SIFA AVUNJA UKIMYA BAADA YA KUPOKONYWA SIMU NA BABA YAKE WA KIROHO NA KUONGEA MAZITO SANA😭😭

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 134

  • @bahatadof5543
    @bahatadof5543 6 วันที่ผ่านมา +2

    Baba mbarikiwa huyu binti ni zawadi ,umemtengeneza vizuri sana anajitambua,hongera baba,hongera sifa

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 7 วันที่ผ่านมา +4

    Umenishtuwa nikajuwa umemjibu vibaya mtumishi wa mungu kumbe una hekima hivyo nimekupenda sana kweli umefunzwa hukumsema mzee vibaya bali umejutia kosa lako simama imara mtangulize mungu ndoto yako uliyowaahidi wazazi wako itimie shetani siku zote yupo kazini kuharibu malengo ya watu

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 7 วันที่ผ่านมา +2

      Amina mtu wa Mungu, ubarikiwe sanaaaaa!!!!!

  • @mestonisimzosha203
    @mestonisimzosha203 7 วันที่ผ่านมา +3

    YESU alimwambia Petro ludi nyuma yangu Shetani (MPINZANI)kwa maana u kikwazo kwangu.But tusisahau baadae alimwambia wewe ndiwe PETRO na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa.kwa hii ya Mzee na kamanda Sifa tunazidi kujifunza saanaaa🎉

  • @SunhighMkwazi
    @SunhighMkwazi 7 วันที่ผ่านมา +8

    Mzee wa kutumbua majipu huyu 2025 tumpe ata ubunge ainyoshe mbeya

    • @Hapomwanzo
      @Hapomwanzo 6 วันที่ผ่านมา

      Tungeanzia kwenye kauspika angalau

  • @KilembeSamson
    @KilembeSamson 7 วันที่ผ่านมา +2

    Sifa kama unataka kuwa towashi si uhamie romani kule kuna masister wasioolewa unataka kuishi maisha ya usister Kwenye kanisa ambalo halina utaratibu huo😅😅😅😅😅😅😅

  • @josephineanthony8253
    @josephineanthony8253 7 วันที่ผ่านมา +2

    Kwa mpentekoste wa kwelikweli hilo siyo jambo dogo na hasa kwa mtu aliyejidhabihu kuwa towashi. Haturuhusiwi kuwa na mahusiano ya karibu kiivo. Na tunaheshimiwa na kujilinda sana, sasa hadi mtu akuwao na kukubusu ni lazima awe ni mtu wako wa karibu ambaye una mahusiano naye ya karibu. Je angelikuwa mgeni kwako au mpita njia angekufanyia hivyo. Ndiyo yetu na iwe ndiyo. Kulikuwa na tukio gani maalum hadi ufanyiwe hivyo? Kwa kitendo hicho umeiingiziwa roho fulani na itakugharimu sana. Ila pia ilibidi yawe mambo ya kanisani na siyo mtandaoni maana hayaleti ushuhuda. By mpentekoste mzee wa zamani. Mungu aturehemu, Maran-atha

  • @furahaabdallah7657
    @furahaabdallah7657 5 วันที่ผ่านมา +1

    Kikosi Kazi iweni makini na mitandao
    Mambo mengine mtajikuta hamko tena kwenye mapenzi ya MUNGU kabisa
    Kila kitu kiasi
    Ulifanya iyo kosa mtandaoni?
    Si ungeonywa mbele ya wengine huko
    Sasa imefikia mpaka kutujuza mapungufu ya maumbile Yako!!!!!?
    Eeeh! Na ekima imewakosa watu wa MUNGU.
    Makini sana 28:54 mbingu sio kazi ndogo.
    .

  • @emmanuelmbwile3240
    @emmanuelmbwile3240 7 วันที่ผ่านมา +4

    Olewaaa tuuu bn sifaaa.hautawezaaa sifaaaa naminiii ukiolewaa ww utakuwaaa mhubiriii mzuriiii

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 7 วันที่ผ่านมา +2

      Kama sieleweki sasa hata nikiolewa sitaeleweka, ila naomba unipe mda tuuuuuu

    • @inspirationalclips1422
      @inspirationalclips1422 4 วันที่ผ่านมา

      Me nataka nkuoe 😊​@@sifawayesu7079

  • @ugalidona-cs2yn
    @ugalidona-cs2yn 6 วันที่ผ่านมา +2

    Bado tunamtazamia MUNGU Tu, NaaaM hakika.

  • @miye2215
    @miye2215 6 วันที่ผ่านมา +1

    we binti una hekima sana hata baada ya kudhalilishwa umepokea hayo ni kama maonyo. Huyu Mchungaji wenu sio mtu wa kawaida hauwezi kuongelea utupu wa mwanamke mbele za watu na kusema vichuchu vyake na mtu mzima unasema ulisikia tu ila haujaona. Ni katika maongezi gani wewe mtu wa Mungu upate nafasi ya kuongelea chuchu za binti muumini wako?? Ina maana ni mke wako ndo alikwambia sasa mnapata wapi muda wa kuongelea utupu wa mwanamke mwingine na ili iweje??? Binti ameonesha ukomavu sana na ucha Mungu wa hali ya juu. Ila huyu Mchungaji bingwa wa kuwasema wa kuwakosoa wengine mmmh nina mashaka juu yake.

  • @geraldsenkondo4334
    @geraldsenkondo4334 5 วันที่ผ่านมา

    Mbarikiwa ajengewe chuo Cha kufunda mabinti. Afadhali kuoa mwanamke kama sifa hata kama hana matiti kuliko hizi purukushani zilizopo huku mtaani.

  • @WTC492
    @WTC492 7 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi nafahamu ili kanisa likue ama lifike mbali
    Lazima liwe na nguvu za
    1.Kiroho ambazo mnazo sana
    2. Za kiuchumi
    3. Za kisiasa pia yani mfumo wake wa uongozi uwe imara
    Hayo ni baadhi tu ya mambo Ninayofahamu
    Pia nafahamu kwa sehemu sijui yote.

  • @NorbethJosphath-hm1zb
    @NorbethJosphath-hm1zb 7 วันที่ผ่านมา +1

    Kaza mwendo safari bado mchungaji mbalikiwa ndiye mchungaji wa kweli hata mimi alinikeme mbaka sasa anikemea hata kama hatufamiani nikiwa mtandaoni

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 6 วันที่ผ่านมา +1

    Sister wakatoliki wapo HADI huku Kwa upentecoste?

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 5 วันที่ผ่านมา

    Nimekubali uelewa wa sifa

  • @AnethMushi-c3e
    @AnethMushi-c3e 4 วันที่ผ่านมา

    Masista wa Kikatolik hawanana mapungufu kuanzia maumbile nguvu za kike na uwezo wa kuzas wanao kwahiyo sio kwamba wamekimbilia huko baada ya kuwa na shida

  • @PeterLaizer-hj3cy
    @PeterLaizer-hj3cy 7 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe kubali kuolewa, acha ujinga.

  • @Kelvinmasunga-l5l
    @Kelvinmasunga-l5l 7 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi naona unajaribu kusafisha kauli ya mchungaji.

    • @miye2215
      @miye2215 6 วันที่ผ่านมา

      Yule Mchungaji kazingua sana alichokifanya ni udhalilishaji wa kijinsia nashangaa sana mtu unawezaje kuongelea maumbile ya ndani ya mtoto wa kike eti kwa mwamvuli wa kutoa maonyo. Yeye alipata wapi muda wa kukaa na kuongelea maumbile ya muumini wake??? na nani alimwambia??? wakiwa kwenye maongezi gani??? Kama ni mke wake basi inamaana wakiwa wawili wanasengenya waumini wao??? Hapana huyu Mchungaji nimeanza kumuwekea mashaka na yeye japo ni bingwa sana wa kutoa hukumu dhidi wenzake.

  • @josemangula8806
    @josemangula8806 7 วันที่ผ่านมา +7

    Nanyinyi pia hamuendi mbinguni niwaongo mmeandika caption ya uwongo mmeandika kuwa sifa amemchoka baba ake tunaplay amna kitu kama isho hiyo ni dhambi

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 7 วันที่ผ่านมา

      Hahahaaaaaaa!!!
      Ila si umeeelewa nia yetu jamani??

    • @josemangula8806
      @josemangula8806 7 วันที่ผ่านมา +3

      @@sifawayesu7079 sawa kwahiyo mnatuconverse kuangalia video zenu kwa njia ya uwongo maandiko yanasema ndio yenu na iwe ndio sio iwe sio apa mmetupiga mambo ya kuandika caption za uwongo tuwaachie watu wasio mjua Mungu🤣

    • @NumberBandia
      @NumberBandia 7 วันที่ผ่านมา

      ​@@sifawayesu7079SIFA TUONANE TULIPOONANA SIKU ILE INBOX KWA NAMBA ANGU ILEILE🎉

    • @HappyFlowers-ee8ru
      @HappyFlowers-ee8ru 7 วันที่ผ่านมา

      ​@@josemangula8806ni kweli kabisa huo ni uongo kama uongo mwingine

    • @HabilyTech
      @HabilyTech 7 วันที่ผ่านมา +1

      Wanatafuta Viewers 😂😂😂😂

  • @AdamJulius-z5i
    @AdamJulius-z5i 7 วันที่ผ่านมา

    Ila kama nifafanunua sivyo nielimishwe zaidi. Mm Sina Nia mbaya. Kwanza nawapenda Sana🙏🏼

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 7 วันที่ผ่านมา +2

      Amina mtu wa Mungu, hata mimi nimekufafanulia hivyo sijui kama umeelewa au ...,

  • @RealGiftLydia
    @RealGiftLydia 6 วันที่ผ่านมา

    Mbona kichwa cha habari tofauti na maneno ya hekima aliyo sema binti wa Yesu jamani?🤷‍♀️ dah ivi huu siyo uongo? Mmmmm

  • @tinajoe5487
    @tinajoe5487 5 วันที่ผ่านมา

    Inamaana simu zenu huwa zinakaguliwa?

  • @cleartzboy
    @cleartzboy 5 วันที่ผ่านมา

    Content yenu nzur

  • @annamwanyelele9084
    @annamwanyelele9084 7 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂 😂😂😂😂😂😂 nikikuona nacheka tu tumanyonyo twako kama natuona 😂😂😂😂😂😂

  • @user-mn5ho4fk7p
    @user-mn5ho4fk7p 7 วันที่ผ่านมา

    Hawa watengeneza content tuu hamna kanisa hapa huyu jamaa nayeye bila u tube kumlipa maisha hayaendi duniani sasa hivi dini hamna kumebaki wezi tuu

  • @Kelvinmasunga-l5l
    @Kelvinmasunga-l5l 7 วันที่ผ่านมา

    Mimi naona unajaribu kusafisha kauli ya mchungaji

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 7 วันที่ผ่านมา +1

      Hata ukielewa hivyo hamna shida

  • @masindemagee9603
    @masindemagee9603 7 วันที่ผ่านมา +1

    Acha maneno ya mitandao fanya mema uishi uwezi sema umeokoka wakati una maneno mengi mbinguni hawaendi t tmno mengi

  • @AnnaMbossa
    @AnnaMbossa 7 วันที่ผ่านมา

    Mmmmm mbingu ngumu jamani tupunguze dhambi za uongo, ufunuo wa yohana 21 .8. Aliye sema uongo mzizi mchawi wote motoni Mungu anaqngalia mioyo yetu, utakatifi unapaswa kuwa mwili na roho,

  • @HabilyTech
    @HabilyTech 7 วันที่ผ่านมา +3

    😂😂Hapa hii Caption ni ya kutafuta views!!

    • @obedimunguachiza8434
      @obedimunguachiza8434 7 วันที่ผ่านมา

      Inaonekana humjui Mbarikiwa Mwakipesile wewe!

    • @HabilyTech
      @HabilyTech 7 วันที่ผ่านมา

      @@obedimunguachiza8434 Sio Mbarikiwa aliyeedit hiyo

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 7 วันที่ผ่านมา

    Hubilini hayo hayatuhusu

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 7 วันที่ผ่านมา +1

      Hubili wewe basi maana sisi tumeshindwa mpaka umeona hatuhubili injili!!!
      Tumekuachia wewe

  • @fidelismwakanyamale6787
    @fidelismwakanyamale6787 7 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana lakini sijapenda unavyo elezea mapungufu ya miwili wako kwenye mtandao. Na mchungaji kukuelezea mapungufu yako kwenye mtandao. Watu wa Mungu inatupasa tuwe na hekima mbele za Mungu

    • @MfiriFulgensi
      @MfiriFulgensi 7 วันที่ผ่านมา +1

      Atafichaje ushuhuda kwanini?

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 7 วันที่ผ่านมา

      ​@@MfiriFulgensiAhsante kwa kuelewesha vizuri,

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 7 วันที่ผ่านมา

      Neno la Mungu ni ushuhuda kwa kila anaetaka kujifunza hivyo na vizuri kuwa na mda mwingi wa kufafanua hivi ili ikiwa kuna mtu anashindwa apate mwanga kwa kuwaona walioweza na walivyoweza

  • @challemartin
    @challemartin 7 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa staili ya kudhalilishwa tena Mbele ya vijana atakuoa nan jaman mchungaji uwe na kiasi

    • @HelbethMlelwa
      @HelbethMlelwa 6 วันที่ผ่านมา

      Kwani amekwambia ana shida ya / anataka kuolewa??

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 6 วันที่ผ่านมา +1

      Eeeeeeeeee!!!!
      Ungejua ndo kwanza kila kijana anaona kiasi kikubwa cha moyo wa kuokoka na kutamani kuishi na mimi lakini kwa bahati mbaya kwao MWILI WANGU NI SADAKA YA KRISTO MILELE

  • @MugishoMwenda-sx6xt
    @MugishoMwenda-sx6xt 7 วันที่ผ่านมา

    Busu tena!!!

  • @IMANIMWAITEGE-ve8gr
    @IMANIMWAITEGE-ve8gr 6 วันที่ผ่านมา

    Busu lipo kwenye biblia

  • @GodfridMbele-sb1ks
    @GodfridMbele-sb1ks 7 วันที่ผ่านมา

    Mnatuyumbisha

  • @WTC492
    @WTC492 7 วันที่ผ่านมา

    Unaweza kuwa unapambana na mtu au unampa mtu kazi kubwa ya kufanya kumbe pengine ana changamoto zake za kisaikolojia inabidi zitibiwe ndio apewe kazi akashindwa kuzaa matunda ukamtimua kumbe ni stress zake au hakufaa kupatiwa kazi hiyo.

  • @CHAMSATV
    @CHAMSATV 7 วันที่ผ่านมา +1

    MUNGU HADHIAKIWI CHOCHOTE APANDACHO MTU ATAVUNA BORA KUOA AMA KUOLEWA KULIKO KUWAKA TAMAA

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 7 วันที่ผ่านมา +1

      Ni haki yako kukomenti hivi lakini naomba unipe mda tuuuuuu!!!

    • @WTC492
      @WTC492 7 วันที่ผ่านมา

      ​@@sifawayesu7079 Sifa Mwampeta

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 7 วันที่ผ่านมา

    Waaandishi wengine kama tahira

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 7 วันที่ผ่านมา

      Watu wengine kama matahira mpaka wanatoa komenti bila kujielewa

  • @remigioushofa2817
    @remigioushofa2817 7 วันที่ผ่านมา +1

    Sifa uolewe tu

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 7 วันที่ผ่านมา

      Nipe mda tuuuuuu!!!

  • @challemartin
    @challemartin 7 วันที่ผ่านมา

    Paulo anasema ni afadhali kuolewa kuliko kuwaka Tamaa

  • @brunopeter9776
    @brunopeter9776 5 วันที่ผ่านมา

    Hatukatai kuongelea ubaya Sasa kuaanza kusema maziwa yamekaaa ovyo ovyo...hpn sio vizr

    • @roisMunjo
      @roisMunjo 2 วันที่ผ่านมา

      Uko sahihi kabisa
      Ndugu yangu
      Dhambi inakemewa lakini si kumdharirisha
      Na kuna hatua za kufwata mtu akikosea
      Kimaandiko unapaswa kumuendea binafsi na kumuonya akitubu umempata ndugu Yako
      La hakutubu mchukue mtu wa 2
      La hakutubu pia mchukue wa 3
      La hakutubu lifahamishe kanisa na sio ulimwengu mzima mtandaoni
      Inaishia kwa kanisa
      Hilo ni NENO la Mungu nilijualo Mimi

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 7 วันที่ผ่านมา

    Store za sifa bhana😁😁😁😁😁

  • @CHAMSATV
    @CHAMSATV 7 วันที่ผ่านมา

    WENGI WAMEWAKA TAMAA NA KUHARIBU SIFA ZAO BORA KUOA AMA KUOLEWA KULIKO DHAMBI YA UZINZI

  • @rahma6189
    @rahma6189 7 วันที่ผ่านมา

    Acha ujinga wewe ni mwanamke uolewe sasa nibora ukamatwe au uolewe Mungu akusaidue hujui ulitendalo

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 6 วันที่ผ่านมา +1

      Kweli sijui nilitendalo lakini naomba unipe mda tuuuu!!!!

  • @OSEBIUSNYALE
    @OSEBIUSNYALE 7 วันที่ผ่านมา

    Kufatilia ya wenzenu tuu,yakwenu aaagh

  • @WTC492
    @WTC492 7 วันที่ผ่านมา

    Mimi nadhani watumishi wa Mungu tunahitaji watu
    Kama Wanasaikolojia
    Madaktari
    Wana uchumi n.k
    Ambao Mungu anatupa wa kuweza kutushauri inapolazimu
    Mfano: Wao wanaweza kuona yale tusiyaona wakatushauri.
    Hiki kitu ulaya ni kawaida
    Daktari atasema yake...labda kula hiki na kile
    Mwana uchumi au mhasibu yake....Tumia pesa hivi....
    Mwanasaikolojia yake.......Tumia njia hii na hii

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  7 วันที่ผ่านมา

      Unahita haki tu kuwa salama. Yaani usilopenda kutendewa usimtendee mwingine.

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 7 วันที่ผ่านมา +1

      Ungeanza kwanza kusema wazungu walivyotuletea maneno ya uongo wakituaminisha kuishi kwa kutegemea miujiza bila kuachana na ubaya
      Wenyewe wanaamini kwenye kanuni wala sio miujiza

    • @AnethMushi-c3e
      @AnethMushi-c3e 4 วันที่ผ่านมา

      Wakat walituambia kuua ni dhambi kuiba wakajifanya kuleta din na kanun kumbe ni wakolon matapel wez waliokuja Kwa kivul Cha din​@@sifawayesu7079

  • @SimonEliaza
    @SimonEliaza 7 วันที่ผ่านมา

    Maonyo ni jambo jema ila msipokua makini kile kizuri cha mbinguni mnaweza kukipoteza kabla hujajipost mtandaoni jipime kwa unalotaka kuliposti mara saba kisha ndipo ulitume .

    • @roisMunjo
      @roisMunjo 2 วันที่ผ่านมา

      Sahihi kabisa

  • @michaelmagwaza-bc6mk
    @michaelmagwaza-bc6mk 6 วันที่ผ่านมา

    Nani alikwambia Ukiolewa huwezi kujitoa Sadaka ya Bwana, utoashi hauigizwi kumbuka kilamtu anakarama yake Itokayo kwa Mungu.

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 6 วันที่ผ่านมา

      Karama yako wewe ni kukomenti kwenye crip za wengine??

  • @JonasMathias-s6m
    @JonasMathias-s6m 7 วันที่ผ่านมา

    HIVI WEWE KWELI HUJAWAHI KUZINI,KWELI MMMH ROHO WAMUNGU ANAJUA,

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 7 วันที่ผ่านมา +1

      Nimesema na narudia tenaaaaa!!!
      Si huyu ajitokeze hadharani tuuu???

  • @HerodMpole-vd6td
    @HerodMpole-vd6td 7 วันที่ผ่านมา

    Nini maana ya kudharirisha?

  • @WTC492
    @WTC492 7 วันที่ผ่านมา

    Kama unaweza kuwa na mwanasheria wa kutetea kabla ya kuingia kwenye kesi.... Je si vema kuwa na mwanasheria kabla ya hayo ..
    Kama unaweza pata daktari wa kukutibuuu baada ya kuumwa si vema kuwa naye atakayee kushauri kuishi kwa kanuni za afya....
    Kama ni binadamu wa kawaida unayeweza kupata stress...
    Je si vema kuwa hata na mwanasaikolojia mmoja unayemsikiliza ......
    Ukihubirii kwa kukosoa hao unaowahubiri wakibadilikaa utapata cha kuhubiri ....
    Utaingia mtego hata wa kuibua hata vidogo au kisichokuwepo ukosoee ambavyo kwa bahati mbaya na wewe unakosea
    Muombe Mungu akuongezee au akupe Cha kwako na wewe uhubiri watu wakosoe
    Hapo ndio utakuwa zaidi na kutanua mipaka

  • @thomasmallya2972
    @thomasmallya2972 7 วันที่ผ่านมา

    Kumbe ulikua na tatizo ndio maana uukuolewa na inaonyesha umetambua uwez nyonyesha ndio maana utaki kuolewaa apo sawa

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 7 วันที่ผ่านมา

      Sema uwezavyo mtu wa Mungu ni wakati wako!!!

    • @gotafostv7305
      @gotafostv7305 7 วันที่ผ่านมา

      Utakuwa umetumwa na hujui roho iliyo nyuma yako

    • @thomasmallya2972
      @thomasmallya2972 6 วันที่ผ่านมา

      @@gotafostv7305 achaushamba wewe matendo yajieleze achen ngonjera

  • @sifakamwambi3729
    @sifakamwambi3729 7 วันที่ผ่านมา

    NEEMA NI KITU AMBACHO WEWE HUJAKIFANYIA KAZI ILA UMEFANYIWA NA KUPEWA TU MANA YESU ALITUPENDA TUNGALI WENYE DHAMBI KWA HIYO MATENDO HAYAWEZI MPENDEZA MUNGU HATA UWE TOWASHI NI KUMKUBALI YESU TU NA KAZI YA MSALABA ALIYO TUFANYIA WARUMI 3 :24-

  • @NumberBandia
    @NumberBandia 7 วันที่ผ่านมา

    SIFA TUONANE TULIPOONANA SIKU ILE INBOX KWA NAMBA ANGU ILEILE🎉

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 7 วันที่ผ่านมา +1

      Ongea hapa hapa na useme tuliongea nini huko inbox

  • @GOODLUCKGodwell-bm4br
    @GOODLUCKGodwell-bm4br 7 วันที่ผ่านมา

    Tafsiri ya maandiko vibaya itawauwa wajinga

  • @miye2215
    @miye2215 6 วันที่ผ่านมา

    Sie wengine ni watu wa kawaida ni wachafu wenye dhambi sio kitu mbele za Mungu. Lakini siwezi kukaa mbele ya public nikijinasibu kuwa namuonya ndugu yangu wa jinsia ya kike na kuanza kuyasema maumbile yake ya ndani hata kama nimewahi kuyaona au kusikia kwa mtu. Kwa hili huyu Mchungaji anaejiona msafi Tanzania nzima aombe radhi kwa huyo binti na kwa waumini wake. Unasema hao watu ni wa Mungu sio wa kwako sio wewe unawamiliki basi pia kumbuka una mipaka katika kumzungumzia mtu hasa wa jinsia tofauti na wewe. Wewe hushindwi kuja kumsema kijana wa kiume kuwa ni kibamia kama ndo umeanza hivi. Punguza kiburi Mbarikiwa omba radhi kwa huyo binti.

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 6 วันที่ผ่านมา

      Hata mimi siwezi kuwa na kimbelembele cha kukomenti hovyo kwenye crips za wengine bila hata kuelewa

    • @miye2215
      @miye2215 6 วันที่ผ่านมา

      @@sifawayesu7079 wewe hauna akili ndo maana hauwezi hata kuliona kosa lililowazi kisa katenda mtu unaemuabudu. Mngetaka lisituhusu basi msingeweka mambo yenu hadharani ni kujifanya mnafundisha watu alafu mnasema ni clips za wengine mngeyafanya sirini basi punguani wa akili wewe. Nahitaji kuelewa nini na mtu anaongelea wazi maumbile ya mtoto wa kike. Wapumbavu sana nyie na mtaendelea kuangamia kwa kukosa maarifa na kujiona nyie ndo malaika hamna dhambi.

    • @miye2215
      @miye2215 5 วันที่ผ่านมา

      @@sifawayesu7079 mngefanya mambo yenu sirini kama yalikuwa hayawahusu wengine. Unaweka clip hadharani alafu unaita clips za wengine. Mjinga kabisa wewe, hii ni public platform sio kanisa lenu. Alafu mmekaa mnatafuta viewers mmeweka na title ya kufanya mtu aangalie clip yenu. Mna akili za hovyo sana alafu mnajiita nyie walokole.

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 7 วันที่ผ่านมา

    Hivi mmesha kosa mambo muhimu ya kuongelea kwenye midia kila siku mnashinda kwenye midia mnaongelea mambo yasiyokuwa na maana.
    Mtu mwenye akili unatakiwa ukiingia kwenye midia kuongea jambo liwe jambo mahususi kiasi mtu yeyote akikusikiliza ajifunze , sasa siku hizi midia imekuwa sehem ya kuonesha sura zenu na kuongoa chochote.
    Alaa.

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 7 วันที่ผ่านมา

      Badala mtumie midia kufundisha jamii , kubuni vipindi vyenye maana ili muisadie jamii mnashinda na mipasho tu.

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  7 วันที่ผ่านมา +2

      Ujue hata wewe unapenda kusikiliza mambo yasio na maana. Kwani ikiwa unafahamu kuwa KILA SIKU tunaongea yasiyo na maana ungeshaacha from day one ulipojua kuwa wanaoongea yasiyo na maana. Kwa hiyo wewe ndiye unaongea yenye maana? Chanel yako inaitwaje ili tukaone unavyosikilizwa unayeongea mambo ya maana?

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  7 วันที่ผ่านมา

      @@zebedayokatamaduni9676 wewe unaitumia hivyo ili tukuige? Chanel yako inaitwaje? Ila kama ni mwalimu usiye na mifano ya unavyofanya wewe basi huo ni wehu hatuna la kujifunza. Endelea kujiburudisha na haya yasiyo na maana. Na inaonyesha kuwa unayapenda sana. Kumbe kila tukirusha unafuatilia? Tutaendelea na haya yasio na maana.

  • @Elizabeth-mw2of
    @Elizabeth-mw2of 7 วันที่ผ่านมา +1

    Bado maswali hayajajibiwa Sifa, huyo mtu ni nani wako? Na kwa nini ulifuta message? Kwa nini ulidanganya kuwa kuna foleni wakati unaulizwa uko wapi?
    Na Inaonekana ulishaonywa kabla kuhusu huyo mtu, lakini ukaenda kuonana naye bila ya wazazi wako wa kiroho kujua. Na ulipoulizwa ulikuwa huwambii ulikuwa wapi na ulikuwa unafanya nini. Imewaumiza wazazi wako kiroho. Kwa jinsi ulivyojieleza bado haujajibu maswali mengi ya watu. Ubarikiwe

    • @alunekyusa4905
      @alunekyusa4905 7 วันที่ผ่านมา +1

      Kweli kabisa mimi mwenyewe nilijua atajibu hayo maswali

    • @Elizabeth-mw2of
      @Elizabeth-mw2of 7 วันที่ผ่านมา +2

      Kwa clip yake hii, anataka kutuaminisha kuwa aliyoyasema Mch Mbarikiwa Mwakipesile ni ya uongo. Lakini kitendo cha kukumbatiwa na Mwanaume na kupigwa busu, asitufanye wajinga hapa! Lazima kuna mazungumzo yaliyohusiana na jambo fulani la kimahusiano. Nilimwamini sana Sifa , lakini sasa cv imeharibika hadi hapo atakapotuhakikishia kuwa Mbarikiwa ni muongo alichokisema. Au aje hapa tena aelezee step by step . Walijuanaje na huyo mtu na ikawaje. Imeharibu ushuhuda kabisa na kanisa. Tunaanza kupata maswali mengi kuhusu washirika wa hapo kanisani. Kumbe mnachotuaminisha kwenye midia sio uhalisia, nje ya Midia mna maisha tofauti kabisa

    • @alunekyusa4905
      @alunekyusa4905 2 วันที่ผ่านมา

      @@Elizabeth-mw2of yaani sijamuelewa kabisa hataki kuweka wazi aliyoyafanya 🥹🥹

  • @AdamJulius-z5i
    @AdamJulius-z5i 7 วันที่ผ่านมา

    Ushauli wangu kwako kama huwa unapata hisia ni Bora uolewe tu. Kwasabu matowashi wa biblia niwatu ambao hawanaga hisia yoyoye , ndio maana inasema wapo matowashi waliozaliwa nahali hiyo. Na wapo waliofanywa na watu, swali kwako je wewe umezaliwa ukiwa towashi? Maana ya towashi ni mtu Ambae huwa jogoo hawiki🤓

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 7 วันที่ผ่านมา +4

      Mbona hawasemi wanaojifanya hivyo kwaajili ya ufalme wa Mungu??
      Ila kwa sasa sikulaum kwa komenti kama hii ila tu naomba unipe mda

  • @user-mn5ho4fk7p
    @user-mn5ho4fk7p 7 วันที่ผ่านมา

    Hawa watengeneza content tuu hamna kanisa hapa huyu jamaa nayeye bila u tube kumlipa maisha hayaendi duniani sasa hivi dini hamna kumebaki wezi tuu

    • @HelbethMlelwa
      @HelbethMlelwa 6 วันที่ผ่านมา

      Unajua TH-cam wanalipa shilingi ngapi wewe Mwanguku?? Mpaka unacomment hivi ni baada ya kuwa umeshindwa kila kitu na hujui hata youtube wanalipa shilingi ngapi, unasema mtu anaishi kwa pesa za youtube.

  • @Kelvinmasunga-l5l
    @Kelvinmasunga-l5l 7 วันที่ผ่านมา

    Mimi naona unajaribu kusafisha kauli ya mchungaji.

  • @masindemagee9603
    @masindemagee9603 7 วันที่ผ่านมา

    Acha maneno ya mitandao fanya mema uishi uwezi sema umeokoka wakati una maneno mengi mbinguni hawaendi t tmno mengi

  • @Kelvinmasunga-l5l
    @Kelvinmasunga-l5l 7 วันที่ผ่านมา

    Mimi naona unajaribu kusafisha kauli ya mchungaji.

  • @masindemagee9603
    @masindemagee9603 7 วันที่ผ่านมา

    Acha maneno ya mitandao fanya mema uishi uwezi sema umeokoka wakati una maneno mengi mbinguni hawaendi t tmno mengi

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 7 วันที่ผ่านมา +1

      Hauna maneno mengi ila unakomenti bila kujielewa

    • @SimonEliaza
      @SimonEliaza วันที่ผ่านมา

      @@masindemagee9603 Nilisema kabla hujatuma kitu mtandaoni kipimeni kwanza mara saba hebu wekeni kituo cha kuchuja posti zenu kisha post kuna mamilioni wanafuatilia ulimi hauna mfupa.