KWANINI MAMA: SIMULIZI FUPI YA KUSISIMUA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 พ.ค. 2023

ความคิดเห็น • 31

  • @user-yv2cg9rd4s
    @user-yv2cg9rd4s ปีที่แล้ว +1

    Enyewe kaka LUMBASI aiheshimu kazi yako zaidi nikimpongeza ndugu jogoo pori nina imani siku moja ambayo haina jina wala haijulikani tutaonana tuu kwani nyie ni marafiki pia mashemeji na zaidi jirani zangu TZ ingawa mie nimzaliwa wa TZ japo wazee walifanya tuu kutafuta maishana kisha kurudi kwao kenya so TZ ni home big up boys.

  • @sheilaapondi9245
    @sheilaapondi9245 ปีที่แล้ว

    Kwa hii simulizi nimejifunza kua... Ukishauri mtu vibaya Yani itakurudia wew mwenywe, marafiki Wa mama Latifa walijiebusha mno Na mwisho we walipata UKIMWI

  • @patiencembekelu240
    @patiencembekelu240 ปีที่แล้ว +1

    Pole Latifa kwa yote uliyopitia, lakini saihvi umekua msomi wamsaidia mama yako aliekukata.Tujifunze kusamehea,maana bila msamaha hakuna maisha.

  • @rosemaryjuma6328
    @rosemaryjuma6328 ปีที่แล้ว +1

    Leo nimekuwa wapili like

  • @patiencembekelu240
    @patiencembekelu240 ปีที่แล้ว

    Pole Latifa kwa yote uliyopitia, lakini saihvi umekua msomi wamsaidia mama yako aliekukata.Tujifunze kusamehea,maana bila msamaha hakuna maisha.

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 ปีที่แล้ว +1

    Jmn kweli wanawake wengine wanapata nguvu wp ya kuacha wtt wao haswa wa kike??kweli wanawake tuweni na moyo wa huruma maana kama mungu bd amekupa pumzi bora kulinda viumbe vyake visivyo kuwa na hatia

  • @beibzmerce9528
    @beibzmerce9528 ปีที่แล้ว

    Woyee, sio vizuri kabisa mama kufanya hivi ilhali ndiye anafaa kulinda mwanaye zaidi

  • @sahhgdsag4949

    Leo nimewahii

  • @patiencembekelu240
    @patiencembekelu240 ปีที่แล้ว

    Pole Latifa kwa yote uliyopitia, lakini saihvi umekua msomi wamsaidia mama yako aliekukata.Tujifunze kusamehea,maana bila msamaha hakuna maisha.

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 ปีที่แล้ว +1

    Wahuni wengi ni kina saidi

  • @sarahsamson9362
    @sarahsamson9362 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤lucas mze wa kubembeleza nice 👌 voice 😊😊

  • @aminanuranassor660
    @aminanuranassor660 ปีที่แล้ว

    Very stor ❤

  • @KavungoSokoni

    Ilawa mama wakambo nawo daaa 😢😢😢

  • @halimahaji3856
    @halimahaji3856 ปีที่แล้ว

    Burudani swafi kbs ,🥰🥰🥰

  • @princessshani-kr2sj
    @princessshani-kr2sj ปีที่แล้ว

    😩😩 napenda hadithi zako sanaa 👊👊 very nice

  • @user-so4gw1wz9b

    ❤❤❤❤😂😂

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 ปีที่แล้ว

    Eeh na huo ndo ukweli halisia binadamu asilimia kubwa tunayo hiyo tabia ya kuchunguza maisha ya wenzio na huku hujui mwenzio anapitia changamoto ipi ktk maisha

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤