PART1:TAJIRI ALIEPEWA SHARTI LA KUTOJISAIDIA KWENYE CHOO CHA NYUMBA ALIYOJENGA YEYE KWA PESA YAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 111

  • @queenesther8505
    @queenesther8505 ปีที่แล้ว +17

    Jaribu kuanza na maombi kwanza David.for we wrestle not against flesh and blood of our enemies but against authorities,against evil spirits and principalities seated in high places.i decree and declare psalms 23 and psalms 91 over this testimony.

  • @lorraineatieno6544
    @lorraineatieno6544 ปีที่แล้ว +1

    Nilipotea kidogo kama mwaka mmoja lakini nafurahi kujumuika na ndugu zetu wa TZ kwa kipindi kizuri hiki na mafunzo mengi. Davista hongera sana. Kenya

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 ปีที่แล้ว +8

    Hii story inaomekana nzuri sana, mwanza kuna mambo mengi sana

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics ปีที่แล้ว +6

    Kazi mzuri sana kaka davistar mata mungu akubariki sana unafanya kazi mzuri sana ubarikiwe mnooo.

  • @mwantumkombo3014
    @mwantumkombo3014 ปีที่แล้ว +6

    Imeanza vizuri n msimuliaji anajua🙌

  • @cremencmuhele4694
    @cremencmuhele4694 ปีที่แล้ว +7

    Wa kwanza pamoja kaka davistar forever 💪

  • @lizzybeth6344
    @lizzybeth6344 ปีที่แล้ว +13

    Sasa kama ni ndugu yangu ntashindwa kumjua sauti....alafu mtu unaemjua ata akikupa mgongo unamjua

    • @kadiriosmam
      @kadiriosmam ปีที่แล้ว +2

      The idea is if you don't know him you will never recognize him, for the few who know him there is no problem even if you recognize him.

    • @mohdmasoud4435
      @mohdmasoud4435 ปีที่แล้ว

      Ndio ila ushahidi wa sura haupo so huwez kwenda kumshtaki

  • @lorraineatieno6544
    @lorraineatieno6544 ปีที่แล้ว +1

    Jamani munatuogopesha kuja Tz jamani na vile batamani kutembea huko. Kenya

  • @AbelGeorge-cg8io
    @AbelGeorge-cg8io ปีที่แล้ว +33

    Davisitar huyu jamaa sauti yake inafanana sana na bro wa bakora za kimkakati(LWANDA MAGERE). Hat wadau wengine watakuambia bro

    • @DavistarMataMediaDM
      @DavistarMataMediaDM  ปีที่แล้ว +5

      Rudia kusikiliza Lwanda Magere halafu sikiliza na huyu kwa wakati mmoja ndio utagundua utofauti

    • @AbelGeorge-cg8io
      @AbelGeorge-cg8io ปีที่แล้ว +2

      Okay

    • @cocotz1892
      @cocotz1892 ปีที่แล้ว +4

      Sauti hazifanani kabisa

    • @adnansam7453
      @adnansam7453 ปีที่แล้ว +2

      ​@@DavistarMataMediaDM huyo jamaa bange nyingi eti saut zinafanana

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 ปีที่แล้ว +1

      HAZIFANANI KABISA...!

  • @salimkilimo8902
    @salimkilimo8902 ปีที่แล้ว +2

    mtangazaji acha kuitikia tikia OKY OKY kibao za kaz gani

  • @omarabdulrahman6416
    @omarabdulrahman6416 ปีที่แล้ว +8

    Mimi Nimewahi Fanya Kazi Na Tajiri Flani na Mali zake zilikuwa za Maelekezo.
    Alikuwa anoga Nnjee ya Nyumba Yake Kwenye Mti wa Mnazi.. Nilipo muona akiyafanya hayo nikawaambia Wafanyi kazi wenzangu alijuwa na kunifuta Kazi😂

  • @abdulabubakar1247
    @abdulabubakar1247 ปีที่แล้ว +5

    Part 2 tafadhali bro

  • @pastormalitiushuhuda9965
    @pastormalitiushuhuda9965 ปีที่แล้ว +5

    Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu alie Hai milele

  • @samjosh12
    @samjosh12 ปีที่แล้ว +4

    Kwimba ni moja ya Wilaya za Mkoa wa Mwanza.

  • @BigDreamsWorldwide
    @BigDreamsWorldwide ปีที่แล้ว +2

    0:36 daaah watu muwe mnatoa hizi connection ili wote tupate hizo hela

    • @linvi_chemutai
      @linvi_chemutai 5 หลายเดือนก่อน

      Find Jesus find peace ❤

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 ปีที่แล้ว +3

    Hao majini mbona mm hawanitokeagi hahahahaa
    Watakula show mpka sio poa hahahahhaa

  • @suleimanicatter4809
    @suleimanicatter4809 ปีที่แล้ว +5

    Jamaa anajua kuadisia story 🔥🔥🔥😊😊😊

  • @kadiriosmam
    @kadiriosmam ปีที่แล้ว +5

    Bwana davi it is very unprofessional to look at your phone while having interviews,ni kutokua na heshma.

  • @tututz100
    @tututz100 ปีที่แล้ว +4

    J.boys 1999

  • @user-tc1ez4yz1x
    @user-tc1ez4yz1x ปีที่แล้ว +1

    sasa kama anaficha utambulisho inamaana bado anaogopa na pengne mengine akayaficha

  • @ashuragmail8912
    @ashuragmail8912 ปีที่แล้ว +5

    Nmewahimo namie 😱😱😱

  • @nerisonmaima
    @nerisonmaima ปีที่แล้ว +4

    Tunapenda video zako kaka davistar

  • @ndelexanderson3379
    @ndelexanderson3379 ปีที่แล้ว +6

    Nishamiss wamayo

  • @bintimrope
    @bintimrope ปีที่แล้ว +1

    Hii ni maajabuu😮😮

  • @salumjrsaidjr7150
    @salumjrsaidjr7150 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Anae muhoji c lithiki

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 ปีที่แล้ว +2

    Ndg mtangazaji huna utulivu kabisa au umendika maharage jikoni

  • @susannyamwitha1354
    @susannyamwitha1354 ปีที่แล้ว +2

    Good job

  • @chinaboyzanzibar5328
    @chinaboyzanzibar5328 ปีที่แล้ว +11

    MY DUA ALWAYS WITH YOU MY BROTHER DAVISTAR MATA GIVE MY SALAM TO EVERYONE AT TZ.I AM PROUD OF PEOPLE OF TZ ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ I LOVE UR JOB ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @DavistarMataMediaDM
      @DavistarMataMediaDM  ปีที่แล้ว +1

      Thank you so much

    • @chinaboyzanzibar5328
      @chinaboyzanzibar5328 ปีที่แล้ว +1

      @DavistarMataMediaDM MY BROTHER DAVISTAR MATA MY DUA ALWAYS WITH YOU AND YOUR FAMILY REMEMBER ME IN UR DUA UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 ❤️ 💙 💔 ♥️ 🙏 🇬🇧 ❤️

    • @chinaboyzanzibar5328
      @chinaboyzanzibar5328 ปีที่แล้ว +1

      @DavistarMataMediaDM MY BROTHER DAVISTAR MATA U ARE THE BEST NEWS REPORTER IN WHOLE WORLD 🌎 MY DUA ALWAYS WITH YOU FROM BOTTOM OF MY HEART ❤️ 💙 💜 💖 💗 UR BROTHER SIDIK FROM LONDON WS 🇬🇧

    • @chinaboyzanzibar5328
      @chinaboyzanzibar5328 ปีที่แล้ว +1

      @DavistarMataMediaDM MY BROTHER DAVISTAR MATA MY ALLAH PROTECT U FROM BAD PEOPLE THAT IS MY SMALL DUA FROM BOTTOM OF MY HEART ❤️ 💙 💜 💖 💗 UR SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 WS

    • @chinaboyzanzibar5328
      @chinaboyzanzibar5328 ปีที่แล้ว

      @DavistarMataMediaDM VIPI MAMBO MY BROTHER DAVISTAR MATA HOW ARE U AND HOW IS UR FAMILY IN TZ MY DUA ALWAYS WITH YOU AND YOUR FAMILY UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 WS REMEMBER ME IN UR DUA MASHALLAH I LOVE UR JOB MY GOD BLESSED U AND MAKE UR DREAM TO BECOME TRUE INSHALLAH AMEEN AMEEN AMEEN UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 WS

  • @chinaboyzanzibar5328
    @chinaboyzanzibar5328 ปีที่แล้ว +5

    ASSALAAMU ALEYKUM MY BROTHER DAVISTAR MATA I AM PROUD OF YOU MY ALLAH ALWAYS MAKE U HAPPY WITH UR LOVELY. UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 UK WS. I AM ORIGINAL FROM KENYA 🇰🇪 MOMBASA BUT I LIVING IN UK LONDON WS❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @salngas902
    @salngas902 ปีที่แล้ว +2

    Waiting for continuation

  • @anoldkedmon4197
    @anoldkedmon4197 ปีที่แล้ว +2

    Nipeni namba zamganga wakweli🙂

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 ปีที่แล้ว +2

    Wa mwisho

  • @livefilms4468
    @livefilms4468 ปีที่แล้ว +2

    nimependa sauti

  • @godlivingmoshi124
    @godlivingmoshi124 ปีที่แล้ว +1

    mizigo aliyoshusha kwenye boot alimpa nani ili hali anasema abiria wote waliyeyuka?

  • @salumkussy5061
    @salumkussy5061 ปีที่แล้ว +2

    Leo 1😂😂

  • @linvi_chemutai
    @linvi_chemutai 5 หลายเดือนก่อน

    Find Jesus find peace ❤

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics ปีที่แล้ว +2

    Vipi tuipe jina la wamayo series two.

  • @marychacha7084
    @marychacha7084 ปีที่แล้ว

    Davista umenichekesha ety heee anajikaribisha.

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 ปีที่แล้ว +3

    Na mshikaji Aliye kufundisha gari mulikua mnaonana wakati wa matukio hayo???🇹🇿🇹🇿🇬🇷🇬🇷

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 ปีที่แล้ว +2

    Wa8

  • @catherinejames6714
    @catherinejames6714 ปีที่แล้ว +2

    Part 2 pls tunaomba

  • @miraculolopa
    @miraculolopa ปีที่แล้ว +2

    Davista ulitakiwa kumuiliza pindi mlango unagongwa Mara ya1 na akaongea ilikua sauti ya mwanaume au mwanamke ?

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen ปีที่แล้ว

    Mmmh makubwa tena

  • @kiehbhzh7044
    @kiehbhzh7044 ปีที่แล้ว

    Nimerudi kwa davistar matta

  • @paschalmayunga749
    @paschalmayunga749 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥🔥

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 ปีที่แล้ว +1

    Duu aisee najua mambo yarod bila kuwaona watalam nitatizo

    • @anoldkedmon4197
      @anoldkedmon4197 ปีที่แล้ว

      Unamtaaalam u aemjua niwaukweli unipe kaka

    • @jumapiliissa4835
      @jumapiliissa4835 ปีที่แล้ว

      @@anoldkedmon4197 huwa yuposhamba anakuja dar nakuondoka nipenamba akija ntakwambia

  • @kalssambaboo9932
    @kalssambaboo9932 ปีที่แล้ว

    Dooh hii nayo kali

  • @odenciojulioarvai9869
    @odenciojulioarvai9869 ปีที่แล้ว

    Good💪

  • @hannahwairimu4912
    @hannahwairimu4912 ปีที่แล้ว +1

    But😅😅

  • @alexjos7625
    @alexjos7625 ปีที่แล้ว

    Sasa si mnamkopa mtu anamjengea nyumba na choo

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 ปีที่แล้ว

    Uchawi kunoga

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว +1

    👊🙏✌.

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 ปีที่แล้ว +2

    Mambo mengine yashafikirisha kweli😀,yani una nyumba ukanye kwa mtu 😃,,stupid

  • @mkalibizz
    @mkalibizz ปีที่แล้ว

    Wamayo📞📞

  • @adnansam7453
    @adnansam7453 ปีที่แล้ว

    Devi mpost video na shem tumjue

  • @user-xx6pz6ry8y
    @user-xx6pz6ry8y ปีที่แล้ว

    Ay

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 ปีที่แล้ว +1

    Mbona wamayo hamkumficha 😢

    • @MauFundiElectronics
      @MauFundiElectronics ปีที่แล้ว

      Hilo nalo neno.

    • @DavistarMataMediaDM
      @DavistarMataMediaDM  ปีที่แล้ว +4

      Sio tu Wamayo ila wapo wengi ambao wanaamua kuonekana ila wapo ambao hawataki kuonekana kwahiyo lazima tuheshim mawazo ya kila mmoja kwa sababu wengine ukilazimisha waonekana hawafanyi kipindi

    • @MauFundiElectronics
      @MauFundiElectronics ปีที่แล้ว

      @@DavistarMataMediaDM safi kaka kazi mzuri sana

    • @twaibumikidadi7377
      @twaibumikidadi7377 ปีที่แล้ว +1

      wamayo alikuwa msela yule mengi alikuwa anatupiga marungu tu
      😊😊😅😅😅

    • @ellylema9042
      @ellylema9042 ปีที่แล้ว

      Wewe unataka kusikiliza stori au kumuona mtu?Sikiliza stori tu.

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 ปีที่แล้ว

    Mauza uza na misuko suko

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 ปีที่แล้ว +3

    Ivi kwanini sehemu nyingi pakikaliwa na waislam kunakuwa na majini wengi??

    • @mbonihussein8708
      @mbonihussein8708 ปีที่แล้ว +1

      Hivi huko kanda ya ziwa kuna matukio mengi ya kichawi mpaka gamboshi kumbe waislam ni wengi ?

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 ปีที่แล้ว +1

      @@mbonihussein8708 hujui??

    • @alhajijeremiah5834
      @alhajijeremiah5834 ปีที่แล้ว +1

      Yanatoka maka

    • @ramadhanijuma4130
      @ramadhanijuma4130 ปีที่แล้ว +1

      Tunayapenda sana ndio maana huwa tunakuwa nayo mengi

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 ปีที่แล้ว +1

    Davistar ukianzisha movies kama hiz tamu,bas andaa mb za kutosha uwe unatupia 3 times per day
    cc huku Wİ-Fİ masaa 25 on!

  • @hannahwairimu4912
    @hannahwairimu4912 ปีที่แล้ว

    But😅😅