Tumbo la chango lamtesa Riyama Ally kwa miaka 25 ‘Hili sasa linanitoa roho’ aomba msaada

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Muigizaji wa filamu nchini, Riyama Ally amelazwa hospitali kutokana na kusumbuliwa na maumivu ya tumbo la chango

ความคิดเห็น • 572

  • @saidmwinyi7062
    @saidmwinyi7062 3 ปีที่แล้ว +26

    Allahumma rabba nass mudhhabul baasa ishfiy anta shafiy laa shifau illaa shifauk shifau laa yughadir sakama laa baasa twahur amin

  • @magrethjohn4929
    @magrethjohn4929 3 ปีที่แล้ว +7

    Mungu n mwema kila wakati hakika utapona odo 🙏🙏🙏

  • @timeali726
    @timeali726 3 ปีที่แล้ว

    Ooh Pole sana Inshallah Allah atakuondolea matatizo yako na wengine walionayo awaondoshee na waliokuwa hawana awaepushie Amiina OMBA MUNGU KWA MTI UNAOITWA MVUJE UNACHUKUA MAJANI YA MVUJE UNACHEMSHA HALAFU UNAKUNYWA NI MTI MZURI KWA MAUMIVU YA TUMBO ukitumia Inshallah MUNGU atakusaidia MUNGU ndie msaidizi wakila jambo yeye ndie Muwenza wa kila kitu UKIMUANI

  • @halimashaban7038
    @halimashaban7038 3 ปีที่แล้ว +1

    Mola akupe shifaa ya haraka Dada Riyama Ally🙏Nakupenda bure❤️❤️❤️

  • @fatnahsaleh860
    @fatnahsaleh860 3 ปีที่แล้ว +9

    Allah atakupa shiffah InshaaAllah 🤲🤲🙏❤

  • @mariyammaria669
    @mariyammaria669 ปีที่แล้ว

    Pole sana daa Riyama mwenyezi Mungu akupe shifaa

  • @Linda-lr1lu
    @Linda-lr1lu 4 หลายเดือนก่อน

    Halina dawa mimi naishi Marekani mpaka nalazwa ICU na madripu wametafuta mpaka wamekoma my cousin alinipatia supu ya moto siku nilikuwa mjini mwenzangu lilinitoboa kama kisu kutembea nilishindwa wakaniburuzia restaurantiliyokuwa karibu wakaoda supu ya moto wakaniambia shangazi kunywa haraka mwenzangu ndani ya 15 minutes likaachia hivyo kwanxia siku hiyo nikilisikia tu nakimbilia kitu cha moto na haliwi kali sana.I hope hii itakupunguzia good luck🤞🤞halina dawa nimeolewa na nina watoto wanne mama yangu kaniambia ni kwamba una uzazi mwingi sasa utazaa wote waishe tumboni utaweza???

  • @shamalhabsi3563
    @shamalhabsi3563 3 ปีที่แล้ว +5

    Allah atakupa shifaa in shaa allah na huo mtihan wake utaupasi kwa uwezo wake allah na in shaa allah tunazidi kukuomba shifaa

  • @billylovebillybillylovebil8895
    @billylovebillybillylovebil8895 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah atakuponya mamy wetu😘😘😘

  • @asyahamaro7546
    @asyahamaro7546 3 ปีที่แล้ว +5

    Yaraabiii Allah akupe afuen ya haraka lv u habibty

    • @nagmajoseph2675
      @nagmajoseph2675 3 ปีที่แล้ว

      Nasma samweri polesanadada mm niritumiyanga dawa yaunga mama yangu arinipatiya kwani nirikuwa nikiingiya kwenye sikuzangu siwenzi hata kutoka njee mama yangu aripata ahida rakini arinitafutiya daw yaunaunga rakini toka 2014 sajawahi kuumwatena

  • @reshmamzava2934
    @reshmamzava2934 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana ndugu Allah atakufanyia wepesi utapona In Shaa Allah

  • @shuujuma5551
    @shuujuma5551 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana dada riama nitafute kwa namba hi hii ili uje znzber ktk dawa za kisunna Asante. Allah atakupa afwen

  • @marimabdlah8168
    @marimabdlah8168 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana daa Riyama, Allah atakupa shifaa,ss pia twakupenda kwa ya Allah

  • @imanimkwizu2723
    @imanimkwizu2723 3 ปีที่แล้ว +1

    Polee sanaa mungu akufanyie wepesi upone

  • @azizahamisi7349
    @azizahamisi7349 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana ddngu mungu akupe wepesi inshallah

  • @janepopular889
    @janepopular889 3 ปีที่แล้ว

    Daaaaaaah Jaaman Mungu akulinde mamie

  • @khadijaally304
    @khadijaally304 3 ปีที่แล้ว

    Mm natumia vidoge nashukuru mungu nimepona .

  • @maryamalhabsi4364
    @maryamalhabsi4364 3 ปีที่แล้ว +1

    Polee Sanaa. My dad 😍😍😍

  • @aminanurudini9233
    @aminanurudini9233 3 ปีที่แล้ว +3

    Wakati mmj nilichukua carrots tangawiz kitunguu saumu na asali nkatengeneza juice nkanywa lilitulia t kwa miezi5 ila ngoma ikarudi pale pale maana ni hatar pia kama unashida ya madonda ya tumbo ukinywa siku hyo jiandae kukesha aiseee

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 3 ปีที่แล้ว

      Poleni sana

  • @nnkorehemajophrey4669
    @nnkorehemajophrey4669 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana dada

  • @frorenceetoile3016
    @frorenceetoile3016 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole mamy utapona inshaallah

  • @mozuusuleiman4702
    @mozuusuleiman4702 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah amfanyie sahali ya maradhi

  • @rukeishabubakar8932
    @rukeishabubakar8932 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana dear mungu atakujali shufa na atakuvusha katika huu mthiani aminn yar rabb 🤲❤️ love you too

    • @asantekagerahamad3360
      @asantekagerahamad3360 3 ปีที่แล้ว

      Mm nilikua nayo iyo hali lakini alhamdullillahi nimetumia dw ya miti shamba ya kuchemsha allah amenifanyia wepesi mpaka sasa halija rudi tena nina takriban miaka kumi na kitu sasa lakini je nitakupataje ilinikuelekeze

  • @alistidiaalistidesgablieli7365
    @alistidiaalistidesgablieli7365 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole Sana

  • @estermemonda5762
    @estermemonda5762 ปีที่แล้ว

    Pole sana mpenzi tumia mzungwa unachuma majan yake unachemsha ukunywa asubuhi mchana na usiku glasi 1

  • @najmamuss2806
    @najmamuss2806 3 ปีที่แล้ว +1

    Ajee kwang nimpe dawa mm mwenyew nimeumwa san hilo nilihis nakufa lkn ss Alhamdulillah naendelea vzr

  • @fatmasalim8869
    @fatmasalim8869 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe shufaa riyama

  • @rehemachoka2943
    @rehemachoka2943 3 ปีที่แล้ว

    Allah atakupa shifaa inshaaallah

  • @annastevensteven9515
    @annastevensteven9515 3 ปีที่แล้ว

    Pole dada riyama flora wa nitete anayo majani ya.miraco chai mtafute akupe namba ya wakal ukinywa hiy chai utakaa sawa

  • @nasrqibrahimu4006
    @nasrqibrahimu4006 3 ปีที่แล้ว

    Njoo mupate dawa tatizo lote litaisha mm nilikiwa ivyo ivyo naumwa mpaka kiuno lakin nimetumia dawa ndani ya cku saba tu.tatizo limeisha Alihamdulilah

  • @saidikassimhussein1247
    @saidikassimhussein1247 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe wepesi

  • @pilingala7274
    @pilingala7274 3 ปีที่แล้ว +1

    Nambie nikusaidie kama kweli ni chango basi ukipata dawa hizo utasahau hilo tumbo dadaangu

  • @zulehaalsarami6526
    @zulehaalsarami6526 3 ปีที่แล้ว

    Pole dda

  • @mumyally5901
    @mumyally5901 3 ปีที่แล้ว

    njoo kenya nitakusaidi dadangu kuna mtu mziri sana kwa dawa za chango

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 3 ปีที่แล้ว +2

    Chango sikiaga kwa mtu omba lisikukute maana unahisi roho inaacha mwili ,pole dadaangu mpendwa ,

  • @jackyluns8224
    @jackyluns8224 3 ปีที่แล้ว

    Mie mwenyewe duuu n hatar

  • @awaahassan936
    @awaahassan936 3 ปีที่แล้ว

    Usile pilipili wala vitu vya chachu da riayyama utapona inshallah

  • @shifaaal-baity4503
    @shifaaal-baity4503 3 ปีที่แล้ว

    Kuna dawa wa Syria walikua wanauza ktk vibanda vya Saba saba..inaitwa (sage )ina faa sana kwa uwezo wa mungu

  • @ochuame5538
    @ochuame5538 3 ปีที่แล้ว

    Pole mama letu

  • @grandmaempiresecret
    @grandmaempiresecret 3 ปีที่แล้ว

    Jamani dawa za chango mbona zipo nyingi tu

  • @dianalyanga1486
    @dianalyanga1486 3 ปีที่แล้ว

    Tumia dawa za asili za herbal utapona hakika.. Wanatoa dawa Nzur

  • @halimakhamis2725
    @halimakhamis2725 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwambie. A toe. Namba. Nimuelekeze. Kunamtu. Anazijua.dwa.za.chango.

  • @moshimgaza5642
    @moshimgaza5642 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana dada

  • @marimuomari5629
    @marimuomari5629 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 3 ปีที่แล้ว +10

    Pole Sana shogaangu hata mimi naumwaa kupitiliza jamani 🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️

    • @evaasenga6351
      @evaasenga6351 3 ปีที่แล้ว

      Zipo jaman
      Ila ukinywa tu mimba

    • @neemalipembe1929
      @neemalipembe1929 3 ปีที่แล้ว

      Daaaah lina tusumbua wengi jmn

    • @husseinnuru7544
      @husseinnuru7544 6 หลายเดือนก่อน

      Dawa mama angu anapika SEMA mama angu Hana bei nanimtu mwenye huluma

    • @deanerlilayo6812
      @deanerlilayo6812 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@husseinnuru7544samahn dada unapatkan wap

    • @salmamussa8240
      @salmamussa8240 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@husseinnuru7544naomba hiyo dawa naitaj

  • @aiysharamdhan899
    @aiysharamdhan899 3 ปีที่แล้ว +6

    Pole Sana ndugu. Mungu akunusuru akuondolee maradhi akupe shufaa Dada mple mstaarabu Allah akurahisishie kila lenye uzito akuwekee wepes

  • @ahmedanwar1210
    @ahmedanwar1210 3 ปีที่แล้ว +11

    ALLAH AKUJAALIE AFYA NJEMA AKUJAALIE SHIFFA INSHA'ALLAH AKUJAALIE NGUVU NA WEPESI KATIKA MAISHA YAKO AMEEN YAA-RABB THUMMAA AMEEN

    • @aishajuma260
      @aishajuma260 3 ปีที่แล้ว +2

      🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲👄👄👄👄👌🏻👈🏻😭😭😭😭😭💕❤❤🧡💙💛💓

    • @kreamagdfsa1697
      @kreamagdfsa1697 3 ปีที่แล้ว +1

      Amina yaarabby

    • @aishajuma260
      @aishajuma260 3 ปีที่แล้ว +1

      😭😭😭😭💋💋💋💋👈🏻🤲🤲🤲🤲💕❤😭💚💚💚💚💋💋💗💖

    • @husseinnuru7544
      @husseinnuru7544 6 หลายเดือนก่อน

      Mmh pole mama angu anapika Walsh hutajuta dada mama angu akipika nikuludi npo paleee niite mbwa nakwambiya mm bakusaidia nanaomba ufanye halaka utasaidika mana mm naumwa npo ktandan kexho yangu siijui nitafute halaka samahan lakn nimsada kutoka moyon

  • @neemayona8874
    @neemayona8874 3 ปีที่แล้ว +1

    Chemsha maziwa fresh alafu weka blue band na uweke chumvi kidogo kunywa kwa muda wa siku tatu ukiona bado tafuta mafuta ya ng'ombe uyakaange mwenyewe hakikisha upokaanga unapata walau nusu kilo hayo mafuta kama unaweza kunywa pia ni dawa ila ukishindwa tumia kwenye chakula au kwenye uji kwa muda wa siku saba.pole sana ukifanya hivyo na iman utapona.

  • @zainabzain3434
    @zainabzain3434 3 ปีที่แล้ว +1

    Sipo Tz ila nikijaaliwa kurudi nitakutafuta nione nakusaidiaje inshaallah

  • @omarmagimba1971
    @omarmagimba1971 3 ปีที่แล้ว

    Huu ugonjwa unatubika.
    Binti yangu aliugua na bahati nzuri mara ya mwisho ilimtokea akiwa Morogoro.Kina hospitali alipelekwa akakutana na Dr ambaye kwa uwezo wa Mungu baada ya vipimo alianza kutumia dawa na baada ya miezi kama mitatu hivi alipona kabisa.
    Madaktari wengi wanashauri mimba kith ambacho so sahihi na kuwafanya wengi kubaki nashida.
    Anayehitaji wasiliana nami kwa 0713280260 kwa maelekezo ili ukaonane na madaktari husika.Hospitali ipo Morogoro

  • @abelmirwatu544
    @abelmirwatu544 3 ปีที่แล้ว

    Dawa ya tumbo la chango ni Mimba, akizaa tu chango akuna tena, kama abebi mimba aende WRM CHURCH kwa Prophet Suguye akaombewe lita isha na ata zaa kama ajawahi kuzaa, akiamini tu asiangalie dini or imani aliyo kuwa nayo Yesu ashindwi gonjwa dogo sana hilo, kama anaweza mpeni hizi namba anitafute 0712847560 na ataona maajabu ya Mungu aina haja ya kunywa mikuyati.

  • @irenenicholas3386
    @irenenicholas3386 4 หลายเดือนก่อน

    Ugua pole dadangu, mimi pia napitia maumivu makali kutokana na chango....bado natafta tiba,.

  • @annedaddy2137
    @annedaddy2137 3 ปีที่แล้ว

    Pole dadangu mm Niko Mombasa kuna nyanya moja huku likoni yuko na dawa nzuri Sana mm nilikuwa nikishumbuliwa na tumbo kwa miaka mingi lakini nilipo pata dawa za huyo mama nashukuru hata pia nilifanikiwa kupata mtoto wa kiume saai yuko na mwaka moja mwanangu kama utapata ujumbe wangu dadangu nitafuta +254710377679

  • @carolmuchiri9921
    @carolmuchiri9921 3 ปีที่แล้ว +2

    Pole Dada Rhiyama, Wish You a Quick recovery 🙏🏾🙏🏾🤲🤲♥️🇰🇪

  • @aminaabdallah3644
    @aminaabdallah3644 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akupe shufa Ameen inshallah 🙏 cousin yangu yeye alipopata mtoto wa kiume lilistop hata mm pia lakini langu sikila mwezi nashukuru Allah 🤲

  • @ashwramashallah7242
    @ashwramashallah7242 3 ปีที่แล้ว

    Niko pande za Tanga nilipewa dawa za kisuna zikachemsha kwa mzee mmoja ivi nilikunywa pale pale aisee nilivyomaliza kunywa nililiacha pale pale maumivu saivi ata ifike iyo tareh ..nakua kawaida...

  • @sarahnoeljames8357
    @sarahnoeljames8357 3 ปีที่แล้ว

    Huku tanga kuna baba anaenda kukuchimbia mizizi unakunywa habari yote kwisha me nilikuwa hivyohvyo

  • @rosemcharo3531
    @rosemcharo3531 3 ปีที่แล้ว

    Ninayo dayachango
    0719467190
    Nitafute

  • @akayesu4800
    @akayesu4800 3 ปีที่แล้ว

    Pole Sana,tafuta za suna na Bibi wazee wakisomali ni wajuzi kwa Hilo watafute mtoni hasa wenye asili ya tanga yani washunguli utapata dawa jaribu kuchecki nao wanapatikana mtoni mtongani

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 3 ปีที่แล้ว +2

    Is CHANGO period cramps ama...kiswahili sio mdomo changu...if so maybe ni endometriosis maskini,it needs special treatment, endelea na matibabu God will see you through our queen, quick recovery

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 3 ปีที่แล้ว

      Yes hii ni endometriosis watu hawajui tu hata kuzaa ni ishu

  • @SonaSona-fd4zm
    @SonaSona-fd4zm 3 ปีที่แล้ว

    Pole sn daa tumia magamba ya mkunku vipande saba utie na umbani chembe tatu uichemshe pamoja kisha chukua kikombe utie dawa yk alafu usome haya za kubatwilisha uchawi km wazijua

  • @jonaskilomba4094
    @jonaskilomba4094 3 ปีที่แล้ว

    Tatizo lako Rihama rinatibika Sana tu watalaam huku kwetu wapo Kyerwa mkoani Kagera nitafute Kama hutojali

  • @Farida-uz3vr
    @Farida-uz3vr 3 ปีที่แล้ว

    Pol dadariyama ila ulishawahi kutumiya mpeyasi kwani Mimi dugiyangu alikwanalo Hilo tumbo naalichelewa kupata kizazi ila alitumiyadawatu nakupata mtoto tumiya dawa yakushika mimba haraka litapowaukizaatu linapunguwa makali sikuhadisiku mwisholitakuwalakawaidatu

  • @SYLMASVISIONFORSCIENCE
    @SYLMASVISIONFORSCIENCE 3 ปีที่แล้ว +1

    Dawa ya chango naijua , this is serious kabisaaaaaa.
    0754780775

  • @rahimaaziz8970
    @rahimaaziz8970 3 ปีที่แล้ว

    Kabla hajaingia headhi kama ciu mbili au tatu kabla,achemshe tangawizi atie chumvi kdg sana ,atumie nusu kikombe cha chai kabla ya kula chochote

  • @madeleineuwimana2544
    @madeleineuwimana2544 3 ปีที่แล้ว

    Kwasasa kweli imekwisha nilikuwa nikiingia kwenye mwezi nitalia mpaka kutapika ila wakaniambia ukiolewa ukazaa vitakwisha kweli mpaka sasa sijarudia tena kuumwa

  • @kadunawewe7248
    @kadunawewe7248 3 ปีที่แล้ว

    Pole nenda kaombewe kawe kwa mwamposa harafu nunua maji na mafuta ya hapo kanisani ukitumia utapona mpendwa na.utazaa

  • @hussainsajin9915
    @hussainsajin9915 3 ปีที่แล้ว

    Wanyamwezi wanazijua san izo dawa mmi nilikuwa at kukaa nilikuwa siwez wala kuinuka wal kusimama nilikuwa natambaa at maji nikinywa napiga kelele nashukul mung nilimpa mama wa kinyamwez alinipa mizizi ya kuchemsha na majani ya kuoga mpk sasa nashukul mung

  • @rehemayusuf172
    @rehemayusuf172 3 ปีที่แล้ว

    Ipo dawa imekaa kama kambakamba inapenda kutanda kwenye mti ukipata unapikicha mpaka unatowa ulenda kama bamia unakunywa unatia kwenye bakuli

  • @Salhiya-hr7dy
    @Salhiya-hr7dy 3 ปีที่แล้ว +2

    Oooohoooo tumbo la period ss mbn ss wengn tunaambiwa tusubir kuolewa tu tutapoa jmny mnatutisha ss oooohooooo izo dawa tushazimaliza ss wengn 😭😭😭😭😭😭

  • @nasrqibrahimu4006
    @nasrqibrahimu4006 3 ปีที่แล้ว

    Mm pia nipo ivyo ivyo ila nina mjomba angu ni mtabibu wa mizizi ukinywa tu habar imeisha nipo tanga

  • @janethmgwilanga1367
    @janethmgwilanga1367 3 ปีที่แล้ว +3

    Yani hilo tumbo linatusumbuw wengi sana

  • @zawadikilua8816
    @zawadikilua8816 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm nilikuwa ivyo nimepata dawa sasa nimepona kabisa nilipata dawa ya mitishamba iliyosagwa

    • @rosemarymsafiri2340
      @rosemarymsafiri2340 3 ปีที่แล้ว

      Dada na mm nqhiitaj naipataje hyo daw

    • @zawadikilua8816
      @zawadikilua8816 3 ปีที่แล้ว

      Nikienda kuchukuwa huko kijijini nitskuletea

  • @nuruhmichael1903
    @nuruhmichael1903 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole Sana dada
    Namshauri aende kwa Maombi hiyo ndiy dawa itakayokuponya my sister

  • @tausiathumani9408
    @tausiathumani9408 ปีที่แล้ว

    Miti hiyo ipo tabora unakunywa mwezi wa kwanza wapili mimba.

  • @ramlakawaya1922
    @ramlakawaya1922 3 ปีที่แล้ว

    Njoo nikupeleke kilwa mjomba wangu anajua kufulu utapona

  • @tabianuru2541
    @tabianuru2541 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole ukiipata msg yangu nitafute kuna babu anazo ila mpk akuone mgonjwa pole mdg wangu yupo chang'ombe nikikuelekeza unafika bl wasi

  • @harmaosiima1573
    @harmaosiima1573 3 ปีที่แล้ว

    Riama nitafute 0717444303 nikusaidie

  • @aminasaid2461
    @aminasaid2461 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi pia niliteseka sana na chango nilitumia dawa nyingi za hos bila mafanikio. Lakini baada ya kutumia juice ya Alovera nimesahau hata tumbo lilikuwa linaniumajee.

    • @rosemarymsafiri2340
      @rosemarymsafiri2340 3 ปีที่แล้ว

      Na mm ninalo mamy hyo juice ya alovera unatumiaj kutw Mar ngp na kw cku ngap

    • @wizdomknowledge
      @wizdomknowledge 6 หลายเดือนก่อน

      Unatengenezaje hyo juice

  • @doggodallas8412
    @doggodallas8412 3 ปีที่แล้ว +8

    Pole mpendwa wetu,Mungu akupe uaheni Inshallah

  • @nooratshariff5067
    @nooratshariff5067 3 ปีที่แล้ว

    Tafuta mizizi ya mpapai dime chsha utumie itakusaidia

  • @pendomwaringa7597
    @pendomwaringa7597 3 ปีที่แล้ว

    Pole.utapona.mungu.yuko.pamoja.nawe

  • @mwaminindayishimiye4434
    @mwaminindayishimiye4434 3 ปีที่แล้ว +3

    Na mimi nilikuwa ivyo dada yangu ila nika Olewa tuu likaisha mpaka ivi sina Alhamdulillah

  • @NoelaJohn-p5d
    @NoelaJohn-p5d ปีที่แล้ว

    Mim ndiy linauma mpk navurungw

  • @halimafazeli52
    @halimafazeli52 3 ปีที่แล้ว +2

    Mm niliwai kuumwa chango bibi yangu kaniambia Nika nunuwe pombe yamnazi grasimojatu kunywa asubuwi kabla ujla kitu inshallah utakuwa salama

    • @danneismail5442
      @danneismail5442 3 ปีที่แล้ว

      Are you serious, jee hulipona baadae???

    • @najmamimi5007
      @najmamimi5007 3 ปีที่แล้ว

      Hahaha limepona kabisa?ili nikanunue niweke akiba

  • @ajgsjduwjsuh2978
    @ajgsjduwjsuh2978 3 ปีที่แล้ว

    Kambiwa ukizaa linaacha kumbe ata kazi ni leo

  • @kassimhamidu3098
    @kassimhamidu3098 3 ปีที่แล้ว

    Dada Anitafute nipochamazi

  • @joharishabani2893
    @joharishabani2893 3 ปีที่แล้ว +1

    Masikini uwiiih dada . Pole sana ili mm linanitsa sana na mmm mm mpaka na tapika

  • @nuruchalamila7126
    @nuruchalamila7126 3 ปีที่แล้ว

    Piga namba izi 0762536710

  • @bintykigan6236
    @bintykigan6236 3 ปีที่แล้ว +1

    Hilo tumbo linauma vibaya Sana mm linanitesa sahi ni miaka 15 wallay hadi nakonda

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 3 ปีที่แล้ว +3

    Dah pole sana dada Riyama hilo tumbo mimi nalijua uchungu wake hata mimi ninalo kiingia kwenye ada yangu ya hedhi

    • @hadijambunda7099
      @hadijambunda7099 3 ปีที่แล้ว +1

      Nipe namba yako uje nikupe dawa nipo tegeta

    • @lilianemanuel2579
      @lilianemanuel2579 ปีที่แล้ว

      @@hadijambunda7099 wapi nije mie

    • @salmamussa8240
      @salmamussa8240 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@hadijambunda7099unayo dawa bado

  • @rehemasaria964
    @rehemasaria964 3 ปีที่แล้ว

    Aje huku simiyu atapona

  • @athumaniimamu5903
    @athumaniimamu5903 3 ปีที่แล้ว

    Pl dada san

  • @JumanneMohammed-y4j
    @JumanneMohammed-y4j 10 หลายเดือนก่อน

    Dada tumia mzungwa dada

  • @abumujahidurajabu5512
    @abumujahidurajabu5512 3 ปีที่แล้ว

    Weka nambaya cm yako upate dawa

  • @maryamsimai6263
    @maryamsimai6263 3 ปีที่แล้ว

    tumbo la chango ni lipi

  • @msekwamwinyi3516
    @msekwamwinyi3516 3 ปีที่แล้ว

    Mazoezi tu ndio dawa da Riyama

  • @khadijaally304
    @khadijaally304 3 ปีที่แล้ว

    Tuma namba ya simu ya WhatsApp nikutumie picha ya hizo dawa.mungu akipenda huwenda ukapona

  • @christinadaudi3516
    @christinadaudi3516 3 ปีที่แล้ว

    pore Sana dada

  • @anitanahimana2115
    @anitanahimana2115 3 ปีที่แล้ว

    Pore sana mam