Hongera sana babu kwa kumfundisha Hamis wewe ndiye umemfanya afike hapo alipo.Napenda kukuomba Hamis siku ukiibuka mshindi wa milioni hamsini usimsahau babu huyu.Nazidi kukuombea kwa Mungu ushinde.
Aise huyo mwalimu mukalli kweli kweli, mimi pekee na mukubali sana, Allah amuzididhiye, pia kaka aliye hipa na mukubali sana, na wewe pia hikiwa umehelewa gonga like yako hapo tukujuwe.
Mzee Sio lazima kila mwanamuziki ajue kupiga chombo. Wengine wamebarikiwa sauti na hawawezi kupiga vyombo. Wengine wanapiga vyombo lakini sauti hamna. Kwa hiyo mzee unakosea unaposema wamebarikiwa na mihela lakini hawajui kupiga vyombo. Kutenegeneza muziki it needs a combination of many talents.
Huo ni mfano hai kuwa tuna hadhina kubwa ya watu wenye vipaji lakini tunawadharau na kuwakatisha tamaa na tunakimbilia kuiga mambo ya Ulaya na kusahau ya wahenga wetu. Kipaji Cha Hamisi kimeibuliwa na huyu mzee na nyimbo za Hamisi na mashairi yake yamejaa uafrika wetu na ni burudisho na mafundidho yanayohusa Kila Rika. Mpeni maua yake Hamisi na Babu yake. Basi gongeni maua yao yya LIKE hapa.
Kweli mzee unajua music, hao wote ulowataja ni musician.sio hao wanaoenda studio kukuta music ushatengenezwa wanaingiza sauti hata timing ya beat hawana
Wale wanopenda hamisi ashinde bss gonga like
Hongera Mzee koba mwalimu wa Hamis wa bss akifanikiwa umefanikiwa pia,.
Kama na wewe umesikia kuwa mzee Ana kiswahili Fasaha Nipe Llke Yako hapa
Hongera sana babu kwa kumfundisha Hamis wewe ndiye umemfanya afike hapo alipo.Napenda kukuomba Hamis siku ukiibuka mshindi wa milioni hamsini usimsahau babu huyu.Nazidi kukuombea kwa Mungu ushinde.
Elizabeth Mwandu th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
Kama unamkubali hamisi gonga like hapa twende sawa
mchoraji tz th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
dogo anjuwa
Ako naona mwalimu vyenye anajieleza sawa like Kenya ako pamoja nayeye na bss tz
Mzee yuko vizuri, Mungu amsaidie Hamis ashinde, tumpigie kura jamani.
Oyaaaaaeeeee raha sanaaa kama ma mambele vili ebwaee kama ww ni mtazania basi usikosekane like yako hapa pamoja
Amiri Rashidi th-cam.com/video/Vyn805YBwsY/w-d-xo.html
HARMONIZE FT CHEED &GNAKO KAMUA
WATCH AND SUBSCRIBE
🔥🔥🔥🔥🙏🏽
mkolony comedy th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
Ata sisi wa Zambia tunafatilia. Naomba likes zenu kama tuko pamoja
Pamj
Good
Dah Zambia mwajua kiswahili? Hongera sana ndugu
Yoo Peter
Noamba uniandikie kwenye. Email account jesusachille@gmail.com thank you
Zambia hongera ndugu yetu Kwa Kiswahili kizuri
Aise huyo mwalimu mukalli kweli kweli, mimi pekee na mukubali sana, Allah amuzididhiye, pia kaka aliye hipa na mukubali sana, na wewe pia hikiwa umehelewa gonga like yako hapo tukujuwe.
zawadi Omary th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
@@Zanzibar_quiztv why
Mimi ni mchina kama umependa huyo mzee alivyo hongea kwa kingereza nipe like
MCHINA WAPI WEWE??? WAKATI NI MPOGORO WA MALINYI ULANGA😂😂😂
Yeah twenzetu mpaka kigamboni tukajifunze gitaa kwa babu gonga like twenzetu
Twenzetuu
Deodatus Venanth th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
Nouma mama tutatisha
NIPO NJIANI NATOKEA 🇱🇷 NAKUJA KWA KUTEMBEA KWA MIGUU TWENDE KIGAMBONINO KWA BABU KHAMISI TUJAJIFUNZEEEEEE💃🕺
Hongera sanaaaa Hamis huyu mzee usimsahau ,Pamoja na Mungu.
KABISA ILA BINADAMU WENGINE HUSAHAU HARAKA NAKUPATA MARAFIKI WENGINE
Mapenzi_ Tz th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
WANAOKUBAL MZEE KM HUYU NDO AKUEPO BASATA qonqa like!
Waliokuwa wanatamani kumuona mwalimu wa Khamis tujuane hapa. 😂😂😂😂
NIMEGUNDUA SASA MADARASA YA MIZIKI PIA NI DILI UNAWEZA IBUA KIPAJI NAWEWE KIKAKUIBUA NA KUKUPA UMAARUFU NA KUKUFUNGULIA NJIA MOJA AU NYINGINE
Anna Chales th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
Nataka kuwa mwanafunzi wa mwalimu hamis nakuja na mwanangu wa kwanza mtupatie namba yake
hongera tichar
Kama Umegundaa Mwalimu wake Khamic ni Mbondei ebu gonga like
Wanaotaka Hamis apewe collabo na msanii mmoja mkubwa wa Tanzania , twende sawa hapa
from Hongkong, kiswahl inasumbua gongea like!!
Kama umetoka 254 like mingi sana
Me nimetoka 255
Joseph Mollel th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
Nime Like Bandugu na mimi Leo nawaomba Like zenu na Zikiwa nyingi Munielekeze Sehemu zinapouzwa Nikapige Noti Maana mmmh hali Ngumu !
Mungu akubariki babu kwaajili yakujitolea na kufunza wenzangu wenyewe vipaji
bila kusahahu like ya mbosso
Mzee mkali saana
Kweli
Kwa english pia mkali
Massud Biz th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
Kwel jaman huyu baba nimkali sna jamani mkubwa fela na baba tale huyu mzee mkali na yeye mchukueni ili muwasaidie watoto wenye vipaji
Uyu babu mungu atamlipa kwa kumpa hamisi ujuzi#hamisi is winner
Suma thedony th-cam.com/video/Vyn805YBwsY/w-d-xo.html
HARMONIZE FT CHEED &GNAKO KAMUA
WATCH AND SUBSCRIBE
🔥🔥🔥🔥🙏🏽
🇨🇬 congolese 🇨🇩 Congolais your likes 👍🏼 vous j’aimes
#hamisi #mwalimkoba
✅
👇🏼
Mzee Sio lazima kila mwanamuziki ajue kupiga chombo. Wengine wamebarikiwa sauti na hawawezi kupiga vyombo. Wengine wanapiga vyombo lakini sauti hamna. Kwa hiyo mzee unakosea unaposema wamebarikiwa na mihela lakini hawajui kupiga vyombo. Kutenegeneza muziki it needs a combination of many talents.
hakika Tz tuna vipaji haswa .so attractive 🙆♀️👏
Huyu mtangazaji nakaa nae karibu naye jilani yangu, nayeye mpeni like zake hapa
Mbugo Kilonda th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
😅😅😅😉
Mtangazaji uko vizuri sana
gasper mwaisemba th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
nimemuona mwalim roho imetulia
Prince hance Sam th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
Kama ww upo Korea na unafatilia BSS kama mm gonga like 2juane
korea ya wapi
Salim Mohamed kusini
😂😂😂😂korea ya kigamboni
Hawa Said korea ya kusini
Kama umemuona mwalimu wa hamis kafanana na oliver mtukuzi gonga hapa
Mazee mungu atakulipa kwa kusaidiya vijana wako
Huo ni mfano hai kuwa tuna hadhina kubwa ya watu wenye vipaji lakini tunawadharau na kuwakatisha tamaa na tunakimbilia kuiga mambo ya Ulaya na kusahau ya wahenga wetu. Kipaji Cha Hamisi kimeibuliwa na huyu mzee na nyimbo za Hamisi na mashairi yake yamejaa uafrika wetu na ni burudisho na mafundidho yanayohusa Kila Rika. Mpeni maua yake Hamisi na Babu yake. Basi gongeni maua yao yya LIKE hapa.
nice
Yesu ni Bwana atashinda hamis
Namkubali mwalim aiseee
Hongera babu kwa kumfundisha khamis
Mungu ambariki mzee wetu kwa wema wake kwa hamisi
Justine Julius th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
Kutoka🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪 mtangazaji sauti yako mashallah
Kama umesikia despacito fresh gonga like twende
Hongera Mwalimu mungu akupe afya njema uone matunda yko
Jamn nampenda sanaa khamis namtakia mafanikio mema khamis
Ebu neelezeye!
BSS njo Kitu gani. Mungu abariki Hamissi na bakumuunga mkono
Bongo Star Search
Jésus-Achille NTAWUYAMARA th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
Mungu awe naye katika mafani kiho yake
Safii sana mzee point tupu
Godfrey Ally th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
Kaka mtangazaji iyo sauti yako mashaallah👌🔥😍
😆😆😆😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣🤣
Hongera mzee wetu
hata sisi wamarekani tunafatilia like zenu kama zote
Nimeipenda Sana
Mashaallah mungu atawasaidia lnshaallah
RUKIA Mshihiri th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
Mzee anaonekana humble sana
Namm nikubalieni mm Na hamis
mzee kweli una ladha ya music. marombosso na aslay wako sawa
Meshaq Kituku th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
Comedy from P.M.B. nishaa subscribe. cheza kwangu sasa
Upoooo vizuriiii mzeeee.
kibasa mohamedi th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
Hongera Babu hamis kakitoa
bigi mbn umechelewa kwenda BSS
Baltazary sukube th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
Hajachelewa. Yote ni mipango ya Mungu na wakati ndio huu.
Penda sana hamis hakika mungu akuwekee mkono wake
Kizaz Saana Mzee
Very true..u cant call ur self a musician if u cant play any musical instrument...
Babu uko vzur sanaa
Safi Sana babu n bigy n umesema Ukweli babu wasani wengi hawajui kutumia music instruments
Khadija Zinga th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
Mzeee uko vizur saana mungu azid kukusimamia ila hamis hamis apewe tu ushindi anajua saana
Haruni Mfaume th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
Mimi nataka sana kujifunza sana Guitar ila sina mwalimu,natamani sana nipate mwalimu.
Bella m. Vyampi th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
Tafuta
karibu naweza kukufundisha
Kama kuna anewajua wanamuziki nyami hela wawataje hapa na like za kutosha
😂😂😂😂
Wow wow this is what we call it talent big up to babu & wanafunzi
Huyu jamaa aliyepiga hio "Despasito" I salute YOU ✔️
Huyo anaitwa masudi
Huyo jamaa anaitwa masudi huyo anayepiga piano
👏👏👏👏👏despersito imeweza mbaya sanaaa
Hatariiii
daa mzee koba huyu mzee hatari sana kwenye guitar
Me gusta la espanol musica de spasito😍😍
Sauti yko mtangazaji mashaallah 😘😘😘😘
Aiseeeeer
Mzee vzr
Seleman Dickson th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
Shikamoo Babu no one like you kipaji toka moyoni
Manshaallah hamiss anakipaji allah amufanyie wwpesi yani namukubali nafatilia nikia Oman
Good Best blessed u
Nice one
Huyu mwalimu wa khamisi ni balaaaaa
Jack Emanuel th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
Mr koba kanyoosha maneno haswaaa🤗🤗🤗
Nice voice bro congrate
Mtangazaji sauti sauti sautiiii unaniua huku jaman 😍😍😛😛😛😝😝😝
Mzee nimemkubali. Sana'a tu
Hii nyumba ya mziki ina vipaji sana tafadhali nipeni namba za mzee huyu.
gabriella isack th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
The man is Too smart
Mwarabu Jr th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
Mucho pokito numero uno amigo ala tanzania gacias
Eric Hatangimana th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
Safi babu wa kigamboni
Wabongo bhana wanaweza kila kitu duh pasitopasito
Madee star th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
Wow yani nalia kwafuraha❤❤❤❤❤
😅😅😅
Nawakilisha Kenya hapa.
Wazee kma hawa ndio wakuwepo basata
Erick Zephania th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
pongezi kwa mzee
Saaaaaaafi dar 24 mna rahaaaa sanaaa
Number one
From 254 aa but uko sawa
Eunice wambui Njoroge th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
@@Zanzibar_quiztv 😃😃😃 bora mjane
ohooo haya nakuja
Kweli mzee unajua music, hao wote ulowataja ni musician.sio hao wanaoenda studio kukuta music ushatengenezwa wanaingiza sauti hata timing ya beat hawana
Mwalimu kaongea pwenty sanaa
Mudy Ally th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
Uyo mwalim noma anavijana wanatisha vibaya. We wote wangeenda bss ingekuaje
Iqram Iqram th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
Huyu mzee anabusara sana
big up
Given Moses th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
nomaa sana