Jirani Aeleza sababu za KIFO cha SAM WA UKWELI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
  • Msanii wa Bongo Fleva ambaye wimbo wake wa sina raha ndio ulimpa umaarufu mkubwa Sam wa Ukweli amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Katika hospitali ya Palestina iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam.
    For more Entertainment News and Updates Watch Refresh on Wasafi Tv Every Monday to Friday, follow us on Social Media:-
    Instagram: @WasafiTv
    Twitter: @WasafiTv
    Facebook: @WasafiTv
    or
    Intagram: / wasafitv
    Facebook : / wasafitv
    Twitter : / wasafitv

ความคิดเห็น • 232

  • @fidelmcmoganda528
    @fidelmcmoganda528 6 ปีที่แล้ว +9

    Rest in peace Sam. I loved your songs soon much here in Nairobi Kenya.

  • @rahmamohd1519
    @rahmamohd1519 6 ปีที่แล้ว +5

    Inna lillah wainna ilayh rajiun nakumbuka kile kipande cha wimbo wake wa sina raha "wachawi na wapenda ngono sio kwenu tu hata kwetu wapo 😢😢😢😢 pumzika kwa aman Sam😢😢😢😢

  • @teddymanana7838
    @teddymanana7838 6 ปีที่แล้ว +6

    wabongo ndo tabia zao wanashindwa kumsaidia mtu akiwa hai akifa ndo wanajua thamani yake inauma sana hakutakiwa kupelekwa dispensery. daah mungu hailaze roho ya marehemu mahali pema ameen

  • @Okayafilm
    @Okayafilm 6 ปีที่แล้ว +1

    Daaaaaah Mungu amlaze mahali Pema pepon Amina.

    • @neemamsele9700
      @neemamsele9700 6 ปีที่แล้ว

      Jamani samu waukweli punzika kwa amani inauma Sana da

    • @anethchotto9315
      @anethchotto9315 6 ปีที่แล้ว +1

      Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe amina

  • @tumajuma6917
    @tumajuma6917 6 ปีที่แล้ว +1

    Innalillah wainaillahi rajiun.Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema.

  • @dockaridk
    @dockaridk 6 ปีที่แล้ว +5

    Rest in peace Sam, I still play his old song HATA KWETU WAPO. RIP.

  • @omarymkumbo933
    @omarymkumbo933 6 ปีที่แล้ว +1

    mungu ailaze roho ya mrahem Sam peponi Amin

  • @bahatimatiku4294
    @bahatimatiku4294 6 ปีที่แล้ว +4

    Hivi kwel meneger unaweza kukuwepa kulaumiwa kwa hili badala ushugulikie afya ya mtu we unapambana kuanda show Duu Mungu na akulaze mahali Pema pepon

  • @coolcool7330
    @coolcool7330 6 ปีที่แล้ว +1

    Innalillah wainnaillaih rajuun.poleni sana wafiwa wote

  • @aishamohammed6395
    @aishamohammed6395 6 ปีที่แล้ว

    Innah lillah wainah ilehy rajiun .....Mungu akueke pema peponi

  • @kingsmusiccover685
    @kingsmusiccover685 6 ปีที่แล้ว

    Inalilahi alifanikiwa kufunga Ramadhan Hata siku chake

  • @geofreysolomon8532
    @geofreysolomon8532 6 ปีที่แล้ว +1

    Hivi hawa mamanager mbona wako bussy na hela kiasi hicho. Simulaumu manager lakn aliua Sam anaumwa lakn badala ya kuhakikisha mteja wake apone lakn yeye alikazania kutoa ngoma tu. Sio vzuri hata kidogo

  • @mussamdaki7990
    @mussamdaki7990 6 ปีที่แล้ว

    poleni sana majirani na mashabiki kwa ujumla na pia nikushukuru sana kaka kwa namna ambavyo umekuwa na busara katika kuelezea jambo hili

  • @gaudinamosnchobe4909
    @gaudinamosnchobe4909 6 ปีที่แล้ว +8

    apa ndipo ninapoona uchungu mwenzetu msanii mkubwa kabisa lkn kutokana na ukatili wanaoufanya wausika wa mziki kweli inauma mtu kama sam asingeweza kufa kifo cha nmna hii kama uyu jamaa anavyosema kwamba alikuwa anataka asaini mkataba wa shoo apate hera ili aende hospital kweli inatia uchungu sana unajiuliza ni sam kweli jamani basi watu mnaousika na mziki msifanye hivo sam ametoa eat song nyingi kwanini mpaka sasa anaingika na hera ya kwenda hospital kufanyiwa cheekup kiukweli inauma sana

    • @victorsomba867
      @victorsomba867 6 ปีที่แล้ว +1

      Gaudinamos Nchobe chaajabu mpaka Mkewe anakosa hela ya nauri Kwenda kumuona hapo mabibo from ilala kweli???

  • @abucool8462
    @abucool8462 6 ปีที่แล้ว +1

    r,i,p rafiki mwenza tulikupenda bali mpango ya jalali ikatimizwa, so let God be with u my friend,,

  • @elisawangare3296
    @elisawangare3296 6 ปีที่แล้ว

    Daah dunia mapito tu mungu ailaze roho yake pema peponi

  • @sanhutabdalla9873
    @sanhutabdalla9873 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu Amrehemu

  • @ccmchadema8107
    @ccmchadema8107 6 ปีที่แล้ว +2

    mungu amuweke Pahali pema peponi

  • @annkitonga6621
    @annkitonga6621 6 ปีที่แล้ว +1

    Shine on your way legend

  • @bundugeorge9872
    @bundugeorge9872 6 ปีที่แล้ว

    Pumzika kwa amani samu mungu akulaze mahali pema peponi nashindwa nisamaje

    • @bundugeorge9872
      @bundugeorge9872 6 ปีที่แล้ว

      M!!! Nimepata pigo kumbwa sana kuondokewa na samu nakuombea mungu akupumzishe kwa amani uko uliko ilove samu m!!!!!!!!

  • @hakimawadh7060
    @hakimawadh7060 6 ปีที่แล้ว +6

    Nimeumia. Sana nikiwa kama shabiki yake apumzike kwa amani
    R I p sam wa ukweli

  • @mwajumakweli6753
    @mwajumakweli6753 6 ปีที่แล้ว

    Pumnzika kwa hamani Sam sisi turikupenda hila Mungu nakupenda zaidi

  • @dankaniddy7506
    @dankaniddy7506 6 ปีที่แล้ว

    polen sana family ya sama

  • @sradastanford7379
    @sradastanford7379 6 ปีที่แล้ว

    Daaaaaa inaumaa sana jaman pumzika kwa aman Sam wa ukwee

  • @rahmamohd1519
    @rahmamohd1519 6 ปีที่แล้ว

    alikonda namna iyo daah kifo kifo kifo hakina huruma😢😢😢😢😢😭😭😭😭

  • @rezeekyomar563
    @rezeekyomar563 6 ปีที่แล้ว

    Innalilah wainnailah rajiun mola aileze mahali pema peponi

  • @josephajosephat8370
    @josephajosephat8370 6 ปีที่แล้ว +2

    Eeh Mungu ipokee roho ya mja wako 🙏🙏

    • @hamzaisamilo3508
      @hamzaisamilo3508 6 ปีที่แล้ว +2

      duuuh!!! kwa her Sam kapumzike salama umetuachia majonz mashaabik zako kwa herii Sam Sam Sam kazi ya mung haina makosa tangulia kwa amani nasi tuko nyuma yako hatuko nawe tena kimwil sam

  • @ignuskalongola4800
    @ignuskalongola4800 6 ปีที่แล้ว

    R.I P Sam, pia good coverage style ya Wasafi Media iko vizuri, Jirani ameeleza vizuri huku maswali ya Interviewer yakiwa hiding...imekuwa good flow. The best interview keep it up. Poleni wasnii kwa kumpoteza Team Member.

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 6 ปีที่แล้ว +3

    mtu anaumwa hamumpi hela za hospitali mpaka asaini mkataba ndio mumpe aende hospitali? wanamuziki jifunzeni kwa hili inamana hata studio kaenda kulekodiwa bilakupenda dah haya hatuwalaumu sana tusije mkufuru mungu

  • @lashalashira3003
    @lashalashira3003 6 ปีที่แล้ว

    Lala salama Sam wa ukweli tulikupenda ila ni kazi ya mwenyezi mungu haikosolewi Kwa kweri rest in peace

  • @einastykasola5120
    @einastykasola5120 6 ปีที่แล้ว

    Inauma sana kumpoteza mwanamziki Sam wa ukweli

  • @masumbukojulius354
    @masumbukojulius354 6 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P Sam wa Ukweli😭😭

  • @millardhalingnot9091
    @millardhalingnot9091 6 ปีที่แล้ว

    Mungu amulaze Mahal pema pepon Amen

  • @tendatanzania8358
    @tendatanzania8358 6 ปีที่แล้ว +18

    Imetosha kusema R.I.P
    Nasema iyo ROHO ya mauti ishindwe Kwa Jina la yesu Kristo

    • @alhabibhamis3599
      @alhabibhamis3599 6 ปีที่แล้ว +1

      hahahaha kila nafs itaonj umaut sasa iyo roho ishindwaj muhim ni kuswal na kumrejea Allah s. w R. I. P sam

    • @farhasalim9824
      @farhasalim9824 6 ปีที่แล้ว

      Maut hayato kwama mpka umma uixhe...kila nafc ita pita mlango wa maut kwa style yake!!

    • @Superman--un9xz
      @Superman--un9xz 6 ปีที่แล้ว

      R I P

    • @halimajuma9524
      @halimajuma9524 6 ปีที่แล้ว

      Kila nafsi itaonja mauti hakuna atakae salia.

    • @his-queenaisha7086
      @his-queenaisha7086 6 ปีที่แล้ว

      INNALILLAH WAINNAILEIHI RAJIUN

  • @aishaelias6826
    @aishaelias6826 6 ปีที่แล้ว +2

    Hili ni pigo kubwa sana kwa mashabiki kama mimi jamani😭😭😭😭

  • @velldashelias4116
    @velldashelias4116 6 ปีที่แล้ว +5

    sasa meneja anashughulikia mipango ya show wakati akijua mhusika anaumwa ivi kweli ni ubinadamu huo

  • @mashmashmkeyenge9210
    @mashmashmkeyenge9210 6 ปีที่แล้ว +5

    HAPA MSILAUMU MAANA KIFO UPANGA MUNGU NA HAKIEPUKIKI..KIKUBWA NI KUANGALIA MKEWE NA MWANAE WANAISHI VIPI..

  • @poulinegovarid6714
    @poulinegovarid6714 6 ปีที่แล้ว

    Kazi ya mungu haina makosa pumzika kwa amani Samu wa ukweli

  • @BidayoTV
    @BidayoTV 6 ปีที่แล้ว

    Daa! Life is too short jamani, RIP Sam

  • @mariaemmanuel9494
    @mariaemmanuel9494 6 ปีที่แล้ว +2

    rest in everlasting peace sam

  • @jayeshtulsi2487
    @jayeshtulsi2487 2 ปีที่แล้ว

    Samu nakumbuka tulikua wote msoga kwenye shuhuli ya watoto wa kikwete ulitupa brudani nzuri ama kweri chema hakidumu tutakutana samu

  • @aggreyoriema8914
    @aggreyoriema8914 ปีที่แล้ว

    Ongea na sauti kakaa...

  • @stephanosylivester5014
    @stephanosylivester5014 6 ปีที่แล้ว +3

    yan wabongo bwana,manager unashughulikia shoo badala ya afya kwanza kwa hyo ulitegemea aende jukwaan vipi,au mpk eti mpate pesa ya shoo ndo aende hospital kwan palikuw hakna pesa kabisa acheni hizo.r i p sam nakumbuka sana 2010/2011 ulivowika na sina raha,nyuma yako mbele yetu

  • @dredymusicofficial4128
    @dredymusicofficial4128 6 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P Sam wa ukweli 😢😢

  • @hemedypck6944
    @hemedypck6944 6 ปีที่แล้ว

    R.l.P Sam waukweli mbele yetu nyuma yako 😭😭😭😭😭

  • @wemanatenda214
    @wemanatenda214 6 ปีที่แล้ว

    Daaa nimeumia sana mm kama shabiki yake hamani RIP

  • @shakilamasoud8979
    @shakilamasoud8979 6 ปีที่แล้ว

    Aliimba kwa uchungu sana huo wimbo...

  • @shazdelacruz9800
    @shazdelacruz9800 6 ปีที่แล้ว +2

    Rip😫🙏

  • @douglasbahinda9526
    @douglasbahinda9526 6 ปีที่แล้ว

    Welcome Jahannam

  • @denismakweba3870
    @denismakweba3870 6 ปีที่แล้ว

    Mtu anaumwa alafu manager kumpa hela kwa ajir ya kucheki afya ni hadi afanye mziki,staki kuamin sababu hyo ila mmmmmh...!!!
    Ma-manager jaman...duh!!
    Return If Possible R.I.P

  • @ftmat2805
    @ftmat2805 6 ปีที่แล้ว

    R.i.p our lovely brodah😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @gaudinamosnchobe4909
    @gaudinamosnchobe4909 6 ปีที่แล้ว +3

    mnanufaika nyinyi tu wanaotoa jasho lao wanaangaika ila duniani tunapita

  • @dasalramadhani7053
    @dasalramadhani7053 6 ปีที่แล้ว

    Dah R.I.P wa ukae

  • @hythumdotto9847
    @hythumdotto9847 6 ปีที่แล้ว

    Innalilah waina illah rajiun quru nafsi dhaikatuli mauti kikubwa kujiandaa😢😢😢

  • @HamidAmina-r7o
    @HamidAmina-r7o ปีที่แล้ว

    Inililah wainalilah rajun😢😢

  • @munashabanimunashabani9976
    @munashabanimunashabani9976 6 ปีที่แล้ว

    yani wasani wa bongo wanafariki kiuzembeee awasaidiwi vizuri

  • @gaudinamosnchobe4909
    @gaudinamosnchobe4909 6 ปีที่แล้ว +3

    R.I.P SAM WA UKWELI

  • @rahmaninoh7434
    @rahmaninoh7434 6 ปีที่แล้ว

    😢😢😢😢😢siamin jaman r i p salum

  • @adyaa8922
    @adyaa8922 6 ปีที่แล้ว

    Duuuuh Poleni sana

  • @annemakaka210
    @annemakaka210 6 ปีที่แล้ว

    Tumbo tuu latoa uhai ama lipo lingine kando yake jamani??? Daah! Pumzika kwa aman Sam#hatakwetuwapo

  • @robbemanase9051
    @robbemanase9051 6 ปีที่แล้ว

    Mnaudhi sana watu mnao jifanya mna majonzi kwa kuongea sauti haisikiki, kama kweli una majonzi usinge weza ongea na media yoyote na nyie wenye hii channel muwe mna hakikisha mna tumia head phones kusililiza audio kama iko sawa.

  • @MNOMA255
    @MNOMA255 6 ปีที่แล้ว +3

    R. I. P. inaumasana

  • @zippyzippy2454
    @zippyzippy2454 6 ปีที่แล้ว

    Sad R.i.p

  • @apoloshavunza5767
    @apoloshavunza5767 6 ปีที่แล้ว

    duuuh poleni saaana

  • @mudrickmbuyu3263
    @mudrickmbuyu3263 6 ปีที่แล้ว

    R.I.P Sam wa Ukweli mdogo wangu

  • @ladislausmwesigwa9264
    @ladislausmwesigwa9264 6 ปีที่แล้ว

    Kazi ya Mora haina makosa upumuzke mahali pema peponi amina

  • @tendatanzania8358
    @tendatanzania8358 6 ปีที่แล้ว +5

    TANGAZO
    Wale wenye MAGONJWA ya kulogezewa na roho za MAUTI yupo DR. BINGWA ashindwi yupo EAGT CITY CENTER Kwa pastor Fj Katunzi. Utapona Nenda pale

  • @idayakey6886
    @idayakey6886 6 ปีที่แล้ว

    innallahi wainalliahi rajuna

  • @miyugitvtabora4760
    @miyugitvtabora4760 6 ปีที่แล้ว

    daa tangulia kaka sam sote2po njiani njianimoja2

  • @jensennashon6147
    @jensennashon6147 6 ปีที่แล้ว +4

    R.I.P SAM 😢😢😢😢😢

  • @wildflowgang4823
    @wildflowgang4823 6 ปีที่แล้ว

    mmmmmmh RIP sam

  • @bibiejumaa6850
    @bibiejumaa6850 6 ปีที่แล้ว

    Bora sam aliongea alichokua anaumwa kuriko wengine pumu zinawaondoa

  • @sheymahabdulwahidkhalid6355
    @sheymahabdulwahidkhalid6355 6 ปีที่แล้ว

    😭😭😭Sam

  • @hyasintakundy3257
    @hyasintakundy3257 6 ปีที่แล้ว +6

    Hawa mameneja wanyonyaji kweli MTU mpaka anaumwa hoi hata kumsaidia duuh najisikia vibaya kweli apumzike kwa amani sina LA zaidi,,

    • @liviaG87
      @liviaG87 6 ปีที่แล้ว

      hyasinta Kundy ndo kama yale ya Michael Jackson! Mungu anawaona mameneja

  • @frankhaji1387
    @frankhaji1387 6 ปีที่แล้ว

    Rip bro

  • @marjanmahrez5465
    @marjanmahrez5465 6 ปีที่แล้ว +2

    R.I.P 😢😢😢😢😢

  • @yohanamsafii3404
    @yohanamsafii3404 6 ปีที่แล้ว

    Rest in peace bro

  • @annpaul3433
    @annpaul3433 6 ปีที่แล้ว

    Rip in paradise 😚 😚😚😚😚

  • @veronicacharles2427
    @veronicacharles2427 6 ปีที่แล้ว

    Inauma jmn inauma uwiii Rip sam

  • @reallysammy6075
    @reallysammy6075 6 ปีที่แล้ว

    KIFO CHA SAM WA UKWELI CHA SIKITISHA WENGI ANGALIA 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
    th-cam.com/video/-3712p0kVh8/w-d-xo.html

  • @nancy6888
    @nancy6888 6 ปีที่แล้ว

    Rest in peace sam 😢😢

  • @kissjohantho6722
    @kissjohantho6722 6 ปีที่แล้ว +4

    r.I.p

  • @vickysamwely8196
    @vickysamwely8196 6 ปีที่แล้ว

    pumzika kwa amani Sam wa ukweli

  • @mnyamwez2510
    @mnyamwez2510 6 ปีที่แล้ว

    R. I. P Sam wa Ukweli

  • @jacklynedavids7494
    @jacklynedavids7494 6 ปีที่แล้ว

    Rip Sam wa Ukweli

  • @mufasamufas6023
    @mufasamufas6023 6 ปีที่แล้ว +11

    Nadhani sisi kama mashaniki tulitaka kujua msanii wetu alikua anasumbuliwa na nini hayo mambo kwamba alimaliza nyimbo au alitakiwa akafanye show sidhani kama ni muhimu kutuambia mashabiki zake sababu mtu yoyote alifa kunakuaga na mambo ambayo alikua anafanya au angefanya

    • @claraemmanuel4169
      @claraemmanuel4169 6 ปีที่แล้ว

      Mufas Carysa ukimwi wa kulogewa nenda millad ayo, stor ipo full

    • @ccmchadema8107
      @ccmchadema8107 6 ปีที่แล้ว

      Mufas Carysa nais plesha ya kushuka au muimu mkewe ndy atujuze

    • @mufasamufas6023
      @mufasamufas6023 6 ปีที่แล้ว

      Clara Emmanuel mmmh ukimwi wa kulogewa hiyo kali sasa jamani kama ni ukimwi basi iwe hivyo jamani sio kila kitu uchawi halafu wagonjwa wa ukimwi siku hizi hawafi kwa ukimwi labda matatizo mengine au alikua hazingatii dozi?

    • @claraemmanuel4169
      @claraemmanuel4169 6 ปีที่แล้ว

      Mufas Carysa mh! Ukistaajabu ya musa utayaona ya Sam wa ukweli...na kifo chake

    • @pattajunior9645
      @pattajunior9645 6 ปีที่แล้ว

      Ww yanakuhusu nn ?

  • @ngangatonny5720
    @ngangatonny5720 6 ปีที่แล้ว

    R. I. P bro wamekuroga wa bongo

  • @bunah4263
    @bunah4263 6 ปีที่แล้ว

    Inna lilah wainna ilah rajiun

  • @brightonmaganga1275
    @brightonmaganga1275 6 ปีที่แล้ว

    mmnashindwa hata kujali afya yamtu bizenashoo sasa kawaachia shoo lenu

  • @omarihassani2913
    @omarihassani2913 6 ปีที่แล้ว

    r.I.p mbere yako nyuma yetu

  • @Joze-ko9he
    @Joze-ko9he 6 ปีที่แล้ว

    Ina lilah wa ina ilaihi rajiun

  • @margretwatila5056
    @margretwatila5056 6 ปีที่แล้ว

    R.i.p my condolences from 254

  • @Joze-ko9he
    @Joze-ko9he 6 ปีที่แล้ว

    Uyu kijana alikuwa mzuri wasingemaca

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao 6 ปีที่แล้ว

    R I P SAM

  • @Ankooo.churi36
    @Ankooo.churi36 6 ปีที่แล้ว

    R.I.P home boy

  • @madeoff9981
    @madeoff9981 6 ปีที่แล้ว

    R. I. P SAM WA UKWEL

  • @petermim
    @petermim 6 ปีที่แล้ว

    RIP Sam wa ukweli#

  • @veronikazacharia7206
    @veronikazacharia7206 6 ปีที่แล้ว

    Rest in peace

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 ปีที่แล้ว +5

    Innalilah wainnailah rajiun, Rest in peace sam

    • @demungamsenga2250
      @demungamsenga2250 6 ปีที่แล้ว

      Saumu Hassan tatizo ampendani Kwanza mapua yenu marufu

    • @demungamsenga2250
      @demungamsenga2250 6 ปีที่แล้ว

      Saumu Hassan wivu wenu utawaponza

  • @inodeboytz3980
    @inodeboytz3980 6 ปีที่แล้ว

    Rest in internal place SAM WA UKWELI