TABIA KUMI ZA KUZIEPUKA ZITAKAZOKUFANYA UWE MASKINI MAISHA YAKO YOOTE HIZI HAPA NA CHIEF GODLOVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 10

  • @FidkimKim
    @FidkimKim 2 หลายเดือนก่อน

    Fidd Kim Kenya ✌️👁️✌️✨ Jicho la 3 ❤️

  • @AmadiKisimba-ve1hu
    @AmadiKisimba-ve1hu 2 หลายเดือนก่อน

    Chefu no yako inapatikana aji

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona husemi masiniki ndo mwenye imani sana na mungu na ndo wanofanya ibada sana kuliko matajir # ikisha acha kuwajadil maskin #

  • @LauHerman
    @LauHerman 2 หลายเดือนก่อน +1

    1,kuombaomba misahada kwandugu,2kupenda kupungiziwa punguziwa bei za bizaa unapotaka kununua sehem 3,kujipendekeza pendekeza kwa walionacho4,kujishusha samani ya ubinadam wako mbele za watu 5,kujifanyisha wewee ndo muhungwana saanaa mbele ya wenzako

  • @Apostledanielsmith2543
    @Apostledanielsmith2543 2 หลายเดือนก่อน +1

    Isaya 30:
    (Isaiah)
    1. Ole wa watoto waasi; asema Bwana; watakao mashauri lakini hawayataki kwangu mimi; wajifunikao kifuniko lakini si cha roho yangu; wapate kuongeza dhambi juu ya dhambi;
    ---------------
    "Woe to the rebellious children," says the Lord, "Who take counsel, but not of Me, And who devise plans, but not of My Spirit, That they may add sin to sin;
    2. waendao kutelemkia Misri wala hawakuuliza kinywani mwangu; ili wajitie nguvu kwa nguvu za Farao, na kutumainia kivuli cha Misri.
    ---------------
    Who walk to go down to Egypt, And have not asked My advice, To strengthen themselves in the strength of Pharaoh, And to trust in the shadow of Egypt!

  • @ImanNjogolo
    @ImanNjogolo 2 หลายเดือนก่อน

    Maskin tuna maneno mengi yasiyoishaga

  • @JumlaMbulu
    @JumlaMbulu 2 หลายเดือนก่อน

    1.kuwachukia ambao hawajakupa msaada
    2.kuwasema wengine vibaya kila uonapo wanafanikiwa
    3wivu usio na maana
    4. Uoga wa kuthubutu
    5. Wanataka utajiri bila kujishighulisha

  • @FahdIbnyussuf
    @FahdIbnyussuf 2 หลายเดือนก่อน

    Maskini wanazaa kwasababu wanaume wa kweli lkn mabaradhuli km nyie huenda mkageuzwa

  • @LauHerman
    @LauHerman 2 หลายเดือนก่อน

    Imeisha hiyo cheaf kazi nakuachia wewe