DIAMOND PLATNUMZ AELEZA SABABU ZA KUFANYA SHOW MCHANA AFRO NATION, WANIGERIA WANAJIPENDELEA WAO TU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 มิ.ย. 2024
  • Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
    We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
    #entertainment #news #music #funny
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 8

  • @TanzaniteInAmerica
    @TanzaniteInAmerica หลายเดือนก่อน +5

    Ali perform saa mbili kasoro usiku military time ni 1945 . Tuwe proud

  • @kalistuschaula
    @kalistuschaula หลายเดือนก่อน +2

    yupo sahihi, kwanza ukichaguliwa upo juu kaz buti yote possible

  • @JoshuaKololi
    @JoshuaKololi หลายเดือนก่อน

    King of east africa diamond platinumz taja mwingine tuone hamna

  • @DeviMwaikuju-bh1ls
    @DeviMwaikuju-bh1ls หลายเดือนก่อน

    Diamond...umeumia ata sisi mashabiki zako tumeumia,ila Cha kumshauli haache kuperfom nyimbo ambayo alishilikishwa mda mlefu ya innose be nyimbo mpya ni nyingi sana kama anaona hazipo ki international ajipange kuachia song za international kaka upenyo anao mkubwa sana na kwingine .... Diamond aonyeshe mabadiliko sio Kila show apande na dancer inabidi aonyeshe ukubwa wake apande mwenyewe na asitumie nguvu sana ,atumie style ya kwenye video zake za song anavyo fanyaga....... Amfatiliae burna boy kwenye show zake atumii nguvu anatumia ustaa,kama Hela tayali unazo ni mda wa kujitanua ukiwa jukwaani

  • @ahammedmahruki8708
    @ahammedmahruki8708 หลายเดือนก่อน

    Muongo huyo watu kama walikuwa wanaitapa nyia tu hata hamna😅😅😅 asijitetee shida yake ana mdomo sanaaa ndio ummemponza😂😂😂

  • @DuliBrillant-mr8er
    @DuliBrillant-mr8er 25 วันที่ผ่านมา

    Msanii wa kawaida lazima upande mchana

  • @DuliBrillant-mr8er
    @DuliBrillant-mr8er 25 วันที่ผ่านมา

    Mze kwa hao aloingia nao diamond ni mkubwa kiu umri kweny usanii lakin kiustar hakuna anaemueza

  • @mustafamsati9599
    @mustafamsati9599 หลายเดือนก่อน +1

    Hahaha wa Nigeria wamwingia kwenye mfumo hawaingii miziki hii Kumbe hata kuwakazia kwenyeratiba huwez vomasava unaimbia juani