MUME WA RIYAMA MUNGU AMUBARIKI, SIO WAUME WENGI WANA FANYA KAMA WEWE. BE BLESSED YOU HAVE THE TRUE LOVE. I WISH DIAMOND WOULD BEHAVE LIKE A GROWN-UP MAN LIKE YOU. I LOVE YOUR GOOD ATITUDE.
Wallahi ukipata mwanamme ana mapenzi ya dhati kama mime Wa Dada Riyama , wanawake wote tungejingamba. Kaka endelea hivo hivo na Kesho utaipata jaza yako In Sha Allah
One I. A ill ion a definition of a King God bless you bro I pray for a man like you ambae atanielewa na kunichukulia kama nilivyo umenigusa kuamini kwamba wanaume wazuri wanaexist amen
Mashaallah mungu akubarikien mpate watto pacha ndogo wangu Riama umepata mume mungu akuweken na pacha mungu akujalieni na ss allah atupe waume kama wako inshaallah
Diamond uko wapi njoo sns uangalie wanaume material big up jomba ubarikiwe kwa kweli
@Ali Ali ivi we Ali Ali unajifikilia kweli kabla yakukomenti au unazani sifa kuandika utumbo wako fyuuuu
@Ali Ali vizuri kama umelitambua hilo my dear
@Ali Ali love u to 😍😍
Mungu akuzidishie upendo zaidi
Duh kumbe wanaume bora wapo aisee Mungu awatunze daima
MUME WA RIYAMA MUNGU AMUBARIKI, SIO WAUME WENGI WANA FANYA KAMA WEWE. BE BLESSED YOU HAVE THE TRUE LOVE. I WISH DIAMOND WOULD BEHAVE LIKE A GROWN-UP MAN LIKE YOU. I LOVE YOUR GOOD ATITUDE.
hee mungu nipe kijana kama uyu naomba mungu nisaindie
rihama ni mwili tu ndio mnene ❤❤❤❤❤
Kumbe wanaume kama hawa bado wapo ,barikiwa sana .
Wahabarshe haoooo
Big up shemela. Nawapenda wote Riyama Na mume wake
Dah nitajivunia xana nikipata mme kama huyu kaka,,,endelea na huo huo moyo bro mungu azidi kukupigania...umenitoa hadi chozi
Rose Daniel mm nipo kama yy karibu
Una upendo wa dhat kwel
M.mungu awafungulie Inshallah.....🤲.... Mume mwenye hadhi na majukumu yake....husband material....👏👏👏
Dah jmniiiii huu upendo udumu🙏🙏Mungu awatunze jmn❤️❤️❤️❤️
uko sawa Mungu akubarik unajitambua
Amina😇😇
Wanaume wachache wanao appreciate wake zao hivi. Big love 😘❤️
Ongea yake tu inasema yoteeee ....... Very heart touching dooooh I'm impressed
Jamani wanaume wenye upendo bado wako pendanane daima inshaallah 🙏 🙏 🙏
Mm nimemwona huyu kwa kweli,, mungu ambariki sana aishi na mkewe milele
Mashaallah tabarakallah mngu awazidishie mapenzi ya dhati
Wema Kalam Achana nao!
Amina
Nimeanza kukupenda wee kaka nilikuwa cjakufatilia,lkn nimegundua n mwanaume mwnye hekima na busara sn
Kaka upo vizuri sana kuwa na moyo huo huo jamani
Dah! Wanaume walio coment ni 3 tu hatari aibu wanaume igeni mfano kwa huyu mwenzenu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂
Dah kuna wanaume wengine sijui wameshushwa mbona wengine hawako hivi mwanaume anajitambua mwanaume ana akili Mungu awape maisha marefu
Celly Joseph nipo mm
Napenda sana mapenzi yenu na mm natamani sana
Hawa ndo wanaume sasa kwakweli riyama umepata Mume mungu awalinde inshaa allah
Wallahi ukipata mwanamme ana mapenzi ya dhati kama mime Wa Dada Riyama , wanawake wote tungejingamba. Kaka endelea hivo hivo na Kesho utaipata jaza yako In Sha Allah
Wasaanii toeni elim kwa Rihama kadumu kwenye ndoa yake miaka 5 hongeren mungu aendelee kubariki ndoa yenu watabaki kilelenii 👏👏👏👏👏
One I. A ill ion a definition of a King God bless you bro I pray for a man like you ambae atanielewa na kunichukulia kama nilivyo umenigusa kuamini kwamba wanaume wazuri wanaexist amen
ooh maskini😢😢this young Man so lovely
Mzidi kupendana lshalla
Waliondoka na vita ya idd Amin . Ulibaki wewe peke yako mwenye upendo wa dhati.
Letcia Wambura 😀😀😀😀
😄😄😄😄😄
💯
Masha'allah Allah awa zidi shie mapenzi Inshaallah Biidhin lilah
I love u guy
Keep it up 💪💪👌 sio rahisi kupata mume wa ujasiri Kama we we
In Tz u are the hero,,I salute u
From Kenya but I love this couple
Hadi raha mungu awape maisha marefu , maan ni niwachache jnm wanaojielewa hiv maan unampenda mtu anakuona mwegeee
Hongera Riyama kwa kupata mume material .
Mpendane sana achana nawatu amuwawezi shem wetu
ubarikiwe baba,uendelee kumpenda mkeo,wachache kama wewe
Mungu awajalie mwisho mwema...
Pendo Meela amiin
Wow
You are so IN TRUE LOVE
Mwaaa,,,mwaaa
Ubarikiwe sana Bro
Uyu ndio mwanaume wa kweli
Napenda sn Riyama Ally Allah akupe maicha malefu
Mashaallah ni wachache wana moyo huo mwanaume muelewa nawaombea Allah awazidishie kher
Mashaallah mungu nijaalie mume kama huyu
Mungu awaweke miaka mia kwenye ndoa yenu mashallah
Jamani kuna wanaume wanaupendo kaka ubarikiwe Mungu azidi kuwasimamia
Jmn mume wa riama ni bonge la bwana. Lv u all
Jamaa Yuko vizuri
vzr Sana shemela
Mungu akubarik uzidi kuwa mume in shaa allah
Wako wapi wanaume ka huyu Jameni? Mungu nijalie mmoja mwema
Mildred Mutsotso mm nipo
Eee Mungu nitazame namm kwa jicho la pili Mungu wangu Nipate mme mwenye upendo kama huu
Nawapenda bureeeeree
Interview nzuri sanaaa
Mungu atamuondolea kila zito ligeuke liwe Jepesi kwake na atampa uzima na Afya njema Bii Idhinillah Ameen
Hongera sana shemeji yetu kwa dada yetu Riyama mungu awabariki vizazi vyema na riziki🤲🤲😘
Kweli ukimpenda mwanamke mmoja nakmthamin bac wanawake wote duniani watakpenda ahsante Kaka Kwa kmpenda mwanamke mwenzetu
I love the way Leo loves Riyama! I hope for this kind of love for me one day!
Nimekupenda mdogo wangum
God bless you so much baba.
big up sanaaah shemeraaahh
Simba where you're come see True man wallah brother Allah hakujalie maisha leo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 n simba tu kijina
Hongeraaa kaka yng duuu tumpate wapi tena mtu km huyuuu ambae Mung anakaa ndan yake
Malezi huchangia kuwa na wanaume bora
Kweli kabsa
Ni kweli kabisa usemayo
Kweli
Ndio
Kumbe wanaume wa hivyo wapo jamani hongera sanaaa mkaka
Yarabi niajalie. mume mwema kama huyu inshaalah
Mimi
I wish you will be the best husband till the last.i like the way your talking.
Mungu akubariki hongera all the best for your work🤗😀😀
Inshallah
aisee ningepata mume kama ww ningelinga snaa daah!
M.mungu awabariki sana kwa Upendo wenu
Nimekupenda bree uko pw sana kaka
Mashaallah mungu akubarikien mpate watto pacha ndogo wangu Riama umepata mume mungu akuweken na pacha mungu akujalieni na ss allah atupe waume kama wako inshaallah
Mwanaume wa kwel Mungu awatunze milele nawapenda
ulilia sana kweli_Mungu ana mpa amtakae mume bora hongera vumilia sana kwa kila jambo
i..like..it..big.up.mpendeeee..mkeoo...hadiii..rahaaa..kupendwaa..jamaniii..rahaaa
Nampenda sana huyu Dada
Anyway sana Maziwa kwa muda kila Siku japo glass moja Itamsaidia mifupa
Ongera sana kaka Allah ukubariki sana na muzidishe penzi
May Allah continue to bless your marriage
Yani kaka yangu mungu akubariki jamani wa mama tuna pitia mambo magumu sana
Mashallah mpende mkeo mwaya gentleman
Huyo ndomwanaume
Uko vizur mume wa dada riama
Humble guy such men r rare to b found, wagwan appreciate wat u hav
Mubarikiwe sana
Wow that's real man
Jmn mpakanimelia mungu kwann usinione tuu na mimi jmn
Hongera sana baba wanaume menye upendo ni wachache sana
Dah jamn 😪😪😪mpo wachach sana
Mapenzi mazuri mashaallah
Mungu nijalie nipate mume kama hy
Huyu
Sada Sunday mm nipo karibu
Mungu awabiliki jamani nawapenda bule
Daah mpaka raha jamani
Hongera sana mungu awabariki maishani
love is a beautiful thing. all the best Leo and Riyama
Mashallah 👏🏻 👏🏻 👏🏻
Mungu awabariki kiukweri
Hakika mungu ailinde ndoa yenu
Dah mungu huyu hongera sanal
Mashallah nakupenda Liana mpende mume uipate pepo
Nice bro
😍😍😍😍😍😍Vizur san
Jaman unapotaka mume mwenye upendo wa dhat kwanza jiangalie ww kwnz je Una mapenz ya dhat kwel
Amina babaa
Big up brother ❤❤❤
Riyama umepata mpenzi wa kweli...umri c hoja Cha msingi anakupenda kikweli....Ni ombi langu Mungu anipe mume atakaye nipenda kikweli
Masha Allah
Una akili sana ww mume wa riama
eeh mungu npe mume wa hivi jmn
Umebaki peke yako baba kwa hapa tz njoo unioe na Mimi maana dini inaruhusu
onair frp 😂😂😂😂👉❤
onair frp na mm kama yy njoo
onair frp 😂😂😂😂😂😂
MUNGU nipe na me mume wakujali kama huyu wa Daa Riyama
Sanaa abalikiwee
Maashallah kila la kher katika ndoa yenu
Wewe kijana umebarikiwa sana .Ridhika na ulichonacho. Safi sanaaaaa
Naomba mwenyezi mungu anipe mume mwenye Imani kama hyu
Nimekupenda bure shemela waukwee
Naomba domo apitie SnS amuone mume material...✌✌
Umeonaee
We dada na mond mpk mekukalili😂😂😂😂😂😂
@@ashaabdallah1718 😁😁
Leylah humpendi mond au kuna vitu anakuboa
Mimi ni mmoja wao kati ya wanaume wakuigwa