SIMULIZI FUPI: BINTI CAY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 มิ.ย. 2023
  • BINTI CAY binti anaeishi kwa mama mdogo wake ambapo hapo anaishi na mtoto wa mama mdogo wake ambae ni wa lika la Cay na wanasoma darasa moja... mama huyo anamfanya CAY kama kijakazi wa hapo nyumbani ila mwanae anakua kama malkia..malezi hayo yanampelekea mwanae kua na tabia mbovu sana.. picha linaanza mtoto wa mama mdogo ananasa mimba akiwa bado mwanafunzi.. Lawama zinaenda tena kwa CAY kwamba kamfundisha mwanae umalaya.... Loh.. basi varangati la kisa hiki linaanzia hapo.. nini mwisho wa maisha ya binti CAY? Sikiliza mkasa huu wa kusisimua...

ความคิดเห็น • 125

  • @RahelIbrahim-id2li

    Na wasichana asilimia 98 niliosikia simuliz zako ni bikira isipokuwa yule wa mtoto wa mchumba wangu tu

  • @user-fe6be9ve5b

    😢😢 CAY nampenda Dan lkn sasa hawezi mrudia huyu alomuoa amekubali maana alimsaidia miasha yake lkn hana hisia nae alimsamehe Dan wapenzi ila wangeendelea na mlumbano na T

  • @Mariam-dx7lr

    Mm nimempenda huyu dadacay hakuwa mwepesi wa kuvua chupi ndio maana alijijengeanheshima Yake ya kipekee

  • @yasintambuya4843
    @yasintambuya4843 ปีที่แล้ว +15

    Dah simulizi nzuri sana jamaniii ❤❤❤

  • @user-yv2cg9rd4s
    @user-yv2cg9rd4s ปีที่แล้ว +9

    Haki usimwamini mtu hata siku moja maana dunia yaleo haina wema ila imejaa shari

  • @asumthamanyahi5255

    Sumulizi nzuri msimuliaji anajua kuchekesha

  • @YasintaKahise-ph1vh
    @YasintaKahise-ph1vh ปีที่แล้ว +6

    Hongera Dogo Mungu azidi kukupigania. Ujasiri wako na Imani kwa Mungu ni funzo kwetu

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 ปีที่แล้ว +7

    Walah nmeipenda hii simulizi sana thanks❤❤❤

  • @user-yv2cg9rd4s
    @user-yv2cg9rd4s ปีที่แล้ว +4

    Ila wanawake walio bakia wenye misimamo kama cay bado wanaishi kwa wingi kweli maana mimi naamini wapo wakuigwa na kupigiwa mifano

  • @sellenasellena5475
    @sellenasellena5475 ปีที่แล้ว +4

    Danieli anatia huruma jaman alipaswa kusamehewa Cay hujamtendea haki Danieli sijapenda😢

  • @elizabethlucky8200
    @elizabethlucky8200 ปีที่แล้ว +5

    Dah hii simulizi imekuwa nzuri kweli ikiwa na uchungu na maumivu pole asante

  • @bethswahmoraa9114

    ❤❤❤hongera

  • @NatashaHope-ot1cw

    Asante Anko jay kwa simulizi nzuri

  • @norahwilliam8116
    @norahwilliam8116 ปีที่แล้ว +5

    Nmependa msimamo wake. Cay hongera yko🎉

  • @AlbentinaMwinuka-xi8li
    @AlbentinaMwinuka-xi8li 21 วันที่ผ่านมา +1

    Cay wewe ni mschana wa kuigwa Big up

  • @EsterAndrew-bz4li

    Simuulizi nzuri sana ina mafunzo kama yote,Ila,Dany ana mazaifu yake,ila Ni mtu nzuri anasitari kusamehewa labda huyo j ndo mpumbavu Sana, Asante mtunzi.

  • @HawaSadick-wt5ob

    Kazi nzuri❤❤

  • @pendomathewbuyamba9079
    @pendomathewbuyamba9079 ปีที่แล้ว +6

    Mh cay nimempenda kwani alijitambua Sana Toka anasoma,ahsante kwako msimuliaji

  • @RahelIbrahim-id2li

    Unawezea sana simuliz za mahaba,unajua kuutawala uwanja ipasavyo,sauti zote unazimudu,saiti ya binti,mama,baba kijana

  • @user-wj9np4lu5z

    Daaaaaah nimejifunza mengi kutokaa kwa cay keep it up jaman👍👍👍👍