FULL STORY: Producer aeleza dakika za mwisho za maisha ya 'SAM WA UKWELI'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 905

  • @hadijashabani2686
    @hadijashabani2686 6 ปีที่แล้ว +16

    😢😢😢ni pigo wallahi💔💔poleni sana familia ya sam Allah awatie nguvu ktk kipind hiki kigimu mlichokua nacho mbele yako nyuma yetu kila nafsi itaonja umauti🙏🙏😢Allah akupunguzie adhab ya kabri 🙏AMIIN😢ALLAH ATUJALIE MWISHO MWEMA😢💔🙏👏

    • @jaydon3361
      @jaydon3361 6 ปีที่แล้ว

      Hadija Shabani bonyeza picha hii kushoto kwako yenye alama W kisha bonyeza neno subscribe uone chanzo cha kifo chake

    • @godfreyndahaze1768
      @godfreyndahaze1768 6 ปีที่แล้ว

      Hadija Shabani hatari sana

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 6 ปีที่แล้ว +2

    Nyie watangazaji mngemstili mwenzenu jamani kha mpaka dunia nzima wajue malehemu kafa na nin jaman kam mke wake alikuwa ajui si mnamwua mapema kwa presha vingine si lazima muweke wazi mngemstili sababu ya mkewe na mtoto watu watawatenga 😔

  • @bikosteve3802
    @bikosteve3802 6 ปีที่แล้ว +5

    From Kenya R. I. P Sam.... Tuliupenda mziki wako... From Kenya leave a like for our fallen soldier

  • @evemukabi5984
    @evemukabi5984 6 ปีที่แล้ว +1

    RlP Sam ,Mwenyezi Mungu ailaze roho yako mahali pema.......you were one of my favorite bongo artists.

  • @mariej6962
    @mariej6962 6 ปีที่แล้ว +6

    Kijana wa studio uko genuine lakini matendo yenu yamemwuua Sam
    1. Mmekubali mgonjwa alale studio
    2. Kwa maelezo yako kala chakula mara 1 tu tena supu ya makongoro siku zote 2 alizoshinda hapo
    3. Mnamsikiliza mgonjwa anachosema wakati mnajua ni kosa mfano kutoitaarifu familia na kutokumpeleka hospitali
    4. Anazidiwa mnampeleka maabara. Maabara haitibu inapima tu. Kwanza hao maabara wanatakiwa kufungiwa huduma waliwezaje kumpokea mgonjwa aliyezidiwa hivyo?
    Conclusion: Sam angekuwa hai leo 100% iwapo mngetumia akili na busara.

    • @maryammrope148
      @maryammrope148 6 ปีที่แล้ว +1

      mwenyewe anaelezea bila aibu laiti angekuwa ndg yake asingempeleka hospital kisa mgonjwa kasema atapona kifo kipo lkn uzembe umechangia mungu ampunguzie adhabu za kabri Inshaallah

    • @mariej6962
      @mariej6962 6 ปีที่แล้ว +1

      Maryam Mrope angekuwa ndugu yake angempeleka hospitali mapema sana. Anavyojieleza haoni kosa lolote. Ingekuwa ulaya hapa angeshakamatwa na hii video ingekuwa ushahidi tosha.

    • @salomedarema304
      @salomedarema304 2 หลายเดือนก่อน +1

      Jamani maisha ya wasanii yana siri kubwa. Anaumwa mke hana nauli😢😢

  • @thaniazabraa5449
    @thaniazabraa5449 6 ปีที่แล้ว

    Halafu sikilizeni huo wimbo yy mwenyewe marehemu ameeleza ukweli steve mlitaka afiche nini tupende kuckia ukweli kuliko kudanganywa badala yakumpa pole steve mnatoa lawama amejitahidi pole sana steve

  • @jescakimario1747
    @jescakimario1747 6 ปีที่แล้ว +5

    jamn poleni sanaaa family yake na watanzania wote kwa ujumla ,,,,,jmn kusali ni muhimu pia huu mwaka kwa wasanii umekuwa kama 2012 wasanii weng walitutoka ,,,,it's so sad kwa kwel

  • @lovenesshumphrey4604
    @lovenesshumphrey4604 6 ปีที่แล้ว +1

    Daaaah inauma Sana daah ametutangulia nafs msafara n mmoja, mung ailaza roho ya marehemu Mahali pema peponi amen, 😘😘😘😘😘😘

  • @Vickyoung_Ensanako
    @Vickyoung_Ensanako 6 ปีที่แล้ว +3

    I really feel deeply hurt when I lose a role model. Sam made me love bongo music. May he rest in peace in paradise. Let him sing in heaven with Angels.

  • @tonykaromo
    @tonykaromo 6 ปีที่แล้ว +2

    From Kenya twakutambua Sam Wa Ukweli.......lazwa pema peponi

  • @lazaisblessings2695
    @lazaisblessings2695 6 ปีที่แล้ว +14

    Jamani mbona wanadamu tumekua hivi?Hatusitiriani 😔😔😔😔haikua lazima kueleza hayo yote mpaka ya kumfunga pampers

    • @tumpelugano1698
      @tumpelugano1698 6 ปีที่แล้ว

      lazais blessings umeona eeh mi sioni hata alichoongea kitasaidia nin kwa sasa

  • @thaniazabraa5449
    @thaniazabraa5449 6 ปีที่แล้ว

    Tubadilike wa tanzania tupende kuckia ukweli steve ameeleza ukweli ambao umetokea tatzo liko wapi jamani....ila mm nimeona walio wengi mnapenda kudanganywa limetokea haina jinc tumuombee hilo tu.acheni kupendwa kudanganywa pole steve

    • @mwajinawhite6502
      @mwajinawhite6502 6 ปีที่แล้ว

      yap wabongo weng uelewa chenga wayajue kwanza maisha ya studio ndo waseme uo ujinga wao

  • @shishiramnzava3565
    @shishiramnzava3565 6 ปีที่แล้ว +12

    Ayo mmeshindwa edit story kweli kujua nini cha kwenda hewani na nini cha kuacha siajpendezwa na kuruhusu kueleza kuwa marehemu aliomba afungwe pampers tena mbaya zaidi mmekazia kabisa kwenye title kama nd heading ya kuwavuta watu... siyo kila fact ya kuipublish nd maana hata yeye marehemu naamini hao aliowaomba wamsaidie hiyo huduma hakutegemea kama ndiyo waje waseme kwenye media....au kwa mtu mwingine as media kubwa kama Millard Ayo plzee mpate muda wa kujiuliza mara mbili before hamjapublish hata kama mna haraka ya kupiga scoop...R.I.P Sam wa Ukweli

    • @waqasco.851
      @waqasco.851 4 ปีที่แล้ว

      Hawako makini hao.

  • @gracerosi6179
    @gracerosi6179 6 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja na msaada wenu mlimchelewesha kumpeleka kwenye matbabu mungu iweke roho maala pama pepon

  • @Dakingyasta
    @Dakingyasta 6 ปีที่แล้ว +2

    daah hawa jamaa hawakua serious kabisaa ....yani unamsikiliza mgonjwa kuna muda tunatakiwa tuwe tunajiongezaa mtu anazidiwa mpaka munamuekea pampers afu bado mna relax ..tujifunzee hapa mgonjwa akiumwa peleka hospital sio kumsikiliza ...hili lipo sana katika jamii zetu ,wasilimia kubwa ya binaamu hua hatupendi kua wadhaifu na ni asili yetu na hua tunachukua uda sana kukubaliana na hali zetu ,,ndio maana sam hakutaka taarifa zitoke kwa watu wa karibu na hakutaka kupelekwa hosp ila ki saikologia mulitakiwa kufuata utaratibu wa kumpeleka hospi mapema ..saikologia ilihitajika zaidi ....anyway R.I.P SAM m.mungu alipanga iwe hivo

  • @alysimbaatena7392
    @alysimbaatena7392 4 หลายเดือนก่อน

    From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 sam mwenyezi mungu SUBHANNA WATALA Akupe Jannah fredous

  • @Anthony_Genge
    @Anthony_Genge 6 ปีที่แล้ว +9

    #R_I_P samu wa ukweli mwnyz
    MUNGU akupokee ktk ufalme wake

  • @1stladyafrica402
    @1stladyafrica402 6 ปีที่แล้ว +1

    Yaan kwa hayo maelezo ukweli ni kwamba wamefanya uzembe mkubwa sana kuendelea kumsikilizia mgonjwa mpaka hali inakuwa mbaya mwishowe anakufa kizembe sana.Kama wangewahi hospitali mapema ni wazi kwamba kifo kingeepukika.
    Pia Imani kubwa ya ushirikina(kurogwa) alokuwa nayo marehemu ndio imemsababishia kifo kwa haraka sana.
    Mungu ampumzishe mahali pema

  • @husseinabdu4651
    @husseinabdu4651 6 ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaa alokuwa anaelezea, ningekuwa karibu ningempiga
    Mtu anaumwa baada ya kufikilia hospital unafikilia ndugu zake, mtu ameishiwa nguvu na anashindwa kupumua unampeleka maabara. We have to be seriuous
    Any way RIP Sam wa ukweli

    • @janetwali586
      @janetwali586 ปีที่แล้ว

      mtu anaumwa masaa karibu masaa 24

  • @queenandchill91
    @queenandchill91 6 ปีที่แล้ว +1

    Nyie maboya kweli ..mtu anaumwa mnamsikiliza anachotaka???badala mmpeleke hospitali...ndo mtafute hao ndugu..Aisee akili zenu O kabisaaa mmemuua Sam....

  • @sistajoy1
    @sistajoy1 6 ปีที่แล้ว +6

    Tulikupenda sana ila Mungu ame kupenda zaidi
    R.I.P sam😓😓pumzika salama

    • @jaydon3361
      @jaydon3361 6 ปีที่แล้ว +1

      Furaha Kaluta Bonyeza picha hii kushoto kwako yenye alama W kisha bonyeza neno subscribe uone chanzo cha kifo chake

    • @sistajoy1
      @sistajoy1 6 ปีที่แล้ว +1

      Okay i wish to know that😓😓😓

  • @arafazakir4150
    @arafazakir4150 6 ปีที่แล้ว +2

    R.I.P sam Allah akufanyie wepec wa,safar yako mbele yako nyuma yetu 😭

  • @margarethsolomon693
    @margarethsolomon693 6 ปีที่แล้ว +20

    Mara nyingi uhai wa mtu cku zingine hupotea kwa kutokujua. Huyu alipaswa kuwahishwa Hosp ili apatiwe maji iv, kwa maelezo hayo tu inaonyesha hapakuwepo hata mmoja wa kuliona hilo kwa kutokujua. Lkn basi, kila mtu ana cku yake na namna ya kuondoka hapa chini ya jua hili. R.I.P. Nimeumia sana.

    • @jaydon3361
      @jaydon3361 6 ปีที่แล้ว

      Margareth Solomon bonyeza picha hii kushoto kwako yenye alama W kisha bonyeza neno subscribe uone chanzo cha kifo chake

    • @margarethsolomon693
      @margarethsolomon693 6 ปีที่แล้ว +1

      Official Son Nimeisikiza vzi sana. Ukiugua UKIMWI sio tiketi ya kifo. Huyo kafa kwa kinyemelezi cha kuharisha kilichopelekea kuishiwa maji na chumvichumvi mwilini. Na yy kama yeye aliishajikatia tamaa ndio maana hakutaka hata mke ajue. Alishadhamiria, ila hao aliowakuta studio hawakuwa watambuzi, na hata kujua athari ya kuharisha. Ukimwi hauui kihivyo bali complications ndizo huua kama hivyo ilivyotokea. (Vinyemelezi).

    • @peterhezron8060
      @peterhezron8060 6 ปีที่แล้ว

      aj

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 6 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa hapaswi kulaumiwa koz muhusika mwenyew alikua hayuko tayar na matibabu ya hospitali

  • @dailummala3792
    @dailummala3792 6 ปีที่แล้ว +44

    hao jamaa washambaa kinoma sasa masaa yote hayo wameshindwa kumpeleka hospital

    • @rosedaudi6779
      @rosedaudi6779 6 ปีที่แล้ว +1

      Umeonaee atame nawashangaa siowaoga kabisa

    • @asmabintikiwasha13
      @asmabintikiwasha13 6 ปีที่แล้ว

      Dailu Mmala ww kifo kina dawa

    • @marymbwiga7985
      @marymbwiga7985 6 ปีที่แล้ว +1

      Dailu Mmala yaani mnakaa namgonjwa muda wote dah!

    • @marymbwiga7985
      @marymbwiga7985 6 ปีที่แล้ว +1

      inaonekana hata mke wake hakuwa na uchungu na mumewake inakuwaje unapigiwa simu mumeo anahali mbaya unajibu huna nauli? au walikuwa na ugomvi ndiyomaana hata mgonjwa hakutaka mkewake apewe taarifa!? Duh, nawaza tu

    • @ashuramamaashuraaachekuvaa7798
      @ashuramamaashuraaachekuvaa7798 6 ปีที่แล้ว

      nini wewe mbona masogange kafa hospital

  • @angesaidi9
    @angesaidi9 6 ปีที่แล้ว

    Pole sana wana familia,mboni ninini hasa kwawasani wetu? eeeh Mungu kamlaze mahali pema peponi ndugu yetu sami......amina

  • @mariamangel1264
    @mariamangel1264 6 ปีที่แล้ว +17

    Kifo ni mawaidha tosha mungu mpokey labisa maana dunia iyi

    • @jaydon3361
      @jaydon3361 6 ปีที่แล้ว

      G Gg bonyeza picha hii kushoto kwako yenye alama W kisha bonyeza neno subscribe uone chanzo cha kifo cha samu wa ukweli

    • @suzanzabron1766
      @suzanzabron1766 6 ปีที่แล้ว

      Rest in peace sam

  • @sumahtanzania4991
    @sumahtanzania4991 6 ปีที่แล้ว +1

    R .I .P SAM WA UKWELI mung ailaze roho yake pema pepon. Ishaaalah....du. imeniuma.sana

  • @isdorchuvu6280
    @isdorchuvu6280 6 ปีที่แล้ว +2

    Yan we jamaa ni mzembe sana kwa huo mda wote mliokaa naye kama mngemuwaisha hospital pengine tungekuwa naye mpaka sasa, afu bila aibu unaongea ,siku mbili zote izo mtu anaumwa tumbo la kuarisha mnamwangalia dah ili jamaa zembe, rest in peace #SAM dah

  • @jackypottrick1pottrick641
    @jackypottrick1pottrick641 6 ปีที่แล้ว

    Poleni kwa hio ya dunia , wenye walikuwa na Sam pia hawakujuwa ako serious sana ni mungu tu , kuhara pia inamaliza mtu nguvu sana , maybe siku yake ilikuwa imefika hakuna binadamu anaeza jua
    Mungu amueke mahali pema peponi

  • @mkaliwenuoriginalpleasesub9297
    @mkaliwenuoriginalpleasesub9297 6 ปีที่แล้ว +50

    R.I.P BRO SAM

  • @gabrielgidasangahalamga6875
    @gabrielgidasangahalamga6875 6 ปีที่แล้ว +1

    R.LP. mungu amulaze rohoyake mahali pema Amen.

  • @azizacleny8677
    @azizacleny8677 6 ปีที่แล้ว +9

    innalillah nilikupenda sana sam ila mungu alikupenda zaid

    • @praxedadominic1639
      @praxedadominic1639 6 ปีที่แล้ว

      Nimeumia sana sam bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe pumzika kwa amani

    • @jaydon3361
      @jaydon3361 6 ปีที่แล้ว

      Aziza Cleny Bonyeza picha hii kushoto kwako yenye alama W kisha bonyeza neno subscribe uone chanzo cha kifo chake

    • @azizacleny8677
      @azizacleny8677 6 ปีที่แล้ว

      Official Son asante nimeona jmn inauma

  • @swabrinamasoud106
    @swabrinamasoud106 6 ปีที่แล้ว

    Innalillah wainna Lilah rajiuon ya Allah mpokee kiumbe wko uyu kwa mikono miwil, ya Allah umsamehe dhambi zake, ya Allah umuepuxhe kwa adhabu za kaburin Amiin😭😭😭

  • @justinemathias9871
    @justinemathias9871 6 ปีที่แล้ว +19

    marafiki wanafiki yani mnafikia kumfunga mwanamme pampas badara ya kumpeleka hospital pumbavu kabisa alafu linaongea bila aibu

  • @RenovatReuben
    @RenovatReuben 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu producer alisihiri kifungo kbx Just imagine mtu anafikia kiwango chakuvarishwa Pampers na bado mnamuangalia Bila hata kumpeleka hospital 😢😢

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 ปีที่แล้ว +37

    Rest in peace *Sam* dah innalilah wainnailah rajiun

  • @getrudesanga6252
    @getrudesanga6252 6 ปีที่แล้ว

    Mlijali kazi zenu bila kujali ugonjwa wa mwenzenu,,ungenyamaza tu ,,,r.i.p Sam

  • @rukiahassan9959
    @rukiahassan9959 6 ปีที่แล้ว +13

    ssa mulikua na haja gn kumtangaza ukimwi Rip sam mbele yako nyuma yetu bc na nyinyi mulo msafisha mulivaa gloves au mulifanya tu

    • @jaydon3361
      @jaydon3361 6 ปีที่แล้ว

      Rukia Hassan bonyeza picha hii kushoto kwako yenye alama W kisha bonyeza neno subscribe uone chanzo cha kifo chake

    • @imaraimara4975
      @imaraimara4975 6 ปีที่แล้ว

      Rukia hassan Hayo unayouliza sio muhimu, tuwache maswali yasio na maana. Iliobaki ni kumstiri mwenzetu na kumuombea safari njema ya akhera.

    • @purityflorence5792
      @purityflorence5792 6 ปีที่แล้ว +1

      nashangaa,ukimwi washika binadamu

    • @JacklineSweetbert
      @JacklineSweetbert 3 หลายเดือนก่อน

      Walikua sawa kwasababu alisema ni ukimwi wa kurogwa angesema t ni ukmw kawaid bas wasnge sema yote hayo

  • @estherboke782
    @estherboke782 6 ปีที่แล้ว

    Daaah nitakukumbuka kwa nyimbo yako hata kwetu wapo, R.I.P sam poleni zangu taifa nzima LA Tanzania from Kenya😭😭😭

  • @coolcool7330
    @coolcool7330 6 ปีที่แล้ว +3

    Innalillah wainnaillaih rajuun.poleni sana wafiwa

  • @nicholusmwavuo5404
    @nicholusmwavuo5404 6 ปีที่แล้ว

    Rip Sam wa u kweli mwenyezi MUNGU ailaze roho yake mahali pema peponi tulikupenda lkn MUNGU kakupenda zaidi.

  • @fundimagari5825
    @fundimagari5825 6 ปีที่แล้ว +6

    hawa washikaji sio kabisa ni wapumbavu mno
    Mtu anaanza kuumwa mdogo mdogo wao wamekaa tu
    Mbaka anazidiwa ndio wanastuka wanapeleka maiti hospital huu ni uboya kabisa
    Vijana wanashindwa kujiongeza kama huyu mwenzetu sasa anaitaji huduma maalum
    Unamvisha pampas ndio tiba
    alafu mnatoa siri za mgonjwa eti anaukimwi nyie mlimpima.

    • @meshackmganga4639
      @meshackmganga4639 6 ปีที่แล้ว

      fundi magari yaan anasimulia jinsi alivyokuwa mburula

  • @verosaddam9255
    @verosaddam9255 6 ปีที่แล้ว

    Msimtusi producer, siku ikifika imefika.Hii hadithi yalingana na ya babangu mungu ailaze roho yake pema peponi,huwa wanasumbua saaaana hawataki kusumbua jamii ndio maana alikataaa kupelekwa finally huwa wanafia njiani ni yake imefika jameni.

  • @frankmgendi8985
    @frankmgendi8985 6 ปีที่แล้ว +7

    R
    I
    P
    waukelii sam naikubali saan ngoma yako ya nicpokuona cnaraha

    • @jaydon3361
      @jaydon3361 6 ปีที่แล้ว

      Frank Mgendi bonyeza picha hii kushoto kwako yenye alama W kisha bonyeza neno subscribe uone chanzo cha kifo chake

  • @dmcommedy2768
    @dmcommedy2768 6 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P Daaaah atutakuona tena mjukuu wa bonele ukweli kazi zake tutazikumbuka mungu akueke mahara pema peponi na akuepushe na azabu za kabul aamin kama umeguswa na hili like apa na kukoment

  • @hawazinga1852
    @hawazinga1852 6 ปีที่แล้ว +3

    R. I. P nlimpenda sana hy kaka ktk kaz zake ila mungu kampenda zaid

  • @jasonjastinmatandala3037
    @jasonjastinmatandala3037 6 ปีที่แล้ว

    Mungu ametoa Mungu ametwaa jina la Bwana lihimidiwe... Amina

  • @Eddie25502
    @Eddie25502 6 ปีที่แล้ว +31

    Hyo title yenu yakudhalilisha watu mnakera sana pempers kwa mtu mzima ni udhalili ujue...nyie mbona waandishi wa cku iz mnakuwa wasenge wasenge nyinyi 🖕⁉️⁉️⁉️

    • @dodoshavu488
      @dodoshavu488 6 ปีที่แล้ว

      Eddie 255 shenzi sana

    • @jaydon3361
      @jaydon3361 6 ปีที่แล้ว +1

      Eddie 255 both Bonyeza picha hii kushoto kwako yenye alama W kisha bonyeza neno subscribe uone chanzo cha kifo chake

    • @gidobaraka1121
      @gidobaraka1121 6 ปีที่แล้ว +1

      Eddie 255 du

    • @mbumbulicomedians3286
      @mbumbulicomedians3286 6 ปีที่แล้ว +1

      millard Ayo nae kaanza upuuzi, kichwa cha habari kinadharirisha hicho

    • @lilliannalima8015
      @lilliannalima8015 6 ปีที่แล้ว

      Rip we love you but God loves you so much

  • @sitymohd3818
    @sitymohd3818 6 ปีที่แล้ว

    Seriously!!!! Millardayo hii interview especially huyu kaka anaehojiwa Sio kila jambo linawekwa wazi hasa mitandaoni..

  • @fatumadjumbe2551
    @fatumadjumbe2551 6 ปีที่แล้ว +5

    Jamani kila nafsi itaonja mauti Sam kafariki, nimeumia sana kwataarifa hii

  • @officialtmark1273
    @officialtmark1273 6 ปีที่แล้ว

    DUUU RIP SAM WA UKWEL, NO WAY. DUNIANI TUPO KAMA NYASI SISI PIA TWAJA. MUNGU AKULAZE MAHALI PEMA PEPONI

  • @goldmansun5859
    @goldmansun5859 6 ปีที่แล้ว +18

    HUO UKIMWI CJUI WA KUROGWA CJUI WA NINI,MSIDHARAU WATUMUSHI WA MUNGU KISA KIBUR,JESUS HEAL THOSE STAF KWA UTUKUFU WAKE

    • @tumainmwatujobe3020
      @tumainmwatujobe3020 6 ปีที่แล้ว

      wanafiki sana masaa yote hayo mmeshindwa kuokokoa maisha ya mwenzenu

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 6 ปีที่แล้ว

      next mgonjwa hasikilizwi,only after hospital you can listen them,na hakuna ugonjwa mdogo ,mtu mzma analalamika kiivyo mnasema dn u think ugonjwa mdogo ,mlimchelewsha hospital, n alipowaambia ni hiv ya kutengeneza mlimchelewsha kwa YESU

    • @belgieboys9867
      @belgieboys9867 6 ปีที่แล้ว

      Goldman Sun
      shika adabu yako.
      yesu wako mbona hawakuwaokoa bibi zako na babu zako kwa vifo

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 6 ปีที่แล้ว

      hawakumhitaj,ila siyo kwa vifo vya vijana wadogo,tena et cjui vya kutengenezwa,by the way atawafufua akija ktk utufukufu,na huo ufufuo ni wa milele,kwa sasa anafanya ishara na ajabu kiliko waganga na wasoma nyota wenu kwa utukufu wake ,HATA UPINGE HUBADILI UKWEL

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 6 ปีที่แล้ว

      NA WEWE BWANA MDOGO,CYO KILA KIFO HULETWA KWA MAPENZ YA MUNGU,VINGINE NA WASHENZI TU NDIO MAANA KUNA MISUKULE ,KAMA KIFO FROM GOD UNAWEZA KUMWQMBIA MUNGU UKIWA NA SABABU ZA KUTOSHA NA UKAONGEZEWA CKU ,ITAKUWA FROM DEVILS,

  • @rizikijumamosi6150
    @rizikijumamosi6150 6 ปีที่แล้ว

    Mh! nyie waja ebu 2muogopeni mungu na tuamini kuwa yupo na yote yatendekayo yeye uyaonaa,,,, Pia 2kumbuke kunamaisha badala ya hayaa ivyo c vyema kuiangalia 2 Leo kumbuka na kesho yko itakuaje?? kwer SAM Kafa kwajir ya uzembee wakumwaisha hospital inaumaa sana 😭😭😭

  • @davisanderson2681
    @davisanderson2681 6 ปีที่แล้ว +6

    Pumzika kwa Amani #Sam

  • @agnessjohn8404
    @agnessjohn8404 6 ปีที่แล้ว

    inaonekana hawa walikuwa wamelewa yaani mda wote huo jaman mko nae tu nymban hadi mnafikia hatua yakumvisha pampers jamani Duu! siwezi kusema Sana pengine ndo mipango ya mungu R. l. p samu

  • @colilnsmulastborn8562
    @colilnsmulastborn8562 6 ปีที่แล้ว +4

    daah! pole sana familia,msanii wetu kutoka kitambo rip

    • @jaydon3361
      @jaydon3361 6 ปีที่แล้ว

      Colilns mulast born bonyeza picha hii kushoto kwako yenye alama W kisha bonyeza neno subscribe uone chanzo cha kifo chake

    • @mathazakayo288
      @mathazakayo288 6 ปีที่แล้ว

      rip Sam waukwel

  • @christinenguyo4542
    @christinenguyo4542 6 ปีที่แล้ว

    He was in pain more than 13hrs but you guys did absolutely nothing he was helpless until anafungua diampers... its a sad story 🙄😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @Nahidame21
    @Nahidame21 6 ปีที่แล้ว +5

    rip sam Allah akusamehe madhambi yako

  • @thuwaibaabdallah1538
    @thuwaibaabdallah1538 6 ปีที่แล้ว

    mh sam mungu akusamehe makosayako tulikupenda sana ila mungu kakupenda zaidi ulale mahala pema peponi amin ina lilahi waina ilahim rajiun pole ni sn familia muombeeni apumzike kwa amani nakamayupo ayowahi kumfanyia mabaya amswamehe jamani ok kwani nasi hatujijuwi vp hatima yetu in sha allah. Allah atupe mwisho mwema amin

  • @sakinatanzanian5000
    @sakinatanzanian5000 6 ปีที่แล้ว +2

    R.l.p mungu akulaze mahali pema

  • @bunah4263
    @bunah4263 6 ปีที่แล้ว

    Inna lilah wainna ilah rajiun
    Mwenyezi mungu ampumzishe kwa Amani 🙏🙏🙏🙏

  • @joycerichard5042
    @joycerichard5042 6 ปีที่แล้ว +3

    Rip mwanga wa Milele ukuangazie huko uliko

  • @edlumala9428
    @edlumala9428 6 ปีที่แล้ว +1

    Kazi kuuza sura tu! Ukikutana nao kama wanamiliki pepo vile, msanii hata mkeo nauli hana? Ningekuwa askari hawa wote ningesweka ndani! Mtu anaumwa vipi hamkumuwahisha hospital? Kila saa unasema tu tumbo likawa serious... tumbo likawa serious ... na bado mnamuweka tu studio! Mnangoja apone ili aendee kuimba siyo?

  • @divajoseph2941
    @divajoseph2941 6 ปีที่แล้ว +16

    Ila na nyie maboya yani mwenzenu anaumwa hata kumpeleka hosptali hamna khaa? afu unaongea ongea tu hapo nyau nn et alikuwa anaharisha hata nguvu hana sasa unatwambia sisi ili tufanyaje ? 😡😡😡😡

    • @mbumbulicomedians3286
      @mbumbulicomedians3286 6 ปีที่แล้ว

      maku hawa waduanzi kinoma

    • @hawadoss3046
      @hawadoss3046 6 ปีที่แล้ว +1

      Diva Joseph ...boya sana huyu mi ameniudhi...unamuanika mwenzako kwa media na unajua ako na family...noma sana

    • @lovenesshumphrey4604
      @lovenesshumphrey4604 6 ปีที่แล้ว

      Diva Joseph kwel yan hawajafany pouw yan anakera anaongea tyu upuuzi apo

  • @habarileoleo
    @habarileoleo 6 ปีที่แล้ว +1

    Laiti kama marehemu angekuwa ndugu yangu, huyu jamaa ningemshitaki, sababu kamdhalilisha sana marehemu, tena sana.

  • @getrudamatoto1979
    @getrudamatoto1979 6 ปีที่แล้ว +8

    R.I.P sam wa kweli

    • @dontwaha9763
      @dontwaha9763 6 ปีที่แล้ว

      Inna lilahi wa inna ilaihi rajeuun

    • @jaydon3361
      @jaydon3361 6 ปีที่แล้ว

      Getruda Matoto bonyeza picha hii kushoto kwako yenye alama W kisha bonyeza neno subscribe uone chanzo cha kifo chake

  • @kibongobongo4608
    @kibongobongo4608 6 ปีที่แล้ว

    Poleni sana wafiwa ila kama ni mimi nisingekaa muda wote huo ningemfikisha hospitali tokea mwanzo ila ndio imeshatokea lakini inabidi wengine wasome
    msichukulie poa katika maradhi Jamani

  • @hamisikatoi4653
    @hamisikatoi4653 6 ปีที่แล้ว +4

    Kifo kifo hatahuruma huna sijaamini niko kenya

  • @raziajolie7774
    @raziajolie7774 6 ปีที่แล้ว

    Allah amfanyiye wepesi uko mbele yasafari

  • @christmasmachele5589
    @christmasmachele5589 6 ปีที่แล้ว +19

    Ila na nyie ni wapuuzi tokea anashindwa kuenda choo mpaka mnambeba safari ya Kwanza ilikua mnatakiwa kumkimbiza hospital haraka sana sio mnamsikiliza mgonjwa, mmekaa nae muda wote wakati nyie wenyewe mnamuona ana hali mbaya

    • @Aish1001
      @Aish1001 6 ปีที่แล้ว +1

      christmas machele unajuwa sa zingine mipango ya mungu alishapanga

    • @aishaelias6826
      @aishaelias6826 6 ปีที่แล้ว

      christmas machele matako sana,wanakaaje na mgonjwa masaa yote hayo??

    • @jaydon3361
      @jaydon3361 6 ปีที่แล้ว

      christmas machele Bonyeza picha hii kushoto kwako yenye alama W kisha bonyeza neno subscribe uone chanzo cha kifo chake

    • @christmasmachele5589
      @christmasmachele5589 6 ปีที่แล้ว +1

      Aisha Elias wenyewe wanakiri jamaa alikua mgonjwa sana badala wammpeleke hospital wanampa supu ya kongoro toka lini dawa ikawa supu ya kongoro? Mtu anayeumwa mpaka anashindwa kuinuka huyo ni mgonjwa wa kukaa ndani au hospital?

    • @dorcasmshani7262
      @dorcasmshani7262 6 ปีที่แล้ว

      Yani wapumbavu kweli kweli bora kukaa kimyaa

  • @naadimyassin5866
    @naadimyassin5866 6 ปีที่แล้ว

    ina lillah waina lillah lajiuna hakika sote niwaja wa Alla na kwake ndo malejeo yetu masikin Sam mungu akulaze mahali pema pepon

  • @tendatanzania8358
    @tendatanzania8358 6 ปีที่แล้ว +6

    TANGAZO
    Jamani hayo magonjwa na roho za mauti zinatibika yupo Dr. Nenda EAGT CITY CENTER kwa pastor Fj Katunzi atakusaidieni.

    • @abidinamzaina549
      @abidinamzaina549 6 ปีที่แล้ว

      Andrew John toka lini umauti unatibika wewe

    • @nasbuzakaya8357
      @nasbuzakaya8357 6 ปีที่แล้ว

      Andrew John ww wakat ukifika na mungu akiamua liwe bas haisikii dawa wakati wake ulifika nakila binadamu lazima apitie safari ya umati mungu hailaze roho ya marehemu amn 👐

    • @wacmber2131
      @wacmber2131 6 ปีที่แล้ว

      Ikifka wakati wako ww nenda sisi wengine twajua tiba ya umauti HAKUNA

    • @nasbuzakaya8357
      @nasbuzakaya8357 6 ปีที่แล้ว

      cmber mtoto duuu unashindana na mungu akiamua liwe bas dawa aiskii usjiangopee na dunia

  • @christiankilewa8143
    @christiankilewa8143 6 ปีที่แล้ว

    Inashikitisha kiukweli lakini Mwenyezi Mungu anapopanga kifo cha binadamu hufunga milango ya ufahamu kwa watu wengine, hawa jamaa walifingwa ndio mana walikuws wanashindwa kufanya mamuzi ya harak kumkimbiza hospital Samu kwa haraka yani wanashtuka mtu kesha kwisha nguvu ,kiukweli kifo hupangwa na Mwenyezi Mngu na hakuna wa kukizuiya. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake Sam wa Ukweli Mahali pema peponi R.I.P Sam.

  • @seciliarenatus3596
    @seciliarenatus3596 6 ปีที่แล้ว +6

    RIP Sam was ukwel daaa

  • @VictoriaMahewa
    @VictoriaMahewa 3 หลายเดือนก่อน

    r.i.p sam wa ukweli mbele yako nyuma yetu, kifo ni andiko sisi ni abilia tu mkuu ni mungu by samwel pima wa sengerema mwanza

  • @sheilabushirsheilabushir9929
    @sheilabushirsheilabushir9929 6 ปีที่แล้ว +6

    duh kfo hakna huruma

    • @remmythatdiva812
      @remmythatdiva812 6 ปีที่แล้ว

      Mnampeleka MTU ameishiwa na nguvu

    • @remmythatdiva812
      @remmythatdiva812 6 ปีที่แล้ว

      Soo sad😭😭😭😭😭

    • @jaydon3361
      @jaydon3361 6 ปีที่แล้ว

      Sheila Bushir Sheila Bushir Bonyeza picha hii kushoto kwako yenye alama W kisha bonyeza neno subscribe uone chanzo cha kifo cha samu wa ukweli

  • @kuruthumferooz6077
    @kuruthumferooz6077 6 ปีที่แล้ว

    Imeniuma kwa kweli mwenzenu anaumwa hd anawaambia nivisheni pampas Bd mmekaa nae kweli mna roho ngumu usiendelee kuhadithia tena ni ujinga mtupu 😢😢

  • @allyamry2847
    @allyamry2847 6 ปีที่แล้ว +6

    R.I.P kaka sam

  • @agripinamgema8879
    @agripinamgema8879 6 ปีที่แล้ว

    Pole sana Kaka kwa upendo wako. Mbele yake nyuma yetu. RIP SAM

  • @zawiyatasha5098
    @zawiyatasha5098 6 ปีที่แล้ว +6

    Rip sam

  • @lizybabyjohn2430
    @lizybabyjohn2430 6 ปีที่แล้ว +1

    Mlikosea jamani mnamuachaje mgonjwa ndani baada ya kumpeleka hosp hata kama alisema mngempeleka tu inaumizaaa saaana R.I.P sam

  • @sultanyatosha5742
    @sultanyatosha5742 6 ปีที่แล้ว +6

    R I P sam

  • @iqraabuhet6588
    @iqraabuhet6588 6 ปีที่แล้ว

    R.I.P sam mbele yako nyuma yao mungu akusamehe makosa yako kipenzi...mungu akujaalie kauli thabiti 😭😭

  • @loisafelix881
    @loisafelix881 6 ปีที่แล้ว +4

    Kwa nn hamkumpeleka hospital tangu juzi, hamkutakiwa kumsikiliza kwani pengine hakuwa na pesa ya kujitibia

    • @ismailipaipu2973
      @ismailipaipu2973 6 ปีที่แล้ว

      loisa felix
      😈😈😈😈

    • @nimbakitundu7429
      @nimbakitundu7429 6 ปีที่แล้ว

      loisa felix ndio inaonekana kilichomuua ni pesa my be atapesa ya kula alikua hana tatizo limetokea uko ila anaroho ngumu uyu kaka kwA nn awakumpeleka hospital mapema

  • @johnmnara6680
    @johnmnara6680 6 ปีที่แล้ว

    inauma sana dh kaka Sam pumzika salama ndugu zangu tuzimlaumu huyu jamaa kabiza

  • @fredyjohnwaifakaratz6613
    @fredyjohnwaifakaratz6613 6 ปีที่แล้ว +5

    ILITABILIWA NANILAZIMA ITOKEE

    • @azizaamiry862
      @azizaamiry862 6 ปีที่แล้ว

      Fredy John Waifakara TZ jjjmmiu

    • @azizaamiry862
      @azizaamiry862 6 ปีที่แล้ว

      k

    • @azizaamiry862
      @azizaamiry862 6 ปีที่แล้ว

      i

    • @azizaamiry862
      @azizaamiry862 6 ปีที่แล้ว

      88ii88oo99o999999988988 8788888888888iii7

    • @jaydon3361
      @jaydon3361 6 ปีที่แล้ว

      Fredy John Waifakara TZ Bonyeza picha hii kushoto kwako yenye alama W kisha bonyeza neno subscribe uone chanzo cha kifo cha samu wa ukweli

  • @nanabeiby6716
    @nanabeiby6716 6 ปีที่แล้ว

    Hawa hawamakosa coz mwenyewe kasema hali hii ilikua ikimtokea hakutaka dawa wala nn so mtawablame bure tatizo ni mwenyewe akijua nihali yakawaida na atarudi km kawaida.. Mungu alikua ashapanga tu.... innalillah wainaillah rajioun

  • @kissjohantho6722
    @kissjohantho6722 6 ปีที่แล้ว +3

    r.I.p

  • @mamasswtkichuna8969
    @mamasswtkichuna8969 6 ปีที่แล้ว

    By just listening the source of his death nikutokumuwahisha hospital mapema..mmaana kama aliharisha hakunywa dada yoyotee yawezekana alipoteza majii mengi mwiliini...mlifanya kosaa kukaaa namgonjwa ndani for a day mtu anaumwaa...hata kama alikataaa mngempeleka hospital...next time mjifunze kutoka kwenye makosaaa

  • @ramadhanishaibu96
    @ramadhanishaibu96 6 ปีที่แล้ว +4

    Innaalillah wainnaa ilayhi raajiuun

  • @rahmamohd1519
    @rahmamohd1519 6 ปีที่แล้ว

    jmn eeh tuzid kumcha mungu vifo vimezid kuongezeka jmn 😭😭😭😢

  • @sakinaomar8047
    @sakinaomar8047 6 ปีที่แล้ว +3

    R.I. P

  • @thauratali3656
    @thauratali3656 6 ปีที่แล้ว

    Kifo hakikwepeki mungu alishapanga kuchukua roho yake inalillah wainna ilah rajiun allah amlaze mahala pema peponi

  • @jacklinemuloki5419
    @jacklinemuloki5419 6 ปีที่แล้ว +6

    R.I.P Sam

    • @jaydon3361
      @jaydon3361 6 ปีที่แล้ว

      Jackline Muloki Bonyeza picha hii kushoto kwako yenye alama W kisha bonyeza neno subscribe uone chanzo cha kifo chake

    • @remmylutesh425
      @remmylutesh425 6 ปีที่แล้ว

      Mbaya sana

  • @gloxglox4604
    @gloxglox4604 6 ปีที่แล้ว +2

    mungu kakupenda zaidi akulaze mahari pema peponi Sam ila dah niuzuni saana inauma ndo ivyo aina jinsi

    • @rhodamussa8304
      @rhodamussa8304 6 ปีที่แล้ว

      R I P bro Sam munguailaze rohayako mahali pema peponi amina

  • @mctarimo1634
    @mctarimo1634 6 ปีที่แล้ว +1

    Duh so pain Rest In peace Sam Wa Ukweli

  • @nidhalkamal9929
    @nidhalkamal9929 6 ปีที่แล้ว

    Mungu akulaze mahala pema peponi amina

  • @saidibinur9743
    @saidibinur9743 6 ปีที่แล้ว

    Mungu amlaze mahali pema peponi sam

  • @emmatheteacher5796
    @emmatheteacher5796 6 ปีที่แล้ว

    R.I.P my brother nazan kifo ndo njia ye2 sisi sote umetanglia na sisi tutafwatia......!!!!!!! mng alaze roho yako mahala pema pepon ammenn!!!!