MAJI YA FURIKA TUNDURU DARAJA YA MTO MUHUWESI HAIPITIKI!!!!!!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.พ. 2024
  • Daraja la mto muhuwesi ni daraja muhimu sana kitaifa na kima taifa maana linapitisha bidhaa mbali mbaliza ki ma taifa. Ma taifa hayo kwa haraka haraka ni #msumbiji #congo #Rwanda #Burundi #Zambia #Malawi #China #America na #ulaya pia #tunduruonlinetv #habarika #clouds #tvkusini #tvkusini #azamtvburudan #tunduruonlinetv #tvkusini #diamondplatnumz #alikiba #tanzania #kilimo #kilimoufugaji #tanzaniayetu #2022 #2023 #kwetu
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 20

  • @malungusyaIssa
    @malungusyaIssa หลายเดือนก่อน +1

    Vitus mapunda

  • @HansiKatumbi
    @HansiKatumbi หลายเดือนก่อน +1

    Sehemu kama izo ni kutengeneza fry over tu

  • @mohamedimahundu639
    @mohamedimahundu639 หลายเดือนก่อน +1

    Ata mimi niliwai kukaa masaa matatu bila kuvuka naomba linyanyuliwe

  • @zugulaloho1177
    @zugulaloho1177 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huu mwaka kila sehem maafa yapo kikubwa kumuelekea mungu atunusuru mvuwa hizi zinazoendelea

  • @evaristmrope
    @evaristmrope 4 หลายเดือนก่อน +1

    Duuh poleni sana wanatunduru wenzangu

  • @user-wc1dn1by4r
    @user-wc1dn1by4r 4 หลายเดือนก่อน +1

    Polen sana wàna tunduru wenzang pamoja na wasafir

  • @user-hm1mc4gc3m
    @user-hm1mc4gc3m 2 หลายเดือนก่อน +1

    Duh

  • @RehemaAmri-ds5cq
    @RehemaAmri-ds5cq 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wa muhuwesi tujuane,Kampanga family nimekuona ,

  • @abdallahmakombo3866
    @abdallahmakombo3866 3 หลายเดือนก่อน +1

    Pamoja na kuongeza makalavati mengi yatakayo saidia kipumulia maji ,

  • @user-fg4yv8le8c
    @user-fg4yv8le8c 2 หลายเดือนก่อน +1

    Lakini tumtangulize mungu aliye leta mafuliko na ndoatakae toa haya mafuliko ipo sili kubwa ndani yake

  • @khalifanoti6974
    @khalifanoti6974 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mvua nyingi sana mwaka huu madaraja lazima yafumuke tu

  • @khalifanoti6974
    @khalifanoti6974 2 หลายเดือนก่อน +1

    Engenear ambaye aloplan hili daraja alikuwa hopeless kwani alivunja daraja la zamani akaanzisha daraja hili jipya ambalo liko chini ya milima kwenye tambarare

  • @kenethnyagawa2269
    @kenethnyagawa2269 4 หลายเดือนก่อน +1

    😢

  • @Hancepoper14-qb1vb
    @Hancepoper14-qb1vb 4 หลายเดือนก่อน +1

    Duuh mbn changamoto serikali ifanye hatua muhim daraja liinuliwe

  • @Kizaboy-mu6qk
    @Kizaboy-mu6qk 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamn viongoz wetu apo wilayan ebu muongee na uongoz wa ngazi zajuu tufanyiwe wepes kidog ilo sio dalaja ni matatizo duh!

  • @KaluseCharz
    @KaluseCharz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nnje ya mvua wakandarasi wanaofanya kazi zetu hawajakua actv na kazi zao

  • @mohamedimahundu639
    @mohamedimahundu639 หลายเดือนก่อน +1

    Ata mimi niliwai kukaa masaa matatu bila kuvuka naomba linyanyuliwe

  • @RehemaAmri-ds5cq
    @RehemaAmri-ds5cq 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wa muhuwesi tujuane,Kampanga family nimekuona ,