Pole kwetu tuishio shambani barabara zinachukua miaka kumalizika mpaka mchina kaamua kuondoka ulifika wewe na mama samia still hamna kitu kisa ni shambani lakini tunawalisha mnaopita kwenye flyove😢
Dodoma msiongee plan iliyopo ya mkoa huo inatosha barabara za mzunguuko zitajengwa ,uwanja wa ndege wa kisasa ,msiongee huko ,jiji ambalo anatakiwa kuliangalia Kwa macho mawili ni Tanga
CAN WE HAVE THIS BRIDGE AS BEAUTIFUL AS TANZANITE BRIDGE?? LET’S FORM A HABIT OF BUILDING UNIQUE AND ORIGINAL STRUCTURES AND AFRIKANISING THEM!! WE DON’T NEED ANOTHER BORING BOG STANDARD BRIDGE PLEASE & THANK YOU!!
Serikali yetu ongereni sana ila ongezeni barabara ziwe tatu kwenda tatu kurudi na mwendo kasi kwenda moja kurudi moja Kwa maono ya miaka ijayo Ushauri wangu!
Weee vzr mbona Arusha Amna mrad wowote mnao tangaza miaka kumi Sasa akuna mnachofanya huku mnakusanya Kodi zetu mnapeleka dar na Dodoma ni nchi nyingine sio 😢😢😢 Sasa
Can you elaborate how 4 Rs are correspondingly in building bridges!!! I thought is government responsibility 🤔 - Nyerere built roads and bridges - Mkapa built Stadium, bridges, roads - JMK , JPM built roads and roads So all this time 4Rs were long time implemented 👏🏾👏🏾👏🏾😅
Hii itakuwa nzuri sana ,mama Samia anajenga sana Mimi binafsi navutiwa sana na utendaji wake wa kazi , hatumii nguvu nyingi ila maendeleo yanaonekana ,piga kazi mama ,Mungu akulinde upeleke nchi yetu kwenye uchumi wa Kati wa Kati au wa juu
Hiyo ndio shida ya serikal yetu Huwa tunaangalia leo, hatufikirii miaka 20 mbele itakuaje, wangeweka hata njia nane au sita kwa watumiaji wa kawaida kama akiba, ili hata kama uko mbeleni kukihitajika upanuzi wa bara bara inakuwa rahic tu, sababu ili jiji letu ni kubwa sana kila siku watu wananunua magar , hizo njia mbil mbil tunazojenga mwisho wa siku barabara zinazidiwa ndani ya mwaka mmoja tu, halaf wazir anakuja kusema gar za kiraia niruhusiwe kupita kwenye mwendo kasi, sababu tunajenga barabara nyembamba kwenye jiji kubwa sasa hapo inategemea nin.?
Njia mbili kwenda mbili kurudi looh hii nchi sijui huwa tunafikiria nini aaah hapo mjiandae kwa foleni tu, ilibidi mjenge njia nne kwenda nne kurudi au at least tatu kila upande daah Tanzania yangu
Hapo mzinga daraja la mbagala sio pale Yani ni kubaya sana na ajali ni nyingi watu wanakufa Kila wiki kwasababu barabara ni nyembamba na pia gari ikiharibika hakuna service road mpaka upite kigamboni utokee kongowe kiukweli inaumiza sana. Tanroad mtusaidie maana kuanzia mwandege,vikindu na kisemvule saivi Ina watu wengi wamejenga na viwanda ni vingi sana kwaiyo matumizi ya barabara ni mkubwa...tuwaombe serikali na Tanroad japo IPO kwenye mkakati wa kujengwa ulitekeleze kwa haraka maana wananchi wanaumia na kufa sana hapo daraja la mzinga.
Viongozi wa Tanzania mtaacha Uchawa lini samia ana pochi tangu lini kodi zetu ndizo zinaitwa pochi la Mama kwahiyo kodi za Watanzania ni za Samia ndio maana mnazichota mnavyotaka kumbe pesa zote ni za Samia sasa niwashauri msiiite BANK OF TANZANIA iteeni BANK OF SAMIA ( BOSA)
TABATA KIMANGA MNGETUPATIA HATA MIL 2OO ILI KUJEGA VIDARAJA VYA KUUNGANISHA TABATA KIMANGA NA TABATA CHANG'OMBE.........TABATA KIMANGA INAONGOZA KUWA NA BARABARA MBOVU NA IPO KARIBU SANA NA CITY CENTRE..... SIJUI TUMEROGWA NA NANIIII AISEEEE
Miaka zaidi ya 50 sasa ahadi inatolewa wabunge kugeuza ndio mtaji wa kupatia posho zao bungeni nafikiri haina haja ya kutangaza tena fanyeni tu vitendo watu waone tu daraja lipo
Vp TANROAD ahadi yenu ya jiji la Arusha kuhusu barabara ya sokoine road kuanzia soko la kilombero hadi uwanja wa ndege kisongo kwa kiwango cha fourway,mlisema mnaanza mwezi wa 6 mpaka sasa kimya,ujenzi wa uwanja wa Afcon unaendelea ukikamilika hamuoni itakuwa ni aibu kwakuwa barabara za arusha ni nyembamba na zina sababisha foleni kubwa sana masaa yote,tanroad naomba mjipange kwa hilo mjue hili ni jiji la kitalii
Daraja la Njia 4 Karne hii ni Upuuzi maana Mji Unazidi kukua Yaani bado tupo kwenye Njia 4 kweli!! Kwanini tusiende na Wakati mambo ya njia 4 yalipaswa kuwe kwenye Miji kama Tabora Kigoma, Iringa nk , na sio Dar.
Huo ndio ukweli, jiji kama la Dar na hizi njia kuu kama kweli tuna nianya dhati ya kupunguza foleni bac inatakiwa kwenye barabara za kawaida ukitoa mwendo kasi zinatakiwa ziwe nne au tatu kwenda na kurudi sababu uko ndiko yanako pita magari mengi, lakin kwa hizi njia mbil mbil tunazo ziweka , ni kama tunajenga kile tulicho kibomoa utofauti ni mwendo kasi tu kati bac, ili jiji linakuwa sana kila kukicha serikal inatakiwa Ione ulazima wa kujenga barabara pana hasa kwenye hizi njia kuu mfano morogoro road, kilwa, Nyerere, kawawa, Mandela, mwinyi na zinginevyo, la sivyo tutakuwa tunajenga kila siku barabara kama tunavyopanua tena morogoro road, ubungo to kimara.
Kazi nzuri sana mama
Serikali yetu pendwa inayoongozwa na Mwamba Mama Samia tunaiombea kheri na Mwenyezi Mungu awaongoze ktk kupelekea kheri
Kwa foleni iliyopo, jengeni, hapo JANGWANI, njia nne kwenda na njia nne kurudi ingekuwa vizuri
Pole kwetu tuishio shambani barabara zinachukua miaka kumalizika mpaka mchina kaamua kuondoka ulifika wewe na mama samia still hamna kitu kisa ni shambani lakini tunawalisha mnaopita kwenye flyove😢
Hongera MH RAIS Basi mtukumbuke na dodoma Kuna selekali yote huku jamani! HATUNA Barbara kubwa!!
Dodoma msiongee plan iliyopo ya mkoa huo inatosha barabara za mzunguuko zitajengwa ,uwanja wa ndege wa kisasa ,msiongee huko ,jiji ambalo anatakiwa kuliangalia Kwa macho mawili ni Tanga
Vipi Kigoma?! 😅😅😅
Tujengeene flyover Morroco square apa jion na asubuh kuna folen sana
CAN WE HAVE THIS BRIDGE AS BEAUTIFUL AS TANZANITE BRIDGE?? LET’S FORM A HABIT OF BUILDING UNIQUE AND ORIGINAL STRUCTURES AND AFRIKANISING THEM!! WE DON’T NEED ANOTHER BORING BOG STANDARD BRIDGE PLEASE & THANK YOU!!
Na wewe uwache kuandika kingereza uandike kiswahili lugha yetu ya kiafrika adhimu
@@abuubilal2646 *Kiingereza!
Na wewe ujifunze kingereza luga ya dunia😅@@abuubilal2646
Serikali yetu ongereni sana ila ongezeni barabara ziwe tatu kwenda tatu kurudi na mwendo kasi kwenda moja kurudi moja Kwa maono ya miaka ijayo
Ushauri wangu!
Mana Samia tunakupa 10 tena ili kazi iendelee, safi sana.
Finally we go...am so proud of this project
Jengeni madaraja yanayovutia ili yapendezeshe jiji pia, yawe kivutio kwa utalii mafano Tanzanite bridge
Haya Mambo alikuwa anaweza Magufuli na Mfugale tu,hawa wababaishaji
Huna akili@@njemamehuna9821
Pale Tanzanite unavutiwa na nin haswa mbona daraja la kawaida tu
mzinga ipo kitunda au mm ndo soo muelewa
Unatoa kodi asilimia zaidi ya 18?😅
Asante Mama, ila njia zingekuwa angalau tatu kwenda na tatu za kurudi, na mbali ya mwendo kasi angalau iweyane na mzunguko wa magari mengi hapa Mjini
Ushauri wako ni mzuri sana
Gari unalo?
Njia mbili hazitoshi kiongozi angalau njia nne kila upande
Weee vzr mbona Arusha Amna mrad wowote mnao tangaza miaka kumi Sasa akuna mnachofanya huku mnakusanya Kodi zetu mnapeleka dar na Dodoma ni nchi nyingine sio 😢😢😢 Sasa
si kuna uwanja wa samia au
Kuna uwanja na Randlover festival
Mmmmh
C wanakarabati uwanja wa ndege na kujenga uwanja wa Mpira wa Afcon kwani ww upo wapi
Uko si mna Landrover festival 😊😅
@@Kabwela776 acheni upumbavu nyie
Can you elaborate how 4 Rs are correspondingly in building bridges!!!
I thought is government responsibility 🤔
- Nyerere built roads and bridges
- Mkapa built Stadium, bridges, roads
- JMK , JPM built roads and roads
So all this time 4Rs were long time implemented 👏🏾👏🏾👏🏾😅
Hii itakuwa nzuri sana ,mama Samia anajenga sana Mimi binafsi navutiwa sana na utendaji wake wa kazi , hatumii nguvu nyingi ila maendeleo yanaonekana ,piga kazi mama ,Mungu akulinde upeleke nchi yetu kwenye uchumi wa Kati wa Kati au wa juu
Kwa nn jangwani musiweke barabara ya njia angalau nne kutoka na nne kuingia pamoja zile mbili za BRT
Hela unayo, we shukuru hata hzo ,zingekuw nne ungetaka Tena sita upande mmoja ili ufanane na Dubai na mawazo yako
Wazo zuri kufikiria miaka 30 mbele badala ya 5 au 10 mbele na bila kusahau Jiji linakua siku Hadi siku@@agapemunyi2095
Hiyo ndio shida ya serikal yetu Huwa tunaangalia leo, hatufikirii miaka 20 mbele itakuaje, wangeweka hata njia nane au sita kwa watumiaji wa kawaida kama akiba, ili hata kama uko mbeleni kukihitajika upanuzi wa bara bara inakuwa rahic tu, sababu ili jiji letu ni kubwa sana kila siku watu wananunua magar , hizo njia mbil mbil tunazojenga mwisho wa siku barabara zinazidiwa ndani ya mwaka mmoja tu, halaf wazir anakuja kusema gar za kiraia niruhusiwe kupita kwenye mwendo kasi, sababu tunajenga barabara nyembamba kwenye jiji kubwa sasa hapo inategemea nin.?
Njia mbili kwenda mbili kurudi looh hii nchi sijui huwa tunafikiria nini aaah hapo mjiandae kwa foleni tu, ilibidi mjenge njia nne kwenda nne kurudi au at least tatu kila upande daah Tanzania yangu
Mtihani kweli yani
Uchanguzi unakaribia
@@TikiMsangi chuki zisizo na msingi kila kitu kukosoa adi unakosea kuandika
😢😢😢 mnakosoa kila kituuuuuuu duhhhh
Mbona Hanna jema
Ptuuuuuuuuuu
Hawa wanaokosoa kila kitu huwa wanalipa kodi shingapi serikalini?
Kwa Nini mnasema ela ya mama Samia sio ela yake ela za watanzania walipa kodii
Apo kuusu daraja la mzinga Kama lijengwa kweli wat wa mbagala atutafurahi Sana
Yaani hapo mmeupiga mwingi safi sana
Kumbukeni pia barabara za mwanza,hasa hasa ya kenyatta na Nyerere
Arusha oeeee mmekaaa kimia pochi y bibi umefunguliwa
Nadhani barabara nne zingeleta tija zaidi
Wonderful country
Wekeni vipaumbele tuu hivi vitu vinawezekana bwana., mbona Daraja la Tanzanite billion 200 iliwezekana..?
Kwa michoro ni nzuri ila uhalisia sasa
Barabara ya King'ong'o mbona haijengwi
Very good
Hapo mzinga daraja la mbagala sio pale Yani ni kubaya sana na ajali ni nyingi watu wanakufa Kila wiki kwasababu barabara ni nyembamba na pia gari ikiharibika hakuna service road mpaka upite kigamboni utokee kongowe kiukweli inaumiza sana. Tanroad mtusaidie maana kuanzia mwandege,vikindu na kisemvule saivi Ina watu wengi wamejenga na viwanda ni vingi sana kwaiyo matumizi ya barabara ni mkubwa...tuwaombe serikali na Tanroad japo IPO kwenye mkakati wa kujengwa ulitekeleze kwa haraka maana wananchi wanaumia na kufa sana hapo daraja la mzinga.
Hapo safi
Walau njia tatu achen kubana pesa ni heri tuumie mara moja lakn kazi ikatimie
Hongera sana
Tumalizieni njiaa yetu ya Pangani jamani
Kigamboni kibada fanyenyi kabla ya masika watu wanaumia sana tunaimani na serekali yetu pendwa
Tanzania we're coming
safi sana
Nguva aiko mikadi iko karibu na dege
Viongozi wa Tanzania mtaacha Uchawa lini samia ana pochi tangu lini kodi zetu ndizo zinaitwa pochi la Mama kwahiyo kodi za Watanzania ni za Samia ndio maana mnazichota mnavyotaka kumbe pesa zote ni za Samia sasa niwashauri msiiite BANK OF TANZANIA iteeni BANK OF SAMIA ( BOSA)
Ungekutana na viongozi mafisadi ndo ungejua kuwa pochi la mama limefunguka..... hali pesa za watanzania
Hapa Samia atakuwa ameupiga mwingi. Kwa mara ya kwanza nitajilazimisha kumpenda sasa
kwani lazima umpende wewe
Maandalizi ya uchaguzi 2025
TABATA KIMANGA MNGETUPATIA HATA MIL 2OO ILI KUJEGA VIDARAJA VYA KUUNGANISHA TABATA KIMANGA NA TABATA CHANG'OMBE.........TABATA KIMANGA INAONGOZA KUWA NA BARABARA MBOVU NA IPO KARIBU SANA NA CITY CENTRE..... SIJUI TUMEROGWA NA NANIIII AISEEEE
Wala hamjalogwa.ila barabara zenu ni shidda. Yaani makorongo mengi.
Miaka zaidi ya 50 sasa ahadi inatolewa wabunge kugeuza ndio mtaji wa kupatia posho zao bungeni nafikiri haina haja ya kutangaza tena fanyeni tu vitendo watu waone tu daraja lipo
Hizo 4R niza kuuwa waumiza wqtz
Hapo panayakiwa fray over na sio jangwani
Jembe la kweli kweli lipo peponi limepumzika kwenye kiti cha enzi.
Kbca lingetia njia nne nne
Wakati wa mradi wa mwanzo mwendo Kasi mlishauriwa kuhusu jangwani kutengeneza daraja Leo tuna vunja Tena bara bara ya zege
Waziri amesema B94 we umeandika B97
M'me sahau barabara ya kitunda mpaka kivule hospital ad msongola
Kilasiku tusikia daa ujenzi Barbara huku namtutumbo kutoka mtwala nalasi Toka uhuru balabalb shida hiyo pochi yamama huko tu
Nimesikiliza kwamakini sijasikia daraja lamagolekujengwa tumedanganywa miakayote ndiokusema katayetu haiyangaliwai kabisaa wanajifanyawanakuja nawaandishi kumbeuongo mtupu tukutane kwenyeuchaguzi
njia mbili hapo hazitoshi , baada ya kumaliza zahma itazidi hapo ,lazma tuangalie miaka 10 mbele baada ya ujenzi atleast
Haiwezi kani mtu jengee hospital kubwa kama île bila balabala hii soo haki
Safi 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🫡
Mikoa mingi barabara mbovu mnang'ang'a Dar
MashaAllah!!!
Chanika na ss tunataka barabara
Hivi kwa nini Kimara hadi Kibaha hadi Chalinze isijengwe njia nne kwenda na njia nne kurudi hilo eneo ikitokea ajali watu mnalala njiani
Uchaguzi unakaribia, tifua tifua zinaanza sasa
Arusha panueni barabara na za mitaani wekeni lami ipo siku mtajua mnachofanya chakuifuta Arusha kwenye miundo mbinu s kizury
Wapeni wazawa kandarasi wajenge uwezo wa ndani.
Vp TANROAD ahadi yenu ya jiji la Arusha kuhusu barabara ya sokoine road kuanzia soko la kilombero hadi uwanja wa ndege kisongo kwa kiwango cha fourway,mlisema mnaanza mwezi wa 6 mpaka sasa kimya,ujenzi wa uwanja wa Afcon unaendelea ukikamilika hamuoni itakuwa ni aibu kwakuwa barabara za arusha ni nyembamba na zina sababisha foleni kubwa sana masaa yote,tanroad naomba mjipange kwa hilo mjue hili ni jiji la kitalii
Wache kuzingua Arusha aissee
Njia nne itakuwa poa.fikilieni miaka 20 ijayo Dar inakuwa kila kukicha
Mbona kamshika kama dem
Izo njia mbili mbili zitasaidia nini zaidi ya kuleta shida 10 yrs zijazo
Huo ni mda wa kwenye mkataba wenu wanasiasa unakamilika lini ?
CCCC HUYU ATAWEZA KWELII? TUNGEPATA WA AAAA
Onyooo : kama sirkali Aja tujengea hii Bara Bara ya kitunda ad m'songola basi atuta wapigia kula
barabara yamzingi niipi magore au mwana gati?
Kwa Nini serikali haiongelei Barbara ya walipa Kodi wa bonyokwa?
Bonyokwa ni tanzania??
Sijasikia manispaa ya ubungo barabara na madaraja tuko nyuma sana .
HATA HAWAONI BARABARA YA MBEZI ALIOJENGA JPM, HAWA WATU SIJUI WANAFIKIRIA NINI, WEKA NJIA NNE FOR 100 YEARS
Kila siku maneno tu....
Hufatilii hatua
Chadema huo
Kwani iyo pesa ya Samia au pesa yetu acha ukuma wewe
Daraja la Njia 4 Karne hii ni Upuuzi maana Mji Unazidi kukua Yaani bado tupo kwenye Njia 4 kweli!!
Kwanini tusiende na Wakati mambo ya njia 4 yalipaswa kuwe kwenye Miji kama Tabora Kigoma, Iringa nk , na sio Dar.
Njia sita plus mwendokasi
Siasa peleka mbeya
Huo ndio ukweli, jiji kama la Dar na hizi njia kuu kama kweli tuna nianya dhati ya kupunguza foleni bac inatakiwa kwenye barabara za kawaida ukitoa mwendo kasi zinatakiwa ziwe nne au tatu kwenda na kurudi sababu uko ndiko yanako pita magari mengi, lakin kwa hizi njia mbil mbil tunazo ziweka , ni kama tunajenga kile tulicho kibomoa utofauti ni mwendo kasi tu kati bac, ili jiji linakuwa sana kila kukicha serikal inatakiwa Ione ulazima wa kujenga barabara pana hasa kwenye hizi njia kuu mfano morogoro road, kilwa, Nyerere, kawawa, Mandela, mwinyi na zinginevyo, la sivyo tutakuwa tunajenga kila siku barabara kama tunavyopanua tena morogoro road, ubungo to kimara.
✊🏿🇹🇿
Mara Billion 97.1 Mara Billion 94.1 ipi tushike apo iliyokua sahihi mbona ubabaishaji ni mwingi.
Subiri daraja
Chadema kila kitu siasa,wanajema daraja ww chadema utapita
Ukiona hivo ujue izo 3 zinazokatishwa katishwa zimeshaanza kupunguzwa😂
This people they don't nkow dareslam is growing they shold be 4 way in each side not 2 thas why I don't like those leder
Tunaviongozi Wasio waza yakesho wapo Karne ya 18
Tunaviongozi Wasio waza yakesho wapo Karne ya 18
Daraja liwe na nia nane?
Mtazamo vs uhalisia(utaalam)
6 lanes plus BRT
Kinondoni tunaomba mtujengee barabara za Haille Selasi, Kinondoni na kimweri. Hizi barabara muhimu Sana ni sura ya jiji kwa wageni na viongozi
Sawa tumekusikia tutalifanyia Kazi Asante sana