KILICHOMKUTA DADA HUYU BAADA YA KUPATA MPENZI KWENYE MTANDAO IWE FUNDISHO KWA WENGINE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024
  • Jamani tuwe makini kwenye mitandao humu na haswa Wanawake sisi mtu anaweza akajifanya kakupenda kumbe analake jambo..!Fwatilia kisa cha dada huyu na yliyomkuta baada ya kupata mpenzi wa mtandaoni
    #geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah

ความคิดเห็น • 1.1K

  • @carolmuchiri9921
    @carolmuchiri9921 3 ปีที่แล้ว +40

    Huwo ni U tapeli wa Mtandaoni, Jameni kama ingekua kweli Unge muacha Kijana wa Watu sababu ya Sponsor, Makosa Dada Angu 🤔😡

  • @zafaranialmas5861
    @zafaranialmas5861 3 ปีที่แล้ว +36

    Wanawake tupunguze tamaa jamani kaaaaaa

  • @hawa4968
    @hawa4968 3 ปีที่แล้ว +32

    Umeolewa kisha unataka ziada mungu atunusur kutoshek nikitu kizur sana

    • @adijei
      @adijei 3 ปีที่แล้ว

      Amiin atunusuru yarabb

    • @joycekikoti8670
      @joycekikoti8670 3 ปีที่แล้ว

      Asieridhika huyu ndo maana kapata majanga

    • @fatmahamis2154
      @fatmahamis2154 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣 wallah nimechoka sn we mwezi tu kodi ndy ukome Daaah Tanzania ndy mchi peke ukipata mwanaume kodi cm mara hera ya kura Daaah macho 3 passport anayo nenda xx

  • @marljhemel2018
    @marljhemel2018 3 ปีที่แล้ว +16

    Huo utaperi upo kitambo.. Wanaobabaika na ngozi nyeupe ndo wanataperiwa sana, ela inatumwaje kwenye box wkt kuna urahic wa kutuma jmn

    • @NuruZebedayombise-ie5zb
      @NuruZebedayombise-ie5zb 2 หลายเดือนก่อน

      Ata mm ilinitokea adi nikatumiwa nikaona mzigo airport kabisa kumbe tapeli eti nitume ela kwenye bandarini weeeee komaaaa nashukuru siku tapeliwa

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 3 ปีที่แล้ว +40

    Jamani We Dada Umeolewa Halafu Wasema Ungeacha Mume Ukaenda Kwa Mume.Tamaa Mbele. Mumeo Akiskia Na Ataskia Tuu.

  • @saadiaali5609
    @saadiaali5609 3 ปีที่แล้ว +24

    Unatamaa dada hivi mume akikuacha utafanyaje

  • @chenterywanda8918
    @chenterywanda8918 3 ปีที่แล้ว +7

    Ukihacha udhaifu wake wakutokua muaminifu kwenye ndoa Kama waja tunavyo mlaumu hapa ametoa darasa ama funzo kwetu watu wengi wanaibiwa kwa njia hizi

  • @milkamugomo218
    @milkamugomo218 3 ปีที่แล้ว +2

    Washenzi hao watu walijaribu kwangu wakapata mimi ni mjanja kuwaliko vile ameeleza ndivo walinieleza but mimi niliwapiga chenga nilimwambia mmesema kuna pesa hapo ndani chukueni alafu mniletee mzigo wangu wakanivuruga but mimi nilikuwa nishawajua ni matapeli mwisho wasiku niliwatishia kuripot kwa police wakaniblock huyo alijifanya ako Canada na hawa wakupokea mzigo

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 3 ปีที่แล้ว +81

    Huyo alikua mnigeria hizo ndio tabia zao kuscam watu, ni wanigeria wenye wako Europe, tuned 🇰🇪

    • @shakilakhamis2109
      @shakilakhamis2109 3 ปีที่แล้ว +4

      umeona eeeeh

    • @sabrinaraphael3474
      @sabrinaraphael3474 3 ปีที่แล้ว +3

      Kweli kabisa

    • @aselina5862
      @aselina5862 3 ปีที่แล้ว +3

      Kweli kabisa yaani wanaijeria matapeli wa kimataifa

    • @carolinetalam5832
      @carolinetalam5832 3 ปีที่แล้ว +6

      @@aselina5862 tena wao hutumia pictures za wazungu wenye wako desperate sababu Kuna wazungu machokora Sasa wao hushirikiana nao

    • @mishibabu8946
      @mishibabu8946 3 ปีที่แล้ว +6

      Kweli ata mm walitaka kunikoni hawa wa2 ni wezi

  • @mariamahmed614
    @mariamahmed614 3 ปีที่แล้ว +9

    😭😭😭ya nilikuta hivii hapa niko na denii lkn story yangu sio ya mapenzi nilikuwa na tuma hela za kazi

  • @shanimwaboza6272
    @shanimwaboza6272 3 ปีที่แล้ว +5

    Dada shukuru Mungu ungetapeliwa,hio number anayokupigia nayo ni landline dear,yashanikuta

    • @kulthumsalim7070
      @kulthumsalim7070 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @msalimsali9240
      @msalimsali9240 3 ปีที่แล้ว

      Dada nataka unielekeze pls hyo landline nikupe namba yangu

    • @mahewamahewa6461
      @mahewamahewa6461 3 ปีที่แล้ว

      Mmezidi tamaa na kudanga

    • @shanimwaboza6272
      @shanimwaboza6272 3 ปีที่แล้ว

      @@mahewamahewa6461 asante dear ,ila hakikisha nawe ni bikira ndio uwoe ,manake kama sio bikira sote tunadanga tu.

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 3 ปีที่แล้ว +41

    Leo number moja kwenye media ya Geah habibu, like 10 tu jmn.

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 3 ปีที่แล้ว

      Mdau Mwenzangu upo kotekote

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 3 ปีที่แล้ว

      @@fatmaalrshdii7615 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙈🙈🙈 nimekuwa kama Corona dunia

  • @yakaramayaka1456
    @yakaramayaka1456 3 ปีที่แล้ว +14

    Yalimkuta rafiki yangu, ilikua hivyo mnigeria akawa anajifanya mzungu. Kumbe mnigeria.

    • @chauligemeka7840
      @chauligemeka7840 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣pole

    • @mishibabu8946
      @mishibabu8946 3 ปีที่แล้ว

      Mm nilitaka kukoniwa hahaaa

    • @yakaramayaka1456
      @yakaramayaka1456 3 ปีที่แล้ว

      @@mishibabu8946 Niko UK, nilimpigia huyo Mnigeria na kumtishia naenda kumripoti kwa police, hakuamini masikio yake. Alimdanganya rafiki yangu parcel la zawadi limekwama Malaysia. Hivyo vitu alivyomlistia. Hata celebrity wa huku hawezi kumpa mtu hawajawahi kumuona. Nilimwambia rafiki yangu hivyo vitu ni very expensive. Nipe namba nimpigie. Ndipo nilipokumbana lafudhi ya Kinigeria😁

  • @marrydaudmimiimenigusa2479
    @marrydaudmimiimenigusa2479 3 ปีที่แล้ว +53

    Hahahaha hahahaha ,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sina mbavu jamani kama unaamini mama huyo anajiuza gonga like kama zote

    • @mamaahmad8615
      @mamaahmad8615 3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli huyu dada mzinifuu aibu acheni tamaa wadada tulieni na waume zenu umalaya siyo dili kutafuta kunyongwa tu

    • @زيتونتنزانيا
      @زيتونتنزانيا 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwanza hajui hata bei ya dolali hajui

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 3 ปีที่แล้ว +1

      Tena bila haya eti ningemuacha namigodoro yake me yayuu kwa dodo ulaya

  • @aminakawawa1935
    @aminakawawa1935 3 ปีที่แล้ว +5

    Wanawake tujitume kuombaomba pesa kwa wanaume ndio maana tunadhaulika kwanza wanaume wa kwenye social media siwataki hata kusikia 🙏🙏

  • @alexkalonga3632
    @alexkalonga3632 3 ปีที่แล้ว +54

    Uyu Dada ameolewa lakn anaonekana mdangaji tu!!

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 3 ปีที่แล้ว +2

      Ni tamaa tu

    • @zuweinamohamed2073
      @zuweinamohamed2073 3 ปีที่แล้ว +3

      Kabisa mana unafika kupeana hadi namba za sim nawewe mke wa mtu

    • @africano98.
      @africano98. 3 ปีที่แล้ว +1

      Ana tamaaaa uyo mwanamke

    • @cadhimberec1286
      @cadhimberec1286 3 ปีที่แล้ว +2

      Hana mume huyoo anadanga tuu

    • @rukiahussen4810
      @rukiahussen4810 3 ปีที่แล้ว +1

      Jamani tulizike na all yetu

  • @aoman5214
    @aoman5214 3 ปีที่แล้ว +9

    Kkam Una passport kwanini usije Oman kujitafutia rizki jaman

    • @saumumrisho2532
      @saumumrisho2532 3 ปีที่แล้ว +1

      Nfanyie mm mpango bas

    • @assilaibra4563
      @assilaibra4563 3 ปีที่แล้ว

      @@saumumrisho2532 Kama Unayo Passport Nitafute,

    • @sirimohammed785
      @sirimohammed785 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂oman wanaogopa kunyonywa damu acha wakae tanzania wanyonywe jasho

    • @nasrakapama3670
      @nasrakapama3670 3 ปีที่แล้ว

      @@sirimohammed785 Acha sisi tupambane 😂😂😂

    • @aoman5214
      @aoman5214 3 ปีที่แล้ว

      @@sirimohammed785 😀😀😀😀 kazi kwao cc wengin tunamalix miak kumi na Zaid na hatujanyonywa damu watapat tabu

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 3 ปีที่แล้ว +6

    Kanifurahisha mwanamke mwenzangu kaaa, dodo chini ya mndimu mhh. Pole mwaya

    • @halimamchopa5090
      @halimamchopa5090 2 ปีที่แล้ว

      Dodo chini ya mbuyu

    • @Zubaiba
      @Zubaiba 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @rahmanyenza649
    @rahmanyenza649 3 ปีที่แล้ว +7

    Jamaniii jamaniii mm mwenyewe nilifnyiw hvohvo nikafika hadiii airport hakun hili walaaa lileee nanilituma lkiii moja🤣🤣🤣😪😪😪poleeee sanaaaa Dada

  • @shikuassi4876
    @shikuassi4876 3 ปีที่แล้ว +2

    Tamaa mbaya sana pesa tangu lini ikatumwa kwenye kibox, wanatuma West Union, money gram, tigo pesa Mpesa.

  • @alisterlexter1115
    @alisterlexter1115 3 ปีที่แล้ว +15

    Money gram,Western Union, PayPal account box Hilo kwioooo

  • @Amina-bq2xe
    @Amina-bq2xe 3 ปีที่แล้ว +29

    Mke wa mtu na tamaa juu jamani. Allaah atusamehe.

  • @najma3268
    @najma3268 3 ปีที่แล้ว +74

    Tafuteni kazi mfanye 😂😂😂

  • @mariamika2834
    @mariamika2834 3 ปีที่แล้ว +2

    Shida wanaume wetu hawako romantic jamani ndio maana wadada wenzetu wanahangaika na wazungu jamani ...

    • @faudhiasalum7279
      @faudhiasalum7279 3 ปีที่แล้ว +1

      pont👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽

    • @Mazoea
      @Mazoea 3 ปีที่แล้ว

      Wanaume wa kitanzania full panda kitandani. Hahaha no romantic at all

    • @mariamika2834
      @mariamika2834 3 ปีที่แล้ว

      Hhahahahahaha Solomo acha kunifurahisha ni kweli jamani kwan unahisi wangekuwa romantic wadada wangehangaika na wazungu wa nn waaaa

  • @haskao77
    @haskao77 3 ปีที่แล้ว +4

    Ila wanawake wa bongo mmezidi. Unamuombaje mtu hata hamjakutana hela ya kodi

  • @aishaally8062
    @aishaally8062 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi mwanangu kaambiwa pesa aliyotumiwa sawa na pesa za kitanzania sawa na milioni mia moja Tena na yeye katumiwa vitu kama hivyo hivyo yani mpaka computer mikoba simu ya macho matatu sasa mwanangu Katoa raki tatu na nusu katoa raki tatu kambiwa toa milioni moja ndio upate mzigo wako.

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 3 ปีที่แล้ว +13

    Mnapenda mteremko na ukomeeee,kumbe mke wa mtu tena loooh 🤣🤣🤣🤣,naona ulipanga hata kumuacha mumeo,acha tamaaaa

    • @sashaqueentz2917
      @sashaqueentz2917 3 ปีที่แล้ว

      Kweli 😀😀na unawez mwambia rafik ako alie nje akufungulie watsp kwa namba ya nje 😆ila inafurahisha hii story

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 3 ปีที่แล้ว +1

      kweli kabisaa jamani mke wa mtu mbona wasiwe waa minifu kwa wanaume zao kweli aki ndio Marathi inazidi duniani juu ya tamaa aki

    • @marymanoni5536
      @marymanoni5536 3 ปีที่แล้ว

      Cjaona ajabu yy na mumewe sw ,mumewe wake wawili na yy waume wawili ngoma dro

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 3 ปีที่แล้ว +2

    Wacheni tamaa jamani.
    Msifikirie kila mzungu ni tajiri !.
    Hao mnowaamini kuwa wanapesa wenyewe wanaokota makopo na chupa kwenye mapipa kuuza ili kuishii maisha..

    • @aishaaisha1495
      @aishaaisha1495 3 ปีที่แล้ว

      Umeonaee co kila mzungu anahela wengne hawana ttz la baadhi ya wanawake ukiona2 mtu mzungu au mwaeabu mnajua Sana hela kumbe majanga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @fzafza6746
      @fzafza6746 2 ปีที่แล้ว

      Tena Bora awe maskini muokota makopo siku hizi Kuna ushirikina jamani tuogopeni sana kwa kweli wachukuliwa waenda nyonyesha nyoka hukoo yupo mdada kafanyiwa hivo jamani

  • @husnahassan6289
    @husnahassan6289 3 ปีที่แล้ว +3

    Hii lssue ni ipo sana tuu na sio wazungu ni wanaume wa kinageria mie ninae shoo wangu nae alitapeliwa hivyohivyo

  • @barikiwa22
    @barikiwa22 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana

  • @kellistajackson7865
    @kellistajackson7865 3 ปีที่แล้ว +3

    😀😀😀😀😀huyu dada Amejua kunichekesha

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa kutufungua masikio

  • @aishahakondo8525
    @aishahakondo8525 3 ปีที่แล้ว +9

    Ila wanawake tue makini sana

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 ปีที่แล้ว +1

    mkome tamaa watu wengi siku hizi wanazo no za nje na il hali wapo tz pengine aliwahi kwenda nje na aliporudi akaendelea kuitumia hiyo no kwa whatsapp tamaa mbele mauti nyuma Uliona wapi mzigo utumwe cargo ya ndege ufike kwa muda mrefu hivyo.

  • @salhaissa2619
    @salhaissa2619 3 ปีที่แล้ว +6

    Wanawake bwhna mwalim we2 kipof kila cku aya 2nashkur ume2pa funzo na wengne!!

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 3 ปีที่แล้ว +1

    Hivi wewe dada mzungu yupi wa kukupa vitu vya namna hiyo tuulize sisi tunakaa ulya wazungu wengi wananuka mavi mtupu hawana jipy hata . Hata mwafrika akikupenda atakupa pesa ya maana suo mzungu wa leo .

  • @ramlamohammed1661
    @ramlamohammed1661 3 ปีที่แล้ว +3

    Tamaa mbaya Sana

  • @fatumahramadhani2636
    @fatumahramadhani2636 3 ปีที่แล้ว

    Hii store nakumbuka rafik yangu aliniambia mambo hayo sem alikuwa mjanja xna mpk leo ananiambia tuwe makini xna ila pole xna kwa kushtukia mapem nimejikuta nachek jamn matepal hawa mung anawaona kwl

  • @katibatanzania3089
    @katibatanzania3089 3 ปีที่แล้ว +4

    Dooo pole sana mpndw wangu matapeli wanambinu nyingi sana kwakweli tuweni makini Tanzania inaongoza kwa utapeli jamani

    • @claudiangowi9585
      @claudiangowi9585 3 ปีที่แล้ว

      Nigeria ndo kiboko, Tanzania tunajifunza

    • @sanisani5266
      @sanisani5266 3 ปีที่แล้ว

      katibu tanzania utapel ni nchi zote shogaangu katapeliwa akiwa hapa Oman alipata bwana hivyo akataka muowa akamuelekeza kwao uganda wakapeleka vifrushi kama hivyo yeakalipia kaibiwa

    • @sukariyao6537
      @sukariyao6537 2 ปีที่แล้ว

      @@sanisani5266 hayo yamenikuta mie juzi nimeambiwa nimeletewa mzigo wako na mpenzi wako kutoka London tuma liali 400 uje utumiwe mzigo wako au address namba nikamwambia naijua iyo kwamba ni mataperi 😂😂😂

  • @gayanimwansasu
    @gayanimwansasu 2 ปีที่แล้ว

    Wewe nimalaya tu huwezi sema akituma hela tu sio kweli Mungu akulinde nyinyi wanawake wamtandao mnatumiwa sana

  • @mamuliciosrajab6664
    @mamuliciosrajab6664 3 ปีที่แล้ว +9

    Hao Ni Wanaigeria Matapeli Wakubwa Love 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @daliaabdullah5756
    @daliaabdullah5756 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana dada uwe makini na matapeli lizika na hali yakoo mpende mumeo je akisikia mumeo itakuwaje pole sana

  • @madamloveness7274
    @madamloveness7274 3 ปีที่แล้ว +6

    Sio wazungu tu hata wabongo wako wa kutosha ,bila aibu wanaomba hela kwa mwanamke eti nataka nilipe pango 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @mwanahamisndunda2749
      @mwanahamisndunda2749 3 ปีที่แล้ว

      Hahahaha

    • @najma3268
      @najma3268 3 ปีที่แล้ว

      Wewe Na sasahivi mtindo wa wanaume kuomba pesa za pango ndo usiseme

    • @madamloveness7274
      @madamloveness7274 3 ปีที่แล้ว

      @@najma3268 ukitaka muachane mwambie Sina hela alafu hawataki mwanamke ambaye Hana kazi

  • @salmahussein4623
    @salmahussein4623 3 ปีที่แล้ว +1

    Hao watu wapo na wana conection kila nchi nimatapele hatari wanafanya wanakutongoza wanakutapeli mana wanajua waafrica wanapenda wazungu ndomana wanatapeli sana

  • @dinahdianah9653
    @dinahdianah9653 3 ปีที่แล้ว +5

    🤣🤣🤣🤣asante dada umenchekesha kweli, pst mgogo alisema vyabure vina gharama🇰🇪🇲🇩

  • @pendomangalili7501
    @pendomangalili7501 3 ปีที่แล้ว +2

    Habari ya wazungu Sio mchezo jamani mnakopa na kuwapa matapeli kuweni makini sana, mzungu aje direct kwako sio kutumiana parcel 📦

  • @milkamugomo218
    @milkamugomo218 3 ปีที่แล้ว +6

    Tena walinitisha elfu 70 za Kenya washenzi hao watu

  • @eshialabonita7736
    @eshialabonita7736 3 ปีที่แล้ว +21

    Matapeli wa fb wamehamia insta 😜😜😜..Kaa na mmeo tulia

    • @sashaqueentz2917
      @sashaqueentz2917 3 ปีที่แล้ว +2

      Apo walikula njama na mumeo wakijua maisha yaende 😀😀

    • @saumukaisi7003
      @saumukaisi7003 3 ปีที่แล้ว +1

      😃😃😃😃😃

    • @jesusjesus7477
      @jesusjesus7477 3 ปีที่แล้ว +1

      Wanaijeria wana garagaza kila kona 😂😂😂😂acc feki wanajidai wazungu

    • @fatmakigula8634
      @fatmakigula8634 3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 3 ปีที่แล้ว

      @@sashaqueentz2917 Big noooo

  • @jamilanasir6833
    @jamilanasir6833 3 ปีที่แล้ว +8

    Huyo aliwai kuishi nje Sasa amerudi tz

  • @ameenaameena1224
    @ameenaameena1224 3 ปีที่แล้ว +1

    Subuhanallh kumbukeni mungu huu Ni uzinifu mtu unamume taamaa zanini

  • @ashanalinga8719
    @ashanalinga8719 3 ปีที่แล้ว +14

    Tamaa mbaya jamanii 😂😂😂😂ndomana Mi sijibu DM za mtu nisiyemjua 😂😂Kwaza Sijawahi kupoat Picha Yangu insta 😂😂

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 3 ปีที่แล้ว

    Jamani sikuizi namba za tz zinaweza kutumika nchi yeyote mimi npo Oman ilanatumia namba ya tanzania matapeli wangi sasahv tuwemakin dada unamme tena unaha ngaika nini

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 ปีที่แล้ว +4

    Hao wazunguu hata siwapendi mana wanarohoo mbayaa wanaua wafrica sana mm hata waburee sitaki

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 3 ปีที่แล้ว +2

      sio wote mbona mimi nimechukuliwa tangu utotoni na wazumgu wananilea kama mtoto hadi na umri huu wangu sifanyi hataa kazi ngumu kenya naenda kila mwaka mzungu atapeli wa Africa no

    • @aselina5862
      @aselina5862 3 ปีที่แล้ว

      Sio wazungu ni waafrika wanajifanya ni wazungu tena ni wanaijeria hao

    • @aselina5862
      @aselina5862 3 ปีที่แล้ว +1

      @@judithmelvinealuchio8968 ndio dia

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 3 ปีที่แล้ว +1

      @@judithmelvinealuchio8968 niwewe bahati yako hiyo

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 3 ปีที่แล้ว

      @@nurafedrick378 wazungu sio wa baya nigerians kenyans tanzanians watu wetu hawa ndio wabaya mara mia uoni mwishowe namba ilikuwa ya bongo dear

  • @rahmanyenza649
    @rahmanyenza649 3 ปีที่แล้ว

    Da gea hiii michezo iko mingiii sanaaaa wadada tunaibiwa kilaaaa sikuuu tujifunze jamaniii t3naaaa paleeee wanapokea watuuu wengiii wanapigwaaaa na mapolisi w paleeee wanajua kabisa

  • @mkubwahaji7458
    @mkubwahaji7458 3 ปีที่แล้ว +22

    Au wale wahindi wa fb

    • @sirimohammed785
      @sirimohammed785 3 ปีที่แล้ว

      Huyu mtanzania kabisa
      Tena kwa kuomba kupewa hera ya bill hawa na vitu wanavyokutumia ni vya kukutia kichaa

    • @zayhimid
      @zayhimid 3 ปีที่แล้ว

      Umejua kunichekesha

    • @winfridangoloke1916
      @winfridangoloke1916 3 ปีที่แล้ว

      Yaaaani hua wanakera wale

    • @sabrinatemela7120
      @sabrinatemela7120 3 ปีที่แล้ว

      Wahindi n kiboko

    • @maryamumapenzi1257
      @maryamumapenzi1257 3 ปีที่แล้ว

      Yani umesema ukweli

  • @agnesskisima8214
    @agnesskisima8214 3 ปีที่แล้ว

    Munguu kakuumbuaaa punguzaaa umalayaaa kengee wakikeee Ela zitakuponzaaa mtakujakuchinjwaaa Kama kukuuuuu unamakengoo yakumwachaaa mwanaumee kisa pesaaaa komaaa kirangaaaa

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe Malaya huyu Dada Ana mume lakini anataka danga nje mtihani inalillah wInailahi rajuun

  • @noxlosingida2369
    @noxlosingida2369 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyo ni Mna Nigeria wanatumia sana picha za wazungu,mimi nilitumia picha za mtoto na mke wake eti alikufa kwa ajili ya ajali sasa alipo niomba Account ya Bank hapo ndiyo nilimshitukia tena tulikuwa tuna chat kwa njia ya email.

    • @mariamzuberi6378
      @mariamzuberi6378 3 ปีที่แล้ว +1

      😅😅😅 shoga yng pole

    • @angeljasson4376
      @angeljasson4376 3 ปีที่แล้ว

      Umesema kwel kuna rafiki yngu alilizwa na mnaija

    • @noxlosingida2369
      @noxlosingida2369 3 ปีที่แล้ว

      @@mariamzuberi6378 asante dear ila jamaa alitaka kuniingiza mkenge kweli eti yeye anafanya kazi kwenye Meli sasa anataka nimtumie account yangu anitumie hela nimtunzie kabla meli haijazama😂😂

    • @shabanisudi5190
      @shabanisudi5190 3 ปีที่แล้ว

      Ng,ombe weweeee.

  • @thresherjordan6829
    @thresherjordan6829 3 ปีที่แล้ว +4

    Dadaa alijua kaokota dodo ehe watu matapel jamn kama ulikuwa ndo unatuma vipicha vya uchi vya kujisexshaaaaa umekwishaaa

  • @mymusicmyhobby7925
    @mymusicmyhobby7925 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimecheka vibaya

  • @petronilajoseph6797
    @petronilajoseph6797 3 ปีที่แล้ว +3

    inaonekana wanawake walio na ndoa sikuiz wanaongoza kwa ku toka nje

    • @ashuuuaisha9122
      @ashuuuaisha9122 3 ปีที่แล้ว +1

      Ndani joto. Matunzo hamna na yote hii wanawake wasiotaka kazi

    • @petronilajoseph6797
      @petronilajoseph6797 3 ปีที่แล้ว

      @@ashuuuaisha9122 yaah shida ingine ni kwamba hatufundishi watoto wetu kuwa na kipato ni kama akiolewa ameedna kufanya kazi hawatambui penzi lina mwisho🤣

  • @ZainabuSaid-oq1fy
    @ZainabuSaid-oq1fy 9 หลายเดือนก่อน

    Daaah pole sanaaa ndugu huyo Alex ni tapeli mie pia ilishanikuta ila mie sikujihangaisha nasijawahi kumtumia Ata ukucha wangu Acha picha

  • @AbdulAbdul-pr9qe
    @AbdulAbdul-pr9qe 3 ปีที่แล้ว +16

    hili dada ni dangaji la kimataifa

  • @levinastanslaus4634
    @levinastanslaus4634 3 ปีที่แล้ว

    Hiyo iliwahi pia kumtokea rafiki yangu alidanganywa hivyo hivyo katumiwa kiboksi lkn kwanza alitakiwa alipe laki 5 ndio aletewe kiboksi chake, wadada tuwe makini na marafiki mitandaoni tufanye kazi tuache kutaka shoti kati ya maisha

  • @accessme8481
    @accessme8481 3 ปีที่แล้ว +3

    Ilimkuta mpangaji wangu. Akanieleza nikamuambia nimatapeli wanatumia picha za wazungu.

  • @mename6020
    @mename6020 3 ปีที่แล้ว

    Shukuru Mungu kupotea hizo 30 elfu za boda... Ungetapeliwa laki Tatu na nusu... Na ulivyojikwaa ilikuwa ni ishara kuwa safar so sahihi...

  • @elisamalumba1062
    @elisamalumba1062 3 ปีที่แล้ว +11

    Umenusurika ... Rafiki angu yalimtokea km yako na wakamwambia atume laki tano na alituma mpka leo hakuna Cha mzigo wala nn

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 3 ปีที่แล้ว +1

    Mpaka leo kuna watu wanaamini pesa inaweza kutumwa kwenye kifurushi Mungu tunusuru. Ni Nigeria hao wanashirikiana na wabongo kama wale wanafunzi wa chuo waliokamatwa na simu za kutapeli watu tamaa mbele mauti nyuma hebu tujitume kwenye kazi na biashara wanawake mbona tunaweza jamani hakunaga msaada usio na lengo.
    Ila nakupongeza kwa kuamua kulisema ili kuwaelimisha wengine

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 3 ปีที่แล้ว +6

    Kinadada tuache tamaa Kwanza ukizingatia unamume Tama itakuweka sehemu mbaya sana

  • @meddyzambetakis
    @meddyzambetakis 3 ปีที่แล้ว +1

    Story nzuri hii akirudi mumeo muhadithie

    • @aishaabdul9287
      @aishaabdul9287 ปีที่แล้ว

      Umenichekesha mibao kama mibastola ungeipata hiyo😂😂😂😂

  • @salmaabduli700
    @salmaabduli700 3 ปีที่แล้ว +19

    Mzinufu. Kama kwer. Umeorew. Naufay ukiambiy. Muuwe mumeo nikuowe mm tajir utamuuw😔😔

    • @leahkyando6204
      @leahkyando6204 3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli
      Umeolewa

    • @oum759
      @oum759 3 ปีที่แล้ว

      Hta nyie waume wazinifu wakubwa agekua mume wake pia agechat

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 3 ปีที่แล้ว

      Acheni unafiki kuolewa kwiyo

    • @niwemugenimediatrice5640
      @niwemugenimediatrice5640 3 ปีที่แล้ว

      Pole dada lakin hata habari ya Wema haijakuamcha?milioni 16 za bule

  • @marthamangasta2341
    @marthamangasta2341 3 ปีที่แล้ว +1

    Ambao wanaaminika kiasii wa Oman wa USA tenaa siwez kuamin kiivooo kwenye swala La mm nilipee elaa iyoo n filamuu iyoo

  • @annangalawadr22
    @annangalawadr22 3 ปีที่แล้ว +11

    😂😂😂 wapo wengiii Facebook wamejaa

  • @jamilasaid1764
    @jamilasaid1764 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole Dada
    Duh unaweza kucheka kama mazr

  • @tausihasheem5051
    @tausihasheem5051 3 ปีที่แล้ว +3

    Nimecheka jmn hpo kwenye broken eti la mbele nyuma la nyuma mbele,

  • @hjhj6230
    @hjhj6230 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtachinjwaa tamaa tuu njoeni oman mpambane na maisha..wanaume kunawanaume wa kuhonga dunia hii wenyewe wanataka kuhongwa 😏😏😏

  • @fatumakilimba76
    @fatumakilimba76 3 ปีที่แล้ว +9

    Hahaha jamn tuwe making dunia hiii ya sas

  • @halimakihame1744
    @halimakihame1744 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akulaaani na ufisadi wake

  • @haskao77
    @haskao77 3 ปีที่แล้ว +6

    Stori kama hii tena hivi hivi nakumbuka ilipostiwa Instagram miaka ya nyuma

  • @halimahussein4752
    @halimahussein4752 3 ปีที่แล้ว

    Hahaahaaaaaaaa mwenzio nacheka kama. Mazuri yaan hao washenzi wamekuwa wengi mnoo mtandaoni mimi nilitaka kuliwa dollars 300 hahahaa hajanipata alhamdulillah. Jamani kuweni makini wapendwa acheni tamaa ndg zang. Yaan huyu dada anacho kiongea ni kweli kabisa

  • @mangeleoporod2704
    @mangeleoporod2704 3 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂😂e mungu nime maisha malefu nione vioja vya dunia😂😂😂😂

  • @user-en6qq3rs8j
    @user-en6qq3rs8j 3 ปีที่แล้ว +1

    Simu za macho matatu dda njoo uku mascat mbona rahis sana

  • @kitkat-pr4mv
    @kitkat-pr4mv 3 ปีที่แล้ว +27

    Mumeo akiona hiii interview ndio talaka yako🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Angelbaby-tx5li
    @Angelbaby-tx5li 3 ปีที่แล้ว

    Wanaijeria hawoo ata huku wapo na hiyo kazi naijuwa vema tu daah pole sana

  • @Kibwagizo_tz
    @Kibwagizo_tz 3 ปีที่แล้ว +6

    Riwe fundisho na kwa wengine

  • @mankamushi4588
    @mankamushi4588 2 ปีที่แล้ว

    Huo utapeli upo muda mrefu Sana toka 2019. Huyo dada ni ushamba wake tu na uroho wa vitu vya dezo

  • @ayshameme4856
    @ayshameme4856 3 ปีที่แล้ว +3

    Kuna mdada Arusha kaliwa pesaaa ivoivooooo tena yy alitumaaaa kbsaa

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 3 ปีที่แล้ว

    Mmmm mbona mambo umeolewa nahuku unataka kumdanganya mwengine pole sana mtihani

  • @daishajumanne5990
    @daishajumanne5990 3 ปีที่แล้ว +4

    huyu angekua nayo iyo pesa basi mbaka sasa amesha toa kuwapa ila ashukuru tu alikua hana

    • @zuenajohn8325
      @zuenajohn8325 3 ปีที่แล้ว

      Jamani pole dada hayo mapumbavu. Yapo mengi.

    • @daishajumanne5990
      @daishajumanne5990 3 ปีที่แล้ว

      @@zuenajohn8325 funzo kwetu

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 3 ปีที่แล้ว

    Jamani huo ni utapeli juzi tu nimepigiwa na watu sijui wa vinyago walinipiga laki nne kimasihara sihara

  • @oscaroscaroscar7974
    @oscaroscaroscar7974 3 ปีที่แล้ว +7

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣wanageria hao na Malaya zao wa Ki Tanzania walio asia Wanasaidiana kutapeli watu

  • @his-queenaisha7086
    @his-queenaisha7086 3 ปีที่แล้ว

    Daa geah anayosema huyu dada ni kweli rafikiangu pia alifanywa ivoivo afanyakazi katar yani ivo dada alivoelezea ni the same wallah tuweni macho

  • @aisha-ro5fr
    @aisha-ro5fr 3 ปีที่แล้ว +3

    Hahaha😅😅watu hawana huruma jmnii alafu wew daad ni boya miezi yote ujawai kuongea na mtu video call

  • @Atb300
    @Atb300 3 ปีที่แล้ว +1

    Tena anaweza kupigia cm akaongea kama mzungu sauti yake awakubali video call ni wanaigeria awo mama ndo Wizi wao mm najua vzr hii ishu cz niliwahi kuwa na boyfriend mwiz WA ivyo mnaigeria

  • @mishibabu8946
    @mishibabu8946 3 ปีที่แล้ว +4

    Hii story nmeisikiliza nikacheka yani inaendana na mm nilitaka kutapeliwa hahaaa tueni makini wezi wapo kila kona

    • @hatamimnimempendabulejaman1596
      @hatamimnimempendabulejaman1596 3 ปีที่แล้ว

      Haha mishi kwel wapo hawo halafu mimi mashtukaga halaka Sana najuwaga ni matapel tu wanajifanya wanataka kukutumia hila mimi najuwa mh uyu atawambia ugombowe na mtu kama uyo hatumu benk hela atakwambia hata bandal

    • @hatamimnimempendabulejaman1596
      @hatamimnimempendabulejaman1596 3 ปีที่แล้ว

      Rafiki yangu anasema hata wauganda wanafanyiwagwa hivyo

    • @hatamimnimempendabulejaman1596
      @hatamimnimempendabulejaman1596 3 ปีที่แล้ว

      Wamemficha sura hila kama mumewe anaweza kujuwa sauti yake

    • @hatamimnimempendabulejaman1596
      @hatamimnimempendabulejaman1596 3 ปีที่แล้ว

      Uyo kwel itakuwa sio mzungu kama alivyosema mtu mwanzo anaweza kuwa, mnaijeria mana waswahil wengi wanafanyaga utapel wazungu ni marachache sana kufanya utapel uwo Kuna mtu alisema wazungu wa marekan wengine wezi wamejanjaluka kwasababu ya waswahil kule wapo wengi wamewajanjalusha

    • @hatamimnimempendabulejaman1596
      @hatamimnimempendabulejaman1596 3 ปีที่แล้ว

      Uyo mtu alisema aliwambia muulize mtu ndo nimemtuma uyo mtu aliyemtuma anakuwa ni mwenziwe tapel mwenziwe. Uyo Mama mjanja kama mama mmoja mama bakar na Paka ongea yake

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 3 ปีที่แล้ว +2

    Wanawake wa KiTanzania tamaa sana!

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 3 ปีที่แล้ว +6

    Acheni tamaa mmmm mukome mitermko😅😅😅😅

  • @zeramohamed9672
    @zeramohamed9672 3 ปีที่แล้ว

    Ndio anatumia voda yaaanimukae makini napia anatumapicha yupo ktk mamolananunua vitu inabidi jamani dada geahtunaomba ufuatilie huyomtu akamatwe jamani mtandao wavoda watamuona yupo maeneogani pls dada geah

  • @judithmelvinealuchio8968
    @judithmelvinealuchio8968 3 ปีที่แล้ว +7

    akina mama na akina dada jamani kuweni waaminifu kwenye ndoa na mausiano zenu jamani 🙏🙏🇰🇪🇪🇺

  • @latiphaismail5939
    @latiphaismail5939 3 ปีที่แล้ว +1

    Da geah napenda saut yako

    • @salimabdillah9002
      @salimabdillah9002 3 ปีที่แล้ว

      Namuombea ajira kwenye Radio au TV, sauti yake mubashara sana, mashallah.