MAAJABU ALIYE IBIWA NG'OMBE 70 WEZI WAPATIKANA/NABII KIBOKO YA WACHAWI HAKIKA NIKIBOKO YAO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • MAAJABU ALIYE IBIWA NG'OMBE 70 WEZI WAPATIKANA/NABII KIBOKO YA WACHAWI HAKIKA NIKIBOKO YAO

ความคิดเห็น • 362

  • @mazoyajr.5970
    @mazoyajr.5970 หลายเดือนก่อน +3

    Ila hii dunia ina WAPUMBAVU wengi sana aiseee!! Kuna watu wanaabudu hapa na Amina wanaitikia kabisa!

  • @fredmbossa-kc3qn
    @fredmbossa-kc3qn 2 หลายเดือนก่อน +8

    watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa 😭😭😭😭

  • @user-oq7rl7rd6n
    @user-oq7rl7rd6n 7 หลายเดือนก่อน +7

    Anae tusi mchawi baba uko vizuri sana wafe hao imeandikwa usiache mchawi aishi

    • @HopenessPaul
      @HopenessPaul หลายเดือนก่อน

      Acha ubwege wewe hujitambui na huna mafundisho ya kweli na huyo mkongo wenu.....mtapigwa fire hadi huyo mzeee wenu akome....

    • @salehemsumi615
      @salehemsumi615 7 วันที่ผ่านมา

      ​@@HopenessPaulAnapanga watu ili wale hela za wajinga!!

  • @niyiesther6571
    @niyiesther6571 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ameeen. Na Mimi alieina vyangubkatika ulimwengu wa roho arudishe. Maisha ninaishi sisi yangu. Niko Burundi. Na uimbaji wangu hauendi fasi Mimi na familia yangu. Umaskini ni mwingi

  • @sautiyamunguduniani4620
    @sautiyamunguduniani4620 8 หลายเดือนก่อน +12

    Imani hizi batili tuspokuwa makini tuangamia MUNGU wangu wa mbinguni ☝️
    Tuhurumie Sana 🙏
    Maana nihatari

    • @lulumatawalo7805
      @lulumatawalo7805 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kama kina Eliya Mtishbi walitenda zaidi ya haya,na Mungu ni yule yule hajabadilika,cha ajabu hapo ni nini? Acheni kumwabudu Mungu aliyelala,mwabudu Mungu aliye hai anayetenda na kuwatumia wanaomwamini.

    • @mwana3887
      @mwana3887 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@lulumatawalo7805issues ni haujahi Kuona huduma ya kinabii ndio maana una mashaka Kwa sababu akili Yako haijazoeya hiyo

    • @reginajoseph5144
      @reginajoseph5144 11 วันที่ผ่านมา

      ATUHURUMIE SANA

  • @iddyissa8110
    @iddyissa8110 8 หลายเดือนก่อน +7

    Yaniii hizo setting ata mtoto mdogo haaa ayamatatizo ya wanadam 😂😂😂 mungu atuhurumie tu 😅😅😅 nimecheka mie

  • @pambanassoro
    @pambanassoro 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amen amen mtumishi tengeneza maisha yetu maana tumekuwa katika kipindi kigumu juu ya Dunia hii amen mungu akuinue sana

    • @SaidMkome
      @SaidMkome หลายเดือนก่อน

      Muombe mungu

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 6 หลายเดือนก่อน +7

    Mbona watu wanamjua huyu Aliyoibiwa Ana Ata kifalanga cha kuku Utapeli wa mitandao 😂😂😂

    • @EmanuelRyoba
      @EmanuelRyoba 6 วันที่ผ่านมา

      Na ulisema kweli

  • @richmwaij3368
    @richmwaij3368 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jihadhalini na manabii wa uongo wengi watakuja kwa jinalangu na kusema mimi nikristo watanganya wengi sana watafanya miujiza ya uongo, kuweni makini ndugu zangu unabii wa yesu kristo mwana wa Mungu wa pekee umetumia naiangamie kwa kukosa maalifa

  • @SstanMbalazi
    @SstanMbalazi 3 หลายเดือนก่อน +2

    GOD LET YOU TO HELP THE WORLD
    PLEASE BE THAT TO ME PASTOR

  • @AndreaSelemani-ru9tv
    @AndreaSelemani-ru9tv 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu anawaona

  • @user-lj4oz5rj6n
    @user-lj4oz5rj6n 8 หลายเดือนก่อน +3

    Baba naomba uniombee mwili wangu unakufa gani upande mmoja wakushoto. Naitwa judihi ni kahama.ubalikiwe sana

  • @DenisCasey-kh8ub
    @DenisCasey-kh8ub 8 หลายเดือนก่อน +18

    Ndugu zangu mbona munamacho lakini amuoni namuna masikio lakini amusikii Eee, Yesu Kristo tujalie tuweze wafuasi wako

    • @springDrone
      @springDrone 4 หลายเดือนก่อน +2

      Wew towaga ujumbe unawo eleweka

  • @user-sj5le4sf7i
    @user-sj5le4sf7i 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen

  • @Chrisblaze-beats
    @Chrisblaze-beats 2 หลายเดือนก่อน +1

    Me Mkristo Mkatoliki Jamani waumini wa huyu jamaa nawaomba acheni. Huyu ni mganga.😢😢😢Anafanya vitu vya uongo na vya kishetani. Hakuna Mafundisho ya Mungu ya aina hiyo. Shida zenu waumini zisifanye msimjue Mungu.

    • @doricekamara3631
      @doricekamara3631 หลายเดือนก่อน

      Wewe lala hayajakukuta tena uachane na mambo ya watu

    • @mazoyajr.5970
      @mazoyajr.5970 หลายเดือนก่อน

      Hata huko uliko wewe hakuna la maana hizi dini zote ni UTAPELI MTUPU!

    • @mazoyajr.5970
      @mazoyajr.5970 หลายเดือนก่อน

      Yaani anayejifanya kaibiwa ukimuangalia tu ki-Saikolojia unaelewa naye ni mwzi. Hapo yamefanyika maigizo sisi wajanja tunajua simu ya 4 hiyo maigizo yanaendelea.

    • @prosperiamani
      @prosperiamani หลายเดือนก่อน

      wewe wew tapeli

  • @user-ly6qh2ip9e
    @user-ly6qh2ip9e 6 หลายเดือนก่อน +2

    Amiin

  • @gloryaloyce2600
    @gloryaloyce2600 3 หลายเดือนก่อน +2

    Muombee baba yangu awe baby Bora pia niombee nipatane na mchumba angu tuwe sawa😢👏

    • @SaidMkome
      @SaidMkome หลายเดือนก่อน

      Muombe mungu

  • @SalmaYusuph-jb1sx
    @SalmaYusuph-jb1sx 3 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu asifiwe baba nabii nakufatilia sana naomba nisaidie niongezewe mshahala npo Oman nafanya Kaz mwez huu niongezewe mshahala

  • @lakidegolden5302
    @lakidegolden5302 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki

  • @user-pk2lq6bf8l
    @user-pk2lq6bf8l 9 หลายเดือนก่อน +3

    Amen baba 🙏

  • @MichaelHamis-ht3sf
    @MichaelHamis-ht3sf 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akuinuwe

  • @rebecabulemo3951
    @rebecabulemo3951 4 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi. Wa mungu nami naomba uniombee oepo la hiv liondoke kwenye mwili wangu

  • @rebecabulemo3951
    @rebecabulemo3951 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mtumishi wa mungu nami naomba uniombee mda huu nipone hiv niolewe na Gaston agostino matale

  • @HeloniSenyangwa
    @HeloniSenyangwa 2 หลายเดือนก่อน

    Amina mungu nisaidie kupitia uyu nabii

  • @mcjuniorofficl723
    @mcjuniorofficl723 3 หลายเดือนก่อน +1

    naomba kazi baba sina kazi kesho niwe na kazi in Jesus name

    • @SaidMkome
      @SaidMkome หลายเดือนก่อน

      Kwaiyo uyo baba Ako ndiyo muajiri wa kazi

  • @SaidanozzyMathayo
    @SaidanozzyMathayo 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nakuku bali sana Nabii mungu akupe maisha marefu

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 หลายเดือนก่อน

      Nenda na wewe katapeliwe kwa sababu munajifanya qajinga sana.

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 6 หลายเดือนก่อน +4

    Wachawi wote wafe kwa jina la Yeeeeeeeesu

  • @user-bf7ce8tx2y
    @user-bf7ce8tx2y 4 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba Nifunguliwe nipate biashara na nimalize Nyumba yangu Naamini kwa jina la yesu

    • @SaidMkome
      @SaidMkome หลายเดือนก่อน

      Fanya kazi Kwa bidii na kumuomba mungu

  • @SalmaYusuph-jb1sx
    @SalmaYusuph-jb1sx 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen amen amen

  • @sifasolangekaboyi4124
    @sifasolangekaboyi4124 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen

  • @devothamagembe1775
    @devothamagembe1775 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mmm jaman naomba namba

  • @edwinkilawe7189
    @edwinkilawe7189 2 หลายเดือนก่อน +2

    Amina baba uishi miaka mingi nabii

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 หลายเดือนก่อน

      Wewe acha ujinga ,acha kujifanya huna uelewa na hujui kitafakari mambo juu ya udanganyifu ,uo ni udanganyifu unaofanyika hapo.

    • @salehemsumi615
      @salehemsumi615 7 วันที่ผ่านมา

      ​@@jumamohamed3168Ameshindwa hata kung'amua kuwa hayo ni maigizo!!

  • @JanetyIsinika
    @JanetyIsinika 5 หลายเดือนก่อน +1

    Papa naomba ufungulifu juu ya Maisha yangu.Naomba mtaji nifanye biashara niweze kupata unafuu ya maisha....JANE ALEXANDER

    • @FrankMushi-cs5js
      @FrankMushi-cs5js 4 หลายเดือนก่อน

      Wewee acha upumbavu kenge weweee

    • @shabanizuberi4503
      @shabanizuberi4503 3 หลายเดือนก่อน

      Sasa unamtukania nn kwani amekuomba wewe pesa?

  • @Feisalmatandula
    @Feisalmatandula หลายเดือนก่อน +1

    Nice

  • @NyiranezaWarda-bk1yn
    @NyiranezaWarda-bk1yn 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen amen 🥰🥰🥰💯🙏

  • @user-dh8jw6qe5i
    @user-dh8jw6qe5i 6 หลายเดือนก่อน +3

    Powerr

  • @ImanNjogolo
    @ImanNjogolo 29 วันที่ผ่านมา +1

    Haaaaa,sijui

  • @evansokemwa6587
    @evansokemwa6587 8 หลายเดือนก่อน +6

    kutengenesha kipindi nyie pastor waongo mbele ya kiama mtajibu😢😢

    • @mjanthony4864
      @mjanthony4864 8 วันที่ผ่านมา

      na imejulikana kuwa huyu jamaa ni tapeli.

  • @AMINASAIDI-mx7rs
    @AMINASAIDI-mx7rs 6 หลายเดือนก่อน +4

    Dah nimependa kwakweli

  • @demanyoxalex
    @demanyoxalex 5 หลายเดือนก่อน +3

    Pastor niombee nimalize kujenga nyumba.na ndogo wangu achee pombe

  • @MosesKaponda
    @MosesKaponda 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nc❤❤❤❤ barikiwa

  • @HabimpanoColoneillejosephati
    @HabimpanoColoneillejosephati 2 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba unisidie baba maisha yangu siomazuri mutoto wangu alipotea

    • @bonifasMichael
      @bonifasMichael หลายเดือนก่อน

      Endelea kumuomba Mungu usimtegemee huyu ni mkora ndugu yangu uyo mtu alilipwa aseme Kuna ng'ombe zimeibiwa mm namjua uyo mbaba ana hata kifaranga lkn kama hautanisikia saw

    • @SaidMkome
      @SaidMkome หลายเดือนก่อน

      Muombe mungu funga na kusali

    • @SaidMkome
      @SaidMkome หลายเดือนก่อน

      Izo ekti tyuu

  • @WinifredMwashilindi
    @WinifredMwashilindi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Watesi wangu wote wapigwe kwa jina yesu

  • @hellen9467
    @hellen9467 8 หลายเดือนก่อน +4

    Eeeh hapa kama ni mimi naokoka kabisa naacha wizi

  • @GeorgeMachela
    @GeorgeMachela 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

  • @rebecabulemo3951
    @rebecabulemo3951 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi wa mungu nami mda huu naomba uniombee nipone hiv kirahisi

  • @user-tl8di1gi9d
    @user-tl8di1gi9d 9 หลายเดือนก่อน +2

    Amen 🙏🙏

  • @JosephJoshua-gh7if
    @JosephJoshua-gh7if 4 หลายเดือนก่อน

    Amina baba

  • @AliceSelestian
    @AliceSelestian 10 วันที่ผ่านมา

    Mungu atusaidie wanadamu tumepoteza na kupotezwa

  • @victoriamathewitungulu754
    @victoriamathewitungulu754 5 หลายเดือนก่อน

    Kila aliyeniharibia maisha yangu,aliyechukua akili za watoto wangu wazirudishe Kwa jina la Yesu.watoto wangu wafanikiwe na kunijali ktk jina la Yesu kristo .

  • @adoniemanuel908
    @adoniemanuel908 8 หลายเดือนก่อน +4

    kuna baazi ya kemiko ukichanganya pamoja moto unawaka acheni uwongo sio kwamba mungu hawezi kuwasha moto sio huoo uwoo wakutengeneza

    • @mummymaduhu5307
      @mummymaduhu5307 5 หลายเดือนก่อน

      Kama Mungu hakuwasha vip Eliya aliwashaje

  • @YunusiAthuman-ep5mc
    @YunusiAthuman-ep5mc 3 หลายเดือนก่อน

    Ewe allah tujalie tuijue haki iliyo kuwa sahihi amina

  • @user-pz6cm8no8n
    @user-pz6cm8no8n 8 หลายเดือนก่อน +1

    Baba mie kuna mt kani zurumu pes yng 😢😢 baba mie simjui jin rake huy mama na pia ariniambiy iv anatak kunitafutia kazi kumb hapn baba niomb unisaidie mie naitw maryam baba nakufatiria san mung akupe nguvu maan kir niki mwmbiy hatik kunipa pes yng na pia sm yng ime ibiw ss iv natumie sm ndog na kiuchumi pia baba naomb msaada wak baba yng 😢😢😢😢😢niomb na mm please 😭😭😭🙏🙏🙏

    • @WasikeGeorge
      @WasikeGeorge 8 หลายเดือนก่อน

      😊The 😊😊😊😊😊

    • @yohanesmathias223
      @yohanesmathias223 3 หลายเดือนก่อน

      Pole sana

  • @alphablondponera2367
    @alphablondponera2367 20 วันที่ผ่านมา

    Anapambana Kwa simu ..na mwizi anapokea simu mara 3 ya 4 anapiga ...huyo ni mwizi ninayemjua Mimi kweli ?

  • @user-tk8us2xq8d
    @user-tk8us2xq8d 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen.

  • @user-in9mg5hf2h
    @user-in9mg5hf2h 3 หลายเดือนก่อน +1

    Pastor, prophet nakupenda hata mda huu nakusikiliza najua utanisaisidia kutoka kwenye matatizo ya familia na madeni

  • @user-hn2wf6zb1t
    @user-hn2wf6zb1t 7 หลายเดือนก่อน +4

    Baba naitwa Agnes Anthony naomba unifungue katika maisha yangu na ndug zangu napata shida sana naomba baba unisaidie

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 5 หลายเดือนก่อน

      Okoka mpokee YESU

    • @SaidMkome
      @SaidMkome หลายเดือนก่อน

      Omba mungu wwe acha ujinga

  • @user-rm8bh4xc9q
    @user-rm8bh4xc9q หลายเดือนก่อน

    Ameeen

  • @SonyS-fb1fx
    @SonyS-fb1fx 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kira anaye fata mayisha yetu apigwe kir eneyo amina asant yes

  • @husseinmfugale5523
    @husseinmfugale5523 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna mtumishi wa mungu hapa, is Ndo Huyu namuona barabaran anarusha hela

  • @Chrisblaze-beats
    @Chrisblaze-beats 2 หลายเดือนก่อน

    Unabii alikua hajauchukua mbona jamaa kujieleza hajaweza😂😂😂😂

  • @HilaryMoshi
    @HilaryMoshi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Naitwa liliani niombee niweze kubariki ndoa amina

  • @boazambokile2587
    @boazambokile2587 หลายเดือนก่อน +1

    hii move inaitwaje

  • @AbelMrina
    @AbelMrina 2 หลายเดือนก่อน

    Asifiwe yesu nabii wangu tupo pamoja

  • @user-so3gy2io8l
    @user-so3gy2io8l หลายเดือนก่อน +2

    Hiyo ni uongo bana

  • @theonestinakaizilege9974
    @theonestinakaizilege9974 3 หลายเดือนก่อน

    Mwombee mwanangu Lillian apate mume sahihi pia uchumi wangu ukaongezeke wateja wakanizidie amina

  • @rasependopendo8096
    @rasependopendo8096 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba nikuoate katika jina la yesu

  • @fredmbossa-kc3qn
    @fredmbossa-kc3qn 2 หลายเดือนก่อน +1

    nimebeti mechi mbili moja nimefungwa mkeka umechanika,,😂😂😂

  • @shilangida4330
    @shilangida4330 10 หลายเดือนก่อน +4

    Wacha nicheka 😂😂😂😂😂hii kali ya funga mwaka

    • @user-tt1nm9xs4n
      @user-tt1nm9xs4n 10 หลายเดือนก่อน

      Kwanin

    • @FredMaulid
      @FredMaulid 2 หลายเดือนก่อน

      Dah nabii yupo vizuri mungu ampe maisha marefu maana anasaidia sana na ana ubinadamu​@@user-tt1nm9xs4n

  • @AshuraomaryKhalfan
    @AshuraomaryKhalfan 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @Jacobmpondela
    @Jacobmpondela 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nakkubari sana mtumishi

  • @user-kq3dk6hj7g
    @user-kq3dk6hj7g 2 หลายเดือนก่อน +1

    Baba nabii ninakuomba nikombowee na family yangu Mimi Ninaitwa pendo ninaomba msaada wako Niko mbeya Kila siku ninaumwa pia maisha hayaendi pia watu wananidhulumu sana nikwambie ninashida matusi ya nguoni nisaidie baba

  • @anitababyderickwasike7872
    @anitababyderickwasike7872 3 หลายเดือนก่อน

    Sina chakusema ila wwe Nabii ni 🔥🔥🔥🔥 wa kuotea mbali barikiwa sana

  • @CatherineMrema-z7z
    @CatherineMrema-z7z 2 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu asifiwe naomba umuembee dada yangu aweze kupata mtoto

  • @user-ji8eb8ev4x
    @user-ji8eb8ev4x 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @pilisinde8830
    @pilisinde8830 8 หลายเดือนก่อน

    Naomba maombi msichana wa kazi rahma ameimba vitu vyangu vya ndani

  • @kelvinsalvathory4654
    @kelvinsalvathory4654 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nabii tabiri juu yangu nipo morogoro juu ya masomo yangu na mama yangu mke wa baba mdogo ananifatilia sana nisaidie

    • @user-so3gy2io8l
      @user-so3gy2io8l หลายเดือนก่อน

      Acha ujinga soma

    • @user-tm6hs6wj7q
      @user-tm6hs6wj7q หลายเดือนก่อน

      Mwambie Yesu wewe

    • @reginajoseph5144
      @reginajoseph5144 11 วันที่ผ่านมา

      @@user-so3gy2io8l TENE WEWE NI MJINGA KAYA BUNTI UTATOBOA

  • @user-cw3vu8mu3k
    @user-cw3vu8mu3k 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hiz huduma ni za kweli lakin kwa sasa kwa ajili ya kujenga umaarufu inabidi watu watengenezwe ili tu kuinua huduma ya nabii juu hiki tu ndyo inanipa mashaka ,ila sasa inakuwaje unapiga cm alafu et wew ndye mwizi wa ngombe rudisha ngombe eti

  • @user-dr2sl5kb3m
    @user-dr2sl5kb3m 7 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu atupe macho ya rohoni Ili tuone

  • @GeradKaria
    @GeradKaria 3 หลายเดือนก่อน +1

    Gera

  • @MichaelHamis-ht3sf
    @MichaelHamis-ht3sf 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu atusadiye

  • @JoyceMwakyoma
    @JoyceMwakyoma 4 หลายเดือนก่อน

    Kila anayepambana na maisha yetu apigweeee!!

  • @juniorwiseprophet1240
    @juniorwiseprophet1240 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona huu ni uongo wawazi kabisa jamn ,Inamaana watu woote hapo hawaoni ujinga huo kweli???😊

    • @sultanjeta2767
      @sultanjeta2767 7 หลายเดือนก่อน

      Mchawi lazima apinge kwa jina la yesu

  • @AliceSelestian
    @AliceSelestian 10 วันที่ผ่านมา

    Ole wao manabii wa uongo

  • @user-ru1qb6hv2k
    @user-ru1qb6hv2k 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pasko niombee safari yangu halafu univutie jason na semoni

  • @yonahalexander1212
    @yonahalexander1212 4 วันที่ผ่านมา

    Yani mnawapanga watu ili muibe ela za watu mbwaa nyinyi

  • @AlexAlex-kf1eg
    @AlexAlex-kf1eg 8 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba uniombee Kuna taasisi imedhurumu eneo hekari 12 nasomesha watoto kwashida naumia Sana huyo mtu anaitwa Ally Hasani Mahaba

  • @EvansSeven
    @EvansSeven หลายเดือนก่อน

    Nabii Wa Mungu ,Niombee nipate Help na kazi

  • @kaismwambona9860
    @kaismwambona9860 8 หลายเดือนก่อน +1

    Injili ya BWANA Yesu inajitegemea ..

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 8 หลายเดือนก่อน +3

    Amen Amen amen amen amen

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ukiwa na imani tu, kila jambo gumu litakuwa rahisi.

    • @evansokemwa6587
      @evansokemwa6587 8 หลายเดือนก่อน

      wajinga ndio waliwao😢 vipindi hii😅

  • @lilianemassawe2673
    @lilianemassawe2673 2 หลายเดือนก่อน

    I nimechukuliwa notably yangu miaka mingi baba naomba msaada

  • @omarymgombe7382
    @omarymgombe7382 9 หลายเดือนก่อน

    Naitwa omary mngombe nipo Boko chama DSM naomba uniombee kipato hali yangu siyo nzuri kwa kipato,natanguliza shukrani zangu kwako mtumishi

    • @jonathansolomon456
      @jonathansolomon456 8 หลายเดือนก่อน

      Mtaibiwa mpaka mfe

    • @sylvanjosam3402
      @sylvanjosam3402 8 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mpaka mfeee

  • @sumakibonde5152
    @sumakibonde5152 8 หลายเดือนก่อน +1

    Salio linaisha, mchungaji hata hamsaidii kuongeza duh.

  • @user-cd7ql4mt2y
    @user-cd7ql4mt2y 9 หลายเดือนก่อน +1

    Naitwa victor simundwe

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 3 หลายเดือนก่อน

    Safi

  • @AshuraomaryKhalfan
    @AshuraomaryKhalfan 3 หลายเดือนก่อน

    Aaamena 🎉

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 8 หลายเดือนก่อน +2

    Akuna Wizi Apo Mpango Huo Kote Uku Kutokusoma Neno Siku Izi Tunafata Miemko2

    • @JOSEPHNKUNDA
      @JOSEPHNKUNDA 8 หลายเดือนก่อน

      Upo sahihi❤

  • @marthasimon9591
    @marthasimon9591 8 หลายเดือนก่อน

    Glory be to God

  • @salehemsumi615
    @salehemsumi615 7 วันที่ผ่านมา

    Masenge yamekaa kimya kabisa na kuamini huo upumbavu!!