PART26:TAJIRI ALIEPEWA SHARTI LA KUTOJISAIDIA KWENYE CHOO CHA NYUMBA ALIYOJENGA YEYE KWA PESA YAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 80

  • @yvettekyalika907
    @yvettekyalika907 ปีที่แล้ว +5

    💃Bwana Yesu asifiwe ! Mwanadamu ni kiumbe wonderful🎉 !Don't take the sacrifice , the blood of Jesus for granted ! Yesu anatupenda ! Sisi ni watoto wake !usiruhusu mutu akutshezeye ! Kimbiliyo ni YESU tuuu 💃❤! Davista thank you for all ! You are an inspiration for many❤

  • @MartinyMaryogo-nt6xg
    @MartinyMaryogo-nt6xg ปีที่แล้ว +6

    asee kumbe tusiwe tunawalaum ndugu zetu wenye pesa nyingu kuw hawatupatii msaada kumbe wanatuokoa na kutuhurumia na mauti na kuliwa nyama, asee had naogopa

  • @faithwemamusic5266
    @faithwemamusic5266 ปีที่แล้ว +10

    Have been learning from this interview, tusiwe na tamaa, tumuombe Mungu atusaindie kwa kila jambo

    • @UsafiMichael-mc8kt
      @UsafiMichael-mc8kt ปีที่แล้ว

      Inahitaji Nguvu ya mbinguni sio binadamu kumshinda shetani

  • @lilianmbeyu
    @lilianmbeyu ปีที่แล้ว +4

    Mungu wetu aliyetuumba ni mwema sana anasamehe uovu wa aina yoyote ile na upendo wake hauna mwingine.Kaka yesu ndo jibu la mwisho.

    • @UsafiMichael-mc8kt
      @UsafiMichael-mc8kt ปีที่แล้ว

      Hakika WanAwake wengi hũwa mnatamani Waume Matajiri lakĩnĩ hũwa hamjuhi siri ya utajiri

  • @salumally482
    @salumally482 ปีที่แล้ว +1

    Big up brother Davister, kazi nzuri, tunajifunza mengi sana

  • @user-qr6qw3qt3c
    @user-qr6qw3qt3c ปีที่แล้ว +3

    Naomba iendelee nimeipenda sana simulizi yako ila inatisha

  • @mundiajames--Balistic
    @mundiajames--Balistic ปีที่แล้ว

    He is so much detailed.. he should books
    They will be so interesting to read

  • @msaysha5886
    @msaysha5886 ปีที่แล้ว +3

    nimesubilia sana jamani ❤

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 ปีที่แล้ว +2

    Dah huyu kaka anajua kuhadithia

  • @RegnaRegna4
    @RegnaRegna4 ปีที่แล้ว +2

    Wamayo nimefikamo

  • @ayoubmwangonji2357
    @ayoubmwangonji2357 ปีที่แล้ว +2

    Wamayo from Lusaka story 🔥🔥🤣😂😂🔥🔥🔥🔥🔥

  • @msaysha5886
    @msaysha5886 ปีที่แล้ว +2

    Kama kawaida yangu wa kwanza 😂

  • @lydiaedwin6911
    @lydiaedwin6911 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe ndo maana matajiri hawapendi kutupatia pesa ,duuh kumbe wananusuru maisha yetu.Yesu nikumbuke

    • @UsafiMichael-mc8kt
      @UsafiMichael-mc8kt ปีที่แล้ว

      WanAwake wengi hũwa mnapenda wanaũme Matajiri bila kũjũa siri ya utajiri

  • @joycekelvin5434
    @joycekelvin5434 ปีที่แล้ว +3

    Jamaa anapenda kuoga hatar😂

    • @frankkajoba8372
      @frankkajoba8372 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣

    • @NM-yl2uw
      @NM-yl2uw ปีที่แล้ว +1

      umeona eh adi alimuuliza jini anataka kuoga😂

    • @frankkajoba8372
      @frankkajoba8372 ปีที่แล้ว +1

      @@NM-yl2uw nimecheka kinouma🤣🤣🤣

    • @UsafiMichael-mc8kt
      @UsafiMichael-mc8kt ปีที่แล้ว

      Mwanaume mazingira

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw ปีที่แล้ว +3

    Pesa za wepesi lazima zikusumbue tu

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 ปีที่แล้ว +1

    Pesa pesa pesa pesaaaaaa ..wtz siku hizi mnamsemo wenu wa tafuta pesa eti?? Zitafuteni

  • @sakiimchomvu9769
    @sakiimchomvu9769 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmmh, naogopa wanadamu👐👐👐 pita kule na utajiti wako kwakweli....Jesus can bless u without going thru all this shit.

  • @shepherd1x84
    @shepherd1x84 ปีที่แล้ว

    Nchi ya Tz..duh you need God alot..maana haya mambo ni ya kila siku duh!!

  • @MartinyMaryogo-nt6xg
    @MartinyMaryogo-nt6xg ปีที่แล้ว +1

    nmecheka km mjinga et unajidanganya, yan mtu anawaza lkn anajibiw daaaaah dunia hii hatar

  • @dianamdaku9802
    @dianamdaku9802 ปีที่แล้ว +3

    kumbe ndyo maana matajir weng wagumu kutoa hela!!!

    • @RwachiryoraWema
      @RwachiryoraWema ปีที่แล้ว

      Lakini wengine ni raising juu wamepewa masharti akikupa tu wanachukua nyota au wewe ni sadaka why do you think k rich folks like to give to orphanages etc

  • @kalssambaboo9932
    @kalssambaboo9932 ปีที่แล้ว +4

    Nawee ulikua unaujasiri sana

    • @MartinyMaryogo-nt6xg
      @MartinyMaryogo-nt6xg ปีที่แล้ว +1

      huyu jamaaa alkuw na ujasir sana sana yan anahojiana na majin co ktu rahic

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 ปีที่แล้ว +2

      Hasa atafanyaje mwana kulitafuta mwana kulipata

  • @ashuramahali3410
    @ashuramahali3410 ปีที่แล้ว +3

    Huyu apewe maua yake kama zabron mzee wa GAMBOSH

    • @UsafiMichael-mc8kt
      @UsafiMichael-mc8kt ปีที่แล้ว

      WanAwake wa sasa wanapenda mkwanja utajiri,pesa na mali lakĩnĩ mwisho wake mnajuta,Mnataka magari,pesa,jumba na mawigi,nguo,iphone lakĩnĩ tukiwatoa kafara mnalaum

  • @user-ye2ps9ff7e
    @user-ye2ps9ff7e ปีที่แล้ว +1

    Asante sana davistar

  • @dondada1764
    @dondada1764 ปีที่แล้ว +2

    27 min 02

  • @nickyineza6813
    @nickyineza6813 ปีที่แล้ว

    Huko kwa mchungaji unaendaga kuchukua nn mm nimepitwa jamn mwenye anajua anisaidie

  • @patrickmaina5459
    @patrickmaina5459 ปีที่แล้ว +2

    Huyu Naye shetani wake alikuwa na tamaa sana😂😂😂

  • @elizabethleonce1089
    @elizabethleonce1089 ปีที่แล้ว

    Heee balaaa
    Nyie kama movie

  • @gaomariwa7637
    @gaomariwa7637 ปีที่แล้ว

    Another episode mr everything

  • @lydiaedwin6911
    @lydiaedwin6911 ปีที่แล้ว

    Nilikuwa na tamaa Ila kwa hii stori puuuh Sina hamu na pesa Tena

    • @UsafiMichael-mc8kt
      @UsafiMichael-mc8kt ปีที่แล้ว

      WanAwake hũwa Mnataka wanaũme Matajiri,wenye pesa na mali na magari na majumba lakĩnĩ hamjuhi hũwa wanatoa pesa wapi?

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    👊👍🙏.

  • @taturajabukhalfani7953
    @taturajabukhalfani7953 ปีที่แล้ว +2

    Je huyo mkeo Kwa macho ya Kawaida watu walikuwa wanamuona!???

    • @UsafiMichael-mc8kt
      @UsafiMichael-mc8kt ปีที่แล้ว

      WanAwake wengi hũwa wanapenda pesa ,mali,jumba na gari lakĩnĩ wakitolewa kafara wanalia

  • @khadijakhadija6158
    @khadijakhadija6158 ปีที่แล้ว +1

    Muendelezo please

  • @jwisetv4833
    @jwisetv4833 ปีที่แล้ว +2

    jamaa anapenda kusema'' nikamuuliza...Akanijibu..Nikasema hapana

  • @kitutujuma9602
    @kitutujuma9602 ปีที่แล้ว

    Mimi #0

  • @MartinyMaryogo-nt6xg
    @MartinyMaryogo-nt6xg ปีที่แล้ว +1

    mmmmmmmh kwel usije taman mafanikio ya mtu bila kujua kapataje hzo mali kumbe zngne n nguvu za giza tu

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 ปีที่แล้ว +1

    Watu mnaosemaga kuwa usafi wa mwili unaondoa jini chafu haya sasa

  • @josphinenduta2011
    @josphinenduta2011 ปีที่แล้ว +1

    Ati mwanamke huyo anajua wewe una tamaa?Tamaa mbaya

  • @pettiecranwel7588
    @pettiecranwel7588 ปีที่แล้ว +1

    Twende kazi

  • @georgedaud3411
    @georgedaud3411 ปีที่แล้ว +1

    Nimewahimo leo

  • @michaelcharles4693
    @michaelcharles4693 ปีที่แล้ว

    Wimbo unaishi huu kwanza video yake nilikuwa namuonea huruma yeye mwimbaji yani daah
    Rip Mr.Zumo

  • @ninabizimana6869
    @ninabizimana6869 ปีที่แล้ว

    Una penda pesa kuliko Mungu je ukifa Uta enda wapi

  • @taturajabukhalfani7953
    @taturajabukhalfani7953 ปีที่แล้ว +1

    Duuuu nilifikilia wakwanza!!!!kumbeeede!!!

  • @enock8317
    @enock8317 ปีที่แล้ว +1

    Ndo mambo sasa

  • @ayoubmwangonji2357
    @ayoubmwangonji2357 ปีที่แล้ว +2

    Desires for money appear in your nose

  • @user-uw8zb7dv1u
    @user-uw8zb7dv1u ปีที่แล้ว

    Sasa mbona kama sijakuelewa mchungaji si alibaki mwanza na ww uko Tabora vip ulienda Tabora

  • @dullahzebuffa
    @dullahzebuffa ปีที่แล้ว +1

    Asante

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 ปีที่แล้ว

    Sumu ya jini mahaba ikikuvaa huwezi chomoka kwao

  • @evachuwa3809
    @evachuwa3809 ปีที่แล้ว +1

    Duh

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 ปีที่แล้ว

    Haya majini jamani mbona wengine hatuyaoni yatununulie na sisi range😢

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 ปีที่แล้ว

    Tamaa mbele mauti nyumba

    • @UsafiMichael-mc8kt
      @UsafiMichael-mc8kt ปีที่แล้ว

      Wadada wa sasa wanapenda Waume wenye pochi nene,pesa,mali,jumba,magari,biashara,iphone nk lakĩnĩ mwisho wake mnaishia kujuta na kuzaa watoto wanaliwa na kuzimu

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 ปีที่แล้ว +1

    Mmh umtoe mtoto wako tena

    • @UsafiMichael-mc8kt
      @UsafiMichael-mc8kt ปีที่แล้ว

      Ndio WanAwake wa sasa wanapenda wanaũme wenye pesa hii huwafanya kujiuza kudanga na hata kutolewa kafara wao

  • @hidayarajabu-vb7oq
    @hidayarajabu-vb7oq ปีที่แล้ว +1

    Santee

  • @hamisialisuleiman8988
    @hamisialisuleiman8988 ปีที่แล้ว +1

    Poa sana

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 ปีที่แล้ว

    Haya mnaopenda wanawake wazuri mmesikia

    • @UsafiMichael-mc8kt
      @UsafiMichael-mc8kt ปีที่แล้ว

      Uwiiiiiiii!!!!!!uwiiiiiiii!!!!!!uwwiiiiiiiiiiii!!!!!uwwiiiiiiiiiiii!!!!!!

  • @khadijakhadija6158
    @khadijakhadija6158 ปีที่แล้ว +1

    27 iko wapi

  • @fredrickotieno3934
    @fredrickotieno3934 ปีที่แล้ว

    Wamayo mwingine huyu