Sababu ya umasikini wetu wa africa, ni utajiri tulio nao😥. Wazungu wanatumia utajiri wetu kwa kutugombanisha sisi kwa sisi ili wafaidi wao.. eeeh mungu ibariki Africa yetu🙌🙌🙏🙏🙏
@@sojadulege-gu4ypsiasa imeshika tamu siasa imepeleka matamanio zaid ya mali ktk nafsi zetu sisi wanadam. dini zilikuwepo tokea zaman na watu walieshimiana..tatizo linakuja tamaa na uongo unaotengenezwa na wale wasioipenda Africa wametuaminisha kuwa africa haiwezi kusimama yenyewe bila wao...njia wa lizotumia africa ni zile zinazogusa hulka ya hiasia za kibinadam..wakatumia dini africa hatuna shida..shida ipo kwa maadui zetu walioizunguka africa
Mmekuja hapa kujifunza siyo kutafuta likes heee, Yaani watu mnashindwa hata kushirikisha mawazo yenu kuhusu Story hii mpo bize kuomba likes jaman aseeeeees😂
Tulio Anza part 1 gonga like zifike 500 tu 😅😅
Wangapi tuliokuwa tunasubiria story book tujuane hapa tuendelee kujifunza mengi Jamal on top👍👋
Hongeraaa sana tuna taka mambo kama hata Kwa wakati siyo story Moja wiki mnzm kila siku tuna taka story mnzuri
Wa17 naombeni like za kutosha🎉🎉😂😂jamal April ❤story book❤
Leo nimewah nipen bas hata like 😊😊😊
Hivi like zina maana😢 gani kila mtu anang'ania tunajifunza Nini kwenye story book shukurani ❤jamar April prof.
Hata mm nawashangaa wanao omba like sijui wanafaidika na nn?
Ufala tu badala walike video husika ili kumpa ari muandaaji wa Malala hii wao wako nyoko nyokoo nipen like wanakera atar mmmxiiiiiuuu
Professor once again 🎉🎉
Much respect professor
Jamali wangu ❤
Chitak like zenu Mimi nipo bize na profesa jamali
Bonge moja la introduction congrats brother 👍
Bando langu asilimia kubwa linatumika kwa story za jamar april Ila all of them mwamba uko vizuri❤
Team @jamal April gonga like twende pamoja jamani like zenu❤❤
Best Television content in Africa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Always ready to get facts from @Jamal April. You are a good researcher maybe if you could make a video about digital money....BITCOIN
Jaman naombeni bax hata like5tu
We mwanaume unaomba like acha ivyo broather
We mwanaume unaomba like acha ivyo broather
Sababu ya umasikini wetu wa africa, ni utajiri tulio nao😥. Wazungu wanatumia utajiri wetu kwa kutugombanisha sisi kwa sisi ili wafaidi wao.. eeeh mungu ibariki Africa yetu🙌🙌🙏🙏🙏
Tatizo elimu
Tatzo africa dini ndo bas
Tatizo ni Elimu na Dini hapa Africa ndiyo tumerogwa vyote tunafata kutoka kwa wagen
@@sojadulege-gu4ypsiasa imeshika tamu siasa imepeleka matamanio zaid ya mali ktk nafsi zetu sisi wanadam. dini zilikuwepo tokea zaman na watu walieshimiana..tatizo linakuja tamaa na uongo unaotengenezwa na wale wasioipenda Africa wametuaminisha kuwa africa haiwezi kusimama yenyewe bila wao...njia wa lizotumia africa ni zile zinazogusa hulka ya hiasia za kibinadam..wakatumia dini africa hatuna shida..shida ipo kwa maadui zetu walioizunguka africa
Karibu kenya
Awesome
manshalla nilikua nasubiri hi semu ya pilli🙏
Daaah asante my brother kwa kuachia huu mzigo👍👍👍 much love from Moz 🇲🇿
Wpi like professor jamali April 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️♥️♥️
Hakika Jamal ni genius gonga apa kwaajili yake🤛🤛
Good story Jamal🎉🎉❤❤
Asante sana ulituacha na hamu
Kazi safi sana. Kindly tuandalie ya mtume Mohamed ama any ya dini ya kiislaam.
Asante.
Professor umezaliwa kuwa zaid ya mwalimu. Asante sn.
🔥🔥
Kenyan 🇰🇪🇰🇪🇰🇪# reject financial bill
kabisaa #rejectfinancebill
Napenda sana the stor book
Jamaliii unatoa madinii Sana nichekiii tupige kaziii kaka mwenyewe haya madinii ninayoo mengiii
Haha kila nikivizia niwe wa kwanza nashindwa! Leo ni 29 min ago😂😂😂! Ntaidaka tu cku 1
Daah leo mm wa 4
Big up brodah
Some broh will come to trippin for likes soon
Hakika huyu jamal mungu ampiganie kama anavyo tupigania sisi waja wake
Tuko pamoja profesa jamal
Hongeraaa jamalii❤❤❤
Professor wew ni mfano mzuri wa kusikilizwa na kuigwa..
Sija chelewa ndugu zangu mnipe like hapa kama mnapenda kaka Yetu Jamal April ❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Leo wa sita ni pate like zangu…..
Bro you've got me with the story with Interstellar in the background .From Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
The greatest story teller in history
Good good 👍🏾
❤❤❤
Pamoja sana
❤ Part 3 ikuje
Kenya tuna enjoy story zako professor
Namimi naombeni walau like jmn
Mmekuja hapa kujifunza siyo kutafuta likes heee, Yaani watu mnashindwa hata kushirikisha mawazo yenu kuhusu Story hii mpo bize kuomba likes jaman aseeeeees😂
Kwani hizo like huwa mnafanyia nini maana kwa kuziomba!!!!!!!
Nijuzeni basi
na ww nakupa like😅
Jamal tunaomba utuletee story book inayohusu vita ya Vietnamu marekani na wavietnamu
Kaka unajua sana brilliant jamal genius
SEMA NIN KAKA JAMAL WE JAMAA UNJUA🙌🔥 CHUKUA UA LAKO🌹
Jamal strory zako nazipenda sana.❤
Safi sana🔥🔥🔥
Been waiting for this part 2
Story nzuri Ina inaelimisha
Wakwanza Leo 😅😅
Nakubali sana simlizi za huyu mwamba kama nawewe unakubal gonga like❤
Mi leo ni wa kwanz naomben liKe mbili tu
This is what we want JAMAL, great story..umechanganua vya kutosha
Hongera kaka
😃
Asante sana my brother from another mother
Tumewahi leo niatari
Big up Jamal
Safii sana Leo nimepata kulikua vzuri kwanini kukazaliwa Taifa la sudani kusini🙏👏👏
Naomba like zanguuu leoooo🎉
We za kaz gani
1 more like for Professor Jamal April naqubali sn kaz zako broo!!! long live 💯💯
Ndio kbs wasudani ni wasenge
Maisha ni fumbo... Mema na mabaya ni sehem ya maisha
Kuwa mtu mwema haikufanyi kupendwa na watu Katika Dunia, Makes a lot of sense.
Nimeipenda hiyo saa uliyovaa Prof.
Apo mbona kama buza
Ebu na mimi nataka nione like hizo jamani
Naombeni likes na mimi
Best of the best 💯💪💪 professor
Hakika wewe ni 👑 wa simulizi
Good job
Jamaa anajuwa sana
Asante Jamal mustafa
eeee kunawatu hawalalagi wa coment
Jaman naomba maua yangu leo
🎉🎉🎉🎉
Hii😂😂 nazani nimewahi kumbe mushapita😂😂 naombeni hata like 20 jaman
We za kaz gani
Yeah namimi Leo Naomba like zenu nitashukuru
Tuko pamoja
Hapo kwa wanajeshi kupelekwa bungeni nimechekaa kwa sauti kubwaaa😂😂😂😂. Ubabe ubabe yani.
Ebu na mimi mnipe Likes nione huwa inakuaje ati
Ushamba uoo
Nimewahi bila shaka
Proff🎉
Tuna subiria part 3
Asante sana kwa simulizi Safi sana😊
Pro jamal🐐
Nakubal
wa 32 naombeni likes mbili
Labda mii cjui,hv ukiwa na likes nyingi unalipwa hela nyingi na wasafi???
Kwani ni nilazima watu kuwa waislaam mbona ni mambo ya kipumbavu💀
😂😂😂😂😂
🎉
Pure African history 🔥🔥🔥🔥
Nimekua wa137 like zangu viongozi
Nipe likes jamani ata mbili tuu 😔
Naona part 3 ipo njiani