VIJANA WAWILI WALIVYOUAWA ARUSHA KWA KUIBA KUKU 15 WA KIENYEJI "WANANCHI WAMEKASIRIKA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ค. 2024

ความคิดเห็น • 26

  • @HildaBeneath
    @HildaBeneath 26 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu awasaidie kina mama wote kwani wanapamban nawatotowao ila shetan anapambana nao

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 26 วันที่ผ่านมา

      Kbs 😢😢😢mama wa watoto lazm waumie

  • @sharifanyumayo6314
    @sharifanyumayo6314 27 วันที่ผ่านมา +3

    Arusha jmn hakuna kuremba, yani mwez huu kila tukio arusha, na nyie vijana fanyen kaz mtaisha, mara kupora cm, boda boda, Matukio ya kutisha arusha ,kufukua makabur eeh mungu tusaidie mwisho mwema

  • @delsonandrea5223
    @delsonandrea5223 27 วันที่ผ่านมา +1

    Vijana hawataki kufanya Kaz wanapenda mterezo bangi kwa wingi wataisha safi sana

  • @SalahSalum
    @SalahSalum 26 วันที่ผ่านมา +1

    Arusha mnatishaa hii mumezidi matukio ya wizi na kuuliwaa ni delyyy

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 26 วันที่ผ่านมา +1

    Wanakela sana

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 27 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana

  • @SylivesterKilunga
    @SylivesterKilunga 26 วันที่ผ่านมา

    Unafurahia kuua

  • @florianhenry7198
    @florianhenry7198 27 วันที่ผ่านมา

    Soko la kuku LIKO england

  • @daudic.mpinga4606
    @daudic.mpinga4606 27 วันที่ผ่านมา

    Vijana au watu waliopo mjini na hawana kaz maalumu serikali ifanye operation warudi kijijin walikotoka.

  • @SylivesterKilunga
    @SylivesterKilunga 26 วันที่ผ่านมา

    Ndomaana hatufanikiwi damu ya mtu haiendi bule nawewe mwnyeki hoplesi

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 26 วันที่ผ่านมา

    Dini haijawahi kulekebisha watu. Vatican pasingekua na mabaya. Makka pasingekua na mabaya

  • @tuikezeezra1315
    @tuikezeezra1315 25 วันที่ผ่านมา

    Du Arusha yetu jaman 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @user-nb6yh2bn9y
    @user-nb6yh2bn9y 27 วันที่ผ่านมา +1

    Duu tz hawana dogo unaiba majogoo yawatu ili iweje sasa watz hawakuachi razima waishi nawewe🤕👉 🐓🐓🐓

  • @daudic.mpinga4606
    @daudic.mpinga4606 27 วันที่ผ่านมา

    Wakirudi walikotoka uwizi utapungua

  • @achawanunetv1167
    @achawanunetv1167 27 วันที่ผ่านมา

    Tanzania ni shida tupu, munaua watu kwaajili ya kuku. pole sana nchi ya TANZANIA 🇹🇿 umaskini unawatesa sana

    • @Jesusbelongtome
      @Jesusbelongtome 27 วันที่ผ่านมา +1

      Kwan huko kwenu akuna shidaaa

    • @ramadhanijuma4130
      @ramadhanijuma4130 27 วันที่ผ่านมา +1

      Hujaibiwa wewe

    • @godfreyelibarikilaizer6178
      @godfreyelibarikilaizer6178 27 วันที่ผ่านมา

      ​@@Jesusbelongtomehajitambui

    • @godfreyelibarikilaizer6178
      @godfreyelibarikilaizer6178 27 วันที่ผ่านมา

      Tanzania sio masikini vijana wanaoiba ni wameyachagua maisha hayo wenyewe usiiseme Tanzania kipuuzi

    • @mamakayla6697
      @mamakayla6697 27 วันที่ผ่านมา +1

      KUIBA KUKU SI DHAMBI?
      Amri kumi,imeandikwa.USIIBE
      kwani mshahara wa dhambi ni mauti.Neno la MUNGU ni upanga linakata kweli usipotii,na halirudi bure lazima litimize mapenzi ya MUNGU aliyelituma,ubarikiwe mtumishi.