FAHAMU VIJANA WANAOISHI KWENYE GARI BOVU, SIJAWAHI KUPANGA,TUPO 20, KUOKOTA CHUPA, WANAUWEZO HUU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 180

  • @Lameck-f5i
    @Lameck-f5i หลายเดือนก่อน +37

    MUNGU ni wetu sote. Hakuna kukataa tamaa ipo siku mambo yatakuwa mazuri, kikubwa usiibe. MUNGU anajua mawazo ya kila mmoja na jitihada zake na kwa wakati wake atatenda. Amina

    • @LucyMichael-s4u
      @LucyMichael-s4u หลายเดือนก่อน +4

      Kazi ni kazi,kibaya kuiba mungu anajua unachotufuta Najua atafungua njia

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla หลายเดือนก่อน

      Umaskini sio sifa tuuukatae

  • @wilsonwafulachebokati4933
    @wilsonwafulachebokati4933 หลายเดือนก่อน +39

    Wamenikumbisha mbali. Nikilala kwenye Costa manzese.😢😢😢😢 Leo nashkuru mungu niko ulaya kweli mungu wakwetu sote

    • @jeffkonki8279
      @jeffkonki8279 หลายเดือนก่อน +1

      Ila kaambali na pididdy uko tunakupenda mtz mwenzet

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 หลายเดือนก่อน +2

      Hakika haya maisha tumeyapitia san mie japo sijawah lala inje lakin maisha yalikue magum ila sai alhamdulillah nina pesa lakin wakusimamia hata ujenzi sin sijui huyu wamsumbiji atanisaidia am atakuw siyo mwaminifu

  • @yusuphlazaro
    @yusuphlazaro หลายเดือนก่อน +21

    Bora wee darasa la 7 Mimi nimeishiaa 3 lakn saiv mambo yamenyokanman pg kazii elim ni mfumo TU ilaa akili ipo kichwa n man

  • @ColinsSix-qb6mv
    @ColinsSix-qb6mv หลายเดือนก่อน +2

    Ww mtoto kwenu kibeberu kitunda umezaliwa hapo umekulia hap dhuu kwel ya mungu mengi

  • @Kuruthum-v8j
    @Kuruthum-v8j หลายเดือนก่อน +3

    Mwenyezi mungu awafanyie wepesi🤲

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 หลายเดือนก่อน +9

    Mwenyezi watizame waja wako hawa najua unawaona bc washike mkono uwaongoze na uwabariki inshallah

  • @MohammadNickodem
    @MohammadNickodem หลายเดือนก่อน +4

    Mwenyezi mungu awafamyie wepesi awafungulie milango ya rizki Allah Huma amini

  • @Keyjop
    @Keyjop หลายเดือนก่อน

    Wala msirudi nyima na msikate tamaa na hakika mungu ata wasaidia abarikiwe hata alonunuaga hilo gari mungu aikumbuke familia yake na hawa watu pia 💪

  • @Awoshy
    @Awoshy หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢nimeumia sana natamani ningesaidia kitu ila ndio hivyo na mimi hali ngumu 😢maisha hayo ndio niliyopitia ya kulala nnje😢😢😢😢endeleeni kupambana Mwenyezi Mungu atawasaidia inshaallah 🙏

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 หลายเดือนก่อน +5

    inahuzunisha sana..nmejikuta nalia tu hawa kaka zangu wamenihuzunisha..wazazi wao wacpowatumia chochote kitu wanajua watoto wao hawawajal kumbe maskini hali ya maisha c nzuri😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @eliasmichaelluambano295
    @eliasmichaelluambano295 หลายเดือนก่อน +3

    Mwanaume Ni Mwanaume Tyuu Na Hakunaga Aliye Bora Ni Swala La Mda Tyuu Mungu Awatangulie...

  • @FredyKaitani
    @FredyKaitani หลายเดือนก่อน +7

    Kikubwa mpambane 2 na muwek hakiba imani yangu mtaishi vizur 🙏💪💪

  • @donathamwangobe2776
    @donathamwangobe2776 หลายเดือนก่อน

    Mungu yupo mtafka mbali sku moja inshallah Mungu hamnyimi riziki mja wake

  • @jamesmzaki6041
    @jamesmzaki6041 หลายเดือนก่อน +7

    Mm nawaambiaga ndugu zangu hata siku moja usiende Dar kama ramani haiko vizuri,,,Ni heri kule kule ulipo tafuta kamtaji nunua mifuko ya Magufuli uza kwenye minada na magulio utapata pesa na maisha yatakuwa bora kwako.

    • @AminaAmine-v4m
      @AminaAmine-v4m หลายเดือนก่อน

      Kabisa umeongea point

  • @ibraagift6772
    @ibraagift6772 หลายเดือนก่อน +21

    Mngetupa namba zao tuwarushie kitu kidogo

  • @Amospius-r3y
    @Amospius-r3y หลายเดือนก่อน

    inaskitisha,nusu inachekesha! mungu awajalie!

  • @AdediPharmacy
    @AdediPharmacy หลายเดือนก่อน +2

    Mungu awafungulie milango ya riziki.

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 หลายเดือนก่อน

    Natamani sana niwe mama wa samweli hapa duniani. Natamani sana niwe sehemu ya maisha yake na mkewe na watoto wao pia niwaone kama wajukuu zangu.

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt หลายเดือนก่อน

    Mungu amtupi mja wake ipo sku mtatoboa kwa uwezo wa mwenyezi mungu

  • @AISHAJUMAMCHANA
    @AISHAJUMAMCHANA หลายเดือนก่อน

    Inauma sana

  • @teddymassawe3583
    @teddymassawe3583 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu awapiganie hakika mtatoka tu ndugu zangu,msikate tamaa

  • @magdalenakilapilo6791
    @magdalenakilapilo6791 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU halali hasinzii YESU wakumbuke na uwarehem POPOTE walipokosea kwa lengo la kutaka kupatia kwa ajili ya maisha.🙏🏼

  • @GodfreyMhando-gn7ok
    @GodfreyMhando-gn7ok หลายเดือนก่อน +6

    one day Mungu atajibu

  • @SinganoSelemani
    @SinganoSelemani หลายเดือนก่อน

    Pambana kaka mungu mkubwa maishapopote iposikuutayasahau maçhungu,singano selemani tanga mjini

  • @AngelMazola
    @AngelMazola หลายเดือนก่อน +1

    Aya maisha aya jamani mmhh!! Yani mpaka loho inaniuma wanaume wapole wapole karibu wooote hawana pesa ndio maana watu awaolewi cku izi maisha yamekuwa magumu mnooo mungu atufanyie wepesi sote 🙏🙏🙏

  • @kelymbilinyi2274
    @kelymbilinyi2274 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @aishakambenga6191
    @aishakambenga6191 หลายเดือนก่อน +8

    Kama nawaona mnavyoenda kufanikiwa na kuwa matajir wakubwa sema Inshallah 🙏🏾🙏🏾

    • @MinskBelarus-il2tl
      @MinskBelarus-il2tl หลายเดือนก่อน

      Aisha,hao ni MATAJIRI wa kutokata TAMAA na wengi hatuna. Umesoma SURA zao wakati wanahojiwaa.....WANATABASAM na hakuna aliesema "Mama SAMIA tusaidie". Huo ndio utajiri utakaowatambulisha mbele ya Mola wao

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 หลายเดือนก่อน

    Kalime moro

  • @IreneJoas
    @IreneJoas หลายเดือนก่อน +1

    Uyu wa kwanza kuhojiwa jamaniii namjuaa anakaa kitunda kibeberu tena n bodaboda kusema katoka mwaka jana kijin kwaoo BIG NO

  • @christiancalvin2183
    @christiancalvin2183 หลายเดือนก่อน +1

    mungu bariki harakati zote halali za watafutaji🙏

  • @ColinsSix-qb6mv
    @ColinsSix-qb6mv หลายเดือนก่อน +1

    Acheni kudanganya jamii huyo msigara ana kwao kabisa acheni uongo

  • @benahgrafix
    @benahgrafix หลายเดือนก่อน

    Daah nashukur sana 🙏🏽🙏🏽

  • @AsungaSteven
    @AsungaSteven หลายเดือนก่อน +2

    Wekeni namba zao tugawane chochote kitu.

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d หลายเดือนก่อน +16

    Jamani daa pagumu kama huna kazi mm ni msichana lakini nimelala mbezi siku tatu mpaka Leo hii nimeamua kubeba zege na tololi maana sijasoka nakuomba mungu unipe mume TU sijawai olewa

    • @abdallahally5788
      @abdallahally5788 หลายเดือนก่อน +1

      Pole sana uko wapi kwa sasa

    • @jamesmzaki6041
      @jamesmzaki6041 หลายเดือนก่อน

      Mmmh! Are you serious??

    • @MbiziLuvukastore
      @MbiziLuvukastore หลายเดือนก่อน

      Mh

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt หลายเดือนก่อน +5

      KamaHutaJali TumaNambaYakoHapa nikuunganishe naAjent ufanyiwePaspot uje huku Oman SiyeWenzioTunapambana mungu niwakwetuWiteInshaAllah

    • @SihabaAbdallah-li6dx
      @SihabaAbdallah-li6dx หลายเดือนก่อน

      Kwel kbs aje oman ​@@SalmanMughal-lq5lt

  • @Clex-f5s
    @Clex-f5s หลายเดือนก่อน

    Mjumbe na SERIKALI ya Mtaa kwa inawafahamu🙏🏽

  • @leonardsasita4634
    @leonardsasita4634 หลายเดือนก่อน

    Ukipata sehemu ya kulala unashukuru Mungu

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md หลายเดือนก่อน

    Hayo ndio maisha ya vijana wengi wa kitanzania kula kulala ni mtihani mkubwa sana

  • @RodenMgata
    @RodenMgata หลายเดือนก่อน +1

    Tshall sana nje tandale sokoni

  • @StevenKapugi-y7b
    @StevenKapugi-y7b หลายเดือนก่อน +1

    Daaah😢😢😢😢😢inaumiza sana😢😢😢😢😢

  • @BakariMalembeka
    @BakariMalembeka หลายเดือนก่อน

    Duuu mbalisana kwn hata mm nshawai kuishi maisha hayo hapo dareslm

  • @khamisswalehe
    @khamisswalehe หลายเดือนก่อน

    me nimeanza maisha na mke wangu tunalla kwenye godoro la nchi 4 halaf tulikua hatuna hta kijiko

  • @farajaphilipo8844
    @farajaphilipo8844 หลายเดือนก่อน

    Ila watu wanaokimbia mkoan kuja dar wakidhani maisha ni rahisi dar Bora wake mkoan walime wanaweza kutoboa dar maisha magum

  • @HizaMwaimu
    @HizaMwaimu หลายเดือนก่อน +4

    Asante mungu kwa nafasi uliyonipa

  • @Esthercharles-h8q
    @Esthercharles-h8q หลายเดือนก่อน

    😢mungu awasaidie kaka zangu

  • @gyestudios267
    @gyestudios267 หลายเดือนก่อน

    wale tunaokomaa na mlo mmoja tena kwa bahati mkono LIKE HERE

  • @scholarmawala1403
    @scholarmawala1403 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana wanangu.hiyo gari ni ya nani sasasaa

  • @MonicaMacha-q7y
    @MonicaMacha-q7y หลายเดือนก่อน

    Afu kuna wew unaewaza kulelewa

  • @Felix-lo1cx
    @Felix-lo1cx หลายเดือนก่อน

    Daaaa mungu watangulieee

  • @boyfromtansania7788
    @boyfromtansania7788 หลายเดือนก่อน

    Mungu awe upande wenu siku zote

  • @kale_maga
    @kale_maga หลายเดือนก่อน +1

    nmempenda wanasema kweli nngekua nauwezo nngewapa msaada

  • @musampanda3643
    @musampanda3643 หลายเดือนก่อน

    Kaz ya kumpa mtu ela kila mwezi sio kazi ndogo mjini jaman

  • @kelvinmisso4145
    @kelvinmisso4145 หลายเดือนก่อน

    Gari ikipimwa screpa watakaa wapi, kweli this time to morrow

  • @MussaChogogwe-f4m
    @MussaChogogwe-f4m หลายเดือนก่อน +1

    Hapo nikawe

  • @NeemaKabasha
    @NeemaKabasha หลายเดือนก่อน +1

    Huyo ni bodaboda kitunda kibeberu hakuna asiye mjuaa
    Ila so mbaya ni moja ya utafutaji

  • @NeemaKabasha
    @NeemaKabasha หลายเดือนก่อน +1

    Mh jamani

  • @RechoJeremia
    @RechoJeremia หลายเดือนก่อน

    Mdogo wangu alitoka nyumbani Toka mwezi 6 anaweza akawa hapo sijuwi anaitwa jastini julius kutoka dodoma

  • @denisjohn6888
    @denisjohn6888 หลายเดือนก่อน +2

    Number ni muhimu sana tafadhali...ss sote ni ndugu

  • @ChristopherKayera
    @ChristopherKayera หลายเดือนก่อน +1

    Kaweeeee

  • @simonsangu6040
    @simonsangu6040 หลายเดือนก่อน

    KAWE KWA MWAMPOSA Hapo gari lipo hilo

  • @dunstankihaa2383
    @dunstankihaa2383 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu mwema vijana wenzangu kila jambo Lina majira na wakati wake...wakat wa Mungu ukifika mtalala pazur na mtaishi pazur

  • @rosemsafiri7568
    @rosemsafiri7568 หลายเดือนก่อน +1

    Ungeweka na mawasiiano yao kaka Millard ili mwenye uhitaji wskuwasaidia wawasaidie

  • @saidalhabsi9257
    @saidalhabsi9257 หลายเดือนก่อน

    Nataka mume hapo sipati😢

  • @RamadhaniMsowelo
    @RamadhaniMsowelo หลายเดือนก่อน

    Kizuri wana smart phone na bando mana wanaperuz kweli mwagilia moyo kwanza

  • @AshuuuBakari
    @AshuuuBakari หลายเดือนก่อน

    Najiuliza tu mwenye gari yuwapi na siku akiliuxa nae vijana inakuwaje daaaah

  • @JOHNMARWA-pb5wy
    @JOHNMARWA-pb5wy หลายเดือนก่อน

    mungu wangu Ii watt wa kixhua watazani ni kiki

    • @MinskBelarus-il2tl
      @MinskBelarus-il2tl หลายเดือนก่อน

      John......watoto wa KISHUWA humu huwakuti, wao wanamambo yao Instagram na X. Wao ndio wataftaji wa Kick kuliko maelezo

  • @LitoDossani
    @LitoDossani หลายเดือนก่อน +2

    Maisha safari ndefu kaka usikate tamaa

  • @sergebaleke695
    @sergebaleke695 หลายเดือนก่อน

    Duuh !! maisha haya bhana we acha tu 😮

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 หลายเดือนก่อน

    Huyo kijan mie naomba muniunganishe nae nitachukuw namba ya milado hap

  • @nufaikafurnishers1384
    @nufaikafurnishers1384 หลายเดือนก่อน

    Formula kuu yakufanikiwa dar ni lazima utaabike miaka mitatu,

  • @omanmobile5746
    @omanmobile5746 หลายเดือนก่อน

    Naomba mmoja awe mme wangu milard ayo pls niunganishe nao mimi nitachagua ninaempenda tufanye biashara mtaji ninao 😢😢

    • @Judy-dy4zt
      @Judy-dy4zt หลายเดือนก่อน

      👍👍👍🙏🙏

    • @BenjaminiKipanda
      @BenjaminiKipanda หลายเดือนก่อน

      NIPE NAMBA AKO NIKUUNGANISHE

    • @omanmobile5746
      @omanmobile5746 หลายเดือนก่อน

      @@BenjaminiKipanda sawa

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 หลายเดือนก่อน +2

    MUNGUWAJALIE HAWA WAKAKA

  • @AllyMadenge-u6o
    @AllyMadenge-u6o หลายเดือนก่อน +1

    Maisha bora kwa kila Mtanzania ila hakuna Kunguni kweli humo?

  • @storytownTv
    @storytownTv หลายเดือนก่อน

    Dah..😢

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 หลายเดือนก่อน

    Natafuta namba sion weka namba

  • @LazandaSweety
    @LazandaSweety หลายเดือนก่อน +3

    Mmm jamani muwachunguzee hawa sio kwa ubaya mafano uyo apo wa kwanza maelezo yake sijayaelewa kwakweli msianze kuwaone uruma ukute ndio wezi wenyewe jamani 😢😢

    • @adiaygo8546
      @adiaygo8546 หลายเดือนก่อน +4

      Only God can judge them acha upuuzi

    • @DaheerK
      @DaheerK หลายเดือนก่อน +2

      Uliibiwa nn wangap wanalala nje acha uchonganishi wez unauhakika wapo hapo mda mrefu ww unaongea upuuzi

    • @salmamlokela1987
      @salmamlokela1987 หลายเดือนก่อน +3

      Kaa kimya kama una cha kuongea umezaliwa kwenu zipo ndoman unaandika ujinga

    • @JerrySanto-j1j
      @JerrySanto-j1j หลายเดือนก่อน +1

      Kuma ww wamekuibiaa mpaka unawaitaa wezii🖕

    • @8pistons194
      @8pistons194 หลายเดือนก่อน

      Zaidi ya matako meusi unanini chakuibiwa malaya ww.Wezi walikuibia mamaako au

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 หลายเดือนก่อน +3

    MAMA YETU SAMIA WASAIDIE HAO WATOTO WAKO ONA WANAVYOHANGAIKA. WAPE MTAJI MAMA YETU

  • @sophiamasolwa8027
    @sophiamasolwa8027 หลายเดือนก่อน

    😆😆😆hata sijui nacheka nn mbwa ww wafaida umetoka rufiji lini fara ww njoo nyumbani we si unakaa huku gongolamboto kitunda kibeberu 😆😆 aiseeee baba yupo Tena shehe kabisaaa unamtia aibu mpuudhi ww nimecheka sana nyumba kwenu ipo mpaka wapangaji baba kaweka afu ww unasema huna wazazi mbwaaa njoo nyumbani wafaida 😆

  • @BARAKAKAYUMBABWURE
    @BARAKAKAYUMBABWURE หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wafanyiie wepesi waja wako

  • @Byme6434
    @Byme6434 หลายเดือนก่อน

    Tungewachangia hawa Wa kaka Jamani Wapate bodaboda na huyo mwenye fani ya kuchora pia Angejiendeleza akipata bodaboda yake au atafutiwe ofisi

  • @walinaziontime7300
    @walinaziontime7300 หลายเดือนก่อน

    Dumila pale angepata bustani angevumikia Mwezi tuu kulima spinachi angetoboa

  • @jihalethegreat8807
    @jihalethegreat8807 หลายเดือนก่อน +1

    Maisha magumu sana asikuambie mtu

  • @nurdinihemed-f1m
    @nurdinihemed-f1m หลายเดือนก่อน

    Msigala muogope mungu bhna wewe kwenu siki2nda kibeberu wewe duuuuu? unatisha kaka Aya wewe narufiji wapnawapi

  • @petermogha7025
    @petermogha7025 หลายเดือนก่อน

    Wanajisaidia wapi jaman

  • @alfamgayatv872
    @alfamgayatv872 หลายเดือนก่อน

    Huyo lafikiako nataka kumujua anaroho yakipee sana naomba no ake

  • @NechLove
    @NechLove หลายเดือนก่อน +2

    Watu wako na smart phones waseme maisha magumu

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 หลายเดือนก่อน +1

    mama samia kipenz chang waone hawa watoto wako..wafikilie kitu cha kufanya angalau wajikwamue kimaisha

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 หลายเดือนก่อน

    Unawahoj watuy alfu unasem mtuy akitaka kukusaidia atasaidiw vip bila namba mbon mko hiv

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 หลายเดือนก่อน

    Nahic milard ayo km mmewachongea wenzenu aisee

  • @BENEDICTMHINA-pd1kr
    @BENEDICTMHINA-pd1kr หลายเดือนก่อน

    Ludini kijijìni

  • @JohnFocus-l8g
    @JohnFocus-l8g หลายเดือนก่อน

    Uyu jamaa wapili yupo saw kwli

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla หลายเดือนก่อน

      May be mentally hayuko sawa mawazo au kuongea mbele ya camera anafeel shy may be there are alot going on behind basi tu.

  • @rosemsafiri7568
    @rosemsafiri7568 หลายเดือนก่อน

    MUNGU atawajalia

  • @salmamlokela1987
    @salmamlokela1987 หลายเดือนก่อน

    Mtafanikiwa tu watanzania ni watu wa upendo watawasaidia

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu หลายเดือนก่อน +4

    Hela ya goli la mama kwann wasipewe mitaji hata kama ni kidogo watu kama Hawa?au ziende hospital zikasaidie wagonjwa wasio jiweza?

    • @MinskBelarus-il2tl
      @MinskBelarus-il2tl หลายเดือนก่อน

      Kwani,wale wanaopewa hela ya Mama hawaihitaji???? Nilitegemea sisi tuwachangie wenzetu

    • @SurprisedFullMoon-gg9vu
      @SurprisedFullMoon-gg9vu หลายเดือนก่อน

      @@MinskBelarus-il2tl mtu kama mo dewji ni wakumpa helaa?au ndo ukiwa nacho unaongezewa

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 หลายเดือนก่อน +1

    imeisha hiyo pikipiki utaipata kwa mama yako samia..namaanisha raisi wetu naamini amekuckia

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w หลายเดือนก่อน

    Mbona yuko na smart phone 📱 auze wapange

    • @petrolconrad4250
      @petrolconrad4250 หลายเดือนก่อน

      Kwa hela kwenye hyo smart phone? Usishangae thamani yake haizidi 100k...na kupanga dsm si sawa na vikumbulu. Namuombea maisha mema lkn kwa mjini hayo maisha ni kawaida sana, bora hata yeye kapata basi...sisi tumelala sana viwanjani

    • @Judy-dy4zt
      @Judy-dy4zt หลายเดือนก่อน

      Kodi ikihisha

  • @simbaboymawe435
    @simbaboymawe435 หลายเดือนก่อน +1

    Msaad wa kwanz wa kuwapa watu wa aina hii sio kuwapa pesa wala makaz wala kuwaonea huruma shida yao kubwa ni afya ya akil ukitak warud kweny mstar mtibu kwanz afya ya akil ila ukimp msaad wowote bila kumtibia apo ni kaz bure

    • @AngelMazola
      @AngelMazola หลายเดือนก่อน +6

      Wewe wew tema mate chini mimi mwenzio sisemi nna akili timamu lakini maisha yalivyokuja kunigeukiq kipindi icho bas we naona ndio ungeniona mavi kabisaaa,, kuna watu wanaakili timamu lakini aya maisha ndio yanawadhalaulisha mpaka mtu anaonekana kama vile hana akili kumbe sivyo usisemage ivyo maisha ayana kanuni yanaweza kukufanya ndivyo sivyo ata wewe unaejiona umeshayapatia kikubwa kuomba mungu tu

    • @Mr_smart.code_10
      @Mr_smart.code_10 หลายเดือนก่อน

      ​@@AngelMazolaFact kabisa

    • @simbaboymawe435
      @simbaboymawe435 หลายเดือนก่อน

      @@AngelMazola ujaenielew nadhan afya ya akil sio kukosa akil unapaswa kulijua hilo afya ya akil inajumlisha mamb meng kuna watu wamekata tamaa wamejitoa thaman kweny jamii wanahis hawawez tena au hawawez kuish kama wengne na wengine maish ya mtaan yamewabadilisha roho wamekua kama wanyama ivyo haw watu wanaitaj msaad wa kisaikolojia kuwekwa saw unaposkia afy ya akil sio kwamb ni uchiz au kukosa akil elewa kwanz

    • @AngelMazola
      @AngelMazola หลายเดือนก่อน

      @simbaboymawe435 Bado una shida wewe kwaiyo mtu akipita maisha magumu sana uko mitaani kiasi kama icho ndio anabadishwa roho yake inakuwa kama mnyama!!!?? Sio kweli mimi nimepita kwenye maisha magumu vibaya mno nalala njaa naamka njaa nalala nnje tana nnje aswaaa aki ya mungu miasha magumu vibaya na mpaka sasa mungu ameniinuwa wala roho yangu haikuwahi kubadilika, angalia usije ukachanganya roho yateja na mtu mwenye maisha magumu ni vitu viwili tofauti

    • @AngelMazola
      @AngelMazola หลายเดือนก่อน

      @@simbaboymawe435 Kuna watu wana utu nawana hofu ya mungu pia nawana akili timamu kabisa na roho zao nzuri tu ila aya maisha aya ndio yanawafanya wanaonekana wa ovyo lakini sivyo kabisa ingekuwa sijawahi kupita kwenye maisha magumu ningesema ni kweli unachokiongea lakini nimepita tena kwa machozi maito naelewa sana,, husije ukamuweka mtu mwenye akili zauteja na mwenye maisha magumu haipo sawa

  • @HafsaShekigenda
    @HafsaShekigenda หลายเดือนก่อน

    Tafuteni chumba wacheni ugumu jamani

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh หลายเดือนก่อน

    Ww ayo tv unakosa habari eti

  • @modricseif1018
    @modricseif1018 หลายเดือนก่อน

    Maisha 🤦

  • @Joe-tr2vk
    @Joe-tr2vk หลายเดือนก่อน +1

    Ngoja nije nilitoe gari langu,kumbe mmeshalifanya nyumba?😂

    • @omaryissah3133
      @omaryissah3133 หลายเดือนก่อน

      😊😊 we jamaa wewe

    • @MubarakaCloud
      @MubarakaCloud หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣