Dkt. MWAKYEMBE : WASANII WAENDE SHULE/SIJAWASHAWISHI WASANII WAIMBE NYIMBO ZA CCM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ก.ค. 2020
  • Haya ni Majohiano na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumzia mambo mbalimbali ikiwemo habari kubwa inayoeleza kuwa Wasanii wengi wa Muziki wameshawishiwa na Wizara yake Kuimba nyimbo za CCM ikiwa kama sehemu ya Kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu Octoba 2020
    #GoodMorning #MkutanoMkuuWaCCM2020 #UchaguziMkuu2020 #MsumariWaMoto
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 21

  • @andronicomanasemkuyu5333
    @andronicomanasemkuyu5333 3 ปีที่แล้ว +1

    Wakikosoa mnawaambia waache siasa waende kusoma,wakisifu serikali wanafanya vizuri.wala hizo siasa. Yaani Tz.

  • @kebbyfx
    @kebbyfx 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji uko vizur big up

  • @ommygoldene3636
    @ommygoldene3636 4 ปีที่แล้ว +1

    NAOMBA NIKUALIKE
    Habari naitwa Hero msanii wa muziki naomba nikualike kutizama na kusapoti video ya mziki wangu mpya nao uzindua leo rasmi kwa ku SUBSCRIBE naomba SUSCRIBE yako shabiki wangu GUSA hapa kuona th-cam.com/video/kHp-9wK9Tyw/w-d-xo.html

  • @isejemedia6760
    @isejemedia6760 4 ปีที่แล้ว

    Napenda ton yako mwakyembe

  • @subiransasi8029
    @subiransasi8029 4 ปีที่แล้ว

    Bora ustaafu tuu huku kyela aongoze mwingne miaka 15 mingi sana CCM Ina watu wengi sio mpaka ww

  • @colinmhema530
    @colinmhema530 3 ปีที่แล้ว

    Huyo muongo nandomana alipigwa chini aseme wanalazimishwa na wanapewa pesa nyingi

  • @innobugobola3744
    @innobugobola3744 4 ปีที่แล้ว

    Ata msanii Roma anadam ya Ukawa lkn anaipenda Ccm Leo wasanii wote tz wawe wa ccm aaah sio kwel mungu anawaona

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 4 ปีที่แล้ว +1

    KWELI WEWE NI DR. SIO MAGUMASHI. SIFIA AU KOSOA KILOCHO HAKI MAANA HATA UKAULIZWA UJUE NAMNA YA KUJIELEZEA.

    • @amanibwire4423
      @amanibwire4423 4 ปีที่แล้ว

      Udoctor wake umeisaidiaje jamii yake? Elim ya vyeti hiyo haina maana

  • @mwakaloboambele5161
    @mwakaloboambele5161 4 ปีที่แล้ว

    Mwakyembe vipi Kyela unarudi ubunge

  • @johnerent565
    @johnerent565 4 ปีที่แล้ว

    Kwa nyongeza tu jamani wasanii hawa wanaoiimbia dunia hawawezi kusifia kitu kingine isipokuwa mambo ya dunia ikiwemo na siasa wanaostaajabisha ni wale wanaomwibia Mungu halafu uwakute humo, kimsingi kila anayesifu humsifia bwana wake.

  • @geraldpallangyo7726
    @geraldpallangyo7726 4 ปีที่แล้ว

    Kweli kuna mpaka kusoma kingereza wakasome mkuu nimekuelewa

  • @danieljulius4708
    @danieljulius4708 4 ปีที่แล้ว

    Nimekupata tatizo ni namna ya kukosoa hapo ndipo tatizo lilipo.

  • @innobugobola3744
    @innobugobola3744 4 ปีที่แล้ว

    Wasanii wameshawishiwa kuiimbia Ccm izo ni mbinu za ccm

  • @Allykoroshotv
    @Allykoroshotv 4 ปีที่แล้ว +2

    Wacha kutuchanganya we juz uliongea hiv leo unaongea hv ebu nikupe honger mtangazaji wangu Bora kwa maswali magum kwao hao waachumia tumbo

  • @samsonyemmanuel5160
    @samsonyemmanuel5160 4 ปีที่แล้ว

    Uctuzingue we mzee,c ulisema Roma Kama anataka kuimba nyimbo za siasa aingie kwenye siasa?! Leo unasema hatukukuelewa?! Pumbavuuuuuuuuuu.....

    • @thomasrichard7465
      @thomasrichard7465 4 ปีที่แล้ว

      Ndugu yangu tumia Mtandao vizuri na penda kulinda maadili yako unayemtukana pumbavuuuuuuu sio sahizi yako nahisi ukisema bila kutukana unaweza kueleweka vizuri sana tofauti na lugha unayotumia na kama nitakuwa nimekuudhi samahani

    • @ashuashu3843
      @ashuashu3843 4 ปีที่แล้ว

      Ndg sio maadili mema kutukana neno baya hilo haliko katika maadil ya dini na mila na destur,(heshima ni kitu bora kwa binadamu.

    • @samsonyemmanuel5160
      @samsonyemmanuel5160 4 ปีที่แล้ว

      @@thomasrichard7465 Hawa viongozi wanakwaza bhn aah!

    • @samsonyemmanuel5160
      @samsonyemmanuel5160 4 ปีที่แล้ว

      @@ashuashu3843 Inaboa bhn

  • @ommygoldene3636
    @ommygoldene3636 4 ปีที่แล้ว +1

    NAOMBA NIKUALIKE
    Habari naitwa Hero msanii wa muziki naomba nikualike kutizama na kusapoti video ya mziki wangu mpya nao uzindua leo rasmi kwa ku SUBSCRIBE naomba SUSCRIBE yako shabiki wangu GUSA hapa kuona th-cam.com/video/kHp-9wK9Tyw/w-d-xo.html