Matango Bahari ni utajiri wa wazi wazi Zanzibar. Sea cucumbers are an opportunity for wealth in Zanzibar Fani media,#tunakujali #kmkm tv / @fanimediatz
Matango bahari ndio nini? Mbona haya yanaitwa Majongoo Kwa lugha ya kiswahili au ndio lugha ya pesa Kwa hela ima tungule Kwa nyanya ndio lugha hii au ninaota kiswahili cha zanzibar kimeshakua hivi
Jongoo sio matango bahari
Matango bahari
Very interesting ❤
Asante.
Karibu Sana Kaka.
❤director wa wahaya makala yupo vizur sna
Shukran sana. Karibu, Endelea kufatilia Fani Media.
izo matango yanaliw au
Ndiyo.
Miongoni mwa matumizi yake ni chakula na dawa.
Karibu sana Fani Media.
Go
Matango bahari
Report kiwango 💯
Shukran.
Karibu sana
Matango bahari ndio nini? Mbona haya yanaitwa Majongoo Kwa lugha ya kiswahili au ndio lugha ya pesa Kwa hela ima tungule Kwa nyanya ndio lugha hii au ninaota kiswahili cha zanzibar kimeshakua hivi
Elimu nzur
Shukran
Usisahau kusubscribe mazuri yaja.
Mishe mishe
Shukran.
Karibu Mishe Mishe, Karibu Fani Media
Tuchangamkie Fursa
Swadakta
Naam