tuwaombe radhi watazamaji wetu kuwa vidio hii inakosa la mwaka wa kuanza kutumika kwa jengo husika, mwaka sahihi ni 1893 na sio 1993, mtuwie radhi kwa kutumia kipande cha sauti kisichostahili. asanteni.
Tatizo mnakuwa na presenters vilaZa apart from kukosea mwaka , katudanganya jina Samuel ni la kiafrika really? You got to be kidding us, Samuel ni jina lenye asili ya kiebrania full stop
hiyo ilikuwa ni sehem ya kuifadhia watumwa. na hiyo minyororo ilikuwa ya kutumika kufungia watu. sasa mutwambia kama ilikuwa jela ni mznz gani au mwanasiasa gani wa znz alufungwa hapo? hizo ni historia za uongo tulioachiwa na muengereza na VIZAZI VYA Leo tuendelee kuamini. maswali ndio hayo mutuoneshe hao wafungwa kama ni Mandela hahaha. mkunazini makanisani na hapokisiwani ilikuwa ni sehemu ya watumwa
congratulations 🎉
Mtangazaji upo vizuri sana
Nice job
vizuri sana.......naipenda Tanzania yangu
mtangazaji upo vizuri mashllah
Majengo ya zamani imara kazi nzuri
Big up mtangazaji
Nice me naogopa kuvuka jaman nakosa mengi
Charles kisinza uko vizuri kwenye utangazaji
Jamaa ni mtangazaji mzuri yupo makini sana.
Kisiwaaa kizuriii nicee nitakuja one day
tuwaombe radhi watazamaji wetu kuwa vidio hii inakosa la mwaka wa kuanza kutumika kwa jengo husika, mwaka sahihi ni 1893 na sio 1993, mtuwie radhi kwa kutumia kipande cha sauti kisichostahili. asanteni.
KTV TZ Tupo pamoja
KTV TZ sawa hamna shida naipenda KTV TZ♥♡
KTV TZ ucjal baba binaadam wote huwa wanakosea,
Tatizo mnakuwa na presenters vilaZa apart from kukosea mwaka , katudanganya jina Samuel ni la kiafrika really? You got to be kidding us, Samuel ni jina lenye asili ya kiebrania full stop
KTV TZ ONLINE umefanya uungwana ,mwanzoni kwa hilo,,
Hongera pia ,presenter unamvuto wa kumfanya mtu atazame na kusikiliza kwa makini 🙏
Ilove zanzibar
So nice but I was expecting you to go deeper
wamejiweka mbele kama mfuko wa shati kwani hakuna wenyewe wazawa wakuzunqumza ndio wanajuwa historia yao
duh mtuwie radhi kwa makosa ya kutumia kipande cha sauti iliyo na makosa kihistoria, mwaka sahihi ni 1893 na sio 1993 .
Upo vizuli
Janja janja wizi mtupu
Samuel sio jina la kiafrika mshamba wee
Ooops malindi 😂😂😂 na sio pedro ni pietro ama piero
hahaha hata me nimeshangaa eti samuel jina la kiafrika? duh
Uwongo wao unadhahirika wazi
muwe makin namiaka yenu mnayotaja yan kabla hamjarusha mtazame wenyewe mkirizika ndio mturushie cc... yan nilishangaa kusikia 1993 duuu
daudi maniseli slip of the tongue
Story nzr
Mbona umakosea umesema limejengwa mwaka 1993 wakati ni juzi tu
nadhani hukumfahamu vizuri alianza na mwaka 18
ni kweli kabisa kipangele hicho kilirekebishwa na kurikodiwa upya ila iliingizwa kimakosa hapo, mwa sahihi ni 1893. asante kwa kujali
1893
1893
WEWEE HUIJUI ZANZIBAR WALA HUNA KISOMO CHA UTALII
VIPI LIMEJENGWA 1993 JELA HILO
huo uongo NI 1893 NA sio1993
Anne Msacky kwenye karatasi nyeupe unaona doa moja jeusi tuuuu????
hiyo ilikuwa ni sehem ya kuifadhia watumwa.
na hiyo minyororo ilikuwa ya kutumika kufungia watu.
sasa mutwambia kama ilikuwa jela ni mznz gani au mwanasiasa gani wa znz alufungwa hapo?
hizo ni historia za uongo tulioachiwa na muengereza na VIZAZI VYA Leo tuendelee kuamini.
maswali ndio hayo mutuoneshe hao wafungwa kama ni Mandela hahaha.
mkunazini makanisani na hapokisiwani ilikuwa ni sehemu ya watumwa
Tilipaswa unamaana gani? Kama ulitakiwa ufanye ,Kajifunze kusema kiswahili nyinyi watangazaji mmeokotwa njiani halafu mnapewa hizo kazi.