Hamuaminiki nyie asilimia kubwa watz mpaka asimamiwe na mtu mweupe ndo utamuona anapambana hata akitokea mzalendo basi watapambana mpaka wakuchomoe, yah hiyo kazi imeenda poa sana hongera jpm na mama samia kiukweli umepambana
Shida yangu ni kwamba tutapata mtu mwenye maono na udhubutu kama wa Magufuli?. Ndiye aliyetuonyesha kuwa mambo yanawezekana.Sisi wengine ni Bongo lala!
Hongera sana lakini mda huuu mheshimiwa tunateseka sana ferry zilizopo moja ni mbovu mda huo tunasubiri ujenzi kukamilika tutatulie swala la vivuko vinavyotumika pale busisi na kigongo ferry
Namkubali bashungwa hajali anaongea na mkorea mwingine angelazmsha kuongea kingereza lkn anaamini anaongea na watanzania hvo kiswahili ndo kpaumbele na ck zote huwa anakitumia kiswahili na sio mtu wasiasa sana wengine wanakosaga chakuongea nakuanza kushkru shkru2 had wanakosa point
🇹🇿Kazi nzuri waziri tatizo lipo dar hasa ilala barabara za mitaa mbovu ahadi hazitekelezeki mfano pugu station, banguro kifuru kinyerezi na mitaa ya segerea hazina hadhi ya jiji.pia barabara za kusini mwa Tanzania majanga pia roli za makaa ya mawe huharibu barabara za kusini ujenzi mpya ni muhimu sana.
Mungu ailaze roho ya Magufuli mahala pema peponi. Magufuli alikuwa zaidi ya Rais. Tumshukuru Mungu kwa kutuletea Magufuli na kumchukua pia.
Kazi nzuri sana RIP Magufuli Hongera mama samia
Da Picha ya mwamba inaniumiza Roho Vibaya mno😢
isikuumize muombee dua nawe fanya matendo kifo kipo karibu
R.I.P MAGU ww ndo ulkua raisi wa kwel na mtenda haki
BILA KUWA MNAFIK KWA HILI SAMIA UNASTAHIL PONGEZ MUNGU AKUBARIK
Raisi Samia tunakushukuru sana kwa kumaliza miradi hii Mungu atalipa inshallah.
Rais Samia ni IRON LADY! UMEMALIZA MIRADI YOTE DR SAMIA WEWE NI MAMA WA UKWELI
R P.... Magu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Hamuaminiki nyie asilimia kubwa watz mpaka asimamiwe na mtu mweupe ndo utamuona anapambana hata akitokea mzalendo basi watapambana mpaka wakuchomoe, yah hiyo kazi imeenda poa sana hongera jpm na mama samia kiukweli umepambana
Shida yangu ni kwamba tutapata mtu mwenye maono na udhubutu kama wa Magufuli?. Ndiye aliyetuonyesha kuwa mambo yanawezekana.Sisi wengine ni Bongo lala!
Jibu ni hakuna
Mungu mpe pumziko mtumishi wetu magufuri mzee ananiliza nikiona picha yake
Tuendelee kuienzi nchi yetu na viongozi wetu ambao waliona mbali na kuthubutu na wle ambao wamekuja kumalizia huo uthubutu. Mungu Ibariki Tanzania.
Hata reli mwanza -isaka ujenzi wake umelegalega 🤔 wazili usituangushe
Samia juuu🎉🎉🎉🎉
Kazimie mwenyew 😒
Vijana kama hawa hawana mchango kabisa Kwa Taifa 🇹🇿🤣🤣🤣
Mmechelewa sana wachina kumaliza hilo daraja ,
Mkataba unasema linapaswa kuisha mwaka 2024 hebu tuambie wamechelewa kwa kias gani
Kweli hili daraja mpaka Sasa ilitakiwa liwe limekamilika mkataba wa awali ilikuwa miezi36
Mungu ibariki Tanzania,
Bado Airport ya mwanza
Hongera sana lakini mda huuu mheshimiwa tunateseka sana ferry zilizopo moja ni mbovu mda huo tunasubiri ujenzi kukamilika tutatulie swala la vivuko vinavyotumika pale busisi na kigongo ferry
Namkubali bashungwa hajali anaongea na mkorea mwingine angelazmsha kuongea kingereza lkn anaamini anaongea na watanzania hvo kiswahili ndo kpaumbele na ck zote huwa anakitumia kiswahili na sio mtu wasiasa sana wengine wanakosaga chakuongea nakuanza kushkru shkru2 had wanakosa point
R.I.P JPM bashungwa nakupata vyema kk
😭😭😭😢😢😢🙏🙏🙏 R.I.P JPM MUNGU AKUPUNGUZIE AZABU UKO URIKO SISI UKU DUNIANI AZI ZAKO ZINAISHI TUTAKUKUMBUKA DAIMA
🇹🇿Kazi nzuri waziri tatizo lipo dar hasa ilala barabara za mitaa mbovu ahadi hazitekelezeki mfano pugu station, banguro kifuru kinyerezi na mitaa ya segerea hazina hadhi ya jiji.pia barabara za kusini mwa Tanzania majanga pia roli za makaa ya mawe huharibu barabara za kusini ujenzi mpya ni muhimu sana.
Hahaaa....hao mtawasahau
Tungejenga na Dar to Zanzibar , boat zipack 😂😂
Mwanza Mwanza kwa kina Fidi😅
Hivi ile meli iliyokuwa inajengwa hapo mwanza ili ishia wapi
ipo kazini kwasasa
KAZI iendelee
MITA MBILI? HUO NI UONGO
hhahaha kumbe ilkuaga bdo
gradual