MASWALI TATA YA WAKRISTO YAJIBIWA NA DR.MWALUSMBO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Je, Yesu ni Mungu? Je, Mungu Ananafsi tatu?
    Haya ni baadhi ya Maswali ambayo yamewasumbua sana wakristo wengi na kuwafanya wasiwe na Imani sahihi.
    Karibu ujifunze kupitia Majibu ya maswali haya, unaweza uliza pia kama unswali lolote na utapata Majibu.
    #drmwalusambo
    #gospelmusic
    #bibleknowledge
    #gospel
    #biblestudy
    #maswali
    #nenolamungu
    #america
    #kiswahili
    #africa
    #africanmusic
    #gospelmusic
    #mwalusambointernational
    #love

ความคิดเห็น • 12

  • @grantngonyani4728
    @grantngonyani4728 วันที่ผ่านมา +1

    Asante Baba

  • @MjumbeAgano
    @MjumbeAgano 2 หลายเดือนก่อน

    , Mungu ni mmoja hana nafsi tatu, yeye anaitwa Bwana Yesu Kristo. Nafsi ya Mungu ni Neno

  • @MarryMbilinyi-h7e
    @MarryMbilinyi-h7e 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mmoja yesu ni mwana wa Mungu na roho ni Roho ya Mungu tusichangany mamb

  • @ZephaniaMwalusambo
    @ZephaniaMwalusambo 2 หลายเดือนก่อน

    Semina nyingine imefanyika Juni, nyingine itafanyika Desemba.

  • @juliusmartin1839
    @juliusmartin1839 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mhh! Hapo kwenye Mungu Mmoja Nafsi tatu umetuchanganya....Tangu mwanzo Mungu Alisema Natufanye Mtu kwa mfano wetu....Yesu Kristo Anasema Mimi na Baba tu Umoja...Nafsi Yesu Kristo Alipokuwa Akibatizwa, Nafsi Mungu Baba Sauti yake ikasikika Huyu ni Mwanangu Mpendwa Msikieni Yeye...Yesu Kristo Anasema Naenda kwa Baba na Roho Mtakatifu Atakuja kwenu...Professor.. Mungu ni Mmoja katika Nafsi Tatu.

    • @NICKSONNGATA
      @NICKSONNGATA วันที่ผ่านมา

      Elewa kuwa Mungu so binadamu kusikika Kwa sauti kusikuchanganye.jiulize yesu akiwa mdogo Je nguvu za Mungu hazikuwepo?

  • @albert_Victor
    @albert_Victor 3 หลายเดือนก่อน

    Amina🙏

  • @ANYELWISYEGODWIN
    @ANYELWISYEGODWIN 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tar ngapi semina nyingine? Tunatamani tuhudhulie.

    • @ezekmusic2578
      @ezekmusic2578 3 หลายเดือนก่อน

      28-30 mwezi huu wa sita, Iringa

  • @deussimbeye9531
    @deussimbeye9531 3 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe baba nimekuelewa

  • @AureaKimati
    @AureaKimati 3 หลายเดือนก่อน

    E,,🙄

  • @SeifumpeliMpeli
    @SeifumpeliMpeli 2 หลายเดือนก่อน

    Pumbafu