TUKIMALIZA KAZI By PASTOR MWANSASU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 48

  • @marykarebeti9410
    @marykarebeti9410 3 ปีที่แล้ว +20

    Gonga like,kama umekuja huku baada ya kusikia huyu mwamba amelala.
    May his lovely soul Rest in Peace.

    • @raymondkipipi516
      @raymondkipipi516 3 ปีที่แล้ว +2

      Dada Mary sie ni watu wa you tube kila tukio tunafatilia lazima tuangalie Kaz alizofanya mtumishi, Mungu tupe kujua nyakat

    • @kluzophilimon7186
      @kluzophilimon7186 3 ปีที่แล้ว +2

      Du! kitambo sana, respect to you bishop, RIP.

    • @adamfundikira1620
      @adamfundikira1620 3 ปีที่แล้ว +2

      @@kluzophilimon7186 kweli kabisaaaa nikiwa mbeya asubuhi wimbo huu ulikuwa unapigwa kwenye radio moja pale mbeya r.i.p

  • @Lilian20248
    @Lilian20248 ปีที่แล้ว +2

    Huyu pastor alikuwa anaimba vizuri sana, R.I.P 😢💔. Safisheni tena hizi nyimbo zake zionekane vizuri. Napendaga sana kusikiliza nyimbo zake💖🔥

  • @RosemaryKaizirege-qs1qr
    @RosemaryKaizirege-qs1qr ปีที่แล้ว

    Mungu Akupe pumziko la Milele

  • @AdamFundikira-kk5oj
    @AdamFundikira-kk5oj ปีที่แล้ว +1

    Wokovu wa zamani ulikuwa moto wa roho mtakatifu kweli kweli kwanza ulikuwa ukikosa kanisani washirika wanakufuatilia sio sasa

  • @Coster-l3h
    @Coster-l3h ปีที่แล้ว

    Kiongozi umetutoka kimwili kiroho Bado huduma yako inafanya kazi pumzika Kwa aman .amina

  • @AdamFundikira-kk5oj
    @AdamFundikira-kk5oj ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sanaa hata kama haupo duniani kazi yako njema ipo

  • @rodriguesvictorvalerio6886
    @rodriguesvictorvalerio6886 11 หลายเดือนก่อน

    Ni moja kati ya gospel singer ananibariki sana.

  • @sarahamos8524
    @sarahamos8524 4 ปีที่แล้ว +7

    Unanikumbusha mbali baba wa Imani

  • @rachelkihaka9204
    @rachelkihaka9204 ปีที่แล้ว

    Rest in paradise man of God endelea kudifu huko mbinguni

  • @taffidollar145
    @taffidollar145 ปีที่แล้ว +1

    Tukimaliza kazi tutavalishwa taji 👑.. Rest in peace, man of God.

  • @rodriguesvictorvalerio6886
    @rodriguesvictorvalerio6886 ปีที่แล้ว

    Nashindwa fananisha unavyoshuka uwepo kwa nyimbo hizi. Na nyimbo za kisasa.

  • @gidionlotha988
    @gidionlotha988 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakika tukimaliza kazi tutavalishwa taji .. Mwenyenzi MUNGU akupe furaha ya milele maana kiukweli ninakumbuka mbali sana kwa nyimbo zako .. Upumzike salama Mchungaji wa MUNGU

  • @BernadateMwanzia
    @BernadateMwanzia 5 หลายเดือนก่อน +1

    Rest in peace man of God I loved your songs so much from kenya

  • @adamfundikira1620
    @adamfundikira1620 3 ปีที่แล้ว +3

    Nimekumbuka siku nipo mbeya asubuhi wimbo huu ulikuwa unapigwa kwenye radio moja pale mbeya

  • @josephkiteleja5102
    @josephkiteleja5102 ปีที่แล้ว

    MUNGU akupe pumziko la milele mtumishi hakika tumaini letu unaimba na malaika mda huu

  • @victoriatamba5830
    @victoriatamba5830 3 ปีที่แล้ว +5

    Mimechelewa kujua leo ndio nimejua jamani kumbe umeondoka leo ninaifanya kukuomboleza Ephraim Mwansanuu

  • @elammaseta2457
    @elammaseta2457 3 ปีที่แล้ว +7

    R.i.p legend, umemaliza kazi sasa

  • @NzirubusaGrodien
    @NzirubusaGrodien 7 หลายเดือนก่อน

    ❤Baba nikisikia nyimbo zako nitapata furaha.

  • @leontinebinlydi9459
    @leontinebinlydi9459 3 ปีที่แล้ว +2

    Amena sana mubarikiwe 💃💃🙏🙏

  • @HanifaMwambungu
    @HanifaMwambungu หลายเดือนก่อน

    2024 nipo hapa

  • @ambroseokiya5467
    @ambroseokiya5467 2 ปีที่แล้ว +3

    Rest In Peace Pastor Mwasasu you impacted the lives of many people not only in Tanzania but also in Kenya and the rest of the world. May God crown you for you finished your race well servant of God.

  • @LoyceEmas
    @LoyceEmas 2 หลายเดือนก่อน

    Bado nazienz nyimbo zake😢

  • @ruthhopemasaba8135
    @ruthhopemasaba8135 3 ปีที่แล้ว +2

    This song was on my mother's wedding rest in peace bishop

  • @geequeen1116
    @geequeen1116 3 ปีที่แล้ว +7

    Rest in eternal peace legend 💔💔shine on your way🙏🙏🙏

    • @amockkalinga1520
      @amockkalinga1520 3 ปีที่แล้ว

      @Eliza 😱💔😭😭😭😭😭😭

  • @samsonmwaikenda8064
    @samsonmwaikenda8064 3 ปีที่แล้ว +3

    Rip mtumishi

  • @olgaadrianoolgaadrianochac3434
    @olgaadrianoolgaadrianochac3434 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @stanslausmajalla8896
    @stanslausmajalla8896 ปีที่แล้ว +1

    Tukimaliza kazi tutavalishwa Taji,taji ya uzima, pumunzika kwa amani baba.

  • @samwelmwaijumba6018
    @samwelmwaijumba6018 3 ปีที่แล้ว +3

    Hakika tukimaliza kazi tutavalishwa taji ya uzma....hallelujah

  • @josephkiteleja5102
    @josephkiteleja5102 ปีที่แล้ว

    Pumzika kwa Amani mtumishi😢

  • @geoffreymosesngondejuniorb9996
    @geoffreymosesngondejuniorb9996 ปีที่แล้ว

    Ulimaliza yako 😢

  • @gregoryisabwa5553
    @gregoryisabwa5553 3 ปีที่แล้ว +4

    Great timepiece

  • @Joyce-fx5jm
    @Joyce-fx5jm ปีที่แล้ว

    r.i.p mtumixh wa Mungu

  • @victoriatamba5830
    @victoriatamba5830 3 ปีที่แล้ว +2

    RIP baba

  • @mosha2588
    @mosha2588 3 ปีที่แล้ว +2

    Amina

  • @meshackmnyuluka5185
    @meshackmnyuluka5185 4 ปีที่แล้ว +10

    Kaz nzur

  • @JosephAlphonce-s9s
    @JosephAlphonce-s9s ปีที่แล้ว

    R.I.P MWASANSU

  • @happyombay3020
    @happyombay3020 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameen RIP

  • @davidmutai4916
    @davidmutai4916 3 ปีที่แล้ว +1

    RIP mwansasu

  • @givenmyefu6833
    @givenmyefu6833 3 ปีที่แล้ว +1

    rip

  • @kelvinyesaya3304
    @kelvinyesaya3304 3 ปีที่แล้ว +2

    Amina