclassic3370
    @ostazclassic3370 6 ปีที่แล้ว

    Serikali ya tanzania inaendekeza sana pesa na kubomoa nyumba ambayo wanasalia watu siku sio nyingi Lazima tanzania vita vitapigwa tu kwasababu wapenda sana pesa na kushika sheria mkononi

    • @ostazclassic3370
      @ostazclassic3370 6 ปีที่แล้ว

      Wanaanza kubomoa mpaka makanisa ,miskiti🗾🗾🗾🗾🗾🗾🗾🗾🗾🗾🗾🗾🗾🗾🗾🗾🗾🗾🗾🗾🗾🗾🗾🗾🗾🗾🗾🗾🔫🗾🗾🗾

  • @katarinawilliam9960
    @katarinawilliam9960 6 ปีที่แล้ว +2

    Nasikia vibwengo walionekana wakikimbia ovyo,Eti kweli???🤔

  • @mr.liverpool3274
    @mr.liverpool3274 6 ปีที่แล้ว +2

    watoe kaz umbea na siasa kanisani cjaon cha maana

  • @goodluckymartin334
    @goodluckymartin334 6 ปีที่แล้ว

    Duubhhh noumahhhhcnaaaaaa

  • @masoudysaid1040
    @masoudysaid1040 6 ปีที่แล้ว +4

    Bomoa lote hakuna kubaki hapo

    • @davidmbilinyi4198
      @davidmbilinyi4198 6 ปีที่แล้ว

      Masoudy Said sio dawa mbona ana pesa ya kununua pengine

  • @frankgalus2000
    @frankgalus2000 6 ปีที่แล้ว +7

    Vunja lote hamna kanisa hapo wizi tu

    • @abuubadru2403
      @abuubadru2403 6 ปีที่แล้ว

      frank galus kumbe gwajima ni mwizi eeeeh

    • @lucky9285
      @lucky9285 6 ปีที่แล้ว +1

      frank galus Ugumu wa maisha na stress upo pale pale ata wakibomoa lote 😀😀😀

    • @abuubadru2403
      @abuubadru2403 6 ปีที่แล้ว +2

      Kidogo naamini gwajima anahiyo sifa. Hasa pale aliposema atamfufua amina chifupa. Ahahaha

    • @daudmatonya7620
      @daudmatonya7620 6 ปีที่แล้ว

      we frank unapigwa manual....ukapimwe akili

    • @devothayun1586
      @devothayun1586 6 ปีที่แล้ว +2

      +Abuu Badru 😂😂😂😂😂😂 jaman Abuu uwii umenivunja mbavu mie

  • @emmanuelhavile2942
    @emmanuelhavile2942 6 ปีที่แล้ว +7

    Vunja lote mamae

    • @lucky9285
      @lucky9285 6 ปีที่แล้ว

      Emmanuel Havile utafaidika na nini ???kuangaika na stress zitabaki pale pale vyuma vitakaza sanaaaaa 😀😀😀😀

    • @frankfelician1290
      @frankfelician1290 6 ปีที่แล้ว

      Huna akili ww

    • @nestymushi6489
      @nestymushi6489 6 ปีที่แล้ว

      Emmanuel Havile Hakuna kanisa ila hilo hapo ni Mkundu wako sio., tumia Akili makalio wewe. Arafu jina lako hata haliendani na ufala wako

    • @ebenezerkombe9804
      @ebenezerkombe9804 6 ปีที่แล้ว

      mamae zako umbwa wewe

    • @devothayun1586
      @devothayun1586 6 ปีที่แล้ว

      +Frank Felician wewe acha kutukana Utapigwa na Mungu shauli zako

  • @abdallahshaaban1539
    @abdallahshaaban1539 6 ปีที่แล้ว +6

    Dah afadhali watu wanazidi kupotezwa kwenye Giza nene