PART10:TAJIRI ALIEPEWA SHARTI LA KUTOJISAIDIA KWENYE CHOO CHA NYUMBA ALIYOJENGA YEYE KWA PESA YAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 98

  • @marcodaud1005
    @marcodaud1005 ปีที่แล้ว +3

    Aliegundua jamaa amenyoa na kabadili nguo aweke 👍

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen ปีที่แล้ว +4

    Davistar bwana muache asimulie unamkatisha unapeleka mambo haraka😅

  • @bearthamassawe
    @bearthamassawe ปีที่แล้ว +8

    Na leo nimewahi wakwanza piga keleleleele😘

    • @dozbilavipimocr7bilavipimo218
      @dozbilavipimocr7bilavipimo218 ปีที่แล้ว +1

      Duuuuuh😅😅😅😅😅😅😅😅😅 nimepiga kelele mbaka jicho moja linatoa dam

  • @laoiyadi1176
    @laoiyadi1176 ปีที่แล้ว +4

    Nimemiss wamayoooooo jamani 😂🙌

  • @PHARM9
    @PHARM9 ปีที่แล้ว +3

    Kama unakuwa umechoka davista muache kipindi kuliko izo zako zakutumia sim namahojiano nidharau

    • @PHARM9
      @PHARM9 ปีที่แล้ว

      We know
      Time,
      Cost,
      Majukum,
      Harry,
      Ila hii yaww kutumia sim kwenye hilo mmh anazingua

  • @user-pj4ki7kd2p
    @user-pj4ki7kd2p ปีที่แล้ว

    Davista msaada kaka, maana na mimi kuna jini linanisumbua

  • @Waziri77
    @Waziri77 ปีที่แล้ว +1

    ASANTE DM kwa kumpeleka kinyozi kaka yetu

  • @NasserNasser-qd2tf
    @NasserNasser-qd2tf ปีที่แล้ว +3

    Mkutanishe dogo na Wamayo wafanye Movie 🎥 watauza sana 😂😂🤸

  • @soccerupdates5
    @soccerupdates5 ปีที่แล้ว

    NIMEPENDA HUYU MSIMULIAJI JINSI ANAVYOSIMULIA ANAONGEA UKWELI MTUPU BILA KUFICHA MAMBO, UONGEAJI WAKE NI MZURI🤝

  • @jwisetv4833
    @jwisetv4833 ปีที่แล้ว +2

    Hatimae kanyoa na kabadilisha nguo

  • @frankkajoba8372
    @frankkajoba8372 ปีที่แล้ว +2

    Huu mkasa ni noma aisee, unanivutia zaidi kujua hatima yake kama ule mkasa wa wamayu, hongera Davista, ww ni mtu na nusu.

    • @chinaboyzanzibar5328
      @chinaboyzanzibar5328 ปีที่แล้ว

      DAVISTAR MY BROTHER FROM TZ HOW ARE U AND HOW IS UR FAMILY REMEMBER ME IN UR PRAYES UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 UK

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 ปีที่แล้ว +12

    Nimegundua matajiri wa halali Ni wachache sana

    • @ninabizimana6869
      @ninabizimana6869 ปีที่แล้ว

      Aswa

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna tajili wa halali

    • @womanofsteel1402
      @womanofsteel1402 ปีที่แล้ว

      @@jesusislord9190 Wanatoa makafara tu

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 ปีที่แล้ว +2

      @@womanofsteel1402 ukweli ndio huo..hakuna tajili wa halali woote ni washirikina.....

    • @happyatonga2618
      @happyatonga2618 ปีที่แล้ว +1

      Mungu awezi mpa m2 utajiri?

  • @rosellaabraham13
    @rosellaabraham13 ปีที่แล้ว +1

    Davister usimkatishe jmn...

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw ปีที่แล้ว +1

    Safi sana kwa mwendelezo brother

  • @nyambochristelle7640
    @nyambochristelle7640 ปีที่แล้ว +1

    Pole na kazi kaka Davistar tunakupenda From Rwanda🙏

  • @wariobatv6708
    @wariobatv6708 10 หลายเดือนก่อน

    Davista unamkatisha alafu unaanza kuuliza maswali Acha asimulie hatua alizopita sio mkukatisha

  • @rerisamba
    @rerisamba ปีที่แล้ว +4

    Sasa ufukuze jini tena uanze kutafuta utajiri kwa waganga

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 ปีที่แล้ว

      Hasa siulisikia kaambiwa jini anahitaji mapenzi tooh hampatii chochote

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 ปีที่แล้ว

      Hata angemuambia babu amkoshe tuuh dawa apate kazi kwa haraka sio utajiri

    • @nyambochristelle7640
      @nyambochristelle7640 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂hatari kbs😢

  • @rerisamba
    @rerisamba ปีที่แล้ว +2

    Mimi nioneleavyo ungelipa tu hao mbuzi

  • @zahirrajab7713
    @zahirrajab7713 ปีที่แล้ว

    Uyu ndio yule jamaa wa bakora za kimkakati wajanja janja sanaaaa hawaaaa🤣

  • @TwalibMbota-ty3vy
    @TwalibMbota-ty3vy ปีที่แล้ว +1

    good story from Zanzibar Tanzania

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 ปีที่แล้ว

    Davista uko juu nakukubali long time

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 ปีที่แล้ว

    Bila kuroga hutoboi

  • @mariajoseph9735
    @mariajoseph9735 ปีที่แล้ว +1

    Jamani au mm sijaelewa baada ya kutolewa jini na huyo mzee alirudi baada ya maisha kuwa magumu hapati kazi lakin akakumbuka kumpigia mganga akapokea kijana akaambiwa alishafariki au nielewesheni

    • @cyantess8423
      @cyantess8423 ปีที่แล้ว

      sielewi pia

    • @shurbamsabah9060
      @shurbamsabah9060 ปีที่แล้ว +3

      aliefariki alikuwa mganga yule wa 1ambae alimfahamisha aend kwa mtaalam wa kule zenji

    • @mariajoseph9735
      @mariajoseph9735 ปีที่แล้ว +1

      @@shurbamsabah9060 ooh hapo sawa

  • @JumaMmila-sq6ir
    @JumaMmila-sq6ir ปีที่แล้ว

    Maamuzi magumu ndio msingi wa maisha mazuri duniani hapa

  • @tatusalehe9557
    @tatusalehe9557 ปีที่แล้ว

    M me pia apo cjaelewa alisema kafa sasa mmmm

  • @samwelisamsoni6402
    @samwelisamsoni6402 ปีที่แล้ว +1

    Number one

  • @joanesasalavaleriano9980
    @joanesasalavaleriano9980 ปีที่แล้ว +1

    Davister Kaká ulivofanya kumwambia ruke mbele Mimi sijapenda eti unasema muda wewe huua unasisitia atua kwa atua .munavoruka munapunguza utamu wa story.

  • @mildredakinyi9855
    @mildredakinyi9855 ปีที่แล้ว

    Asante kwa usimlizi

  • @MartinyMaryogo-nt6xg
    @MartinyMaryogo-nt6xg ปีที่แล้ว

    huyu jamaa anaeleza km mzee wa bakola za kimkakati 😂😂😂😂

    • @rosemilingi7860
      @rosemilingi7860 ปีที่แล้ว

      Utafikiri ni ndugu yake hadi sauti zinakuwa kama zinafanana

  • @kalssambaboo9932
    @kalssambaboo9932 ปีที่แล้ว +2

    Labda babu nae alikua mwenzie jini ulivo fanya hivo kwa mganga huenda nae umemuuwa

    • @aloycelucas1823
      @aloycelucas1823 ปีที่แล้ว +1

      Safi Sana 😆😆😆😆😆😆

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 ปีที่แล้ว +1

      Dada ujuaa hayo mamboo.. 😅

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 ปีที่แล้ว

      ​@@aloycelucas1823 🤣🤣🤣kweli mana wee huyo mzee alikua anamtibu lakini hali ipo pale pale anatibiwa nayee ndio mtu wakwnza kuonana nae huyo jini siwalikua wanafahamiana jini namzee

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 ปีที่แล้ว

      ​@@Teacher_01 hapana nahisi tuuh mana sikuile kasema alikua kalala akahisi mtu akaanza kumcharaza bakora mara kajistukia yupo kwa yule mzee nyumban embu nawee hapo fikiria kama huyo jini nahuyo mganga nikitu kimoja

  • @ashuragmail8912
    @ashuragmail8912 ปีที่แล้ว

    Na leo nmechelewamo 😉😉😉
    Hiii story itakuwa km wamayo

  • @chinaboyzanzibar5328
    @chinaboyzanzibar5328 ปีที่แล้ว +1

    ASSALAAMU ALEYKUM MY BROTHER DAVISTAR MATA VIPI MAMBO UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧

  • @wahidasalum780
    @wahidasalum780 ปีที่แล้ว

    Davista kashamchoka 😂😂😂

  • @mainermgunga1952
    @mainermgunga1952 ปีที่แล้ว

    İla Mwanza jaman Kuna Mambo mana kalıbia asilimia 90wote mwanza

  • @pettiecranwel7588
    @pettiecranwel7588 ปีที่แล้ว

    Twende Kazi✌️

  • @chinaboyzanzibar5328
    @chinaboyzanzibar5328 ปีที่แล้ว

    SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 MY DUA ALWAYS WITH YOU MY BROTHER DAVISTAR MATA ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 ปีที่แล้ว

    Hii stori inatisha ila kijana yuko vizuri

  • @JaneDoe-hf3zy
    @JaneDoe-hf3zy ปีที่แล้ว

    Wakwanza Wana kaa wapi

  • @MedenMuthama-yb9gf
    @MedenMuthama-yb9gf ปีที่แล้ว

    Mie majini yananisumbua sana naomba muniunganishe na mganga ataye nisaidia maana yananitesa sana nisaidieni jamani

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 ปีที่แล้ว

      Pole sana kwa kweli ..nipatie email yako nitakutumia namba ya mtu atakusadia sana Yuko dar es salaam lakini

  • @aishamwandau917
    @aishamwandau917 ปีที่แล้ว

    🇰🇪

  • @Deedee88110
    @Deedee88110 ปีที่แล้ว

    1st

  • @user-uw8zb7dv1u
    @user-uw8zb7dv1u ปีที่แล้ว

    Lete maneno mkuu

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen ปีที่แล้ว

    Nimekua wa mwishomo tena😅

  • @user-qr6qw3qt3c
    @user-qr6qw3qt3c ปีที่แล้ว

    Wewe tatas umemtoa wacha uon

  • @ayoubedward4052
    @ayoubedward4052 ปีที่แล้ว

    Uyu mwamba alikuwa mandazi kwel

  • @ayoubmwangonji2357
    @ayoubmwangonji2357 ปีที่แล้ว

    🙄🙄unakataa kona una kubali penalty

  • @JaneDoe-hf3zy
    @JaneDoe-hf3zy ปีที่แล้ว

    Kujeni mzigo tiyari

  • @leahlucas479
    @leahlucas479 ปีที่แล้ว

    Ile sehemu ya tisa alisema mzee wa Zanzibar alikufa, ss mbona karudi tena Zanzibar na ni kwa yule yule mzee 🤷🏿‍♂️

    • @azamtwahili6620
      @azamtwahili6620 ปีที่แล้ว +1

      Sio wa Zanzibar niyule aliokamuambia jini aende na ule uzi wa magereza alivoenda ndio yule mzee akamuambia aende Zanzibar ndugu kuwa makini kusikiliza

    • @FocusM717
      @FocusM717 ปีที่แล้ว

      Kafa w Huku wa kwanza wa Boga

  • @winfridakaaya2758
    @winfridakaaya2758 ปีที่แล้ว

    Asantee

  • @nassibu-hy5ny
    @nassibu-hy5ny ปีที่แล้ว

    Mwamba kapendeza kunyoa kwel

  • @mwami_the_don_
    @mwami_the_don_ ปีที่แล้ว

    Oyoooo

  • @ibrahimngokoe2102
    @ibrahimngokoe2102 ปีที่แล้ว

    Sasa wewe nawe umemkimbiza jini alikua anakupa mchongo bila ya kuua watu Leo unaenda kutafuta pesa za ndagu dah 😏😏

    • @msaysha5886
      @msaysha5886 ปีที่แล้ว +1

      Wasuku au basi 😂😂 achatu ni cheke 😂😂

    • @Irenes_Kitchen
      @Irenes_Kitchen ปีที่แล้ว +1

      Amludie tu Mungu😢

    • @ibrahimngokoe2102
      @ibrahimngokoe2102 ปีที่แล้ว

      @@msaysha5886 😂😂

  • @HamadNyimbile-uc8nb
    @HamadNyimbile-uc8nb ปีที่แล้ว

    xotol zako ntumye pcha zote

  • @georgemakori3769
    @georgemakori3769 ปีที่แล้ว

    Mbona mhusika kasema maganga wa Zanzibar alikufa Wakati wa kumpigia simu na Leo kasema walienda wakaonana naye na akawaekeza kuingine

    • @msaysha5886
      @msaysha5886 ปีที่แล้ว +1

      Huja muelewa mganga aliye fariki ni yule alie muagiza aende Zanzibar

    • @abedamayaya251
      @abedamayaya251 ปีที่แล้ว +2

      Aliekufa Babu mwingine huyu wa Zanzibar mwingine sikiliza kwa umakini

    • @officialjackm.n9717
      @officialjackm.n9717 ปีที่แล้ว +1

      Maskiyo yako wapi 😂😂

  • @nationalservice7752
    @nationalservice7752 ปีที่แล้ว

    Ila sehemu ya 9 alisema kapiga simu kwa mzee akaambiwa kafa

    • @RosemaryPius-cs5lh
      @RosemaryPius-cs5lh ปีที่แล้ว

      Huyo aliyekufa ni mwingine na wa Zanzibar ni mwingine kwaiyo na huko bukoba ni kwa mganga mwingine tenaa

    • @mysskibe
      @mysskibe ปีที่แล้ว

      ​@@RosemaryPius-cs5lhaliye kufa sio wa Zanzibar, ila aliye muunganisha na WA Zanzibar ambaye alielekezwa na babake mzazi pale mara yake ya kwanzia mambo ya waganga

    • @RosemaryPius-cs5lh
      @RosemaryPius-cs5lh ปีที่แล้ว

      @@mysskibe soma comment vizuri cjasema aliyekufa ni wa Zanzibar

    • @mysskibe
      @mysskibe ปีที่แล้ว

      @@RosemaryPius-cs5lh poa

  • @chingakibona5273
    @chingakibona5273 ปีที่แล้ว

    Tumepigwa apa alisema amekufa gafra akitoka damu