JAMAA KAANZA KUINGIZA MFUMO WA KIISLAM KANISANI || WAISLAMU WAMEMPA HONGO ILI AUNGE MKONO?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • bada ya Tar 5 Aprili 2023, iliyoongozwa na Mch. Mbarikiwa Mwakipesile.
    Maombi sio kufanya vita katika Roho, bali ni kupata ufahamu nguvu, neema na maarifa ya kufanya vita katika Roho.
    Mwanadamu yeyote ni ufahamu. Mtu yeyote unayemjua wewe ametokana na usahihi wa ufahamu wake.
    MITHALI 8:1-12

ความคิดเห็น • 956

  • @hamisimuhammad3656
    @hamisimuhammad3656 ปีที่แล้ว +42

    Subhaana Allah Ametakasika mwenyezi mungu

  • @Yu-jr9uf
    @Yu-jr9uf ปีที่แล้ว +40

    Mi nawaomba tu wakristo mwenyez Mungu azid kuwafumbua macho na mwishowe mtaifikia tu haki inshaallah

  • @magomakabanja480
    @magomakabanja480 ปีที่แล้ว +46

    ❤❤
    Waambieni Ukweli Kua Dini ya Khaqi ni Uislam na Wamkubali ALLAH na Mitume Wake Wote

    • @bonjouronlinetv2206
      @bonjouronlinetv2206 ปีที่แล้ว +1

      Ndo ushamona sasa sema alhamdulillah

    • @Heykal143-ku4wf
      @Heykal143-ku4wf ปีที่แล้ว

      That's true religion of Allah and messanger n Mohamed

    • @MaaDii-iz3ur
      @MaaDii-iz3ur 7 หลายเดือนก่อน +1

      Uongo nyie mwashabikia majini mionekano yenyu ni inje tu ila ndani hamna lolote

    • @chikuiddy9946
      @chikuiddy9946 8 วันที่ผ่านมา

      ​@@MaaDii-iz3ur Dini ya kiislam haitufundishi ivyo Kama unavyofkiria wew

    • @chikuiddy9946
      @chikuiddy9946 8 วันที่ผ่านมา

      ​@@MaaDii-iz3ur Haya maneno unayoyaskia ya mchungaji kujistiri ndo mtume wetu Muhammad katufundisha katika Quran

  • @andreakarata5469
    @andreakarata5469 ปีที่แล้ว +40

    Mtumishi uko sahihi sana, maana sikuhizi Kanisa limekua kama nyumba ya mitindo,ubarikiwe sana,na makanisa mengine yaige haya, MUNGU akubariki sana mtumishi wa MUNGU 🙏🙏🙏

  • @Neemakilimba
    @Neemakilimba ปีที่แล้ว +19

    Ameeeeen Mch Hata Mimi kuhusu mavazi nilifundishwa na Roho mtakatifu Jinsi yakujistiri nakufunika kichwa kitambaa Ila nimejaribu kuwaeleza watu Ukweli wananiambia nimerogwa ,Ila kwangu Namtukuza Mungu amenifunulia kitu adimu Ambacho Ambacho watu hawakielewi Na nilivyomtii Mungu aisee namuona Mungu kwa viwango ,Ni Raha ilioje kujistiri Ni Utukufu kwa Mungu wangu ,Nimewaambia baadhi ya wachungaji kuhusu Mafunuo hayalakini wananiona mi mwehu Ila nimekubali yote maadamu Najua aliyesema Nami kuhusu hayo mambo

  • @rashidabeid172
    @rashidabeid172 ปีที่แล้ว +39

    Ewe Mungu, Mzidishie umri mrefu Bwana huyu, aendelea vema na mafunzo yake ya maadili mema!

    • @yusuphibrahim-yq9mv
      @yusuphibrahim-yq9mv ปีที่แล้ว

      Aamin

    • @bentybenty2343
      @bentybenty2343 ปีที่แล้ว

      Amiin

    • @abdiadan4837
      @abdiadan4837 ปีที่แล้ว

      5/72 Qur'an ina sema hakika uta wakuta ma adui zaidi kwa wa islamu ni mayahudi na wale washirikina wazio na Kitabu, na uta waona wale wanaosema Sisi no marafiki karibu wa waislamu ni wakirsto, that is original teaching of prophet Jesus,s pbuh, brother GOD bless you

    • @kososelmbuwa5718
      @kososelmbuwa5718 ปีที่แล้ว

      Hawa watajikuta wamekuwa waislam

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 ปีที่แล้ว +18

    Allahu Akbar
    He speak truth
    Welcome to the beauty of Islam

  • @IbrahimMtangana-ow8wl
    @IbrahimMtangana-ow8wl ปีที่แล้ว +34

    M/ mungu amuongoe zaidi ya hapo katika njia ilio nyooka INSHAALLAH

  • @Nagmah-gf4lp
    @Nagmah-gf4lp ปีที่แล้ว +29

    Hakikisha umesilimu nao na mungu atakuenua inshallah

  • @maryamabdallah3140
    @maryamabdallah3140 ปีที่แล้ว +43

    Karibuni ktk haki.... Allah awaongoze In Shaa Allah

    • @jumatwalib6305
      @jumatwalib6305 ปีที่แล้ว

      Hakika shemeji yangu

    • @saidnoumani7244
      @saidnoumani7244 ปีที่แล้ว

      Pastor ikiwa hawakufahamu rudi upande wa pili "Other side of the fence is green"

  • @husseinmohamed8493
    @husseinmohamed8493 ปีที่แล้ว +16

    SUBHANA LLAH maisha yangu sijawahi kuona pasta kama huyu

    • @assalaafiiabuusalafi
      @assalaafiiabuusalafi ปีที่แล้ว

      Mimi Mara ya Kwanza kuona mtu kma huyu.

    • @dolphin_87
      @dolphin_87 ปีที่แล้ว

      Nakuhakikishia haya mambo ya mavazi mara kibao makanisani yanapigiwa kelele sema ni vile binadamu tumekuwa na vichwa vigumu

  • @alexmahenge3817
    @alexmahenge3817 ปีที่แล้ว +5

    Ahsante saana Mkuu Yesu Akupe Kuishi Kwingi Mnooo wew na Watu wako Uliopewa na Bwana Kikweli Makanisa meengi kwa Sasa yamekua kama Madangulo wadada wanaenda nusu Uchii
    Wanataka Uhuru!! Uhuru wakipepo kabisaaa Wadada wako uchi makanisani Wachungaji wao saizi wamefika pabaya mnoo Wanashindwa kuwakemea wanaogopa washirika kupungua makanisani mwao

  • @carolinemrinji9605
    @carolinemrinji9605 ปีที่แล้ว +22

    Mavazi ya heshima Kwa Mungu

  • @zainabumohamed600
    @zainabumohamed600 ปีที่แล้ว +17

    Takbiry allah akbar akhasantee sana mtumishi wa Mungu

    • @shadrackwilfred2606
      @shadrackwilfred2606 ปีที่แล้ว +1

      Amen. Yesu Wa kuvaa Kwa Kujisitiri ndio Wa kweli. Ndio aliyekuja kutoonyesha njia na kutupa hiyo njia sasa tunamrudia

  • @mrok284
    @mrok284 ปีที่แล้ว +35

    Huo ndio utaratibu wa Allah. Allah awaongoze na awape hidaya. Amin

    • @KATOPE1
      @KATOPE1 ปีที่แล้ว +1

      In sha allah kwa kudra ya Allah the church kua waislam 🙏🏿🙏🏿

    • @heriabudu3207
      @heriabudu3207 ปีที่แล้ว

      Ameen 🤲

    • @oman7710
      @oman7710 ปีที่แล้ว

      Allahumma amiiin Yarabb

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว

      Amiin

  • @nashonjoel20
    @nashonjoel20 ปีที่แล้ว +24

    NIMEIPENDA SANA HII. SHETANI NA KUZIMU IMEHARIBU FASHENI ZA NGUO KWA KUBUNI MAVAZI YA KIKAHABA KWA WINGI SANA. MAASKOFU WAJIFUNZE KWAKO

  • @saadali838
    @saadali838 ปีที่แล้ว +25

    Islam is taking shape in churches Alhmdulillah.

    • @jonathankyando2698
      @jonathankyando2698 ปีที่แล้ว

      False churches

    • @sulaimaanunda2840
      @sulaimaanunda2840 ปีที่แล้ว

      definitely... in fact the more they are trying to create differences the more the things become the same

    • @nicksnicks6201
      @nicksnicks6201 3 หลายเดือนก่อน

      Never

  • @hamisisalimu6908
    @hamisisalimu6908 ปีที่แล้ว +25

    Hongera sana pastor, msema kweli ni mpenz wa mungu

  • @herbeebswaleh8428
    @herbeebswaleh8428 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah haya ndio maadili, mafunzo na tabia zilizokuwepo kutoka kwa yesu na manabii waliokuwepo kabla yake. Maadili na mafunzo yote ya mitume wa Allah yalikua yakiislamu 💯. Yesu mwana wa mariamu tabia na mienendo yake yalikua yakiislamu.

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 ปีที่แล้ว +8

    Hii nimeipenda naona utaratibu mzuri san na wanaume wamevaa panjabi safi kabisa hayo nimavaz ya maadili na ibada

  • @mwananassor8602
    @mwananassor8602 ปีที่แล้ว +22

    Amen. Mbarikiwa hata waanzilishi wetu wa dini walikuwa wanajistiri si waislam Wala wakristo ubarikiwe sana baba

    • @salumkagame509
      @salumkagame509 ปีที่แล้ว +1

      Kwani mfano anautiea Kwa walio tanguia ao kwawa Islam?

  • @christianjacobmwakingili135
    @christianjacobmwakingili135 ปีที่แล้ว +8

    Mashaallah, Mwenyezi Mungu akuangazie nuru yake Inshaallah, akuongoze katika njia ya wale aliwabariki na si ya wale aliowakasirikia, Aamin

    • @nicholauschambala-tj3ws
      @nicholauschambala-tj3ws ปีที่แล้ว

      Wakristo tuna safari ngumu sana tuendako.
      Haya Makanisa ya kilokole yamekwisha na yanayomalizikaza yenyewe.
      Mungu atusaidie

  • @rashidsalum4689
    @rashidsalum4689 ปีที่แล้ว +17

    Mashaallah, Allah akuongoze ktk njia ya khaki,ilove you my brother

    • @assalaafiiabuusalafi
      @assalaafiiabuusalafi ปีที่แล้ว

      MAASHAALLAAH Allah azidi kukuonyesha haki

    • @tigerhunter4775
      @tigerhunter4775 ปีที่แล้ว

      Kuiga jambo jema kwa mtu/watu c jambo baya ila siyo kwamba kila kitu ulicho nacho ni kibaya. Na kama kila kitu ulicho nacho nikibaya haina haja kuiga kitu kizuri bali ni kuhamia kitu kizuri kiliko.

  • @adambaton5521
    @adambaton5521 ปีที่แล้ว +13

    Hazina ya taifa hii nimekuelewa machawa wanatukana hata jambo jema🙏🙏🙏🙏💯💯💯💯💜💜💜

  • @ahmedmassoud8758
    @ahmedmassoud8758 ปีที่แล้ว +8

    YA ALLAH YARAHMAN YARAHIM, ALLAHU AKBAR LAILAHA ILA ALLAH

  • @JapharJoseph-he7ce
    @JapharJoseph-he7ce ปีที่แล้ว +17

    Mungu wafungulie mjue na mengine yasiyoonekana

  • @shakirashakira-gc2yw
    @shakirashakira-gc2yw ปีที่แล้ว +5

    We ni wakwaza mana ndugu zetu mkienda kanisani utafikilia anaenda dangulo safi sana njia sahihi itaeleweka tu in shaa llah umeongea jambo jema

  • @sophiajuma6798
    @sophiajuma6798 ปีที่แล้ว +34

    ALLAH akuongoze uone njia iliyo ya haki inshaallah 🙏

  • @user-sd2fj8qp4y
    @user-sd2fj8qp4y ปีที่แล้ว +3

    Amina sana naona wanasema kuwa umeanza kuwapeleka kwenye uislam, wanaosema hvy n wanafiki wakubwa wameshindwa kusoma bible wanaendaenda tu. Endelea kuifundisha kweli mtumishi ww n mwanaume

    • @naomichristopher3941
      @naomichristopher3941 ปีที่แล้ว

      Lakini uko sahihi , Ila shetani anatuhalibia Sana ukristo hata zamani zile za kale tiketi hivyo kanisani , uko Sawa , tutabaki ktk ukristo wala hatutasilimu Kwa jina la yesu kataeni yesu anawajua walio wakeeee

  • @kitaaofficial4119
    @kitaaofficial4119 ปีที่แล้ว +8

    Wakristo(Wanaswara) Uislamu pekee ndio Kwenye Maadili Mazuri. Allah akupe Nguvu Uzidi Kuhubiri Maadili ya Kiislam na wewe Uwe Sheikh katika Ummati Muhammad (saw)

  • @aminachaka1523
    @aminachaka1523 ปีที่แล้ว +6

    Takbiir , ishallah iwe sababu ya wengi kuongoka

  • @husseinkassimu2714
    @husseinkassimu2714 ปีที่แล้ว +9

    Allah akupe nafsi ya kujua ukweli akupe kauli thabiti lnshaallah

  • @danielmgeni1703
    @danielmgeni1703 ปีที่แล้ว +10

    Nakunga mkono mtumishi wa mungu Ukristo saizi Unachezewa sana

    • @Muslim-gs6rn
      @Muslim-gs6rn ปีที่แล้ว +1

      Karibu kipenzi ❤❤

  • @jumahamisi8963
    @jumahamisi8963 ปีที่แล้ว +11

    Mungu akubariki mtumishi!

  • @abdulrahmankafuku3449
    @abdulrahmankafuku3449 ปีที่แล้ว +25

    Hayo yote yamo kwenye biblia , mavazi ya kujisitiri 1 Timotheo 2:9 ,wanawake wakae peke yao na wanaume peke yao Zakaria 12:12-14, Kanisani badala ya kuabudu kama alivyofundisha YESU imekuwa ni disco na kupiga MAUNO mungu amekataza yote hayo Amosi 5:22-23 Amosi 6:5

    • @shuwehaharuna6309
      @shuwehaharuna6309 ปีที่แล้ว +2

      Waachane na maneno yao eti mungu anàangalia Moyo sio mavazi

    • @pecmabeyo4471
      @pecmabeyo4471 ปีที่แล้ว

      Mungu hajakataza kuimba na kucheza zaburi 150:3-4

    • @abdulrahmankafuku3449
      @abdulrahmankafuku3449 ปีที่แล้ว +4

      @@pecmabeyo4471YESU alifundisha hayoo???? Unaposali uimbe na kukata MAUNO, Tangu mwanzo wa IBADA ni kuimbaa tuuu na miziki huku mmechanganyika wanaume na wanawake kanisani Kuna IBADA hapo zaidi ya kuangalia MZIGO

    • @salehkhamis9994
      @salehkhamis9994 ปีที่แล้ว

      Sasa mbona hamujistiri Kama yapo kwenye biblia

    • @mamasmartcollection7063
      @mamasmartcollection7063 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki sana swala la mavazi ni mhimu sana

  • @itiamekimbui722
    @itiamekimbui722 ปีที่แล้ว +6

    Very true honorable mchungaji tabia nyingi za waislam ndizo tabia za mungu. Muslims habits are more Godly than those of Christians. ❤
    Our women goes to church almost naked exposing their body parts which are proon to temptations of sins.
    How IWISH Christians could be practicing fasting like Muslims 30 days per year. Surely the world could more better..

  • @veronicakiganga4547
    @veronicakiganga4547 ปีที่แล้ว +43

    You are doing a right thing. Big up Mbarikiwa.

    • @StivinMwaipaja
      @StivinMwaipaja ปีที่แล้ว +2

      Mimi naamini ukisha okolewa na kusafishwa na damu ya yesu utakuwa huru sio masharti ya kutumia akili, kinachofanyika hapo ni dalili ya kuwa hilo Kabisa mwili yao hajafaa kwa habari ya dhambi maana yake hiyo mwili inawaka dhambi Sana, bado hamjaoshwa kwa damu ya mwanakodoo

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 ปีที่แล้ว +1

      Ameeeeeen

    • @kingwandeinvestment8002
      @kingwandeinvestment8002 ปีที่แล้ว +2

      mbarikiwa ❤❤❤❤❤❤

    • @ramadhanimtetu3656
      @ramadhanimtetu3656 ปีที่แล้ว +3

      HUYU Mchungaji kanisa lake lipo wapi???
      Maana naona naanza kumuelewa

    • @kwaleboy6064
      @kwaleboy6064 ปีที่แล้ว +5

      ​@@StivinMwaipaja wewe ulipumbaa sana kwan akili yako uliipeka wapi.yani vitu viko wazi na huelewi.damu gani iliyo kuosha huyo yesu alitoa Lita ngapi hadi leo iwe I inakuosha wewe.

  • @edwinkazabao
    @edwinkazabao ปีที่แล้ว +14

    Amen baba imeeleweka Sana.

    • @issamaduka1066
      @issamaduka1066 ปีที่แล้ว

      Ata Mzee wa upako anaujua vizuri uislamu na ndio mahana akasema yesu ajakuta kanisa Wala haja acha kanisa,

  • @issamcholi7011
    @issamcholi7011 ปีที่แล้ว +26

    UISLAMU NI DINI YA HAKI MBELE ZA ALLAH, KARIBUNI SANA

  • @abdallahabdulaziz3683
    @abdallahabdulaziz3683 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah nakukubali mtumishi kwa kuongea ukweli NI wachache Sana wa aina yako wanaoweza kukubali ukweli Kama wewe mungu atakuongoza kwa ukweli wako.

  • @nurubituro2839
    @nurubituro2839 ปีที่แล้ว +4

    mwenyezi mungu akubaliki mchungaji kiukweli inatia aibu unakuta mwanamke amevaa kimini eti anatoka kanisani mungu atuhulumie

  • @AyubuYussuph
    @AyubuYussuph 2 หลายเดือนก่อน

    Asante mchungaji hivyo ndivyo inatakiwa asante sana mungu akupe guvu

  • @user-pr7ht3zi1o
    @user-pr7ht3zi1o ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah... nguo ya maria ni mfano tosha kwa mwanamke mchamungu

  • @twahilhoja8103
    @twahilhoja8103 ปีที่แล้ว +17

    Mungu akulinde na akuongoe vyema kaka❤❤❤

  • @salluhimuhammed862
    @salluhimuhammed862 ปีที่แล้ว +6

    Nakupenda bure kaka wallah, biizni llah Allah Allah akuongoe

  • @mariamahmad8261
    @mariamahmad8261 ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa Allah shurkn Allah waongoze ktk njia ya haki waezekuifata inshaa Allah kheir

  • @faudhiamohamed
    @faudhiamohamed ปีที่แล้ว +12

    Mungu awongoze amiiiin

  • @roseatienoogutu7641
    @roseatienoogutu7641 ปีที่แล้ว +1

    naeza kupongeza mpka usubuhybwaah thats fantastic ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Allahu Akbar walilahy hamdhu

  • @husseinshadhily9329
    @husseinshadhily9329 ปีที่แล้ว +9

    Ujumbe umefika uislamu ndio dini ya haki🎉

  • @aivanalexander
    @aivanalexander 6 หลายเดือนก่อน

    MUNGU akubaliki sana BABA
    Hata KAGERA kyerwa huwa tunakaa hivi nimeshangaa uku mjini wanakaa wote
    Asante Sana nashukuru MTUMISHI WA MUNGU

  • @catherinemutindi5031
    @catherinemutindi5031 ปีที่แล้ว +10

    Wow! Nimekumbali100, per cent wateule tungekuwa tunavaa hivi usinzi ungekuwa unashudiwa baadhi yetu.mavazi Kwa kiwango kikubwa huchangia kuanguka Katika dhambi.

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 ปีที่แล้ว

      Ni kweliii nguo za ajabu mbele za wanaume ndo mana yanasababisha makanisa yanaishi kila mtu na demu wake

    • @mudighurayra
      @mudighurayra ปีที่แล้ว +1

      Kabisa ndio maana sisi katika uislamu unataka ata mwanamke ambae sio halali yako, mfano umepotea njia anataka akupeleke basi yy ndio akae nyuma wewe ukae mbele then akufamishe pita kulia pita kusho nyoosha ni ivo yani

    • @catherinemutindi5031
      @catherinemutindi5031 ปีที่แล้ว

      Asanteni

  • @NourjaniIddy-pv9cl
    @NourjaniIddy-pv9cl ปีที่แล้ว

    Mashaallah Mashaallah apo mchungaji umesema kweli kuusu mavazi na tabia pia usiache kuwaambia ata dini ya mwenyezi mungu ni uislamu namaanisha dini ya haki mbele ya mwenyezi mungu ni uislamu. Uchungaji ukiwaambia ukweli ao watu nawakamuamini mwenyezi mungu na mtume wake baci ww utakuwa umesalimika mbele ya mwenyezi mungu na wao pia watakuwa wamesalimika.

  • @RahimhKhamisi-yw7ez
    @RahimhKhamisi-yw7ez ปีที่แล้ว +5

    Njoo nikupe dadaang ndugu yangu njoo pemba huku

  • @hadijahamza1556
    @hadijahamza1556 4 หลายเดือนก่อน

    Maashallah, Ambao tayari tuna neema ya uislamu tusome surat Nasri.... Ni ushahidi wa haya yanayoonekana,....yametimia🎉🙏😘

  • @feisalomar-hr3hq
    @feisalomar-hr3hq ปีที่แล้ว +71

    Mkiristo wakwanza kuongea ukweli baadhi ya maneno

    • @sharifmwinyi5282
      @sharifmwinyi5282 ปีที่แล้ว +1

      Mashaalla tabarakallah pastor mungu akuongose unasema kweli kabiza mwanamuke akijistri anakauwa sawa kabisa kitu ingine pastor wambie waede na maji chooni,maji ni thwahara kwa mwanadam.kitu ingine tena ambia wanawake wakikiristo wasiede kanisani najanaba waonge kwanza. nawakiwa kwasiku zao wake nyumbani wasiede pole ya mungu wakiwa na nifasi pongesi sana pastor

    • @michaelmagwaza-bc6mk
      @michaelmagwaza-bc6mk ปีที่แล้ว

      Huyu ni Mwenzenu tu maana amentukana karibu kila Mch, pia ameikashifu hadi Biblia sasa huyu sio mwenzenu we subiri mda utaongea

    • @radiclezilch1529
      @radiclezilch1529 ปีที่แล้ว +1

      Kuna mwengine black amerika kataja pia

    • @abdiadan4837
      @abdiadan4837 ปีที่แล้ว

      the only Christian in the entire world who follows the true teachings of prophet Jesus pbuh, brother your number 2 to Jesus,s true teachings like Muslims, GOD will pay you for your honesty as per the teachings of prophet Jesus, not the so called church doctrines ya wazungu, na postors, bishops who lie about the true teachings of prophet Jesus,s him self, bro teach our sisters the truth teaching of Jesus,s don,t preach the Bible, teach the Bible as your doing, hapa kwetu kenya kanisa ni heasquota ya ufisadi, thulma, umalaya, imegeuka cult ya ku nyonya damu ya washirika wake, mungu tu atusaidie kaka na pray for Kenya & Kenyans tafadhali kaka

    • @MetodMakungu
      @MetodMakungu ปีที่แล้ว

      Huyo sio mtoto wayesu nisheten katika mwili wamwanadam

  • @ZainabuKudomu
    @ZainabuKudomu 4 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji barikiwa sana mungu amekuinua uko sahihi iko siku tutakuwa pamoja kwa kufuata maandiko ya mungu wanawake na tujisitiri na sio kwenda utupu mungu akubariki

  • @asyamakame359
    @asyamakame359 ปีที่แล้ว +7

    Allah akubarik uzid kuelimisha umma

  • @shadracknyandwi3062
    @shadracknyandwi3062 ปีที่แล้ว +27

    Hapo kiongozi nakuunga mkono kwa asilimia 100% maana nauona Ukristo ukirudi kwenye misingi yake

    • @shadrackwilfred2606
      @shadrackwilfred2606 ปีที่แล้ว +1

      *Aaaaaaaamen*

    • @kelvinchaula923
      @kelvinchaula923 ปีที่แล้ว +1

      Zamani ilikuwa hivyo

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 ปีที่แล้ว +3

      Kuvaa uchi ni mila ya wazungu tu haiwezekani wanawake wanatembea kama wanyama ukimgusa eti mimi mkiristo makanisani wanawake uchiiii akiinama hukai

    • @shadrackwilfred2606
      @shadrackwilfred2606 ปีที่แล้ว

      @@sabihaibrahim143 ni shida. Ila tumtafute Yesu kwa Bidii tuwape mabadiliko

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 ปีที่แล้ว +1

      @@shadrackwilfred2606 mukimtafuta kweli utaona binaadamu wote tupo katika njia ya mungu na sio shetani kiukweli wazungu wameipotosha dunia na wameikamata wameanza taratibu sasa wamefikia sehemu wanayoitaka wanaonesha wazi wazi wameyatumia makanisa kueneza mila zao

  • @ibrahimwario3177
    @ibrahimwario3177 ปีที่แล้ว +7

    Masha Allah

  • @maisarahnassoro814
    @maisarahnassoro814 ปีที่แล้ว +4

    Allaah amuoneshe zaidi njia ya hakki na iwe sababu kwa wengine kuiona njia ya hakki

  • @ahmadbadawi9664
    @ahmadbadawi9664 ปีที่แล้ว +6

    Eti nikae eneo moja na warembo kwenye ibaada afu niwaache hahaha,big up sana mchungaji

  • @mimimoop2617
    @mimimoop2617 ปีที่แล้ว +4

    Hongera sana mtumishi kwa mafundisho mazuri

  • @kantonankwera768
    @kantonankwera768 ปีที่แล้ว +6

    Mtumishi nimekupenda gafla ,umeongea ukweri.

  • @rashidkipingu7358
    @rashidkipingu7358 ปีที่แล้ว +1

    Nawaona kabisa wakisilimu nakuifuata hakhi MUNGU awaongoze ktk hili Aamiin

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 ปีที่แล้ว +4

    Amen ubarikiwe sana mavazi kwa wakristo imekuwa changamoto

  • @anafikamugisha8834
    @anafikamugisha8834 ปีที่แล้ว +9

    Safiiiiii Mbalikiwa Hilo ni vazi LA heshma na la ibada

  • @Muslim-gs6rn
    @Muslim-gs6rn ปีที่แล้ว +11

    Mashallah ❤❤

    • @hassanadamu412
      @hassanadamu412 ปีที่แล้ว

      Mungu awe nawe kweli umueka mtu huru

  • @daviddavid-gq8zp
    @daviddavid-gq8zp ปีที่แล้ว +2

    Allah akubariki kwa jina la Mohammed bin Abdallah...Takbiiiiiiir.

    • @mammukaratu2084
      @mammukaratu2084 ปีที่แล้ว

      Ibn Abutwaleeb SAW

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 ปีที่แล้ว

      kaka David, waislam hawaombi kwa jina la Muhammad wanaomba kwa jina Mwenyezi Mungu, kwani kwenye imani yao ni madhambi makubwa ktk maombi ya kiroho kuomba kwa jina la asiyekuwa Mungu tena wanasema huo ni ushirikina na ni haram. Wao wanaamini kuomba kwa jina la Muhammad au Yesu ni haifai kwa sababu hawa wote ni binadamu na hata yote waliyoyafanya walifanya kwa kuwezeshwa na Mungu na wala sio kwa uwezo wao.

    • @mudighurayra
      @mudighurayra ปีที่แล้ว

      Allah anao uwezo wa kumbariki bila ya jina la mtu maana yeye ndio mwenye uwezo wa kila kitu

    • @daviddavid-gq8zp
      @daviddavid-gq8zp ปีที่แล้ว +1

      Mungu ni cheo, kama vile raisi wa nchi wote wanakuwa na majina yao,sasa ndugu yangu Mungu unayemzungumzia wewe jina lake anaitwa nani?

    • @mudighurayra
      @mudighurayra ปีที่แล้ว

      @@daviddavid-gq8zp kwanza apo tu inaonesha kama wewe hujui cheo cha Mungu maana cheo cha Mungu huwez kutolea mfano, kwa njia ya binaadamu yoyote ile

  • @adonaiastoni1703
    @adonaiastoni1703 ปีที่แล้ว +15

    Ameeen mungu ni Allah

    • @ASTONVILLA_254
      @ASTONVILLA_254 ปีที่แล้ว

      Usidanganywe

    • @adonaiastoni1703
      @adonaiastoni1703 ปีที่แล้ว +1

      @@ASTONVILLA_254 usiedangaywa umefanya nini ili tukuone ni mkweli

    • @ASTONVILLA_254
      @ASTONVILLA_254 ปีที่แล้ว +1

      @@adonaiastoni1703 there ni no God but allah,haya maneno mawili ukiweka kwenye sentensi moja unamaanisha nini ? Inamaana kuwa kuna allah na Mungu ambao ni tofauti , mungesema there are no gods but allah labda munge eleweka,wewe mwenyewe kiarabu haukijui na unafata tu mafunzo ambaya hauelewi

    • @adonaiastoni1703
      @adonaiastoni1703 ปีที่แล้ว

      @@ASTONVILLA_254 kikubwa si umeelewa kinachozungumzwa sasa usitafute tuanze mabishano yasiyojenga

    • @khalidijohn-mk1jw
      @khalidijohn-mk1jw ปีที่แล้ว

      @@ASTONVILLA_254 Allah ni kiarabu kiswahili chake ni Mungu

  • @AminaKassim-ni9wd
    @AminaKassim-ni9wd 3 หลายเดือนก่อน

    Ma'shaallah Allah awaongoze ndugu zetu katika dini ya khaq

  • @faudhiamohamed
    @faudhiamohamed ปีที่แล้ว +6

    Hilo jambo Safi sana mashallah

  • @user-kp7sz6qo1b
    @user-kp7sz6qo1b 4 หลายเดือนก่อน

    Juzzita kheyr Rabbi zidni hekman fi mbarikiwa inshaallah, Allah amzidishie hekima mbarikiwa kwa mapenzi yake

  • @designdesign4426
    @designdesign4426 ปีที่แล้ว +5

    We jamaaaaaa nakupenda sana zaidi yasana natamani sikumoja nikaenawewe tuzungumze japo mm ni mwislam lkn nakukubalisana na mm sio rahisi kumkubali mtu hovyohovyo make nna IQ kubwa

  • @mcmrtichaentertaimentgudi7331
    @mcmrtichaentertaimentgudi7331 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwa kweli umebarikiwaaa🤔🥰
    Mtu anaenda Kanisani amepania Leo wamkome ndo maana wachungaji wanatoka na wake za watu kwa ajili ya ushawishi

  • @adsmjohnnsekule9155
    @adsmjohnnsekule9155 ปีที่แล้ว +6

    Allahu Akbar

  • @roseatienoogutu7641
    @roseatienoogutu7641 ปีที่แล้ว +2

    may you live long mashallah ❤❤❤❤❤

  • @stevenmwenda3005
    @stevenmwenda3005 ปีที่แล้ว +3

    Quran ilishafundisha mengi mahali jua linafika uislamu utafika na kila nyumba hata ya nyasi uislamu utaingia na haya ndo yanaendelea kutokea kwa sasa viongozi wa kikristo wanajua ukweli wa uislamu ndo dini ya mungu ya haki ya kufwata na wanadamu wote.

    • @hadijahamza1556
      @hadijahamza1556 4 หลายเดือนก่อน

      Takbiir,,...Idhajaa nasurullah walfatihu🎉 waislamu tusome sura hii...yametimia🙏

  • @pendokaburukaburulaurent9303
    @pendokaburukaburulaurent9303 ปีที่แล้ว

    Mungu akusaidie,kwasababu,hekima ya MUNGU haipo,, huwezi kutamka viungo halisi vya binadamu

  • @magrethmanintveld5477
    @magrethmanintveld5477 ปีที่แล้ว +10

    Wow nguo tena, nakukubali Mchungaji

  • @slummakwere6380
    @slummakwere6380 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ more love kwa muislam hapa ..na imani ipo

  • @woah.africa99
    @woah.africa99 ปีที่แล้ว +14

    Huyu jamaa mkweliio❤

  • @HOOFCLANMEDIA
    @HOOFCLANMEDIA ปีที่แล้ว

    Salute you more and more haki TAKBIR ALLAHU AKBAR IS THE ANSWER

  • @cityhuntermkali2468
    @cityhuntermkali2468 ปีที่แล้ว +3

    Taratibu tutakubaliana tu mwisho wa siku wote tutaimba wimbo mmoja,,,,,Allah Akbar ☝

  • @user-cb4sl3ds5j
    @user-cb4sl3ds5j ปีที่แล้ว

    Subhanallah hakika mwenyezi Mungu ni mkubwa sana shukran yaarabbi 🙏🙏🙏

  • @khamisikhalfan4720
    @khamisikhalfan4720 ปีที่แล้ว +7

    Mungu awaongoze kanisa lote liwe msikiti

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 ปีที่แล้ว +3

    Asante Kwa kuelewesha umma

  • @aminabdalla7824
    @aminabdalla7824 ปีที่แล้ว

    Mchungaji ww Sasa unafaa uwe mwislamu .....tabia zako zote unazo ambia watu n za kislamu..... Allah atakuongoza uwe mwislam 🤲

  • @kessyrojas9549
    @kessyrojas9549 ปีที่แล้ว +7

    Nenda nao taratibu wanaanza kukuelewa 🤝

  • @jacklinemwacha3905
    @jacklinemwacha3905 หลายเดือนก่อน

    Yesu wangu watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa Yesu wangu okoa watoto wako damu ya yesu kristo iingilie kati

  • @nelsonmwaipaja3727
    @nelsonmwaipaja3727 ปีที่แล้ว +77

    Tukubali tukatae waislamu wametuacha mbali xana,mavazi n.k wenzetu viatu wanaacha nje cc tunaingia navyo tunaonekana vibaka wakubwa

  • @salimamourhamad8607
    @salimamourhamad8607 ปีที่แล้ว +1

    Mungu Awepamojana ww mchungaji nauwendelee hivohivo, Hongerasana kukatazamaovu,

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 ปีที่แล้ว +5

    MashaAllah

  • @florindofarge7027
    @florindofarge7027 ปีที่แล้ว

    Duu, am from Mozambique but this pastor is amazing wallahi

  • @mwanamisakulembwa1147
    @mwanamisakulembwa1147 ปีที่แล้ว +2

    Allahu Akbar❤ mashaallah

  • @boneface8311
    @boneface8311 ปีที่แล้ว

    intended. Ni ndini nyingine na sio ukristo. Na siku zijazo utajiita jina jingine na kuanzisha Imani yako tofauti na uisilam na ukristo. Uangalie usijeanzisha Imani itakayoitwa MWAKIPESIRE.

  • @neemalwakatare6354
    @neemalwakatare6354 ปีที่แล้ว +9

    Baba unatiisha kweli wakristo mavaziyetu hayatusitili na hii ndio sababu uzinzi umekuwa jambo la kawaida sikuizi.

  • @miishhassn
    @miishhassn ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki uziidi kuujua ukweli kuhusu uislamu inshaallah

  • @paskalimaneno1684
    @paskalimaneno1684 ปีที่แล้ว +4

    Hapo nimekwelewa sana hicho ndo kimungu ata kanisani kwetu wanawake Wanaka sehemu Yao tena mwa namke haruhusiwe kuchagamana nawandugu

    • @mudighurayra
      @mudighurayra ปีที่แล้ว

      Vipi kuhusu nguo bado wanavaa vile vimini sketi

  • @salamanauthar5261
    @salamanauthar5261 ปีที่แล้ว

    MUNGU Akulinde pastor usije kupotezwa na watu wasiojulikana' maana dini yetu ya Kiislam dini ya haki uwa inapigwa Vita sana

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela 6 หลายเดือนก่อน

    Kwa hili la mavazi nakupongeza sana Mbarikiwa na NA MUNGU AKUBARIKI SANA