HAKUNA KAMA MAMA: SIMULIZI FUPI YA KUSISIMUA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ย. 2022

ความคิดเห็น • 59

  • @abuuvesso188
    @abuuvesso188 ปีที่แล้ว +24

    Like 20 👍 kwa mom 💓👩‍❤️‍👩

  • @nawmijdodk733
    @nawmijdodk733 ปีที่แล้ว +6

    Aisey hii simliz inaniumiza mm duu

  • @khadija.kkhadija.k7885
    @khadija.kkhadija.k7885 ปีที่แล้ว +5

    Nimeipenda sana hii asante anko j

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232
    @saraasatenisanasimlizimixc9232 ปีที่แล้ว +6

    M jamani mnalala humu asate sana simlizi fupi by ako j

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 ปีที่แล้ว +12

    Wapi sisi wakupitia comments be4 tuanze kuskiliza
    Gonga like tukisonga

  • @annasituma8810
    @annasituma8810 ปีที่แล้ว +3

    Wow ni simulizi nzuri na ya kuelemesha

  • @conslataadhiambo774
    @conslataadhiambo774 ปีที่แล้ว +4

    Asante anko jey kwa simulizi muzuri naisikiliza nikiwa Kenya 🇰🇪 nimejifunza kitu, napenda simulizi zako zinakua na mafunzo mungu akulinde

  • @termankalendo1439
    @termankalendo1439 ปีที่แล้ว +6

    Shukurani kwa simulizi nzuri

  • @salmaedwin5641
    @salmaedwin5641 ปีที่แล้ว +4

    Hakuna kama mama nakupenda sana mama angu Mungu akupe maisha marefu i miss you

  • @dhuhasaid636
    @dhuhasaid636 ปีที่แล้ว +5

    🥰🥰waoo ank j wangu akiii

  • @safiyaahmed5570
    @safiyaahmed5570 ปีที่แล้ว +2

    asante sana anko jay kwa simulizi nzuri sana. hongera

  • @emmanueltesha6737
    @emmanueltesha6737 ปีที่แล้ว +4

    Hiii story tam balaaa anko jay

  • @khadijaali9861
    @khadijaali9861 ปีที่แล้ว +4

    Aunco j wachutekesha wallah .chapati bajia

  • @elizabethmburu2210
    @elizabethmburu2210 ปีที่แล้ว +1

    Kweli damu ni nzito kuliko maji shukrani Anko j Kwa kazi nzuri na inayo tupa Raha pia mtunzi na team nzima ya simulizi mix hongereni

  • @janetmokeira8326
    @janetmokeira8326 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna kama Mama nakupenda sana mamangu

  • @AhmedAhmed-xg1yo
    @AhmedAhmed-xg1yo ปีที่แล้ว +2

    Mrongo siyo mama wote sawa.Mama yangu alikua sambuli ngine kabisa mungu amrehehemu.

  • @selfamitche3530
    @selfamitche3530 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna kama mama kwelii simulizi tamu 😋. thanks msimuliaji

  • @LifeofSalmah
    @LifeofSalmah ปีที่แล้ว +4

    Tulikumiss uncle Jay

  • @HuaweiY-wx7we
    @HuaweiY-wx7we ปีที่แล้ว +5

    Hakuna zaid ya mama ila ngoja kwanza nisikilize kilichomo ndan ili nijuwe vizur vya kusema nisije nikakurupuka tu au vp ANKO JAY

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 ปีที่แล้ว +8

    Hakuna kama mama nasikiliza halafu nitakoment tena anko jay mwenyewe shukraan kwa simulizi like zenu🥰🥰🥰🥰🥰

  • @aishabakari7362
    @aishabakari7362 ปีที่แล้ว +5

    Ngoja nisikilize kwanza

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 ปีที่แล้ว +6

    Wacha nisikilize kwanza nitarudi tena kucomment nikimaliza simulizi

  • @shanikiwele3111
    @shanikiwele3111 ปีที่แล้ว +5

    Yani hii sauti nikiskiliza tu nalala Yani huu ugonjwa wa hizi sauti sjui utaisha lini

  • @aminah9557
    @aminah9557 ปีที่แล้ว +6

    Yaani wewe anko wewe acha to

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 ปีที่แล้ว +3

    Anko J Felix Mwenda amekwenda wapi bila kutuaga jamani😭😭

  • @yasinnelson739
    @yasinnelson739 ปีที่แล้ว

    Nakukubali na simuliz zako anko jay na najifunz ving

  • @hellenodhiambo4342
    @hellenodhiambo4342 ปีที่แล้ว +2

    @Anko Jay puurr ndio nini sasa 🤣🤣🤣anyway may God bless all mothers in the world

  • @eca-mlondanyiabokyo4416
    @eca-mlondanyiabokyo4416 ปีที่แล้ว +2

    Jamani Anko Jay, hata chapati,maandizi kwa vituko hee...

  • @shanikiwele3111
    @shanikiwele3111 ปีที่แล้ว +3

    Love u anko j wangu

  • @bukuruleoncy1876
    @bukuruleoncy1876 ปีที่แล้ว +2

    Felix mwenda kwani yuko wapi jamani😏😏😏😏

  • @nadrasalum6039
    @nadrasalum6039 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂 anko j unafurahisha kweli nipenda hapo ulipo sema ukimuona huyo shunga mamy nimecheka sana mimi

  • @fatematrtr4995
    @fatematrtr4995 ปีที่แล้ว +2

    Ahahaaa anko j mbona andaz😂😂😂😂😂

  • @ladyt1471
    @ladyt1471 ปีที่แล้ว +2

    Asante anko Jay

  • @salamabwanamoya8746
    @salamabwanamoya8746 ปีที่แล้ว +1

    Mama ni mama 😍 💓 💖 💕 ❤ 💗

  • @maryamibrahim3640
    @maryamibrahim3640 ปีที่แล้ว +6

    Anko Umeoa kwan😅

  • @FathelaFy-hj4jn
    @FathelaFy-hj4jn ปีที่แล้ว +1

    Wawo.simulizitamu ankojey

  • @irenemacool6491
    @irenemacool6491 ปีที่แล้ว +1

    Anko J usifananishe sauti Yako na vitu vya ajabu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @loryappolyne8865
    @loryappolyne8865 ปีที่แล้ว +1

    My favorite 🥳🥳

  • @faizajumwa4696
    @faizajumwa4696 ปีที่แล้ว +4

    🙏🙏🙏👌🇰🇪

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 ปีที่แล้ว +3

    Hahaha anko jay mwenzio yuwadeka na sautu lake chura

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 ปีที่แล้ว +2

    Yani najikuta narudia rudia hii simulizi..mama ni kiungo muhimu katika maisha na maneno ya mama niyaumuhimu sana tusiyapuuze ..wale wenzangu na mm ambao mamazetu walishatangulia mbele za mungu tusikate tamaa kwani mama za waume zetu ndio mamazetu tuwapendeni kwa moyo mmoja..Ahsante simulizi mix kwa mafunzo 👌👌

  • @hawambeto2212
    @hawambeto2212 ปีที่แล้ว +5

    Waooo kwelikabisa Hakuna kama mama

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 4 หลายเดือนก่อน

    Ahsante ❤❤❤

  • @joykatakana1099
    @joykatakana1099 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe kushkana na jimama kunafainda mbelen coz kijanaa alitembea najimama na mwisho akapata baba yake naalikua hamujui so alimujua kupitia kwa jimama

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si ปีที่แล้ว +1

    Ahsante anko jay

  • @ruthkavai3453
    @ruthkavai3453 ปีที่แล้ว +4

    🥰🥰🥰🥰🥰👌👌🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪

  • @elizabethlucky8200
    @elizabethlucky8200 ปีที่แล้ว +2

    Pole pole ndio uweze kumnasa uyo mhusika ,maana pia SoFi alikuwa ni mwenye wivu na roho mbaya sana

    • @medinahsamita3981
      @medinahsamita3981 ปีที่แล้ว

      Ankojey uko sauti nzuri hadi natamani kuja Tanzania nikuone nakuzikiza kutoka Kenya 🇰🇪 we love you

  • @linetnyairabu9493
    @linetnyairabu9493 ปีที่แล้ว +2

    😍😍😍🥰to u mom

  • @genolaurent6354
    @genolaurent6354 ปีที่แล้ว +1

    Ankounanishtua na hyo pruuuuuu🤣🤣🤣🤣

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว +1

    Anko jay wewe!

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 ปีที่แล้ว +2

    ❤️❤️❤️❤️🥰

  • @yusuphmdoe5451
    @yusuphmdoe5451 ปีที่แล้ว

    Plruuu manaake nni bloo😂😂😂

  • @najlaskitchen1572
    @najlaskitchen1572 ปีที่แล้ว

    Hakuna kama mama yaani😭🤲

  • @fadhaluhembwe
    @fadhaluhembwe 3 หลายเดือนก่อน

    Kwani utumi ni mina namba 6 na ndawo yangu namba tano

  • @gracekahindo6937
    @gracekahindo6937 ปีที่แล้ว +3

    Mama no mamatu❤🎉

  • @user-nx3cl6mo5d
    @user-nx3cl6mo5d 27 วันที่ผ่านมา

    %

  • @aaq9812Bintksaim
    @aaq9812Bintksaim ปีที่แล้ว +2

    😍😍😍😍