MWENGE WA UHURU WAINGIA RUVUMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed katika kijiji cha Sautimoja wilayani Tunduru.
    Mwenge wa Uhuru ukiwa mkoani Ruvuma utatembelea miradi 72 yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 46.

ความคิดเห็น •