SALEH JEMBE AMCHAMBUA KIUNGO MSHAMBULIAJI SIMBA/USAJILI WA CHAMA YANGA/

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.ค. 2024
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 32

  • @praygodmmari5850
    @praygodmmari5850 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mchambuzi muongo huyu duuh, mbona alihisi kama yanga hawaja msajili duuuh saleh ni mchambuzi mwongo mwongo sana.

  • @kamazimamuganyizi6932
    @kamazimamuganyizi6932 2 วันที่ผ่านมา +2

    Kwa vile kamsifia chama apo unaona huyu ni mtu mzuri, angekua kamwongelea tofauti ungeshusha matusi

  • @mussakidabu4232
    @mussakidabu4232 2 วันที่ผ่านมา +9

    Saleh jembe ww ni jembe unajua mzee ww sio mchambuzi mandazi napenda unaongeaga ukweli piga kazi mzee

  • @praygodmmari5850
    @praygodmmari5850 2 วันที่ผ่านมา +1

    Wee utaona tu ,Chama atakupa challenge mpaka utajuta

  • @jonathansirkintungi7434
    @jonathansirkintungi7434 2 วันที่ผ่านมา +8

    Salehe huyo mwandishi ni mjinga hata kama anapewa vibahasha hapaswi kuidharau simba. Hivi anajua simba ni ya ngapi afrika na yanga ni yanga ni ya ngapi?" Eti simba haina uwezo wa kuvutia wachezaji wa kubwa. Huyo ni mbumbumbu. Hajui wachezaji wakubwa hawaangalii simba ni ya ngapi tz wanaangalia ni ya ngapi afrika. Salehe ni mchambuzi mwalimu mungu akulinde ya ache machumia tumbo.

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 2 วันที่ผ่านมา +1

      Mwenda wazimu huyu bro amekuwa mtu mzima hovyo sana... Anataka kutuambia whydad imeshika nafasi ya sita Morocco ni team isiyo na mvuto kwa wachezaji wakubwa? Besides Simba inajitengeneza hivyo nafasi ya mchezaji mkubwa haipo tunahitaji wachezaji wadogo wenye vipaji na njaa ya mafanikio ili ktk kutimiza malengo yao ndio faida kwetu sasa chezaji kubwa lishachukua hadi ubingwa wa Africa mara tatu au nne unalileta Simba linakuja kufanya nini?

    • @shaameshaame2837
      @shaameshaame2837 2 วันที่ผ่านมา +3

      Hata ulaya mchezaji anaangalia timu ipo club bingwa? Co historia ya miaka iliyopita wanaangalia muda uliopo ndo maana huoni mchezaji mkubwa akienda Newcastel kwamba iliwahi kubeba ubingwa

    • @deniseliuter3002
      @deniseliuter3002 2 วันที่ผ่านมา

      Huo Ni uongo man city iliyokua mbovu misimu ya nyuma ilikuaje wakasuka kikosi Bora cha kushindania vikombe.usiongee kiushabiki mpira wa Leo watu wanaangalia fedha​@@shaameshaame2837

    • @bone102
      @bone102 2 วันที่ผ่านมา

      Wakati mayele anaondoka Yanga hakuna mtu aliyesema wachezaji wanaangalia timu ambayo ipo club bingwa tena Yanga haikuwa club bingwa kwa miaka 25 ila leo Chama katoka Simba eti wanaangalia club bingwa tena baada ya simba kutokuwepo club bingwa kwa mwaka 1 na tena baada ya kukusanya point nyng kupeleka timu mbili club bingwa hii nchi watu mnaichukia Simba kisa mafanikio yake huu ni ushamba sana 😂 ​@@shaameshaame2837

    • @mashambaelectronicsworksho495
      @mashambaelectronicsworksho495 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@shaameshaame2837kwamba man u saiv haivutii wachezaji wakubwa?😅😅 Newcastle ni kama mtibwa ti

  • @emmanuelnkwabi8610
    @emmanuelnkwabi8610 2 วันที่ผ่านมา +3

    Mm huwa nakukubali kaka

  • @user-pj4mx2ro4h
    @user-pj4mx2ro4h 2 วันที่ผ่านมา

    Mzee saleh jembe ulipaswa kuwepo CROWN SPORT MEDIA.lakin kwa wale looohhh kazi ipo

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 2 วันที่ผ่านมา +1

    Alikua anafanya mgomo wakati yuko simba hata magoli matano yy na inonga na golikipa basi ni bora aende

  • @julianajeremiah4353
    @julianajeremiah4353 วันที่ผ่านมา

    Hahaha wanaandamana kweli kweli maandamano kwa Chama Simba Morson ahamia Simba Wala hakuna aliyeandamana uwiiii

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 2 วันที่ผ่านมา +1

    Chama,aziz ki yanga itachukua ubingwa tena

  • @shukurumgaya5950
    @shukurumgaya5950 2 วันที่ผ่านมา +1

    Leo umeongea point

  • @FaustineTango
    @FaustineTango 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kaka Saleh sijajua ushabiki wake ila ningetaman sana kumwona kwenye board ya wakurugenzi ya simba

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 2 วันที่ผ่านมา

      Nakuunga Mkono asilomia 💯

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ameenda kustaafu😂😂😂

  • @jofreymwampamba1236
    @jofreymwampamba1236 2 วันที่ผ่านมา

    Yaan mlichopost na kinachoongelewa ni tofaut

  • @RashidiSaidi-p5t
    @RashidiSaidi-p5t 2 วันที่ผ่านมา

    Hiz swaga za chama watu wasishi kuhusu huyu mwamba twangalie usajili wetu pamoja na huyu kocha mbona hawamtangazi

  • @menhardmathias203
    @menhardmathias203 2 วันที่ผ่านมา

    Natamani uwe CEO wa simba

  • @Amonationtv4551
    @Amonationtv4551 2 วันที่ผ่านมา +1

    🎉

  • @user-ip6xg6jx3g
    @user-ip6xg6jx3g วันที่ผ่านมา

    Unataka awe mshabiki wa yanga.

  • @abumuhammad9615
    @abumuhammad9615 2 วันที่ผ่านมา

    Nakukubali Salehe ..wewe ndiye mwandishi bora wa michezo wa muda wote hapa Tanzania

  • @peterjohnbahhi1565
    @peterjohnbahhi1565 วันที่ผ่านมา

    Interview yote chama.mwandishi bwege

  • @user-qo1sg1zd7c
    @user-qo1sg1zd7c 2 วันที่ผ่านมา +4

    Hamna kitu hapo yeye ni shabiki wa simba😢😢

    • @elimbotoraphael3940
      @elimbotoraphael3940 2 วันที่ผ่านมา

      Shida ipo wapi akiwa simba

    • @nasseraljahwri6310
      @nasseraljahwri6310 2 วันที่ผ่านมา

      Wewe ndio hamnazo, Saleh Jembe huwa anaongea facts.......😂 Unaleta ushabiki ndezi

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 2 วันที่ผ่านมา

    jembe huwa ni jembe kabisa