SAFARI YANGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2022

ความคิดเห็น • 43

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 ปีที่แล้ว +23

    Wapi sisi wakupitia comments be4 tuanze kuskiliza simulizi
    Gonga likes tukisonga

  • @catherinekazeze167
    @catherinekazeze167 ปีที่แล้ว +16

    Waooooo tujuane wapenda hadithi na msimuliaji wetu mahili anko jay much respect anko jay and love youuuuuuuuu

  • @user-jf1hn3qs4n
    @user-jf1hn3qs4n 5 หลายเดือนก่อน +2

    Timu anko j naombeni like namimi leo jaman😂

  • @AbelinJoselini
    @AbelinJoselini หลายเดือนก่อน +1

    Tafakuri hii inatafakarisha sana
    Nimejikuta napata tumaini dumishi moyoni mwangu hakika nimeipenda 🫡🫡🫡🫡

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 ปีที่แล้ว +9

    Anko jay mwenyewe tunasikiliza halafu nitakoment tena like zenu kwa simulizi mix🥰🥰🥰🥰

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 ปีที่แล้ว +5

    I'm no.1 thanks Smix kwa kibao chengine 👍🏻

  • @dinahwafula2538
    @dinahwafula2538 ปีที่แล้ว +5

    Tulizo la wengi simulizi mix ❤🙏🥰

  • @mdmnf15ksa76
    @mdmnf15ksa76 ปีที่แล้ว +4

    Nakupenda mno Jay kwa simliz zako

  • @mwanamisihamisi6594
    @mwanamisihamisi6594 ปีที่แล้ว +6

    Haki simulizi hii na imani ni kali san

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 ปีที่แล้ว +2

    Anko jay mwenyewe ..ahsatum simulizi mix na msimuliaji mwenye sauti ya kukonga nyoyo za wasikilizaji👌👌

  • @HuaweiY-wx7we
    @HuaweiY-wx7we ปีที่แล้ว +2

    Leo tuna ktu cha safar yang haya ngoja nisikilize kilochomo ndan kwanza ya simulizi hiii ila ANKO JAY Tnakujuwa ww huna mbaya ndy maana tunakupendaa sanaaaa ANKO weee 💓💓💓💓iiiii

  • @josphinesagina6909
    @josphinesagina6909 ปีที่แล้ว +3

    Be blessed AMEN ..ucsahau kunitumia ingine 💖❤💖❤ tamu

  • @asiamodriq2933
    @asiamodriq2933 ปีที่แล้ว +4

    Anko j mwenyewe napenda Sana simulizi zako 😍😍

  • @Adonai810
    @Adonai810 ปีที่แล้ว +4

    WHAT INTHE WORLD ARE YOU SINGING ANKO JAY 😂😂😂. VERY EDUCATIVE. 🔥🔥🔥

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 6 หลายเดือนก่อน +1

    Jay nikisia vile unabadilisa sauti najipata nacheka sanaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @halimahaji3856
    @halimahaji3856 ปีที่แล้ว +2

    Iko poa sana 😍😍

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante studio

  • @maryammohd3850
    @maryammohd3850 9 หลายเดือนก่อน

    Mashallah jamani tunajifunza sana

  • @hadijambaule4177
    @hadijambaule4177 ปีที่แล้ว +1

    Ni tamuuu sana💖

  • @mwanamisihamisi6594
    @mwanamisihamisi6594 ปีที่แล้ว +3

    Kwani yaendelya ama imeisha hapo na utamu wake anko Jay jamni

  • @KhadijaKhadija-ee5kr
    @KhadijaKhadija-ee5kr ปีที่แล้ว +3

    Shuklan sana Anko J 🙏

  • @aminah9557
    @aminah9557 ปีที่แล้ว +2

    Anko J mwenyewe acha niskilize hii story ya maisha yangu kama naweza kupata kitu cha kujifunza

  • @MaryMary-kq3nh
    @MaryMary-kq3nh ปีที่แล้ว

    Asante simulizi mix 👏

  • @jumannemassegesse7270
    @jumannemassegesse7270 ปีที่แล้ว +1

    Anko jay umefany nitak kukimbia Kwa uimbaj wako😂😂🏃🏃🏃🏃

  • @emmanueltesha6737
    @emmanueltesha6737 ปีที่แล้ว +2

    Pamoja san bro

  • @giftfrances9083
    @giftfrances9083 ปีที่แล้ว +2

    🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @eca-mlondanyiabokyo4416
    @eca-mlondanyiabokyo4416 ปีที่แล้ว +3

    Neno NINGE' latambulika maana baada ya mabaya,
    Ulichoona jana hakina namaana,
    Utaona muhimu wake Leo na kesho ukipungukiwa nacho...
    Maisha ni: kitu au vitu vimoja kufa ili wewe uweze kuishi.
    Huwezi ishi bira kura , na ili uweze kura papaswa kuwa Kiricho kufa wewe uwe kura na kuishi...!
    Huze kuwa Binadamu bira kuzariwa !
    Na ila uwe mkweri wapaswa kupitia machungu ,na matatizoni ya vikwazo mno ,uweze kuwa mkweri mbere ya walio kuzunguka !

  • @sheeby-huyu_360
    @sheeby-huyu_360 ปีที่แล้ว

    Hatar sanaaa anko j

  • @erickdeogratias7718
    @erickdeogratias7718 ปีที่แล้ว

    Anko j simliz zako 🔥🔥🔥🙏🙏

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mbavu zangu😂😂😂😂jay wewe na kubadilsa sauti yako 😂😂

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232
    @saraasatenisanasimlizimixc9232 ปีที่แล้ว +2

    Asate sana simlizi mix ako j

  • @user-db8sk1wl9u
    @user-db8sk1wl9u 4 หลายเดือนก่อน

    Amakweli simuliz hii ina maana saana kama umejaliwa kuielewa kila siku huwa naisikia. Kwani nimeamuaga ku Download. Maisha marefu kaka J

  • @shantellekwamboka7444
    @shantellekwamboka7444 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani sana kaka Jay but to my side nimebakia njia,kwa maoni yangu ningependelea hii hadithi n km bado ndio tunaanza,sasa niko in suspence

  • @momylaviel
    @momylaviel 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @lucyjohn1342
    @lucyjohn1342 ปีที่แล้ว +2

    Thanks 🔥 😊

  • @rosadamtey9631
    @rosadamtey9631 ปีที่แล้ว

    Niceee

  • @emmanueltesha7638
    @emmanueltesha7638 ปีที่แล้ว

    Bonge la simuliz kam kawaida anko jay

  • @espererancesudi7600
    @espererancesudi7600 7 หลายเดือนก่อน

    To be continued

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 ปีที่แล้ว +1

    Complicated 🤔🤔🤔

  • @habiyambereelijah
    @habiyambereelijah 6 หลายเดือนก่อน

    Napenda sautiyako anko ubarikiae

  • @maryammohd3850
    @maryammohd3850 9 หลายเดือนก่อน

    Mashallah jamani tunajifunza sana

  • @esperancesudi2842
    @esperancesudi2842 ปีที่แล้ว

    To be continued