MBUNGE NA MKUU WA WILAYA YA KONGWA WAKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA KATA YA MLALI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.พ. 2024
  • Mkutano huo umefanyika Februari 27,2024 katika Viwanja vya ccm vya Kata hiyo ambapo Mhe. Senyamule ameweka bayana miradi ya maendeleo iliyotekelezwa katika Kata hiyo ikiwa ni pamoja na ujenzi wa Shule Mpya ya Ihanda umoja Sekondari, ujenzi madarasa 4 ya Shule ya Sekondari Mlali, ujenzi wa Barabara ya Mlali- Pembamoto kwa kiwango cha changarawe yenye jumla ya garama za kiasi cha fedha zaidi ya Shilingi Millioni 787.

ความคิดเห็น •