Huko portugal ulaya ureno show hizo za wasaniii wa africa kuna kuwa na wazungu mataifa tofauti show hizo ndio vannesa mdeee alimpata rotimiiiiiii mme wale baba wa mtoto wako Diamondplatnumz nayeye sijui ataokota dodo na yeye mzungu aoe maana wakina tanashadona zari na misa wanamzingua Tuu Ila ni platiform nzuri inambeba kutambulika wakiwemo wakina Burnaboy na Chris brown wanaojulikana zaidi kimataifa inasaidia show kujaza mataifa mbalimbali yeye inambeba sana wasaniii wa east
Mbona vitumbua 😂😂😂king b hapo umetupiga nakitu kizito
Kwambi Portugal hamna VITUMBUA
King 👑 of Africa 🌍 I love 💕💕 you diamond 💎💎 here in Zambia
Anafanya unyama alafu kweny nchi za watu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🦁🦁🦁🦁🦁
Huyu jama aliendika kileno *** amesema alikuoa amuamini lakini amepika salut *** noma sana sjmba from mozambique tentei um pouco
Diamond platnumz the king of Africa
King of Africa 🙏🙏🙏🙏
jamaa anawasumbuw tena si watanzania tu mpka nchi jirana 🔥🔥🔥🔥🙏simba
The king 🤴 🦁🦁🦁
Diamond platnumz always 💥🔥🔥🔥🔥🔥
Vinzuri Sana Diamond Perfomance Nzuri
Nc siiimbaa 🙏🏿🙏🏿❤❤
Simba only best musician
Asant Mung wang msani wa frica kutuakilisha will love you
Kumiliki jukwaa wanaigeria hawamuwezi simba
Shut up Wizkid was and Davido was king there
Wasafi for life
Mashaallah 🔥🔥🔥🦁
Big up sana kaka
Cimbaaa hatare canaa🔥🔥🔥🔥👏
Hongera mmmh
Lahaa sanaaaa msanii wangu pendeza👊
Good performance broh diamond
Nilikua simpend ila kwa Sasa hamn namna
Wewe ulipotelea wap boss Ang, njoo huku wenzako tupo kitambo sanaaa, karibuuuu sanaa mkuu
Mwamba from tandale
Nós gostamos das músicas dele🇵🇹🇵🇹🇵🇹🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🦁🦁🦁🦁🦁
Sibaaaaaaa 🥰🥰❤️
Wareno wamemaliza utata hatuna upinzan kwenye mzki japo wanasema mtu kwao lakin cc tunawaosha huko huko ugenn hatuchagui uwanja popote kambi
Hio ndio Simbaa mjipange jaman🔥🔥🔥🔥
Diamond 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Hana maajabu yoyote
mazingira kaka ulaya
big up simba
Simba🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mm ni shabiki wa harmonize cyo kesi ,broda amefanya vxr cna!!! ....ila bifu letu liko pale pale. Nyooooh
🔥🔥🔥🔥
King
Mond 4 life
Ataliiiii
Mbona haja imba foa
Simbaaaa🦁🦁
Huyu jamaa Tanzania nimmoja tu
wamuhache mondi kabisa kawazindi siyo siri
Amekua acrobat sio msanii tena 😁😁😁
Sasa anasifika nini
🙏🙏🙏🙏🙏
diamond platnumz
Saasaaa Mapuwa 😂😂😂
Diamond platnumz simba baba Lao africa
My love 💕 diamond platnumz u are a King of music
Oya we wanaobisha waache wabishe ila ww simba hauna mpinzan
Niko
Huko portugal ulaya ureno show hizo za wasaniii wa africa kuna kuwa na wazungu mataifa tofauti show hizo ndio vannesa mdeee alimpata rotimiiiiiii mme wale baba wa mtoto wako Diamondplatnumz nayeye sijui ataokota dodo na yeye mzungu aoe maana wakina tanashadona zari na misa wanamzingua Tuu Ila ni platiform nzuri inambeba kutambulika wakiwemo wakina Burnaboy na Chris brown wanaojulikana zaidi kimataifa inasaidia show kujaza mataifa mbalimbali yeye inambeba sana wasaniii wa east
Akuna watu
that's lion
Nchi ni yake huyu ni mr electricity
😂😂😂😂mwamba ni dancer au musician
Unajua mziki wewe michel jackson alikuwa dance au musician
huyu mwamba tumuache
Uhoniushamba sasa ana lukaluka nini
Hujawahi fika hata kenya, unamwambia mtu ambaye amezunguka karibu robo kama siyo nusu ya dunia et mshamba,hahahahahahaha
Akuna show apo mbona munakata vipande
Wivu mbaya sana
🤩🤩🤩🤩💯
Bu shit
Simba only best musician