JPM: Nilipotaka kumteua Dkt. Bashiru niliambiwa ni CUF na wana CCM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
  • Najua nimewakera nilipotaja majina ya Maprofesa. Hata nilipotaka kumteua Dkt. Bashiru niliambiwa ni CUF na wana CCM. Kulikuwa na ka-Syndicate flani ambako ilikuwa kazi kukasambaratisha

ความคิดเห็น • 9

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 2 ปีที่แล้ว +2

    Brightest President ever!

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 2 ปีที่แล้ว +1

    Bashiru Mungu akusimamie hata ktk changamoto unazo kutana nazo za ktk kusema kweli. Ila KWELI ITADUMU MILELE. Wapo ambao watakuja kuitafuta kweli yako na kila kitu kitakua sawa

  • @eutychusthiongo1335
    @eutychusthiongo1335 3 ปีที่แล้ว +3

    Dr Ally Bashiru nakutakia heri. Nyota yako iangae kabisa

  • @الزغويالزغوي-ض3ن
    @الزغويالزغوي-ض3ن 2 ปีที่แล้ว +3

    KUMBE CCM HAWAKUWA WAKIMPENDA DKT BASHIRI TANGU MUDA MWINGI !

    • @tumainikomba9008
      @tumainikomba9008 2 ปีที่แล้ว

      Inahuzunisha kwakwel Bashir yuko vizur

  • @ashangonyani7989
    @ashangonyani7989 3 ปีที่แล้ว +2

    R.I.P

  • @bogoheidaso2628
    @bogoheidaso2628 2 ปีที่แล้ว +2

    Jpm ulikua mkweri kabisa

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 3 ปีที่แล้ว

    R I P

    • @fulgencemark7640
      @fulgencemark7640 2 ปีที่แล้ว

      Kwani mwanachama wa Cuf sio mtanzania