Bongo Star Search 2019 | Ep 8 Top 10 Full Show

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 1.5K

  • @manofreality3656
    @manofreality3656 4 ปีที่แล้ว +39

    frm kenya apa ivi...meshack ndio mshindi wa mwaka huu..watch it...ikiwa wakubaliana na mm gonga like..

  • @mysteriousazou7979
    @mysteriousazou7979 4 ปีที่แล้ว +53

    Meshack, leonard and patrick 😍😍😍😍😍😍😍😍 thz guys on fleek. Master J yuko right nampndaaa sna coz he is truthful..

  • @jumanatv417
    @jumanatv417 4 ปีที่แล้ว +136

    Mbona Kama meshack ameshashinda.... Naomba nione likes za meshack hapa tafadhali.... Let's spread love.

    • @hawasaid484
      @hawasaid484 4 ปีที่แล้ว

      sasa like zitakusaidia nn😥😥😥😥kapige kura acha kelel

    • @gabrielmsabira2652
      @gabrielmsabira2652 4 ปีที่แล้ว

      Wampe meshacki ushindi wake wanamchelewesha

  • @angelakhaday6000
    @angelakhaday6000 4 ปีที่แล้ว +129

    Meshack naamini we we ndo mshindi ,kijana mpole ,mwenye heshima, talented Mungu akusaidie katika maisha yako nakukubali mpk najionea wivu .Bss 13,, MESHACK FUKUTA

    • @YoungVee994
      @YoungVee994 4 ปีที่แล้ว

      Angela Khaday kweli sana mtulivu

  • @djpatruick
    @djpatruick 4 ปีที่แล้ว +13

    Daah.! Meshack kiboko bora huyu wimbo awupewe tu maana kautendeya haki sana alafu anasauti yakipeke love from Burundi 🇧🇮

  • @sprinklesoflife-u3s
    @sprinklesoflife-u3s 4 ปีที่แล้ว +57

    Meshack all the waaaayyy♥️♥️♥️♥️mapenzi yakufikie toka Kenya 💟

  • @priscamlyuka5531
    @priscamlyuka5531 4 ปีที่แล้ว +71

    Wa pili kukoment dah nilimiss sana hii kituuu daaah wadau kam unapenda bss gonga likeee tusongeee

    • @immaculatesotta1617
      @immaculatesotta1617 4 ปีที่แล้ว

      Nicheki watsap my 0625780941

    • @startimestz2503
      @startimestz2503 4 ปีที่แล้ว +1

      Waeza tazama sasa episode mpya ya Bongo star search kupitia App ya Star Times on bonyeza link hii kupakua pjq57.app.goo.gl/MYEJ

    • @priscamlyuka5531
      @priscamlyuka5531 4 ปีที่แล้ว

      @@immaculatesotta1617 ok

    • @priscamlyuka5531
      @priscamlyuka5531 4 ปีที่แล้ว

      @@startimestz2503 thanks

  • @justinemahuba7381
    @justinemahuba7381 4 ปีที่แล้ว +119

    Kama unaamin master j ndojaji msema kwel hapendelei gonga lik

    • @brilliantjohny9769
      @brilliantjohny9769 4 ปีที่แล้ว

      Meshack balaa n hatar na ndo mshind wa BSS

    • @japhetkavishe2347
      @japhetkavishe2347 4 ปีที่แล้ว

      Jaji hapo ni mmoja wengine wanajua kusifia tu

  • @Roncita-c5k
    @Roncita-c5k 4 ปีที่แล้ว +132

    Meshack am your big fan from Europe you killed it dude

    • @mysteriousazou7979
      @mysteriousazou7979 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂 dah yani u ar realy funny afu nd from europe

    • @desarolinte502
      @desarolinte502 4 ปีที่แล้ว +1

      @@mysteriousazou7979 😂😂i was wondering that too

    • @millisseintbarraza6829
      @millisseintbarraza6829 4 ปีที่แล้ว +1

      Rip English
      😂😂😂

    • @Roncita-c5k
      @Roncita-c5k 4 ปีที่แล้ว

      @@mysteriousazou7979 so what's the big deal here?

    • @Roncita-c5k
      @Roncita-c5k 4 ปีที่แล้ว

      @@desarolinte502 seems like u all here think watu wote are from tz

  • @NonoNono-qp3zu
    @NonoNono-qp3zu 4 ปีที่แล้ว +24

    Msiwe mnatucheleweshea wa online jmn sio mpaka tuingie vichochoroni huko kuperuziii tunapata taabu🤗🤗

  • @florencekaranja8736
    @florencekaranja8736 4 ปีที่แล้ว +23

    woow i hve been waiting for this upload mm mm am happy now , meshack waa ur my winner

  • @victoriammasy6825
    @victoriammasy6825 4 ปีที่แล้ว +22

    Who else drop tears when Meshack was performing 😭😭 its very emotional to make anyone cry.
    You deserve the crown Meshack

  • @alltheupdates3140
    @alltheupdates3140 4 ปีที่แล้ว +13

    i love meshack big up and good luck

  • @spaice995
    @spaice995 4 ปีที่แล้ว +95

    Meshack he's something else..... Master j na lady j I like the comments on hamis ukwel uwekwe wazi tu

    • @deboramushi8471
      @deboramushi8471 4 ปีที่แล้ว

      hamisi hamna kitu muleeee wamrudishe paul tu jamani wamtoe hamisi

    • @fahimally3923
      @fahimally3923 4 ปีที่แล้ว

      mbn naona kama wanarudia miziki au masikio yangu

    • @Lameckizm
      @Lameckizm 4 ปีที่แล้ว

      Kwel kuna wale jamaa wawili walokuw wanatumia gitaa yule Ebenezer na mwenzake n wakal kuliko Hamis asee

  • @aishayahya7687
    @aishayahya7687 4 ปีที่แล้ว +32

    Meshack anaimba kwa hisia sana love broo

  • @janethlyimo8045
    @janethlyimo8045 4 ปีที่แล้ว

    Thank you sarah

  • @Lameckizm
    @Lameckizm 4 ปีที่แล้ว +27

    Meshack your so gooooooood in singing meeeeen....keep it up ilov u

  • @kaswagatv4166
    @kaswagatv4166 4 ปีที่แล้ว +140

    Home boy meshack upo vzr sana
    Green city
    Vote
    BSS,13

    • @abburakkaan5694
      @abburakkaan5694 4 ปีที่แล้ว +2

      Mimi sina tatizo na wasaka vipaji mimi nasema majajiz hawajui kujieleza kila mmoja anajionesha kwamaneno matamu zaidi ya mwenzake sio wako hapo kukosoa makosa au kusifia mazuri, nitamnukuu mmoja wao kwa kusema hawezi kuwaakataa wanawake hayo sio maneno ya jajiz bado majajiz mnatakiwa elimu zaidi kwenye kutambua makosa na kuyaona mazuri mnaonekana mnaigana tu. AHSANTE

    • @kaswagatv4166
      @kaswagatv4166 4 ปีที่แล้ว +1

      Tariq Ahmed upo sahihi kabisa

    • @officer1208
      @officer1208 4 ปีที่แล้ว

      Nipe utaratibu mzuri wa kumpigia kura huyu MESHACK,jamaa anajua sana huyu nataka nipige kura hata mara 1000,000

    • @kaswagatv4166
      @kaswagatv4166 4 ปีที่แล้ว

      Cas jal andika BSS 13 tuma kwenda 15670

    • @startimestz2503
      @startimestz2503 4 ปีที่แล้ว +2

      Mpigie kura mshiriki umpendaye kupitia Star Times on na pia waeza kuangalia Bongo star search live kupitia App ya Star Times on kwenye BSS youtube page kupitia link
      hii pjq57.app.goo.gl/MYEJ

  • @mtembezi930
    @mtembezi930 4 ปีที่แล้ว +31

    Hamisi anavebwa na wananchi tu ila ukweli kuimba hajui wanaosubiria hela ya Meshaki Fukuta ngonga like jemen

  • @olivaliston3485
    @olivaliston3485 4 ปีที่แล้ว +7

    Jaman tusiwe warahis tu kucomment kuwa meshack mkal, bas tumpe support kwa kumpigia kura bss13, ol the best bro,u killed the show

  • @aaaaaah290
    @aaaaaah290 4 ปีที่แล้ว +44

    MMH...
    MESHACK NI TATIZO SHIDA, UWEZO WA MESHACK NI ZAIDI YA KIPAJI,
    Soon Nakupigia KURA 5

  • @emmanuelandrew9941
    @emmanuelandrew9941 4 ปีที่แล้ว +20

    Me namsikiliza master j
    Master j atakachokisema ni sahihi ila majaji wengne mnawapa moyo tu

  • @thrillerblue
    @thrillerblue 4 ปีที่แล้ว +6

    Fatma forever this performance gave me goosebumps girl um a FAN

  • @mayengaemmanuel9066
    @mayengaemmanuel9066 4 ปีที่แล้ว +10

    Dah, kwa meshaki nimerudia zaidi ya ×10, meshack is talented jaman!!!

  • @issahdaless8265
    @issahdaless8265 4 ปีที่แล้ว +358

    Aliye kiludia kipande cha meshack fukuta agonge like yake hapa twende sawa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @nickherman4
    @nickherman4 4 ปีที่แล้ว +31

    Nilichogundua Master Anam- miss mchinjaji mwenzie( Salama Jabir)

    • @nassoryussuf3639
      @nassoryussuf3639 4 ปีที่แล้ว

      Hata sijainjoy hii bss. Salama Jabir ni no 1

  • @aimelynn4535
    @aimelynn4535 4 ปีที่แล้ว +24

    Leonard my second one🙌🏾🙌🏾❤️❤️👍🏾

  • @yothamshoppingcenter9945
    @yothamshoppingcenter9945 4 ปีที่แล้ว +1

    Patrick you are the Best from Zambia

  • @johnsonmaarifa3582
    @johnsonmaarifa3582 4 ปีที่แล้ว +5

    Chief Jaji Unajikuta Umesoma Sana Kwani Nani hajasoma Unazigua Sana kila mtu kasoma Kwani Ukiongea kiswahili utabadilika nn Badilika dd Acha Ushamba

    • @jacklinejames1050
      @jacklinejames1050 3 ปีที่แล้ว

      We ni mmoja kati ya washamba wakubwa mno, aliekuambia kingereza ni usomi nani?!!!

  • @icemelody352
    @icemelody352 4 ปีที่แล้ว +1

    I love misic

  • @zulfasaid9506
    @zulfasaid9506 4 ปีที่แล้ว +123

    Uyu meshack ananikumbusha wababa! Watz wanakusifia tu lkn hawakupigii kura mwisho wa siku unakosa ushindiii pigen kura

  • @barakaamini8002
    @barakaamini8002 4 ปีที่แล้ว +8

    1-Meshack
    2-Sunday
    3-Patrick
    4-Patricia
    Wa mwisho Ni Hamis hii ngoma ni ngumu haiwez

    • @tabithajohn8254
      @tabithajohn8254 2 ปีที่แล้ว

      😂😂thank you so much. Thou u forgot Frank 🥲

  • @jestinakanji8168
    @jestinakanji8168 4 ปีที่แล้ว +59

    Umeua meshack🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥ngoja nkuletee peps ya baridi

  • @fredaidan7106
    @fredaidan7106 4 ปีที่แล้ว +203

    Walio chungulia chungulia comment zinazomuhusu Meshaki gonga like hapo

  • @wavinonoclassic1274
    @wavinonoclassic1274 4 ปีที่แล้ว +120

    Frank,,,meshack hawa jamaa hawafai ni shida wanajua sana

    • @rajviry
      @rajviry 4 ปีที่แล้ว

      We unajua

    • @startimestz2503
      @startimestz2503 4 ปีที่แล้ว

      Waeza wapigia kura kupitia App ya StarTimes on na Pia kutaza live show ya Bss kwenye youtube page ya Bss kupitia link ifuatayo pjq57.app.goo.gl/MYEJ

  • @idrisarashidi7453
    @idrisarashidi7453 4 ปีที่แล้ว +2

    Very nice meshack

  • @ibrahcataryan7114
    @ibrahcataryan7114 4 ปีที่แล้ว +182

    Wangapi tumemkubali Meshak ??

    • @ummyomary3423
      @ummyomary3423 4 ปีที่แล้ว +1

      Niko apa

    • @erickjery8884
      @erickjery8884 4 ปีที่แล้ว

      Huyu jamaaa anaimba kwa hixia yaaan anajuaaaaaa xanaaa nimeangalia mara 3 narudia xichoki tu ladha inazidi

    • @mauaiddy7033
      @mauaiddy7033 4 ปีที่แล้ว

      Ïbråh Çätãryäñ yupo vzr kamzid ad mwenye wimbo wake 😂😂

  • @samuelemmanuel3400
    @samuelemmanuel3400 4 ปีที่แล้ว +14

    Meshak anajua sana dah💥🙌

  • @ochiengodhiambo2469
    @ochiengodhiambo2469 4 ปีที่แล้ว +4

    watching from Kenya.... competition iko kali sana at this stage loving every contestant

  • @remigiushamba
    @remigiushamba 4 ปีที่แล้ว

    Dah! BSS is among the best entertainers in the world. Thank you

  • @francemwanawesa5966
    @francemwanawesa5966 4 ปีที่แล้ว +40

    We meshak mungu anakuona shaur yako maana unaua mpaka so poa

  • @clemencekimati3989
    @clemencekimati3989 4 ปีที่แล้ว

    Leonard Sunday Aminia naona kazi yako njema huna masihara na unachokifanya big up.

  • @miraclemukolwe7758
    @miraclemukolwe7758 4 ปีที่แล้ว +6

    Leonard Sunday I salute you...

  • @monicawanza8779
    @monicawanza8779 4 ปีที่แล้ว +7

    Nlitamani kupepea meshack nakupenda hadi basi 👏👏👏👌❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 4 ปีที่แล้ว +54

    Meshack😍😍😍😍

  • @nadiamahmoud7310
    @nadiamahmoud7310 4 ปีที่แล้ว +3

    Meshack you did it keep it up

  • @callmesubra5472
    @callmesubra5472 4 ปีที่แล้ว +128

    Meshack si apewe tu hela zake jama 👏🏽👏🏽👏🏽

  • @khadijakhadija6212
    @khadijakhadija6212 4 ปีที่แล้ว +51

    Meshack, Meshack, meshack😍😍😍

  • @beatricenoel3619
    @beatricenoel3619 4 ปีที่แล้ว +8

    meshack is something else, pure talent😍😍

  • @dittolytotz4285
    @dittolytotz4285 4 ปีที่แล้ว +99

    Ila wa TH-cam mnatusahau sana
    Kama unakubaliana n mm gong like

    • @dittolytotz4285
      @dittolytotz4285 4 ปีที่แล้ว

      App ninayo lakini mngeturuhusu kudownload ili tuwe tunaenjoy mapema make TH-cam wanachelewa kutuma n ombi langu naomba lifanyiwe kazi

  • @winniebernardx2953
    @winniebernardx2953 4 ปีที่แล้ว +8

    This meshac dude, I just love the way he performed 😄😄

  • @siwemasalehe192
    @siwemasalehe192 4 ปีที่แล้ว +1

    Who still watching 2.2.2020

  • @Roncita-c5k
    @Roncita-c5k 4 ปีที่แล้ว +7

    Fatma your on another level gal keep it up

  • @abbasmohamed5066
    @abbasmohamed5066 4 ปีที่แล้ว +2

    MAster J,I appreciate you brother!......kwa mara ya kwanza sasa nmekuelewa.

  • @oneclick2023
    @oneclick2023 4 ปีที่แล้ว +438

    Team meshack mko wapi??🙃 Kura yako muhimu.

  • @diplomavoice2580
    @diplomavoice2580 4 ปีที่แล้ว +1

    Nomaaa xanaa

  • @khalidshabani7600
    @khalidshabani7600 4 ปีที่แล้ว +114

    Naamini hata washiriki wengine n mashabiki wa Meshack...

    • @uncleelly4543
      @uncleelly4543 4 ปีที่แล้ว

      Kweliii brooo😂😂😂😂😂🏃🏃

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

  • @haggymeee530
    @haggymeee530 4 ปีที่แล้ว

    Paul Richard....unapendezea kuimba American songs...you have a great voice...I think you suit to be in AGT awards...😍

  • @justinjoshua1059
    @justinjoshua1059 4 ปีที่แล้ว +41

    meshack oyoooooh💃💃💃💪❤

  • @ally4really435
    @ally4really435 4 ปีที่แล้ว +1

    meshack u kill it bro am ur fanc from Dubai

  • @maxwellwilliam1663
    @maxwellwilliam1663 4 ปีที่แล้ว +191

    Jaman wanaosema GOLDEN BUZZER kwa Meshack tujuane,,, hakika ningekuepo bro dahhhh

  • @peninagreen2668
    @peninagreen2668 4 ปีที่แล้ว

    Yani this guy Frank I played his part 100 time ni kama chai kila siku yani Meshack yupo vizuri but this guy is another level salute from Italy

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 4 ปีที่แล้ว +47

    Mesheck is very talented Jamaa ni noma Sana

  • @OmanOman-gc1zu
    @OmanOman-gc1zu 4 ปีที่แล้ว

    wat wengi wanavipaj vya kutosha lkn meshack kapitiliza.. kaka anajua kuimba tena kwa hisia kali... si kinyumbn au kwingin yup vizr.. 👍🏼👍🏼ningekuw napig kul yangu ungechukua bil kinyongo.. lkn hat sijui wanapigaj kul.. ongela meshack nakutakia juhud njema🌹🌹🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @veronicagershomu484
    @veronicagershomu484 4 ปีที่แล้ว +51

    Meshack from mbeya fukuta nipo nawewe mwanzo mwisho nasubiri ubebe uo ushind

    • @frankmwafifi6712
      @frankmwafifi6712 4 ปีที่แล้ว +1

      From uyole piga kula nyingi kwa meshack

  • @mbalarimbaralitv2920
    @mbalarimbaralitv2920 4 ปีที่แล้ว +87

    Meshaki God knows how do be tolerant boy u will win

  • @mamualy1842
    @mamualy1842 4 ปีที่แล้ว +16

    sijui msaniii wangu hamis kaimbaa kituuu ganiiii....nilikuwa naona salakas tuuu khaaaa....yaaan sielew

  • @brightnesskisaka3699
    @brightnesskisaka3699 4 ปีที่แล้ว

    frank am ur fan lots of love

  • @sheilanambala4380
    @sheilanambala4380 4 ปีที่แล้ว +8

    Yani meshark ameimba mpaka madam na j.dee wamecheers..keep up meshark

  • @emmanuelandrew9941
    @emmanuelandrew9941 4 ปีที่แล้ว

    Hamisi hakna kitu ulifanya vizur mwanzo tu, labda wakurudishie gitaa
    Kama unaamin jaji ni mmoja tu master j nipe like za kutoshaaaaaaa

  • @victoriam9324
    @victoriam9324 4 ปีที่แล้ว +10

    Meshack jomoniii😍😍😍dis guy sings with all emotions ooh. He’s got characteristic device 😁😁😁

  • @fredjumanne2369
    @fredjumanne2369 4 ปีที่แล้ว +1

    Creativity is employment......my appreciation to you all!🥰🥰

  • @priscamlyuka5531
    @priscamlyuka5531 4 ปีที่แล้ว +86

    Meshack wanguuu oyeee mpka nafeel 😭😭😭😭😭😭😭

  • @vicentmassawe4962
    @vicentmassawe4962 4 ปีที่แล้ว +1

    Meshark ur the best since the first day.... Nakukubalii sanaaa from south Africa

  • @veronicadaniel1122
    @veronicadaniel1122 4 ปีที่แล้ว +51

    Majaji kazi mnayo ila meshack na frank nifireeeeee ndo the best

  • @elizabethvictor3057
    @elizabethvictor3057 4 ปีที่แล้ว

    Meshack njoo niimbie kwangu sauti kila kitu it's good

  • @abrahambryson4744
    @abrahambryson4744 4 ปีที่แล้ว +4

    For future performances BSS needs to improve on Backup vocals sauti zao zinapwaya sana. But so far it is an exclusive show Big up Madam Rita, and your team.💥

  • @alltheupdates3140
    @alltheupdates3140 4 ปีที่แล้ว

    she is the best

  • @mauaiddy7033
    @mauaiddy7033 4 ปีที่แล้ว +152

    Nami kilichonileta hapa ni kiherehere 😂😂😂😂 naomba like kwa uoga

  • @syfros2218
    @syfros2218 4 ปีที่แล้ว +1

    You are the best bro Frank Chalres ....

  • @praxedadominic9864
    @praxedadominic9864 4 ปีที่แล้ว +24

    Meshack ni 🔥

  • @budahsports9936
    @budahsports9936 4 ปีที่แล้ว

    Yes

  • @salhadaud7909
    @salhadaud7909 4 ปีที่แล้ว +6

    Meshack my favorite boy nakupenda jmn mpak nimelia

  • @janetsikubali1197
    @janetsikubali1197 3 ปีที่แล้ว

    Meshack your something else 🥰😘🙏🏼

  • @franspaul8787
    @franspaul8787 4 ปีที่แล้ว +22

    Wanao muelewa patrick&frank jaman gonga like

  • @Boaz22
    @Boaz22 4 ปีที่แล้ว

    Namkubali sana meshack👏🏽👏🏽👏🏽👍💯

  • @jackiejackie5170
    @jackiejackie5170 4 ปีที่แล้ว +22

    I really love meshack....he is great

  • @eliethpatrick9828
    @eliethpatrick9828 4 ปีที่แล้ว +1

    Meshack nampenda sana nakuombea ushindi gonga like kamazote jaman

  • @iddahaleluya20
    @iddahaleluya20 4 ปีที่แล้ว +37

    13,'meshack you got the power ,i love u

  • @xhedrackcayzer2728
    @xhedrackcayzer2728 4 ปีที่แล้ว +2

    Yani nimesearch kwanzia jana naiona leo, wale walisearch kwanzia Jana hadi wakapotea njia bss za mwaka juzi na Jana....!! Emu nipeni like tujuane

  • @swabrinaali5409
    @swabrinaali5409 4 ปีที่แล้ว +60

    #Team aslay👍 Dada Fatma wimbo wa likizo umeutendea haki

  • @tibaasilitz9702
    @tibaasilitz9702 4 ปีที่แล้ว

    Kiukwel hawa wote kwangu Washindi ila kwakua anahitajika mmoja hakuna namna... Vipaji vya hali ya juu sana... Hongeren Washiriki na Majaji kwa kupepua Vizur

  • @victorvancharlz9125
    @victorvancharlz9125 4 ปีที่แล้ว +12

    Meshack pale WCB we ndo replacement ya MBOSO na ukija bongo fleva we ndo replacement ya BARNABA.. Kwisha maneno.. Upo vizuri

  • @PeterMloha
    @PeterMloha 4 ปีที่แล้ว +2

    My top three
    1.Meshack
    2.Frank
    3.Leonard Sunday
    Patrick uko fresh, piga zoezi tafuta zaidi materials
    .Fatma Msafiri (feel what you sing, jifunze ku-stick kwenye note unayoimba, sauti jifunze isiwe kali sana)
    Patricia unaweza sana tu, BSS ikiisha Rudi gosple
    . Hamis una kitu, ( ila uimbaji wako ni wa aina moja tu, nothing new from you, leo ulikua unalia sijui, am sorry watanzania)
    Paul Richard wewe mkali sana (jifunze style nyingi za uimbaji, zile country zimekuharibu, utakosa soko bongo
    Mkongo man, baba unatishaaaaaaaa daaah, convince them unaweza fanya kitu ingine zaidi ya hizo style za kikongo, kwenye haya mashindano haya usirudie hii kitu uliofanya, huku ni kuimba kuimba tu, vocal bablai
    Kiherehere kimeniandikisha

    • @irenemorice4729
      @irenemorice4729 4 ปีที่แล้ว

      Kweli una kiherehere 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @irenemorice4729
      @irenemorice4729 4 ปีที่แล้ว

      Kweli unakipele 😂😂😂😂😂😂

    • @PeterMloha
      @PeterMloha 4 ปีที่แล้ว +1

      @@irenemorice4729 😂😂 afu kinawasha, tusaidiane kukuna😂😂

    • @irenemorice4729
      @irenemorice4729 4 ปีที่แล้ว

      @@PeterMloha toka uko I wish ww ndo uwe salama jabir tusingepata mshind 😂😂😂😂😂

  • @accountingtaxhome7461
    @accountingtaxhome7461 4 ปีที่แล้ว +38

    Meshack unajua kaka

  • @tunudotto2666
    @tunudotto2666 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakuombea dua leonard utafk mbali my broo never give up love u

  • @dobidotz3696
    @dobidotz3696 4 ปีที่แล้ว +16

    Team meshack tutambuane, gonga like tufahamiane, sina mashaka na yajayo, lazima yafurahishe.

  • @chiefkaitaba.m.9466
    @chiefkaitaba.m.9466 4 ปีที่แล้ว +23

    Japo nampenda Hamis hila #Meshack we nyoko kudadeki

  • @zaliali9412
    @zaliali9412 4 ปีที่แล้ว +1

    Yani uyu mwaka 2019 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥wote wana jua jmn 😍😍😍😍

  • @kiulajohn4815
    @kiulajohn4815 4 ปีที่แล้ว +11

    Meshack is my number one on BSS 2019