Tunajivunia wewe tukiacha tu mziki umesaidia ata vijaa kuijiamn kupitia mafanikio yako kwamba inawezekana nao kusubutu kwenye nyanja ya ujasiliali ❤ kwaiyo naomba uendelee hivyo hivyo muster speech nakuitaka ivyo akuna anaekufikia kwa kujielezea mbele ya kadamnasi yan sijui nisemaje aisee nakupa Dada angu🎉
@@JanuaryYolamu weee na wewe ni mdau mwenzangu mie niliiacha coca pale tu waliposhindwana na jamaa kwenye mkataba akasepa Mondi nipo nae pia Airtel japo wanazingua mtandao wao upo chini
WHEN YOU TALKING ABOUT AFRO BEATS , THEN YOU ARE TALKING THESE THREE COUNTRIES NIGERIA 🇳🇬 TANZANIA 🇹🇿 SOUTH AFRICA 🇿🇦 DIAMOND NDIO AMETUWEKA KWENYE ROMANI ZAIDI KUSHINDA MWANAMUZIC YOYOTE TANZANIA
Diamond unatufanya tujivunie mziki wetu wa Bongo, Keep up the Big Work kaka ❤
Anakufanya wewe mi toka zamani najivunia bongoflava
@@shwaibukhatibu2838😂😂😂😂😂😂😂et ana mfanya👏👏👏👏
@@shwaibukhatibu2838😂😂😂chuki
Kweli kbsa hta zamani tulikuwa tunajivunia bongo flava lkn ilikuwa huwez kwenda nchi za nje ukatamba na bongo fleva so big up kwa Diamond platnumz
Kuna mapopo kazi yao kuponda tu
We are proud of your good work Hongera Sana Diamond
Naipenda Pepsi sababu ya diamond pia kachangia nzid kuipenda❤
Heeee bas haya😅
Yani bro ww nimpambanaji mtu yeyote aki kuchek hawez kata tamaa ww ni mwamba bro mimi mwenyewe pepsi ndio biya yangu ❤❤❤❤❤❤
Look a big artist in east africa❤
Nakunywa Pepsi kwa kua Diamond anakunywa Pepsi..Period
He seem too tired, Man is working hard.
True!
Tunajivunia wewe tukiacha tu mziki umesaidia ata vijaa kuijiamn kupitia mafanikio yako kwamba inawezekana nao kusubutu kwenye nyanja ya ujasiliali ❤ kwaiyo naomba uendelee hivyo hivyo muster speech nakuitaka ivyo akuna anaekufikia kwa kujielezea mbele ya kadamnasi yan sijui nisemaje aisee nakupa Dada angu🎉
Kuma wewe
Umejielezaaaaaa
Aisee kwel ... Mond kaifanya tunaipenda zaidi
nakupenda diamond adi raha❤❤❤
Huyu jamaa amenihamisha kutoka cocakola mpaka kupenda pepsi na mirinda nyeusi😂😂😂
Kumbe upokama mimi ani ndugu
@@JanuaryYolamu weee na wewe ni mdau mwenzangu mie niliiacha coca pale tu waliposhindwana na jamaa kwenye mkataba akasepa
Mondi nipo nae pia Airtel japo wanazingua mtandao wao upo chini
Tupo wengi mzee
😂😂😂😂
Acha kufananisha coca na vitu vya kipumbavu
Mchongo n kazi kazi ukileta utimu,mazarau kujiona star una katwa keep moving bro
We nijua lazma ucomment coz wewe NI miongoni mwa mashoga WA WCB mnaofirwa na diamond
@@shwaibukhatibu2838 we anakufira nani maana wasenge mnajuana kwaiyo weye anakufira nani
@@shwaibukhatibu2838 ukimalza kulia kunywa Maj moyo upoe 😎
Matusi yann
@@shwaibukhatibu2838mbona povu😂😂😂😂
Simba Simba Kama Simba baba tiffa tajr chibud chibud msanii namba 1 East Afrika na namba 3 Afrika wew kwel Ni shida na miaka hii watakoma
Misimamo ndio msingi wa kazi keep moving 🦁 yoooooh✊✊✊
Kiukweli SBC wamenufaika sana Kwa huo mkataba maana baada ya kusaini na diamond watu walikunywa sna Pepsi 7bu ya Diamond
Dangote huna Baya 🔥🔥🔥 Hii imeenda 🌎🌍🌏
Mie mwenyewe umenishawishi kuipenda peps !
Sema unavutia hisia
Nakukubali cn jembe👏👏
Ila coca-cola ni tamu nyime... Nipeni like zangu
Hiyo kweli 🦁🦁
Mashaallah Simba Allah akulinde
Bravo big Boy
Diamond nampenda kwa sababu lugha yake anaitumia sana kuongea lakin yule kilandage utahis kazaliwa uraya duuu ushamba ni mzigo
Kwanini hamuhendi bira harmo anaguvu sana
No mara waa
Mmakonde kawakaba Sana Dah!😂
@@majutoeliasimbona unaesema ana nguvu mbona haiendi hadi Simba... muone
Hamchoki na kiswahili bola yeye anaongeza luga nyingine
Namna hii ukiwa Ambassador lazma mazungumzo yako yaizunguke brand unayoiwakilisha na amefanya hili vyema
Upo sahihi chibu 🎉🎉
Bravo big boy🇰🇪🇹🇿👋👋👋👋
Unajituma baba ongera kwa Sandra kuzaaa jembee kama hiliii........wengiii wanapata rizk kupitiya bidiiii zakooo
He had convinced me to have a jump ship to pepsi🎉
Hongera my bro
Kiukweli kabla ya diamond hajawa balozi wa Pepsi ilikuwa nadra mm kununua aina hii ya soda, ila siku hizi aaah ndo soda yangu pendwa
Ata mm 😁
Ata mm
Mim pia yaaan nisipokunywa kwa siku sina raha
Na mimi huku nimenyoosha kidole
Watu wanafiki Sana 😂😂😂
Ok brother
Simba La Masimba Dangote 🦁👑
Simba 🦁
Simba 🔥❤
❤❤
Baba we piga kazi we ndie T O. TANZANIA ONE achan nao Hao ngedere. Yale ni maneno ya wakosaji
Pepsi wajanja Sana baada ya kuumpa diamond tangazo kimekua kinywaji pendwa zaidi zaidi
Daimondi platinum ❤❤❤❤❤❤❤
Simbaaaaaa❤❤❤
Hey 2090 it’s simba speaking 😅
dunia haifiki ukoo😅
❤❤❤❤
WHEN YOU TALKING ABOUT AFRO BEATS , THEN YOU ARE TALKING THESE THREE COUNTRIES
NIGERIA 🇳🇬
TANZANIA 🇹🇿
SOUTH AFRICA 🇿🇦
DIAMOND NDIO AMETUWEKA KWENYE ROMANI ZAIDI KUSHINDA MWANAMUZIC YOYOTE TANZANIA
SIMBA la masimba Dangote 😂🔥👑
Deal done
Platnumz the best
I will be drinking Pepsi..from now on
😊
Naipenda peps kwampunga kuku mpunga nyama hiyo kinywajhi ninoma
🔥🔥🔥
Diamond platnumz beby
Nomaaa Sanaa jamaa💪
Oooh sister kitambo sjaona ukikoment
@@DimityMugravech Nipogo jamanii kwemaaa???
Kwemaa sjui wew ukopoa
Ulipo Simba nipoooo kwanzia Leo mm na Pepsi. Pepsi na mimi
Napia akienda motoni ingia nae
KWANZA ALIMKATAA RUGE,AKAWACHUKUA NA WALE MAMENEJA WANOKO,,AKAUCHUKUA NA MUZIKI WENYEWE AKAUWEKA MFUKONI,,,YANI HAKUNA MBWA......
Ila mond anajua kuongea
Nani nae anaona mic ya clouds tv😂
🎉
Simbaaaaa
🦁
Kiukweli mm Pepsi imenishinda, Coca-Cola no 1 🎉
PEPSI DARE FOR MORE ❤❤❤❤❤
Unajipya choko wew
SIMBA kweli SIMBA❤❤❤
Kwevoo🔥🔥
Simbaaa♥️♥️♥️
7:30 anzia kuangalia hapa, utanishukuru baadae
Nashow zinajaa kweli kweli yan
Pepsi inapendwa sana Norway pia
Sijanywa soda yoyote inafika miaka 14 sasa
Safi sanaa
kisukari ndo kinakusumbua
@@hashimsalehe7087 we endelea kutumia wanaojielewa watakuwa wamenielewa
badala ukanunue matunda utengeneze Juice unywe ety pepsi kisa diamond anakunywa duuu ukitumia pepsi kusafisha sink inang'aaa vip huo utumbo
Ila nyie pepsi ya baridi iheshimiwe
Mbona ujama kuzungumza nikama mzee abduli au macho yangu
Nimecheka ety mishuzi wanatetemeka 😅
Mond akili kubwa 💪💪💪
Anakuja mjinga Kama machinga anapambana na SIM CARD ba
Jesus
Sikupingi miaka buku
Hata mimi natumiya Pepsi nipo saudiya Riyadh nakunywa Pepsi
Baba levo chawa mkuu
Hahahahaaaa sijui
Simbaa
Daimond bila wew 2singekua hapa 2lipo kimziki so mwamba una ujua mziki
Simbaaaaaaa
Anajua kutumia lugha kulingana na muktadha
You fought and you have gained so show them now ma men yr a really lion not like...,,,,,!!!!??
Eh😂 mbn kama Quavo
Hiyo mic ya clouds mondi akiiona sijui kichwani huwa anasema nini😅😅😅
Kwevo pacha
Simba
Air Tanzania no one like diamond pokea maua yako
Wewe vidox mnafki sana
Kwann diamond yupo tofaut nawasanii wengine hapa bongo?
tujifunze kutoka kwa simbaaaaa kiswahili chetu..
Like kama zoteeeeeee
Ume rauka 5-30 ata Swalah uku shughulika nayo n mmbo y dunia
Chibuuuuuu
Au unataka uwa,,,,, kama zuchu
Huyo jamaa anamshika kichwani mond anafaa kuwa chawa wake kabisaaa maana baba levo kazi imeanza kumshinda🤣🤣
Dume zima kazi kujiramba madomo2
Na wewe siujilambe 2zi yako kwani tatizo nini
Kinywaji namba Moja Tanzania n Mo Extra Hana Mpinzan
Hy KILA Kitu number moja kwake🤣
ZUCHU anawivu Sana NDOMANA WASANI wakike hawaitwi😢😢
Acha uongo ww
@@elizabethchabluma-zw5qz Amin nakwambia kwahy unataka kunambia WASANI Wote wakike wanaringa ama HAWANA nyimbo nzur za kuingia wasafi sio kwel
Kweri kabisa
Sio wivu anawahofia
@@zaynabmwanjovu1002 yawezakuwa pia 7babu