Mungu ni mwema na mwaminifu , kama aliweza kuwatoa paulo na sila usk wa manane na kwet ni mwaminifu mungua atakutetetea kama arisema nilikujua toka tumbon mwa mama ako niriktakasa kwaiyo hashindw kamwe
If Kuna mtu anasikizanga huu wimbo hati mwisho kama hajamwaga machozi naomba anigawie hiyo roho ngumu, my daughter, dad, auntie cousin brother continue resting in peace
Yaan Mimi sijui jamani naomba Mimi na ukoo wangu wote tukaingie yerusalamu mji ambao mungu ametuandalia alisema anakwenda kutuandalia makao alipo yeye na sisi tutakua amina
Nawasalimu wateule wote wote kwa Zina la mwokozi wetu Yesu kristo mwe neema ,ndugu zangu hakika tuko katika Vita kwa upande wetu sisi ambae tulichagua kua suja wa wokovu nawatia nguvu musikate tamaa Safari yetu ipo karibu kumalizikana musiogope tuko pamoja .
The song is xoo touching 😭😭😭😭,,lord have mercy upon us ,,,
Tuishi tukijua iko cku itafika hatutakuwepo.
Tukeshe tukiomba bila kuchoka tuupate mwisho mwema
Wimbo huu umeninya kumurudia mungu mpasasa nimeamua kurudi kusali baada ya kuusikiliza kwa makani huu wimbo
Niko mbali mtumishi nakukumbuka kwa maombi mungu akuonellanie utoke huko jela yetu ni maombi triza ni kiwa mombasa
Very good song mbarikiwe ningependa kujua maneno niwe nikiimba aki😊
Mungu ni mwema na mwaminifu , kama aliweza kuwatoa paulo na sila usk wa manane na kwet ni mwaminifu mungua atakutetetea kama arisema nilikujua toka tumbon mwa mama ako niriktakasa kwaiyo hashindw kamwe
Ni kweli wenye haki watapitia mateso, Mungu akutunze gerezani umalize kifungo salama urudi kumtumikia Mungu
Mbona alifungwa
Hakika mungu Ni mwema kwetu uishi siku nying Sana na heri dunian ❤❤❤❤❤❤
Wanadamu hatuna budi kutafakari maisha yetu hapa duniani ili kuufikia ufalme wa mbinguni
Mungu baba mwaminifu sana katika mambo yote atakukumbuka hata huko gerezani mtumishi
Nimejawa nafuraha kwakuachjwa kweli Mungu ainuliwe pia makonda MunguAmkumbuke amina
Bwana akutie nguvu mtumishi wa Mungu, umalize kifungo chako salama, majaribu ni mtaji wa kukomaza Imani, barikiwa mtumishi
From your mouth to the ears of God, amen.. what happened?
Mwakipesile on fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 GOD bless you man of GOD
Wimbo huu una upako ndani yaké... Umenibariki Sana.
Upako wa ajabu
Kwa kweli mungu azidi kukupandisha mahali pa juu kila siku maana hii nyimbo imetubariki
najisikia amani nikisikiliza wimbo huu moyoni
mch zephani peter Makorongo chemba nyimbo hizi zinaujumbe kwetu siku zote
If Kuna mtu anasikizanga huu wimbo hati mwisho kama hajamwaga machozi naomba anigawie hiyo roho ngumu, my daughter, dad, auntie cousin brother continue resting in peace
My favourite song,,,Nitamjua mwokozi
Mbarikiwa sana mtumishi Kwa wimbo huu
Nakupenda sana huu wimbo baba jaman barikiwa sana
Wimbo huu zimeniamkisha kurudi kwa yesu zinanisaidia sana mbarikiwa Mungu akubalikiwe naishi hapa Rwanda kigali
Tunakuombe
MUNGU wa mbinguni atakuonekania Mc Mbarikiwa.
Mungu abariki sana numefura kwauwimbo
Nabarikiwa na huu wimbo Thank you God 🙏
Yaan Mimi sijui jamani naomba Mimi na ukoo wangu wote tukaingie yerusalamu mji ambao mungu ametuandalia alisema anakwenda kutuandalia makao alipo yeye na sisi tutakua amina
Za wee. Nana m
Hi bb.
Ee Mungu tusaidie mwisho wetu, usiniache Baba yangu,
Nabarikiwa Sana na huu wimbo
mungu wambiguni akubari wimbaji 🙏🙏☝️
Ubarikiwee sana songa mbele baba
Naupenda sana huu wimbo
Mungu akubarik mtumish wa mungu
Kuanzia Leo naokoka
Ameeen maamuzi ya kishujaa hayoooo . Hongera sanaaaaa
kasabuti barikiwa
Naupenda huu wimbo sana.❤
Thank you for this song
2024🎉❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
Ameni Ameni Mtumishi.
It has a powerful message
Powerful song
Chanzo Cha mm kuokoka bwana hatakuacha
I love this songs...I always cry when singing
TAFADHALI UNAWEZA WEKA LYRICS
Nawasalimu wateule wote wote kwa Zina la mwokozi wetu Yesu kristo mwe neema ,ndugu zangu hakika tuko katika Vita kwa upande wetu sisi ambae tulichagua kua suja wa wokovu nawatia nguvu musikate tamaa Safari yetu ipo karibu kumalizikana musiogope tuko pamoja .
Amen mtumishi wa Mungu. Ubarikiwe sana
Asante
Ameen ❤❤
Amen 🙏
Natokea chanika
Nabarikiwa n Huu wimbo
The best song
Amen
So touching song ever ❤❤🔥🔥👏👏
Ameee
This song melts my heart It's my favorite 💘💘💘
Asanti
Nakumbuka tukio la huzuni hapo ni la moda mfupi barikiwa mtumishi
Nice mtumishi wa mungu ubarikiwe sana
Download
Amina nabarikiwa sana na wimbo huu