Emmanuel Mgogo - INUKA UANGAZE Ft. Pastor Tumaini (Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 มิ.ย. 2022
- Official Music Video ya "INUKA UANGAZE" by Emmanuel Mgogo Ft. Pastor Tumaini
Sikiliza Emmanuel Mgogo Songs: / @mgogosinger
Follow Emmanuel Mgogo
INSTAGRAM: emmanuelmgogosi...
FACEBOOK: / emmanuelmgogosinger
TIKTOK: www.tiktok.com/@emmanuelmgogo...
Song: INUKA UANGAZE
Artist: Emmanuel Mgogo Ft. Pastor Tumaini
#EmmanuelMgogo #InukaUangaze #PastorTumain - เพลง
Wow... Hii ya leo noma sana... Imeniguza kweli... Mungu awajalie nguvu mukafikishe injili juuu zaidi na zaidi
Emma mgogo amehudumia moyo wangu sana,Leo hii na pst tumanini,u made heavens come down
Hii nayo sio ya hapa duniani. It can only be made in heaven.
Mungu awape kibali na nyny pia, wimbo umenibariki,napokea kibali,sitakufa mapema, ushindi kwangu, napokea in Jesus name
Asante mungu uchawi na wivu anaetutendea Kaka yetu Yona ukamrudie yeye kwa Jina la yesu kupitia huu wimbo unaegusa maisha ya watu
Waooo hongera sana Kaka
Yani nyimbo zako na sauti yako mtumishi huwa vinakuwa na upako na mafuta ya roho mtakatifu ndani yake, naomba Mungu akuweke na akuzidishie maisha marefu🙏🙏
Oohhh Unagusa Sana jaman Mungu Awabariki Sana🔥🔥👏👏
Ng'ambo ya bahari tutauimba wimbo Haleluya. Mmmmmh ni baraka namna gani kuusikiliza wimbo kama huu! Mbarikiwe watumishi wa Mungu aliye juu mbinguni.
Napokea utukufu wa Mungu kupitia wimbo huu , watumishi wa Mungu Mungu awabariki zaidi na zaidi
Uuuuuuuuuuuuuuuwi nisimame wapi ndio niimbe na kucheza ooh hallelujah ninainuka na kuangaza nimekumbukwa leo na mimi huu ni wimbo wangu haswaa #Emmanuelmugogo barikiwa mnooo.
Wimbo umenipa nguvu mpya. Endelea kumsikiliza Mungu Skype mengi zaidi ya kuuambia ulimwengu
Hasubuhi mchana usiku sichoki kusikiliza huu wimbo maana umeniinua kiimani. Ubarikiwe mtumishi wa mungu
Emmanuel kila Siku una kuwa surprise kwangu. From DRC. 5/5. Mungu aku inuwe zaidi kuliko jana
Mungu awabariki wimbo huu wimbo umenibariki zaidi oooh Yesu wangu unastahili kuinuliwa 🙏🙏🙏
Amen sitakufa kabla ya wakati Bali nitaishi kushuhudia wema wa bwana mahishani mwangu🙏🙏
amen Glory be to God
Amen 🙏
Amen
Amina amina..nimepokea upako katika jina la Yesu ..it is time to shine
Amina mtumishi ubarikiwe Sana Kwa kaz zako zinatubariki Sana
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu. Wimbo huu umebeba jawabu la wengi. Hallelluya mioyo yetu ipone.
Nyimbo za Emmanuel Mgogo,zinanibariki na kunisogeza kabisa karibu na Roho Mtakatifu.
Hakika wewe ni chombo kiteule cha MUNGU itunze sana huduma yako ili siku ile tumlaki Bwana Yesu ubarikiwe sana
Hii wimbo imenigusa..akika nguvu zakuinika ziitayari..big up man of God
Nyimbo zako huwa zanifufua Kila siku,..mungu azidi kukuinua kwa kipaji chako..
Amina
Asante ubarikiwe kwa nyimbo zinazoukosha moyo wangu ubarikiwe sana na zinanifariji mno
Asante kwa huduma unaliimba neno halisi Mungu azidi kukuinua akufiche mbawani mwake na azidi kukupa ufunuo mpya
safi sana mtumishi wa mungu
Ameeen,wimbo ulobeba ujumbe mzito
Asante Mungu wangu kwa kuruusu ujumbe mzuri upenye kwenye Moyoni mwangu kupitia wimbo huu
Mtumishi wa Mungu Barikiwa Mnoo Huyo Mungu wako Awe wangu Ni Mzuri sanaa Uko na Mafuta ya kipekee sanaa
Ninakitu Cha kujifunza🔥🔥❤️❤️🙌🙌
Nawe uishi miaka mingi rafiki yangu. Sitakufa Bali nitaishi nisimulie shuhuda za Bwana
Safiiiiiiiiii mtumishi,huta kuwa chini utakuwa juu tu kama tai.Umebarikiwa wewe napenda huduma yako.
Kwakweli unaimba vizuri sana wimbo una upako umeniiinua kwakweli ubarikiwe Mugogo
Amen amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 meeeeen kabisaaa chakukua hiyo kibali kwa jin la Yesu
Ni Majira ya wateule kuangaza.
Mungu awabariki watumishi
Hongera Sana baraka telee watumishi wa mungu
I love this song. Viwango vya juu
Kazi nzurii mtumishi wamungu na kupenda sana mungu akubariki
💃💃ubarikiwe mtumishi
This is a banger. Great music.
Wooow!!! Jameni huu wimbo umenitia nguvu... Nahisi Nimebarikiwa sana...Hata wainuke maadui hawatatuweza tulio ndani yake Kristo... Baraka watumishi
Namuona Emmanuel Kuwa ni Mtoto Wa ROHO MTAKATIFU kabisa nyimbo zake zinapita Ndani ya roho yangu
Kwa kweli si wakati wa kulala ni kuamka,wimbo nzuri
Ubarikiwe sana
Amen huu niwakati wangu wakupokea 😍😍😍😍😍
Ipo siku ntakushirikisha katika wimbo mmoja
So powerful men of God
Balikiwa sana big bro kazo zako zina utukufu wa mungu
Hongera nimebarikiwa sana na hii tungo Mungu akubariki sana
Safiiiiiiiiiiii Sana ninapokea nguvu za kusimama tena
Ooh yes,Majira ya kuangaza na kuinuka kwangu imefika
Mzuri mno nabarikiwaa Sanaa, Mungu awatunze
Ameeeeeeeen Ameeeeen ,,,Mungu azidi kukubariki mtumishi ,,,
Nabarikiwa sana na nyimbo zako mungu akubariki
Powerful powerful 🔥🔥
What my heart loves. Arise and shine
Hallelujah hallelujah 🙌
Nimerudia verse ya 3 mara 10 Kuna maneno ya kutia moyo sana na kukaza nguvu
I really appreciate you Emmanuel mgogo for your spiritual song .... Mungu akutie nguvu sana .
I arise to shine in Jesus name. Barikiwa sana watumishi wa Mungu
i. just got this song on right time while struggling to get a job na ndoto zangu zimefufuka zaidi zaidi yaaani mungu ni mwemaaaaaaa I arise and shine all Isaiah 60:1 now light and glory of the God is endless to me ,early morning I'm blessed more than I was
Naikubali sana saiti ya uyu jamaa na ya Joel lwaga nawaombea wafanye kolabo moja itakuwa hatari
Every time I watch n listen to Emmanuelle Mgogo, all i know is I see and feel God.. May Almighty God continue lifting you from glory Glory
Amen amen amen🤷🤷🇰🇪🇺🇬mungu ni wa ajabu salamaa🎉
Hakuna Nyimbo za Gospel nazopenda Kama zauumwibaji Maana Anaimba vizuli sana
Like it ❤❤❤❤❤❤ you raise me up
I love the song,,sitakufa kabla ya wakati🙏🙏🙏
Haleluyaaa Utukufu wa BWANA umenijilia
Amen Amen, nimebarikiwa saana,
Great message!
Kweli nimepokea kuinuka na kuangaza Barikiwa sana kaka Emanuele Mgogo
This song is fully of anointing- Mimi binafsi napenda kusema ushuhuda wangu huu - kupitia nyimbo zako nimejikuta napata shauku yaku lisoma neno LA Mungu reasons ni vile unaimba Mafunuo yaliyopo kwenye Biblia napata shauku yaku digg kwenye Bible nakutafuta nini ambacho kime elezewa katika nyimbo zako
Ameen Bwana amenionderea vazi la aibu
Amen nimebarikiwa sana wimbo mzur sana
Utukufu umrudie Mungu, Yeye peke yake aongezeke sana na sisi tupungue sana mbele zake, Halleluyah!
Ubarikiwe mtumishi kwaujumbe mzuri sana amen
Amen Amen mzidi kupakwa mafuta na Mungu
Majira yaliyotabiriwa ni sasa, God bless you servants of the most high God🙏
Glory be to God for releasing such a blessings song 🎵 Arise Arise.
woow 🙏🙏am blessed 💞
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU
Kaka kazi njema sana hongera sana.
AMEN...Mungu apewe sifa
Greatful thanks to load and be blessed Mr Emmanuel mgogo I appreciate you
Powerful message
Wah what a sweet song ..inuka uangaze Kenya ..God bless you timely
Asante kaka emmenuel mgogo kwa ujumbe wenye nguvu
Good music
Amen mugu azidi sn ndani yako
Glory be to God.Leo ni siku ya kupokea
Hongera my mentors mungu anawapeleka viwango vya juu sana
Wow......AMEN.Very powerful song and touching heart
Barikiwa sana kazi nzuri
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
Barikiwa Mtumishi wa Mungu
Voices of these two Ministers give me goosebumps. I am blessed.
emanuel magogo
Leo ni siku ya kupokea🔥🔥🔥🔥
Amina Amina
Kazi nzuri xana
Touching 🙏🙏🙏i like this song its so spiritual
Wimbo mzuri sana. Mungu aibariki huduma yako
Safi sana mtumishi. Nainuka niangaze🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Amen tutavuka ng'ambo ya ushindi wetu tutaImba wimbo wa ushindi.Mungu amewatupia baharini Farasi na mpanda farasi ameni