Tazama Umahiri wa Bendi ya JKT Wanavyosherehesha Kijeshi Zaidi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • #wizarayaulinzi #jwtz #jkt

ความคิดเห็น • 31

  • @malickayubu3718
    @malickayubu3718 2 ปีที่แล้ว +2

    Nzuri hiyoooooo 👏👏👏

  • @fikirieliah1815
    @fikirieliah1815 2 ปีที่แล้ว +2

    Kazingua kuhot mama....unageuka kushoto halafu unahot na mguu wa kushoto badala ya kulia.

    • @kasmirypaschal2228
      @kasmirypaschal2228 2 ปีที่แล้ว

      atarekebshaaa tu siku akistaafu🤣🤣🤣🤣🤣

  • @AraphaRajab-gt7pl
    @AraphaRajab-gt7pl 12 วันที่ผ่านมา

    834KJ MAKUTUPORA ❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @ameedamilja7992
    @ameedamilja7992 2 ปีที่แล้ว

    Mama mwimbishaji yuko vizuri pia na vijana wameonyesha uwezo

  • @omarymohamed225
    @omarymohamed225 2 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda hii

  • @stevebrowntz1122
    @stevebrowntz1122 ปีที่แล้ว

    nimekubali

  • @godfreykachencha7159
    @godfreykachencha7159 2 ปีที่แล้ว

    Jaman jesh htri sn

  • @michaelkusenha5323
    @michaelkusenha5323 2 ปีที่แล้ว

    Mko vzr

  • @vipimovyasaikolojiayamkund8075
    @vipimovyasaikolojiayamkund8075 2 ปีที่แล้ว

    Uwanja wa Mkapa hakuna Basha na Mademu wanaopigwa mikundu watuandalie maisha ya Dhahabu ya Geita kwa WATOTO..... Muda wa Uchawi wa kuongeza Madini ya Dhahabu Geita🌹🌹🌹Sisi ni SoKA..

  • @kingalpha96
    @kingalpha96 2 ปีที่แล้ว

    Mupo vizuri

  • @abubakarabubakary354
    @abubakarabubakary354 2 ปีที่แล้ว

    Safi san

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 2 ปีที่แล้ว

    Nkifikagaga hapo tu nchi yangu spending maneno maneno tupo timaru basi tu chokochoko

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 2 ปีที่แล้ว

    ♥️♥️

  • @yusuphmarcelmasinde7263
    @yusuphmarcelmasinde7263 ปีที่แล้ว

    Jeshi ni ngao ya ulinzi wa inchi yetu.

  • @abbywinga3231
    @abbywinga3231 3 ปีที่แล้ว

    Inshalah🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @amirimbago8325
    @amirimbago8325 2 ปีที่แล้ว

    Imba kimoyomoyo hiyoo kama huijui...sio uanona wanapigatuu kumbe hujui kinachoimbwa.
    Askarieee vitani yomama...Askariee vitani yomama.
    ANABEBA...anabeba bundukii...begii kofia ya batii vitani yoomama.
    ANABEBA...anabeba bundukii pekii....kibuyu cha maji vitani yoomama. hahahaaa utajuahujui

  • @kelvinsospeter2697
    @kelvinsospeter2697 2 ปีที่แล้ว

    Safiiii

  • @joejux1380
    @joejux1380 3 ปีที่แล้ว +1

    0:22 huyu afande amehot vp mbona tunaaibishana Mike katembea vzr akahot akageukia bend vzr lakin kilichofuata hapo ni madudu na unanga
    😁😁😁😁😁😁

    • @kasmirypaschal2228
      @kasmirypaschal2228 2 ปีที่แล้ว +1

      atarekebshaaa akistaafu🤣🤣

    • @joejux1380
      @joejux1380 2 ปีที่แล้ว +1

      @@kasmirypaschal2228 yaan anahot kiunaaaaa sana

    • @omariomari8361
      @omariomari8361 2 ปีที่แล้ว +1

      Baada ya kugeuka alitakiwa akanyage kwa mguu wa kulia,kwa sababu amegeukia kushoto

  • @markodenischipeta4050
    @markodenischipeta4050 2 ปีที่แล้ว

    Eee bwana eeh nmekumbuka na mm nlvokua hapo 834kj makutu. Askarii eeeh vitani eeimama bomba lq songi

  • @wemaagrey7759
    @wemaagrey7759 2 ปีที่แล้ว

    834kj Makutupora

  • @berthandollo3227
    @berthandollo3227 2 ปีที่แล้ว

    Hapana

  • @ambrocewilliam1699
    @ambrocewilliam1699 2 ปีที่แล้ว

    Kazingua Yani mguu wa mbele unafata wa nyuma acha wanyuma ufate wa mbele hot Gani anaangusha jeshi matron

  • @hamisijonas8968
    @hamisijonas8968 3 ปีที่แล้ว

    Nimeludia zaidi ya mala tano kuangalia alivyo hot kamanda nashindwa kujuwa

  • @ibrahimaboker9086
    @ibrahimaboker9086 2 ปีที่แล้ว

    Wakati tulipokuwa Jeshini TPDF
    1973 Combat Uniform ni vazi la TPDF/ JWTZ na sio vazi la JKT. JKT vazi lao lilikuwa nguo za kaki.
    JKT libaki kuwa JKT
    Na JWTZ ibaki kuwa JWTZ
    Acheni kuchanganya Dengu na Maharage, msivunje heshima ya combat ni vazi la kivita la JWTZ.

  • @evelinmagoma9203
    @evelinmagoma9203 3 ปีที่แล้ว

    Morali kama wote Sasa Leo kitaumana

  • @edwinmbelle4207
    @edwinmbelle4207 2 ปีที่แล้ว

    Safiiiiiii