Kaka naomba unisaidie mm namahusiano ya miez miwili na mpenzi wangu hatjawahi kuonana Zaid ya mawasiliano tu lkn hiv juzi kanitamkia hanitaki tena sababu nilimlaumu kutokjibu sms Zang kwa wakati je nifanyaje na ninampenda sana napitia wakat mgumu sana sana
Pole Mpz, wanawake wengi tunajua kupenda ila tunaumia xana pale tunapo ona mabadiliko, ok huy jamaa achananaye alishakuacha Mda alikuwa anatafta tu xababu ya kukuacha, niamini utashinda
@@johanessjohn ntakaa nkipenda litoto lamtu nakupe ata alijal jipende mwenyewe utaona kila kiti swa t nasaivi yani mtu akinitogoza naona kama ana nichekesha tu
Kwakweri 😂 umpigania mtu asie kutaka nisawa na kujiikaanga mwenyewe kwenye mafuta na mwishowe utaishia kujiunguza tu
Asante san kwa mafundisho broo mungu akuzidishie umri uje utusaidie namengi ❤
Mimi mpezi wangu aliniambia nitoe pesa nijenge kwao ..na hawai nipeleka kwao..aliniambia wacha twachane..kwa kweli nampenda sana but hii kijenga kwao na siwai pelekwa kwao naona heri twachane.
Ahsante sana kwa maneno yako mana nilikuw nalia mpnz wang ameniacga asubh tna kwa kuniabisha kwa majirani zake
Pole sana. Kuna vitabu na ushauri +255768275795
@@johanessjohn shukrani sana mana apa nilitak niende kwake nkambembeleze tna mana imekuwaga hvyo
Asante Sana kaka nimekuelewa Sana ,na nimejifunza pia
Asantee sana 👏🙏..
Thanks alot my bro toka nianze kukufatilia nmejifunza vitu bora kutoka kwako
Asante Sana Kaka nimejifunza kitu kwako
Napenda your advice na sai niiko kwa hii process nikitumai itafaulu
Waoooo ahsante sana aiseee
Hongera sana❣️❣️
Mimi nakupendaga tu wewe yaan❤❤
😂😂😂😂😂 kweli kanbisa
Asante sana
Thanks a lot
good
Usemakweli Kabisa ❤
Duh😂😂😂are u pendaling😂😂😂
❤""""Asante sana kaka"""""❤
❤❤❤❤
Mimi niko na mwaka nimekuwa na mchumba hadi tushaombewa kanisani halafu sahi tunakosana sijui shida ni nini nifanye nini apo 😭na ninampenda
0768275795 nitafuta
Ad nmecheka jmn,,unatuxaidia kwakwel
Thanx
Asante sana nimekuelewa
Unaweza ukanipatia nambaako ya sim
Kaka naomba unisaidie mm namahusiano ya miez miwili na mpenzi wangu hatjawahi kuonana Zaid ya mawasiliano tu lkn hiv juzi kanitamkia hanitaki tena sababu nilimlaumu kutokjibu sms Zang kwa wakati je nifanyaje na ninampenda sana napitia wakat mgumu sana sana
+255768275795
Pole Mpz, wanawake wengi tunajua kupenda ila tunaumia xana pale tunapo ona mabadiliko, ok huy jamaa achananaye alishakuacha Mda alikuwa anatafta tu xababu ya kukuacha, niamini utashinda
Asante
Ila umri wako bado ndogo lakini unatoa madini hatari ,ongera bwana
Mm nilishaachana naye lakin sijawahi kuacha kumuwaza
Aki wewe na hii hekima yote wewe hutoka wapi?❤❤
Kwa MUNGU rafiki yangu
Kwakweli akuna mapenz hasa wanaume mm nala nkilala maisha yanasonga wee 😔😔
Umetisha
@@johanessjohn ntakaa nkipenda litoto lamtu nakupe ata alijal jipende mwenyewe utaona kila kiti swa t nasaivi yani mtu akinitogoza naona kama ana nichekesha tu
Kwakweri kumupigania mtu anakuacha ama anakudharau
Je mwanamke anayekuomba tendo huyo mwanamke yukoje bro
Ni mchumba? Su mwanandoa?
@@johanessjohn ni mchumba
@@johanessjohn na tuko tunaelekea kwenye uchumba kwa sasa tu wapenzi
Umeongea ukwel kabisa
❤""""❤"""""❤"""""😂😂
Babangu miye ni mechoka
Pole 0768275795