HIGHLIGHTS: SIMBA 1-1 ASANTE KOTOKO (SIMBA DAY 8/8/2018)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ส.ค. 2018
  • Mabingwa wa soka wa Tanzania Bara, Simba SC wametoka sare ya bao 1-1 na Asante Kotoko ya Ghana katika mchezo wa kirafiki uliochezwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
    Katika mchezo huo maalum wa kuadhimisha Siku ya Simba (Simba Day) uliopigwa kwenye dimba la Taifa Dar es Salaam, Asante ndiyo walioanza kupata bao dakika ya 44 kupitia kwa Obed Owusu, na Simba kusawazisha kupitia kwa Emmanuel Okwi dakika ya 76.
    Katika mchezo huo pia Simba walikosa mkwaju wa penati kupitia kwa Adam Salamba.
    Tazama highlights za mchezo huo kwa mfupi.
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 205

  • @juliusmichealy1397
    @juliusmichealy1397 3 ปีที่แล้ว +5

    2021 still watching

  • @izraelsaimon1023
    @izraelsaimon1023 3 ปีที่แล้ว +27

    Naingalia hii gemu 2020 mulioangalia mwaka huu tujuane hapo chin

  • @adrianomtanzaniano6310
    @adrianomtanzaniano6310 3 ปีที่แล้ว +60

    Tuliorudi kumuangalia Yacoube tujuane

  • @sekeyifabian9517
    @sekeyifabian9517 5 ปีที่แล้ว +8

    Asante Kotoko wazuri sana.

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Utopolo Wana keleka Simba nguvu moja

  • @benimagaya7966
    @benimagaya7966 5 ปีที่แล้ว +6

    Simba Nguvu Moja Pamoja Sana

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 2 ปีที่แล้ว

    2021 September mwamba naingia kuangalia Simba day.... nimesoma comments chache na zinazomhusu Salamba aisee yaliyosemwa yametimia...Salamba kapotea.

  • @patrickugula3300
    @patrickugula3300 5 ปีที่แล้ว +5

    Salamba ni Mchezaji mzuri, usife moyo kwa kukosa penati, tena kwenye friend mechi. Hixo ni changamoto za mpira. Tuliza akili, na ongeza bidii ya mazoezi na hizo penati pia. Muda si mreru utajibu uanjani kwa vitendo. God is Great and so good all time.

  • @sammwasomolamwasomola6292
    @sammwasomolamwasomola6292 5 ปีที่แล้ว +4

    Haters wanajitahidi kukoments lakini koments zao zimejaa husuda hii ndio simba sports club

  • @mayalakulwa4740
    @mayalakulwa4740 5 ปีที่แล้ว +4

    Simba hii mtaisoma

  • @joshuanyonyi8820
    @joshuanyonyi8820 5 ปีที่แล้ว +2

    Yanga wakitulia simba mtapata tabu sana, sijaona mpira wa Professional yeyote timu mzima.

    • @Emedroadtocanada
      @Emedroadtocanada 5 ปีที่แล้ว +2

      Joshua Nyonyi utaona ukija chezeshwa kichura chura siku hyo we hujui mpira umejaa husda tu mpaka uje kupigwa nndio ujue kama ni wazr mtapa tabu sana

  • @severinpascal6514
    @severinpascal6514 3 ปีที่แล้ว

    Ila huyu goalkeeper wa KUMASI ASANTE KOTOKO FELIX ANANI ni mzuri sana

  • @thobiaskatoyo8622
    @thobiaskatoyo8622 2 ปีที่แล้ว

    Fantastic game for simba day

  • @edenbaraka7533
    @edenbaraka7533 3 ปีที่แล้ว +1

    Salama kuondolewa simba ULIKUWA sahihi kabisa bado ana utoto

  • @denisdejo5033
    @denisdejo5033 5 ปีที่แล้ว +16

    This kid Salamba need to improve alot, this is the fourth time am seeing him playing, got nothing special just dreds. He will rotten in the bench.
    Needs to look at The living legend Okwi.

  • @geofreysolomon8532
    @geofreysolomon8532 5 ปีที่แล้ว +30

    Kwa mambo aliyotufanyia Okwi mpaka sasa. Okwi acheze mpaka awe kikongwe. Then tumkabidhi timu akuwe kocha tu. Jamaa tangu ujana wake simba ipo damuni. Anajituma, anatafta nafasi kiukweli ndio messi wetu. Na kingine.... Kichuya kichuya kichuya kichuya... Tutakaa muda mrefu tanzania hii kuja kupata mtu kama kichuya

  • @shabanimiyumbaniki9376
    @shabanimiyumbaniki9376 4 ปีที่แล้ว +1

    Simba raha sana

  • @hussenmwinyi1165
    @hussenmwinyi1165 3 ปีที่แล้ว +1

    If you love simba sports club gonga like hapa

  • @bisekomazigo4950
    @bisekomazigo4950 2 ปีที่แล้ว

    Kagele msimuache sana simba wanzangu maana mayanga waliwaloga. Wachezaji wetu

  • @bestmanboakye627
    @bestmanboakye627 2 ปีที่แล้ว +1

    This game was more than a final match been played

  • @tasilogreyson3221
    @tasilogreyson3221 5 ปีที่แล้ว +4

    Okwi ni unawezo mzur sana katka football

    • @frezoomuna5687
      @frezoomuna5687 5 ปีที่แล้ว

      timu ipo vyemaa muhimu kocha kuinganisha timuuu Ndoooo vnzr zaidi ili iwe na coordination nzur kuanzia nyuma katikati na mbelee

    • @frezoomuna5687
      @frezoomuna5687 5 ปีที่แล้ว

      it really international football Jana ila kocha afanyie kaz makosa madogo madogo ili tupate muunganiko mzuri WA kikosi chetuu

  • @seiduibrahim5817
    @seiduibrahim5817 5 ปีที่แล้ว +6

    The referee is a bomb
    Im Asante kotoko supporter

    • @richardgole5836
      @richardgole5836 5 ปีที่แล้ว

      Seidu Ibrahim

    • @amospaul8225
      @amospaul8225 ปีที่แล้ว

      @@richardgole5836 aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @lulukibanga8152
    @lulukibanga8152 3 ปีที่แล้ว

    Always Simba is the best

  • @cathymtemvu2351
    @cathymtemvu2351 5 ปีที่แล้ว +4

    huyu chama ana laaanaaaa.. hizo assist shida, watapata tabu sanaaaa vpl

    • @limoshlaizzer9869
      @limoshlaizzer9869 5 ปีที่แล้ว

      Savi sana Asande kotoko kwampira suriii hao wamatopeni warudi2 nyumbani wanarukaruka2 sioni wanacho kifanya kotoko nomaa sana

    • @pazihussein4692
      @pazihussein4692 5 ปีที่แล้ว

      Simba ipo vizuri sana nyuma, kati ila mbele walimu waongeze chumvi na ndimu kidooogo mambo yakae sawa forward wafunge walikosa mengi sana jana ilikuwa kotoko wafe hata 5

  • @johnmbena4412
    @johnmbena4412 5 ปีที่แล้ว +3

    mtangazaji upo vizuri

  • @marklimbu8059
    @marklimbu8059 5 ปีที่แล้ว +3

    mtangazaji uko vzr napenda ck moja utangaze ck ya simba na yanga

    • @patrickfrederick6146
      @patrickfrederick6146 4 ปีที่แล้ว

      Na ombi lako likatimia kwenye game ya moja bila goli la kagere

    • @saadnahoda707
      @saadnahoda707 4 ปีที่แล้ว

      Tunampaa baraka mpenja

  • @shedy_marie
    @shedy_marie 4 ปีที่แล้ว +2

    Daah mech tamu san naipenda simba

  • @elizabethjohn4549
    @elizabethjohn4549 5 ปีที่แล้ว +7

    Hata kipindi ligi inaanza mliibeza sana simba lkn mwisho wa ligi mlibaki na aibu

  • @billyrique
    @billyrique 5 ปีที่แล้ว +4

    watani mna timu nzuri. Washambuliaji wanatakiwa umakini tu kama wa Okwi sijajua kwanini wabongo tukifika golini mpaka mtu ukose mara 10 ndio ufunge 1 sasa tukienda kimataifa ni nani atafanya mikosa mingi hvyo ili uje kufunga? Pili sioni kama ile ilikuwa penati labda kwa vile refa alikuwa position mbaya.

  • @Randomuniverse-qn6cc
    @Randomuniverse-qn6cc 3 ปีที่แล้ว

    Ghanas finest asante kotoko ...

  • @pendokatindasa2281
    @pendokatindasa2281 5 ปีที่แล้ว +6

    Huu ndiyo Mpira.

    • @jolammoses2195
      @jolammoses2195 5 ปีที่แล้ว

      pendo katindasa umeona dadaaa

  • @mbarikiwalazarowatisa2086
    @mbarikiwalazarowatisa2086 5 ปีที่แล้ว +2

    okwi anauponza timu...angekuwepo salamba

  • @lucasshirima2880
    @lucasshirima2880 3 ปีที่แล้ว +1

    Salamba alianza kuonesha ubinafsi tangia hii mechi.

  • @sekeyifabian9517
    @sekeyifabian9517 5 ปีที่แล้ว +12

    Kiukweli kwa Simba hii sipati picha kwa ligi kuu,tabu ipo.

  • @barakamassawe2454
    @barakamassawe2454 5 ปีที่แล้ว +3

    kwa mpira huu yangawatapata taaabu sanaaa

  • @stevenmaketa8051
    @stevenmaketa8051 5 ปีที่แล้ว +4

    Uuuwiii kwampira huu timu zingine watapata tabu saanaaaa coz hawa Asante kotoko ni Wakali sana Ila Sumba wamecheza Moira mwingi sanaa

  • @emmanuelmgogo5265
    @emmanuelmgogo5265 5 ปีที่แล้ว +3

    Wata pata tabu sana wapinzani wangu yanga mnyamaaaaaaaaaaaaaaa

    • @mohamednassormohamed3027
      @mohamednassormohamed3027 5 ปีที่แล้ว

      Emmanuel Mgog bado hatujaogopa kwa kikosi hicho kazi mnayo wanamsimbazi km yanga hatochukua basi azam atabeba au ht costi union

  • @rankdefire4518
    @rankdefire4518 4 ปีที่แล้ว +1

    Acheni tamaa

  • @japhetmatuma7808
    @japhetmatuma7808 3 ปีที่แล้ว +1

    Usajil.

  • @laurentngowi3052
    @laurentngowi3052 5 ปีที่แล้ว +5

    Chama ni moto

    • @raismwaigombe7179
      @raismwaigombe7179 5 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa niyonzima akasome ni mzigo kwahuyu Chama Kuna timu itakula nyengi

  • @rashidissack8712
    @rashidissack8712 5 ปีที่แล้ว +4

    wajipenge vizuru

  • @elizabethjohn4549
    @elizabethjohn4549 5 ปีที่แล้ว +3

    Jaman azam ,tuwekeen bas mchezo wa simba na kmkm ulioisha mda huu

  • @felixluoga3394
    @felixluoga3394 5 ปีที่แล้ว +12

    Hapana gem ilikuwa ngum hawa asante kotoko wanajua sana kupiga mpira ila kiukweli simba ya mwaka huu moto wa kuotea mbali

    • @abbakarim5587
      @abbakarim5587 5 ปีที่แล้ว +1

      asate xan ooookwe

    • @abbakarim5587
      @abbakarim5587 5 ปีที่แล้ว +1

      yanga mwakahuu mtakoma pobafu San simba bele yanga nyuma π√¥€

    • @felixluoga3394
      @felixluoga3394 5 ปีที่แล้ว

      Sana mwaka huu mkude,nyoni,wawa,asante,kwasi,kapombe,na chama watakaba hadi nyasi

    • @mrmkwepu902
      @mrmkwepu902 5 ปีที่แล้ว

      Felix Luoga y

  • @peterkibuga401
    @peterkibuga401 3 ปีที่แล้ว +1

    mwaka huo sikuiangalia ila 2020 kuna mtu amenifanya niiangalie kwa umakini zaid

  • @peterblessed8016
    @peterblessed8016 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana

  • @tubiajuma1542
    @tubiajuma1542 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwa tulioanza kuangalia ubora wa chama tangu hii mech tujuane

  • @amirlehao8945
    @amirlehao8945 4 ปีที่แล้ว +3

    Hii mechi ndo ilionesha ubora wa simba uko wap na ndo hii ilifanya vizur mpaka kufika robo fainal

  • @machinefannatic99
    @machinefannatic99 5 ปีที่แล้ว +5

    Salamba mavi sana

  • @silviaasenga1833
    @silviaasenga1833 3 ปีที่แล้ว

    Jamani huyu yakuba. ni.yule.wa yanga.au

  • @petermgogosi2534
    @petermgogosi2534 5 ปีที่แล้ว +3

    Noma

  • @abuuhafsah9630
    @abuuhafsah9630 4 ปีที่แล้ว +1

    Bora salamba kaondoka

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 4 ปีที่แล้ว +2

    Hiii ndo ilikua simba wanakuja kwaacha wachezaji wa maana wakalitea magalasa mambayo kwa simba hii hatakama tunaongoza ligi ila kimataifaa tutapgwa saana

  • @celeone2655
    @celeone2655 5 ปีที่แล้ว +3

    Wanajangwan rudn gm kumenogaaaaaa#msimbaz

  • @emmanuelleonard5387
    @emmanuelleonard5387 2 ปีที่แล้ว

    Fri Toto namkubali

  • @isayalisaleyo8572
    @isayalisaleyo8572 2 ปีที่แล้ว

    Wana simbaaa

  • @emanuelshijakagondi6010
    @emanuelshijakagondi6010 5 ปีที่แล้ว +2

    imezihilisha kwamba pesa za simba zinanunua majina sio wachezaji

  • @dawayao2837
    @dawayao2837 5 ปีที่แล้ว +5

    Mh simba ina mpira mwingi sijui ligi kuu itakuwaje 😀😀😀

  • @chrintonsasuni3818
    @chrintonsasuni3818 5 ปีที่แล้ว +4

    okwi ningependa abakie simba mpaka stafu yake tumfanye kama mess na Barcelona

  • @emmanuelmussa8331
    @emmanuelmussa8331 5 ปีที่แล้ว +4

    Salamba garasa since day 1

  • @adubimpong4095
    @adubimpong4095 2 ปีที่แล้ว

    Felix Annan was too good. We ended his career, hmmmm

  • @lazarojr8923
    @lazarojr8923 5 ปีที่แล้ว +12

    Huyu Chama ni 💥💥💥

  • @BontamLee
    @BontamLee 5 ปีที่แล้ว +11

    Ndio mechi pekee ya kirafiki AFRICKA kwa vilabu vya ndani,kushuhudiwa na watazamaji wengi.

  • @rajabuviva3160
    @rajabuviva3160 2 ปีที่แล้ว

    Hiii ilikua bola sana mechi tam

  • @allysaidy8808
    @allysaidy8808 5 ปีที่แล้ว +4

    Simba sports club imeiva ligi sipati picha

  • @ifaozil325
    @ifaozil325 5 ปีที่แล้ว +4

    Kwa simba hii mm sisemi memgi ila chama noma

  • @agyengkwakuantwi1510
    @agyengkwakuantwi1510 5 ปีที่แล้ว +9

    Seriously? what a dubious penalty

    • @MultiMbongo
      @MultiMbongo 3 ปีที่แล้ว

      Clear penalty may be you are new to this game

    • @agyengkwakuantwi1510
      @agyengkwakuantwi1510 3 ปีที่แล้ว

      ill skillz I don’t think so!

  • @mickymtenga8919
    @mickymtenga8919 4 ปีที่แล้ว

    Simba zidi ya nkana downloads

  • @naiiemkosovo8132
    @naiiemkosovo8132 5 ปีที่แล้ว +4

    YAKUBA AJE SIMBA

  • @elizabethjohn4549
    @elizabethjohn4549 5 ปีที่แล้ว +5

    Kwa mechi watu waliiponda sana simba sasa sijui bado wanakumbuka maneno yao hhhaaaahaaa

  • @allyjuma5640
    @allyjuma5640 5 ปีที่แล้ว +3

    simba vsz mtibwa

  • @nurdinrashid9722
    @nurdinrashid9722 ปีที่แล้ว

    Kumbe huyo yakuba kosa kosa sana kitamboo!

  • @timothyhandy2408
    @timothyhandy2408 5 ปีที่แล้ว +2

    simba bingwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @lwimikoyusuph4388
    @lwimikoyusuph4388 5 ปีที่แล้ว +5

    Uyu chama atareeeee

  • @siamekellah7528
    @siamekellah7528 5 ปีที่แล้ว +3

    kimtazamo,ni gemu la kawaida tu! kumbuka hii ni siku ya simba(simba day)

  • @yusuphjames6869
    @yusuphjames6869 5 ปีที่แล้ว +3

    5d

  • @rahimmchopa5163
    @rahimmchopa5163 5 ปีที่แล้ว +4

    tarehe 30 sizani

  • @footmobonline
    @footmobonline 3 ปีที่แล้ว

    Adam Salamba ni bonge la gharasa.

  • @martinswai8031
    @martinswai8031 3 ปีที่แล้ว +1

    Yacouba alikuwa mtamu kipindi icho

  • @pendoelias4822
    @pendoelias4822 3 ปีที่แล้ว

    Mm naangalia Leo tar 25/2/2021

  • @mkalifanny4555
    @mkalifanny4555 3 ปีที่แล้ว +3

    Yacouba sogne😅😅😅 kwan Ligi inaanza lin

  • @sospeterilagila5277
    @sospeterilagila5277 4 ปีที่แล้ว +1

    Okwi alko kwa sasa

  • @amurubashiru7748
    @amurubashiru7748 5 ปีที่แล้ว +3

    good gam

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 5 ปีที่แล้ว +4

    kwa kosi hili yanga hatoki 30/9/2018

    • @enockpaul7172
      @enockpaul7172 5 ปีที่แล้ว

      Emed Ibrahim umeona.naww

  • @kiolodo3
    @kiolodo3 2 ปีที่แล้ว

    Salamba alijipa usupastaa kabla ya kuwa supastaa

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 5 ปีที่แล้ว +5

    okwiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @andrewsayi5515
    @andrewsayi5515 4 ปีที่แล้ว +1

    azam tv

  • @nestorndogan5080
    @nestorndogan5080 4 ปีที่แล้ว

    Video vya kutombana

  • @TheDinhoDesign
    @TheDinhoDesign 5 ปีที่แล้ว +7

    bora penati alivyo kosa, ilikuwa rahisi sana na refa sijui aliwaza nini maana goli lingeingia wageni wangeona kabisa nguvu nje ya uwanja imefanyika

  • @anordclemensi9440
    @anordclemensi9440 4 ปีที่แล้ว

    Imeishaiyo

  • @husseinmohamed9365
    @husseinmohamed9365 5 ปีที่แล้ว +2

    Good game

    • @tensonmzumbwe1701
      @tensonmzumbwe1701 5 ปีที่แล้ว

      Hussein Mohamed Simba iko vzuri tatizo ni kumalizia

    • @chazytv2648
      @chazytv2648 5 ปีที่แล้ว +1

      Simbaaaaaaaa

    • @geoffreygregory7173
      @geoffreygregory7173 5 ปีที่แล้ว

      hamna kitu tumewashindwa hata hawa

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      Geoffrey Gregory unawajuwa HAO ni kina nani lakin??

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว +1

      TENSON MZUMBWE kwa leo yaani tuseme ilikuwa kumalizia ila inshallah watapata kuelewana kupitia michezo mingine ya mashindano tofauti..na endapo Kagere angebaki tungeongea vingine saiv ila dogo mzuri muda tu bado mapema sana kwake.,dilunga kama kaja kufanya shughuli aliyokwisha wahi ifanya vile ani saafi sana dilunga cheza vzr sana hali kadhalika kwa chama ebhana wawa kumbe bado ana vituZ nyoni inabidi aache zile dambudambu asee pelekea goli + mwenzie manula akae golini atoke inapobidi mpaka kupigiwa mpira namna ile mpaka kushindwa kuutoa kwenye hatar.
      Kiujumla kwangu ulikuwa mchezo mzuri na kipimo sahihi vijana wamepambana na kututoa kimasomaso japo ilipaswa kuwa hadithi nyingine kwa mwal wa kotoko kwan wlipaswa chezea co kwa nafasi walizokoswa.,penati nadhani Salamba apongezwe kwan aliweza kumhadaa mwamuzi alicheza kiUKOMAVU sana pale kujiangusha kwa akili.
      Mtibwa miongoni mwa timu ninazozipenda kwenye ligi hii co kwamba ni mluguru au natokea moro hapana ila ni kwa namna gani wamechangia kuleta vipaji katika uso wa TZ na kukuza Taifa stars na vilabu vingi tu naikubali sana hii timu ila daah..Ngao ya jamii watanisamehe asee na ni vijana wenzao nitaomba wawekewe na hata wao itakuwa kipimo kama kwl wapo tayari kushiriki mashindano kimataifa.
      Sante waTZ, Mashabiki.,Azam na mwekezaji MO
      #GGSIMBA!

  • @kaizamgawa5573
    @kaizamgawa5573 5 ปีที่แล้ว +3

    Salamba ustaa mwingi mno

  • @charlesbaodi8620
    @charlesbaodi8620 5 ปีที่แล้ว +2

    Ask

  • @richardhaule3744
    @richardhaule3744 5 ปีที่แล้ว +2

    Refa kawabeba kwa penalty lakn hawajabebeka ☺☺☺

    • @iddimussa7010
      @iddimussa7010 5 ปีที่แล้ว

      Wana simba tuipe moyo itashinda

  • @ottogodfrey3175
    @ottogodfrey3175 5 ปีที่แล้ว +2

    hyu. chama ni motroooo kiungo namwona. niyo nusu akichoma mahind bechi sana. #fundi

    • @raismwaigombe7179
      @raismwaigombe7179 5 ปีที่แล้ว

      Si wakati wa kuwa na wachezaji mzigo kwa Sasa hii ndo simba ya Enzi zile za mafisango naona gusagusa nyingiiii kama F, C, Barcelona

    • @malelembamabula8432
      @malelembamabula8432 4 ปีที่แล้ว

      Mambo

  • @michaelmartin8344
    @michaelmartin8344 4 ปีที่แล้ว

    Baba lao

  • @ramadhanamir4636
    @ramadhanamir4636 5 ปีที่แล้ว +2

    No penalty

  • @barakadaffi3409
    @barakadaffi3409 4 ปีที่แล้ว

    Simb hatariii

  • @suleimanshoble6771
    @suleimanshoble6771 2 ปีที่แล้ว

    Costco

  • @kobbykay8835
    @kobbykay8835 5 ปีที่แล้ว +9

    African Referees......How on earth was that a penalty?

  • @yudatadeshayo4434
    @yudatadeshayo4434 3 ปีที่แล้ว

    Yacuba watanii wamepata