Bwana Yesu asifiwe Wana na Binti wa Mungu....... Tunaomba mnao Juana na huyo Mtumishi wa Kweli wa Mungu.... Mfanye Utaratibu wa kumleta Tanzania..... Mfano kuchangisha pesa ili aletwe..... Aje atuvuvie Roho Mtakatifu... Amen. Wengi hawana Roho Mtakatifu.
kama unapenda ujazwe Roho Mtakatifu ao kubatizwa na Roho Mtakatifu cha kwanza soma Neno la Mungu kwa wingi, Neno la Mungu likijaa ndani yako kwa wingi ndipo utakua na kiu yakumpokea Roho Mtakatifu na utafurikwa na nguvu zake Amen
Kumbe kunena kwa lugha mungu nisaidie
Amina barikiwa mtumishi na Bwana Yesu anisaidie kumpokea Roho mtakatifu
Yesu nisaidie nipokee ROHO MTAKATIFU wa kweli
Amen pasteur mungu. Akubariki kwa kutufungulia kujuwa ukwelii
Kweli shuhuda zinajenga, NAAMINI!
Mungu awabariki sana nazidi kujifunza
AMEN barikiwa mtumishi nimependa huu ushuhuda wenu na ninawapenda msidi na kufanya kazi ya MUNGU milele
Amen and amen
Amen mungu anisaidie niwe na ngufu za Roho mtakatifu kila wakati ili nimshinde shetani
Bwana Yesu asifiwe Wana na Binti wa Mungu....... Tunaomba mnao Juana na huyo Mtumishi wa Kweli wa Mungu.... Mfanye Utaratibu wa kumleta Tanzania..... Mfano kuchangisha pesa ili aletwe..... Aje atuvuvie Roho Mtakatifu... Amen. Wengi hawana Roho Mtakatifu.
kwakweli aje tena mm natamani kumuona na niongee nae kabisa.
Amen
Strong
Asante Yesu kwa roho mtakatifu
Asante sana kwa ushuhuda na Mungu awabariki sana
Amen Amen
Jamn nimefurahishwa mno na huu ujumbe wa Roho Matakatifu ,
Amen
Amen mutumishi Mungu akubariki kwa ushuhuda huo, naomba kusaidiwa nimeomba ubatizo was roho mtakatifu lakini sijajibiwa shida ni Nini?
kama unapenda ujazwe Roho Mtakatifu ao kubatizwa na Roho Mtakatifu cha kwanza soma Neno la Mungu kwa wingi, Neno la Mungu likijaa ndani yako kwa wingi ndipo utakua na kiu yakumpokea Roho Mtakatifu na utafurikwa na nguvu zake Amen
❤
AMEEN AMEN
Blessed my lovely sister the power of testimony
Amen barikiwa
Eeh BWANA YESU tusaidie sana
CADENISM NI NINI
Amen amen
Amen
Amen Amen Sana namimi natamani roho mtakatifu anishukie kama mtume wa Yesu ao kama wengine wanavio shukiwa na roho Amen
Amen amen
Amen
Amen
Amen
Amen