Show Nzima ya Diamond Platnumz na Jux kwenye Tuzo za Trace Rwanda
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2023
- Ahsante kwa kuwa mwana familia, kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ili usipitwe na habari zetu.
FOLLOW US
Follow on Instagram: / mwendokasitv
Follow on Facebook: / mwendokasimedia
#marioo #diamond #alikiba #zuchu #mbosso #rayvanny #zai #kontawa #neywamitego #harmonize #afunguka #yanga #azam #simba #jinsiya #namnaya #baikoko #story #kajala #ireneuwoya #paula #wasafi #piewdew #wwe - กีฬา
Asante diamond platnums 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 kwakutujengea heshima nafurahi sana kuwa shhabiki wa WCB Simba aujawahi niangusha,,
Kwakweli siamini kama diamond platnums huyu ninaemjuwa Mimi amekuwa juu kiasi hiki jamani chukuwa mauwa Yako diamond platnums 🔥🔥🔥⭐⭐✨✨💥💐🌹🌺🌸🌿🍂🌾🌿☘️☘️🌱🌼
Wow!!❤ stage zao nzuri kama za ulaya
Huko hamna mafisadi hata ndege walinza kumiliki kabla yetu
Mshenziii amewanyooshaa nyoko zao chezea shibu dangote nini❤❤❤❤❤❤mond wetu twajivunia wewe
Salute to diamond platnumz this is so amazing
Hamonize kweendraaa na umakonde wako wa kikuma simba❤❤❤
Tanzania tunajivunia uwepo wako ,,diamond kwakweli nasema ,mungu akuongoze Zaid kazi zako wtz tunakupongeza Sana na popote inaunguruma,simbaaaa😅😅hongera kwa tuzo
Best artist in Africa.. I say Africa because despite the fact that Simba is from a Swahili nation, he still competes with the best artists
🙏💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
He's the best
Big performance
Hatari sana
Yan amemalizia vizur😊😊😊😊
Vraiment upendo
Kenya tanzania simba ❤❤❤❤
Rwanda 🇷🇼 wako juu kwenye mambo ya ukumbi na maandalizi kama Ulaya
Ila Mond yupo juu bnaa alipoingia kwenye nyimbo ya Jux stage ilibadlika na ukumbi ukawaka moto ful shangweeeee
Like zangu😂
Uyo ndo simba la masimba dangote mpaka waseme baba 😂😂😂❤
Simple marketing strategy.
Kuwa na mangers ambao watafanya research ya nyimbo zako zinazopendwa sehemu Ili ukipaform watu wawe na VIBE.
Hii itasaidia kukujenga kwa siku zijazo.
Huu ujumbe wangu ni kwa wasanii wachanga sio MONDI
Nasisi tukipata Alena yetu itapendeza Sana Sema mama Bado ananunua magori akimaliza atatuwekea na sisi bajeti
Simba kweli baba lao jamn apewe maua yake 🙏❤️🙏❤️👈❤️🙏
Jux anaenda kimataifaf
❤❤❤jamaaa anajua mpaka anaboa
I like the way the cameraman does it well 🎉
Tanzania representing in the house
❤❤❤❤
nabado mtasema mpakamseme badohamjasema nautashema simba fanyakaziyako😅
East africa finest😍😍
2:53 ❤❤❤❤❤❤
Umetisha kk
Duuuuu ❤❤❤
Simba aaaaa
Simba❤❤😂😢😅😅😅
❤❤❤❤ super
kaka mondi umetisha
Amazing performance🫡🫡
❤❤❤❤❤ 🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉😊
Huyu jamaa hanaga muda wa kupumzika....i sure yu anafanya kaz usiku na mchana, na mkono wenye bidii acha upate...
Je hao kweli ni washirikina
Umemheshimisha Jux
Simba
Nawaza huyu diamond asingekuepo Muzik wetu sijui ungekuwa wapi now maan wasanii wengi TZ hawajitumiii kabisa. Diamond umetuheshimisha sana
Pafomas good
Simba ni simba na ndo baba lao
Baba lao
D mmoja tuu tz
❤❤
Zambia tunakubali saana diamond,kazinzuli saana burundi mukowapi???😂😂😂
Big parfomce
Harmonize kwendaaaaaaa!
🙏🙏🙏🙏❤❤❤
Mwingine hajalewa mwingine yupo na chameleone halafu wanajiita wakubwa
,🤪🤪🤪🤪🤔