ZAIDI YA WATIA NIA 20 WATAKA JIMBO LA MWAKYEMBE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ค. 2020

ความคิดเห็น • 26

  • @mussanebart7782
    @mussanebart7782 4 ปีที่แล้ว +1

    Wazee wangu wa kyela nawaombeni mpeni nafasi mdogo wangu Oby Mwakibinga ni muadilifu Sana hakika hatawaangusha wazee pia niwaombe vijana wenzangu tumsaport kijana mwenzetu tumpe miaka mitano kwanza Sasa ni zamu ya vijana na Yesu ambariki MBUNGE mtarajiwa Oby Mwakibinga kyela juu juu juu zaid

  • @melaniavictor7734
    @melaniavictor7734 4 ปีที่แล้ว

    All the best Sady.

  • @mzeewamadodoso1816
    @mzeewamadodoso1816 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Obadia

  • @kiatu
    @kiatu 4 ปีที่แล้ว

    Duh, hapo, sijui.

  • @isunga1964
    @isunga1964 4 ปีที่แล้ว

    Sijamuona baba yangu mdogo tu kutia nia Mwandemange uko wapi jamani milango inafungwa huku 😊😊😊

  • @abcdg1995
    @abcdg1995 4 ปีที่แล้ว

    Watching closely from Diaspora U.S. Massachusetts Boston Locked Loud and clear Greetings Guy's

  • @alexprosper7267
    @alexprosper7267 4 ปีที่แล้ว +1

    @millardayo huyo wa Baiskeli kaja na uhalisia kabisa,kamzidi aliyekuja na V8

  • @juliethkipeja4791
    @juliethkipeja4791 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutangulie Sady wangu.

  • @erickmwangonda7814
    @erickmwangonda7814 4 ปีที่แล้ว

    Tunataka vijana mwakyembe kawa mzeeee

  • @Chapesatv
    @Chapesatv 4 ปีที่แล้ว

    Kama umeona wasindikizaji like hapa

  • @kingfocustzog
    @kingfocustzog 4 ปีที่แล้ว

    Dada, ukiwa na miaka 30 acha kuliza "ni nni aliyekupa namba
    yangu?" Wkt mwingine, mama yako anatoa mawasiliano yako
    kanisani. ➪ ғᴏᴄᴜs

  • @benneproductionstudio5189
    @benneproductionstudio5189 4 ปีที่แล้ว +1

    th-cam.com/video/DMu_pLF4jEQ/w-d-xo.html
    Chapa like hapa wewe kama unamkubali mtangazaji

  • @timbulosaid63
    @timbulosaid63 4 ปีที่แล้ว

    Kuna watu wanataka kuturudisha ktk mfumo wa chama kimaja swali,hawa watinia waliojitokeza mwaka huu ikiwa kutakua na chama kimoja sitauwana hawa

  • @subiransasi8029
    @subiransasi8029 4 ปีที่แล้ว

    Wote nyie wasindikizaji sijaona mbunge hapo tunataka mbunge wa kumtoa Mwakyembe sasa nyie ngoja tuone wengne

  • @RMTV660
    @RMTV660 4 ปีที่แล้ว

    TIBIWA POPOTE DUNIANI NA BIBI RAHMA WA HANDENI TANGA BINGWA WA MAGONJWA SUGU NYOTA NA MAJINI.+255714921626

  • @RMTV660
    @RMTV660 4 ปีที่แล้ว

    TIBIWA POPOTE DUNIANI NA BIBI RAHMA WA HANDENI TANGA BINGWA WA MAGONJWA SUGU NYOTA NA MAJINI.+255714921626