,, Am writing this comment to show the love we have for you here in Kenya. Please everything Kenyan here show love to this man. In about a month or a year will be back againnnn‼️
j'aime le don que Dieu a mis dans son serviteur. on sent l'onction dans tes oeuvres et on peut facilement sentir l'esprit à l'oeuvre. que Dieu vous bénisse au nom de Jésus! mon tour vient
Na jiunga na mtu yeyote ambaye ame kata tamaaa kwa changamoto apitayo, usife moyo, weka hakikisho na imani yako kwa Mwokozi, Kuna suluhisho kwa yote, Nami Nali pitia yaku chosha, lakini Huyu Mungu muumba wetu ka ni kumbuka, mwimbo ni silaha mara pili
Nice song ,,,be blessed man of God,,, it's my prayer that in every aspect of weakness in our life,,, our God will serve us for glory and honor of your name.
Mungu akutangulie kwenye huduma yako iendelee kusikika nakubadili mioyo yawatu, mungu azidi kukuongezea maarifa na kipaji zaidi usikike ulimwenguni kote
Mm napenda wimbo zako sana ❤, kma unapenda wimbo zake weka like tubarikiwe pamoja
Team Kenya mpo? Mpe likes zake Christopha tukisonga mbele maana mungu anatuhudumia
Tuko pamoj dear❤
Team UGANDA 🇺🇬 mko wapi? Come and we worship with brother Christopher
WA KENYA 🇰🇪 MKIFIKA WEKENI LIKES TUKIBARIKIWA KWA PAMOJA❤
Barikiw lkn usikuse mrima😅
@@magdalinejuma2028🤣🤣🤣🤣Aki weuwe.... murima haiguzwi kapsaaa
Nipo pamoja na Ndungu zangu wazuli sana wa kenya kama nawe tupo pamoja nawa kenya laiki apa❤❤❤😂❤❤❤❤❤ love mwahangila wimbo mzuri ubalikiwe sana
❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Saaafi wimbo wangu huooooooo
Hata na Mimi huo ni wangu pst wangu
Tuko wengi xana
Akika wimbo ni mzuli sana huu
Hudumia watu wako Bwana 🙏🙏🙏😭😢, mioyo imejeuriwa, haja yetu tukutane na wewe Mungu 🙏🙏🇨🇩🇨🇩💔
Mioyo ivujayo damu
Bwana yesu asifiwe wapendwa😊 tunaishi kwa neema na kibali chake🙏 ikiwa unaamini sema Amen 🙏 Mungu awabariki nyote
Amen😊
Amen ❤️ 🙏
God bless you dear
Amin nakupe ndasatena san chudumia mungu wangu❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wapi wetu hapa
KAZI YAKO NJEMA🤙MY BROTHER PRAISE TO GOD
Love you sir, the Lord is with you....from 🇳🇬🇳🇬🇳🇬
🙏🏽🙏🏽🙏🏽 its a nice worship song,love your music from Uganda
Thank u for always translating yo songs fo me to understand , I reli love yo songs from uganda 🇺🇬
powerful song my mum God bless you
My People from BURUNDI 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
,,
Am writing this comment to show the love we have for you here in Kenya. Please everything Kenyan here show love to this man. In about a month or a year will be back againnnn‼️
Kwahakika mungu akubariki sana mungu akuinue kwa viwango vya juu sana
From UK am here
Amen ni mimi geoffrey kutoka kenya 🇰🇪 nyimbo ya kusifu❤❤❤
Wimbo mzuri kweli
From Zambia 🇿🇲
Hongera Christopher ministry nyimbo zako zinanipa kuwa rohoni.Mungu ibariki huduma ya Mtumishi wako
Kazi yako.njema ❤🙏my brother praise to GOD
Ujumbe mzuri sana
Atukuzwe Mungu kwa jina la Yesu kwa uweza wake mkuu. Glory to God
Chrstopher mwahangila mungu akubariki zaidi naendereye kukuinuwanyimbozako zinakuwanga muzuri nazimepakwamafuta hareruyha
May this kind of song heard in 2045 christ lives
Emugu tuhudumie 🙌
Jinsi ninavyobarikiwa na huyu mtumishi kupitia nyimbo zake, is on another level. Let God have mercy on me na anihudumie, nina mengi tu😢
Kupitia nyimbo zako nabarikiw sana keny we love you ❤❤
j'aime le don que Dieu a mis dans son serviteur. on sent l'onction dans tes oeuvres et on peut facilement sentir l'esprit à l'oeuvre. que Dieu vous bénisse au nom de Jésus! mon tour vient
Baba yangu mimi uwa iki kusikiza nina sikiya tu mungu karibu nami
Baba nyimbo zako siku zote zina kuwaka baraka kwangu kabisa asante tena kwakunipa na fasi ya kuzogeya karibu na Mungu tena
tunagupenda saana kbs Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Actually am always blessed with all his songs and I thank God for his ministry that is blessing thousands and millions of pipo world wide.
I can encourage those who have lost all hope of life...Mungu anatenda, just believe in Him kwa roho Yako yote...Hudumia Kila mmoja wetu Mungu wetu..
Mungu alikupa huduma ya kikuweli kitika nyimbo zako zote niki sikiliza nabarikiwa kirohoni sana ❤❤❤geoffrey kutoka mombasa kenya 🇰🇪
Baraka teletele 👏👏👏👏
TunaopendA nyumbo za huyu baba tujuane
Na jiunga na mtu yeyote ambaye ame kata tamaaa kwa changamoto apitayo, usife moyo, weka hakikisho na imani yako kwa Mwokozi, Kuna suluhisho kwa yote, Nami Nali pitia yaku chosha, lakini Huyu Mungu muumba wetu ka ni kumbuka, mwimbo ni silaha mara pili
Wimbo huu unanibariki nikiwa na wakati mzr na mbaya ubarikiwe ubarikiwe sana mtumishi wa mungu 🙏 huduma iendelee
Nyimbo zako zinanibariki Sanaa,tuhudumiye baba tunakuhitaji ,tembeyakatikati yetu baba tunakuhitaji, tumaini letu ni kwako baba
Nami bwana hudumia kazi yangu bwana barikiwa muimbaji nakupenda sana
YESU KRISTO WA NAZARETH tupo hapa mimi na mume wangu na uzao wetu TUHUDUMIE YAWHE😭😭😭 tujaalie watoto BWANA YESU kupitia wimbo huu Amen Amen Amen
Namna huu wimbo umeniinua kimaombi 🙏🏻ooh yesu
Wooow🎉❤, congratulations 😢😢😢😢😢
wow.Am blessed watching this song.Barikiwa sana mtumishi wa mungu.Nyimbo zako zinatugusa sana.
Barikiwa sana Mtumishi😢Wimbo una mafuta sana🙏🙏
Amen, ubarikiwe sana kwa ujumbe mzuri.
Mungu azidi kuinua huduma yako nabarikiwa sana
Mungu akubariki kwa kazi zako nzuri sana brother🙏
Nitembee na hizi baraka 🙏
AMEEN mtumish mungu akubariki sana kwa huu wimbo mzuri chapa kazi shujaa wa mungu ❤❤❤❤❤
Kazi yako ni njema mtu wa MUNGU, MUNGU azidi kukutumia🤝🤝
Nabarikiwa sana na songs za christopher ❤❤❤❤❤❤
Kama Upo Sweden Na Umebarikiwa Kupitia wimbo huu Tujuane basi❤🙏🙏🙏🙏🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪
Mungu mkubwa, ahsante Papa Mwahangila ubarikiwe❤🇿🇼❤🇿🇼❤🇿🇼
❤❤❤
Amina kubwa sana uinuliwe na mungu zaidi sana
ubalikiwe xana mchungaji ujawai kua na injili mbovu blessd to you fether🎉🎉🎉🎉
This song is so powerful,whever I play it my life is never the same.more grace servant of God.
Ni siku nyngne ya kubarikiwa🙏
Bonge la mchungaji wa Kkkt haaaa hongera Sanaa my best friend andulile
Hallelujah barikiwa sanaa
Huyu hatar zaidi
Asante YESU...kwa nguvu zako.Tuguse ee BABA.
A soul is saved by communion and relation towards spiritual comfort.
Hongera nyingi kwako, mtumishi
Nakupenda wimbo uhu
Asante Yesu kwa mtumishi wako🙏🙏
Barikiwa zaid mwalimu wangu🎉
Ameen Ameeen Ujumbe Mzuri Saaana
Ubalikiwe sana ujumbe mzuli
Hakika wimbo ni mzuri 🔥🔥🔥🔥
Always my best gospel singer mpe likes tukisonga🙌🙏
Amen , hudumia watu wako YESU 🙌
Barikiwa Sana mwahangila,,wimbo huu unaguza Sana. acha mwenyezi mungu atuhudumie
Kwa kweri Mwangira you bless me sana
Mungu azid kukuinua na kukubariki
Mungu akupandishe viwango vyengine, minabarikiwa na wimbo huu
Revieve flowers for your 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 ministry ❤❤❤❤
Nihudumie eeh mungu wangu,tumaini langu daimaa🙏
Kakangu Ulnuliwe zaidi Kama tai
Nipo pamoja na maombi yako rise na iwe kama ulivyo sema kwa jina la yesu
Huwa unabariki moyo wangu na nyimbo zako mungu azidi kukutumia kwa ajili ya kizazi hiki mungu akubariki azidi na zaidi
Mungu hudimiya maman yangu
One of the underrated singers
Tuko pamoja
Amen, nimebarikiwa sana..
Wimbo huu umenifanya nilie machozi ya tumaini na nikiamini ipo siku mungu atahudumia katika familia yangu😭🙌🙏🙏🙏
Blessed man of God you're songs are so touching and changing many lives ❤❤❤from 🇰🇪🇰🇪
Umenibaliki uu wimbo umenivusha kwa pito nililo pita naona ushidi ndan yangu🧎🧎🧎🧎🧎
Nice song ,,,be blessed man of God,,, it's my prayer that in every aspect of weakness in our life,,, our God will serve us for glory and honor of your name.
Mungu akutangulie kwenye huduma yako iendelee kusikika nakubadili mioyo yawatu, mungu azidi kukuongezea maarifa na kipaji zaidi usikike ulimwenguni kote
Wimbo mzuri sana tuko pamoja mtumishi.
My love for this man of God❤❤❤
Powerful here🔥🔥
Be blessed my kaka🙏
Chilambo kama Mimi hakika MUNGU mwema
Huu wimbo naipenda sanaa nikiskiza najipatanga nikitokwa na majozi😢😢 hudumia wote yesu🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Mungu akubariki uzidi katika juhudi njema
Barikiwa sana kaka
Kazi safi Mim official McLean boy TH-cam natak support yako na collabo