@swahilimedianetwork Hii ni history refu kidogo, tufaham kwamba Zanzibar kabla ya kutawaliwa na Wareno,ilikuwa na wafalme wake na ikiitwa Zanzibar empire,na ilikuwa kubwa sio UNGUJA NA PEMBA TU,km ilivyokuwa sasahivi, na ilikuwa na wafalme wake,lkn kwa sasahivi nitafanya history kuwa fupi,walipokuja Zanzibar kutawala wareno na mwambao wote huu wa pwani,Wafalme wa Zanzibar waliandika barua ya kuomba msaada kwa nchi ya OMAN, ili kuja kusaidia kumtoa mreno,wakati huo oman ikitawaliwa na IMAM,SIO SULTAN, na alikuwa akiitwa Sultan bin Seif al YAARUB, akaja yeye na majeshi yake kwa majahazi, mpaka Zanzibar na mwambao wote kupigana na mreno akamtoa,lkn yeye huyu Imam hakukaa Zanzibar aliondoka, na wareno wakarudi, akaja mara ya 2,kuwatoa kuwatoa tena wareno ikisha akarudi Oman. Baadae kule OMAAN , baada kutokea hitilafu za wenyewe kwa wenyewe utawala ukabadilika, ndio ukatawala ukoo mpya wa huyu Sultan Sayyid Said al busaidy, akaziona document huko, kuhusiana na Zanzibar, ndio akaja tena yeye na majeshi yake kuja kumtoa MRENO, ndio Sultan huyu wa kwanza akwaweka makaazi yake Zanzibar na makubaliano na wenyewe yaani wafalme wa hapa Zanzibar,kwa sababu km tunavyojuwa,wareno walikuwa wana kawaida ukiwatoa wanarudi tena mara hii baada ya kupigwa na kufukuzwa mpaka msumbiji, hawakuweza kurudi tena,Kwa sbb Sultan aliweka makaazi yake Zanzibar kwa makubaliano ya yule IMAM wa mwanzo, kwenye MKATABA
@@kassimjuma6151 nikasome mimi au ukasome wewe sayyid said bin sultan ndio mfalme wa mwanzo zanzibar na huyu ni baba wa sayyid Majid bin said, sayyid said kuwa sultan wa zanzibar na Oman, hakumuondolei haki yake ya kuwa sultan wa mwanzo zanzibar
Napenda makala yenu mazuri Sana. Msomaji angekuwa anatoa kwa style ya simulizi ingependeza mnoooo.
Tutajitahidi In Sha Allah
Historia nzuri ❤
😢visiwavyazanzibarAuNchiyazanzibar
Historia imefahamika 🤛🤛🤛
Fantastic ✅✅✅
Thank you! Cheers!
Sounds good 👍.
Thanks 👍
@swahilimedianetwork ok but we need more history
Dada naomba mutuandikie references mulizo rumia na sisi tuende kujisomea au wapi zinapatikana
Kibandiko Island, Changuu Island, Prison Island, Quarantine Island. Kisiwa kimoja majina manne
Majid bin said sio sultan wa kwanza wa Zanzibar
Tupe darsa nani alikuwa sultan wa kwanza Zanzibar na ilikuwa mwaka gani?
@swahilimedianetwork Hii ni history refu kidogo, tufaham kwamba Zanzibar kabla ya kutawaliwa na Wareno,ilikuwa na wafalme wake na ikiitwa Zanzibar empire,na ilikuwa kubwa sio UNGUJA NA PEMBA TU,km ilivyokuwa sasahivi, na ilikuwa na wafalme wake,lkn kwa sasahivi nitafanya history kuwa fupi,walipokuja Zanzibar kutawala wareno na mwambao wote huu wa pwani,Wafalme wa Zanzibar waliandika barua ya kuomba msaada kwa nchi ya OMAN, ili kuja kusaidia kumtoa mreno,wakati huo oman ikitawaliwa na IMAM,SIO SULTAN, na alikuwa akiitwa Sultan bin Seif al YAARUB, akaja yeye na majeshi yake kwa majahazi, mpaka Zanzibar na mwambao wote kupigana na mreno akamtoa,lkn yeye huyu Imam hakukaa Zanzibar aliondoka, na wareno wakarudi, akaja mara ya 2,kuwatoa kuwatoa tena wareno ikisha akarudi Oman. Baadae kule OMAAN , baada kutokea hitilafu za wenyewe kwa wenyewe utawala ukabadilika, ndio ukatawala ukoo mpya wa huyu Sultan Sayyid Said al busaidy, akaziona document huko, kuhusiana na Zanzibar, ndio akaja tena yeye na majeshi yake kuja kumtoa MRENO, ndio Sultan huyu wa kwanza akwaweka makaazi yake Zanzibar na makubaliano na wenyewe yaani wafalme wa hapa Zanzibar,kwa sababu km tunavyojuwa,wareno walikuwa wana kawaida ukiwatoa wanarudi tena mara hii baada ya kupigwa na kufukuzwa mpaka msumbiji, hawakuweza kurudi tena,Kwa sbb Sultan aliweka makaazi yake Zanzibar kwa makubaliano ya yule IMAM wa mwanzo, kwenye MKATABA
Kasome tena Majid alikuwa ni Sultan wa mwazo kutawala Zanzibar pekeake sio kama baba yake alie tawala sehemu 2 yani omana na Zanzibar
@@kassimjuma6151 nikasome mimi au ukasome wewe sayyid said bin sultan ndio mfalme wa mwanzo zanzibar na huyu ni baba wa sayyid Majid bin said, sayyid said kuwa sultan wa zanzibar na Oman, hakumuondolei haki yake ya kuwa sultan wa mwanzo zanzibar
Seyeid Said ndie aliyekuwa sultan wa kwanza Zanzibar baada ya kuhamisha makao yake kutoka Muscat Oman kwa wajomba.
Said Majid ndie sultan wa kwanza kuitawala Zanzibar pekee. Seyid Said alikuwa mtawala wa Zanzibar na Oman at the same time
@@rofinkitali3765 ndio kweli sadakta maneno yako, baadhi ya watu hawajui history ya zanzibar wanadandia juju tu utafkiri gari ya punda
@@swahilimedianetwork huwezi kumuhisabu sayyid majid ndio mtawala wa mwanzo zanzibar wkt kaanza kutawala bsba yake kwanza
Said bin sayyed ndie sultan WA kwanza Zanzibar ndio tunavojua hvo
Alihamisha mwka 1830
Waarabu hawakuwahi kufanya biashara ya UTUMWA Zanzibar usidanganye Watu kwa History Yako ilitotungwa na Nyerere
Nyamazaaaaa!!!!
Andika historia yako wewe kisha useme waarabu wao ndio walikuwa watumwa wa Zanzibar basi.
Unajua maana ya UONGO???
Sauti kama ya Dada Salma Saïd Ama sivyo😃
Maa Sha Allah